Polisi akamatwa kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi mfanyibiashara mmoja sokoni Marikiti

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Afisa mmoja wa polisi ametiwa nguvuni kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi mfanyibiashara mmoja katika soko la marikiti hapa jijini nairobi. John waweru njuguna mwenye cheo cha konstebo wa kitengo cha polisi wa kulinda reli, alimpiga risasi benedict maingi iseu, mchuuzi wa pilipili, baada ya maingi kudinda kumpa hongo ya shilingi mia nne.

ความคิดเห็น • 112

  • @johnonyango6069
    @johnonyango6069 10 หลายเดือนก่อน +10

    All the police in Kenya should go through sobriety test every day after reporting for duty and have a clearance of no intoxication in their bodies that can impair their duty with the weapons they are carrying. Just a suggestion to the protocol of carrying the guns out of the station ama vipi my fellow Kenyans 😊😊

  • @dickensojiambo275
    @dickensojiambo275 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa polisi wapelekwe haiti wauwawe uko wakirudi kenya watanyoroka hawana utu and legalize marijuana in kenya

  • @WilliamRafael-t4c
    @WilliamRafael-t4c 10 หลายเดือนก่อน +7

    Everybody in Kenya is mad including you, be careful who you are arguing with,anaweza toa stress na wewe,

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 10 หลายเดือนก่อน +5

    Serikali ya Kenya ni aibu tu! Hiyo ndio shida yakukusanya watu kwa barabara wasio kua na mafunzo yakujua wajibu wao wala kipi kifanyike masna wanaona wakiajiri watu wenye na ujuzi watatakiwa wawalipe pesa nyingi

  • @nkumbimnyamwezi2728
    @nkumbimnyamwezi2728 10 หลายเดือนก่อน +3

    Uyu dawa yake pia na yy auliwe coz dawa ma moto ni moto unaezaje kuuwa mtu kisa ni pili pili

  • @muindimulwa2102
    @muindimulwa2102 10 หลายเดือนก่อน

    Ndìo maaana nikama wote walipataga E unapigaje mtu risasi mtu anauza pilipili surely ..a very uncouth stupid officer

  • @catherinmutheu5337
    @catherinmutheu5337 10 หลายเดือนก่อน +7

    Very sad and painful .only 400shs made the police to shoot him.inhumanity.

    • @AlfoncyMusyoki
      @AlfoncyMusyoki 10 หลายเดือนก่อน +1

      Not only that, kwan ilkua deni

  • @mauriceomondi3681
    @mauriceomondi3681 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kenyans wako funny....wakaaji

  • @ronaldkipngeno1306
    @ronaldkipngeno1306 10 หลายเดือนก่อน +10

    May God help us imagine a police officer charged with our security is the one taking away our lives.

    • @dukakisomondi8552
      @dukakisomondi8552 10 หลายเดือนก่อน

      when the president alludes to killing people as one of the only three options he is giving people, what do u expect?
      The tone was set, and in fact it is a miracle the murder of innocents has not skyrocketed.

    • @lilliantausi-gi6sb
      @lilliantausi-gi6sb 10 หลายเดือนก่อน +2

      Me I don't trust them at all

  • @paulrimui8816
    @paulrimui8816 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wacha niambiye wenye mulifaulu kuandikua na sirikali siku moja kazi itaisha naulindi kwenyu na masinda kibao🤧

  • @davidnyasani5070
    @davidnyasani5070 10 หลายเดือนก่อน +1

    He thought that the free range freedom they were accorded during maandamano exist forever. How many has he killed in the darkness? Kegege.

  • @HARONNAFTAL648
    @HARONNAFTAL648 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto turned police officers into murders during Azimio demonstrations. Sahii wako ni kiu cha kuua

  • @frednandy7812
    @frednandy7812 10 หลายเดือนก่อน

    Haki itendeke nowdays huezi tembea tao freely utashikwa 4 nothing until utoe hongo kwanza ao maaskari wako njaa they demand as low as 100bob

  • @shabankolia8204
    @shabankolia8204 10 หลายเดือนก่อน +4

    Haki jameniii Kenya imekua ajee jamani 400 bob tuu

  • @molotovcocktail4207
    @molotovcocktail4207 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo anafaa awachiliwe aletwe kwetu tumvae mpaka aone heaven na 3D

  • @yasirshee3152
    @yasirshee3152 10 หลายเดือนก่อน

    Sasa bangi yenyewe iko na stimu kisha iwekwe na pilipili 😂
    Eacc wanalipwa bure wakenya hamupeleki reports huko amkeni wakenya

  • @vnjambikamande340
    @vnjambikamande340 10 หลายเดือนก่อน +5

    Justice for this young man.

  • @shukranjazzakhaallahukheir1897
    @shukranjazzakhaallahukheir1897 10 หลายเดือนก่อน +4

    inaonyesha wazi huyo polisi hakua sw.. innalillahi wainnaillahi rajioun

  • @dennisondieki2412
    @dennisondieki2412 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani Polisi anaua mtu anajitafutia riziki kwa kumpiga risasi alafu utuambie eti Polisi sio adui ni binadamu hapo hapana wacha huyo Polisi pia auwawe.

  • @AbdillahabubakarSalimu
    @AbdillahabubakarSalimu 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi natoaga ushauri hawapolisi wapimwe akili ndipo wakabidhiwe silaha.governiment iachekupeana silaha kimajina inasababisha madhara kwa baadhi ya raia

  • @MercyMwongeli-b4q
    @MercyMwongeli-b4q 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hawa watu wapelekwe Haiti akiwa mmoja wao

  • @mprints899
    @mprints899 6 หลายเดือนก่อน

    sasa mia nne ni kitu ya kuua mwenzako surely, huyo askari afungwe hadi siku tarumbeta zitalia

  • @isaacokaage9952
    @isaacokaage9952 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni tamaa ya mamlaka hau haibu ndiyo inafanya mapolisi kutegemea mauaji akidhani yeye ndiyo wewe

  • @swalehelshabiby5915
    @swalehelshabiby5915 10 หลายเดือนก่อน

    Walinda usalama wako hivyo Nairobi yatisha.

  • @wambui4590
    @wambui4590 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa hivo kiganjo hio ndio training huwa wanafanya?

  • @jonmika
    @jonmika 10 หลายเดือนก่อน +2

    No words to say, "eti wacha uone vile bunduki hufanya kazi" mia nne!! Unaua mtu???

    • @lilian2660
      @lilian2660 10 หลายเดือนก่อน

      Huyo alikuwa na stress zake, mara sio wengine kuibia wagonjwa hospitali

  • @royphaskazungu1449
    @royphaskazungu1449 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa police wote wapelekwe haiti.

  • @markmutua9660
    @markmutua9660 6 หลายเดือนก่อน

    we have good policemen and women,but some have accumulated,dirty money and resources,from poor citizens

  • @yusufgagamuhammad2674
    @yusufgagamuhammad2674 10 หลายเดือนก่อน

    Ndoo maaada sipendi kuskiza taarifa za habari toka ruto anyakue mamlaka ya urais hakuna siku nime kutana na taarifa ya pongezi kweye inchi ya kenya 🇰🇪 kila mara masikitiko kubomolewa manyuba kuuliwa raia ruto ruto ruto 😢😢😢 mungu ata kulipa 😢😢😢😢

  • @AsminKhaoya
    @AsminKhaoya 6 หลายเดือนก่อน

    Neno lamungu linaneno mahana yapolisi siyo kuhuwa nikujilita kwa kuhuwa kwakutohuwa nahonko niyanini kwa polisi katika hohoko kwapolisi niwizi kwa wanahiji nanimalaniwa kulita wanahiji nahina hituwa polisi nakwa hupolisi niwisi wahoko mungu hakuje hawe polisi kwetu mungu siyo wahoko kwa mahuwaji

  • @husnaabdlla4508
    @husnaabdlla4508 10 หลายเดือนก่อน +4

    wonder never ends the person bn paid to look after citizens takig their life

  • @chopper018
    @chopper018 10 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😮😮

  • @charitykamau4785
    @charitykamau4785 10 หลายเดือนก่อน

    Serikali ya mama mboga imesahau usalama wa mama cabbage

  • @MrBonafide300
    @MrBonafide300 10 หลายเดือนก่อน

    Mia nne inafanya mtu akufe.. sai nikunoma sanaa kaa radaa Dec tufike 2024

  • @clivekenny1259
    @clivekenny1259 10 หลายเดือนก่อน +2

    Highly likely that's cop might have participated in the gruesome murders of azimio protesters

  • @doreennjagi38
    @doreennjagi38 10 หลายเดือนก่อน +2

    Oh my! 😢😢When one is busy trying to make ends meet then someone turns so inhumane on them. May his soul rest in Eternal peace.
    No wonder police officers will always be viewed as enemys to the general Public. Mshenzi huyo.

  • @kimogutu-t5b
    @kimogutu-t5b 6 หลายเดือนก่อน

    Kuna deals wamekua nayo si bure

  • @Bonfacemogoa
    @Bonfacemogoa 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo askari jela maisha au auliwe

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 10 หลายเดือนก่อน +1

    Haki police nini mbaya nao

  • @ThankGod2024
    @ThankGod2024 10 หลายเดือนก่อน +1

    That’s so so sad ! the government should take full responsibility….. 😢😢

  • @JanetMachuma
    @JanetMachuma 10 หลายเดือนก่อน

    Ata nayeye bia wamuue na risasi tu afe

  • @BenjaminMulle-c9o
    @BenjaminMulle-c9o 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kama inawezekana huyo askari auliwe ndio watoshane

  • @TitusMuswii
    @TitusMuswii 5 หลายเดือนก่อน

    Hatakuwa na amani siku zake zote

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo police atatoka serikali ni ya wauwaji

    • @alextercisio
      @alextercisio 10 หลายเดือนก่อน

      Yes wako river yala kwenye babako na raila walikuwa wanatombea maiti

  • @markmutua9660
    @markmutua9660 6 หลายเดือนก่อน

    kikuyus tamaa ya pesa ,

  • @ronniebertin3563
    @ronniebertin3563 10 หลายเดือนก่อน

    Pangi 😂😂😂😂😂

  • @bbd359
    @bbd359 10 หลายเดือนก่อน +1

    Eee i don't whats wrong
    If its 🤬 curse this
    week its only breaking news Central
    My God Help Us😢

  • @Sodea-ej9qg
    @Sodea-ej9qg 10 หลายเดือนก่อน

    Bona raiya tusipewe askari kama huyu tumshije, njuguna akisikwa na yeye masichi yake ifuate😭😭

  • @nathanfrancisondieki6586
    @nathanfrancisondieki6586 10 หลายเดือนก่อน +1

    Please kenya yetu imealipika

  • @peterrianga109
    @peterrianga109 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa ndio ufisadi umetufikisha.

  • @Wekeaudi-hc3cp
    @Wekeaudi-hc3cp 10 หลายเดือนก่อน +1

    OTC area wannangaisha watu sana

  • @mosesprince
    @mosesprince 10 หลายเดือนก่อน

    Polisi mavi

  • @RamaNgumbao
    @RamaNgumbao 10 หลายเดือนก่อน

    hapo utackia police huyo paka afanyiwe uchunguzi wa akili hapo ndo serikali ya Kenya huwa yanishangaza ambapo marehemu maghufuli alikuwa akisema ukiharibu hapo unaharibikiwa hapo pia

  • @fredmankaingu446
    @fredmankaingu446 10 หลายเดือนก่อน

    Masee nikubaya na sisi tuliambia wananchi kazi ni kazi,,,heri tungebakia na hatupangwingwi

  • @vincentndonye7989
    @vincentndonye7989 10 หลายเดือนก่อน +1

    Angeachia mob...kubabake

  • @omodesigner
    @omodesigner 10 หลายเดือนก่อน +1

    Polee .IPOA

  • @pinchez323
    @pinchez323 10 หลายเดือนก่อน +2

    Its becoming new normal ...😢

  • @lewismwaihinga7681
    @lewismwaihinga7681 10 หลายเดือนก่อน

    Over 400 bob????Tf is going on

  • @mwenjeshadrack6353
    @mwenjeshadrack6353 10 หลายเดือนก่อน +1

    hii ni kenya

  • @leahgituku3035
    @leahgituku3035 6 หลายเดือนก่อน

    Justice for Benedict

  • @georgegg1079
    @georgegg1079 10 หลายเดือนก่อน +3

    Cops never satisfied with salary

    • @charitykamau4785
      @charitykamau4785 10 หลายเดือนก่อน

      Very greedy & self centred cops. He will never have peace

  • @robertkabuthia2781
    @robertkabuthia2781 6 หลายเดือนก่อน

    There must have been an exchange

  • @JM-eo3wo
    @JM-eo3wo 10 หลายเดือนก่อน

    Ig juna shinda kubwa sana kamukunji central pangani parklands c jui nani ataokoa watu kwa hawa wakola

  • @bobkiriago9657
    @bobkiriago9657 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio maana nawaita watu wenye hawana akili

  • @davidmutua4998
    @davidmutua4998 10 หลายเดือนก่อน

    This is bad

  • @Okwomib
    @Okwomib 10 หลายเดือนก่อน

    Angepewa pilipili gorogoro moja aende auze mshenzi

  • @gideonnjoroge2379
    @gideonnjoroge2379 10 หลายเดือนก่อน

    Mara wamenjiua .mara wameua watu mara mabibi yao so sad..

  • @rydergoode6922
    @rydergoode6922 10 หลายเดือนก่อน

    Konstabo maybe deployed to Haiti to pick on fella his own size.

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 10 หลายเดือนก่อน +1

    Woiyi may his soul rest in peace

    • @dukakisomondi8552
      @dukakisomondi8552 10 หลายเดือนก่อน

      Nope, may his soul disturb those who took it. may those who shed his blood never know peace.

  • @mufush
    @mufush 10 หลายเดือนก่อน +1

    And he shall walk freely like yesterday

  • @AnnNjoki-m5y
    @AnnNjoki-m5y 10 หลายเดือนก่อน +1

    A we safe?

  • @MrGnomad
    @MrGnomad 10 หลายเดือนก่อน +1

    Serekali ya mama mboga😂

    • @brianoichoe47
      @brianoichoe47 10 หลายเดือนก่อน +1

      Not a laughing matter. This is a bread winner lost

    • @HARONNAFTAL648
      @HARONNAFTAL648 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@brianoichoe47but they were laughing when Azimio supporters were killed during demonstrations

    • @brianoichoe47
      @brianoichoe47 10 หลายเดือนก่อน

      @@HARONNAFTAL648 Police brutality has always been on all regimes. Kenyan police have mental issues honestly

  • @samsonmuisyo6990
    @samsonmuisyo6990 10 หลายเดือนก่อน

    The killer officers are working under instructions of the IG. Very sad

  • @duhhuskie2698
    @duhhuskie2698 10 หลายเดือนก่อน

    Bad government always eats the people who voted for them. Kikuyus watakipata!

  • @LucyCute-xg5vd
    @LucyCute-xg5vd 10 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢 too sad

  • @agnesbabu3305
    @agnesbabu3305 10 หลายเดือนก่อน +1

    😢

  • @johnkariukimungai5211
    @johnkariukimungai5211 10 หลายเดือนก่อน +5

    The level of human pain is becoming unbearable. So much bloodshed

  • @leahsirah
    @leahsirah 10 หลายเดือนก่อน

    Justice for maingi😢

  • @antonyapudo8954
    @antonyapudo8954 10 หลายเดือนก่อน +1

    Why did the deceased offered him 200 shillings for being innocent?
    Either way life is worth more than 200 or 500.

    • @euniceombogo5712
      @euniceombogo5712 10 หลายเดือนก่อน

      200 was for the fear of death ,insult and time wastage

    • @antonyapudo8954
      @antonyapudo8954 10 หลายเดือนก่อน

      @@euniceombogo5712 Clearly u missed that bit that this 2 individuals knew each other n it was a deal gone sour.

  • @mainasteve9202
    @mainasteve9202 10 หลายเดือนก่อน +1

    Its painful....

  • @salomenewsome4188
    @salomenewsome4188 10 หลายเดือนก่อน

    Hata kama ni bhangi hafii kumuua

  • @wycliffboke3751
    @wycliffboke3751 10 หลายเดือนก่อน

    Waah! 😢😢

  • @monicandanu5642
    @monicandanu5642 10 หลายเดือนก่อน

    Wooiye

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 10 หลายเดือนก่อน

    Maybe police was mad 😢😢😢

  • @kennethonyangowere2571
    @kennethonyangowere2571 10 หลายเดือนก่อน

    This society is too sick...

  • @MuiruripennyPeshy
    @MuiruripennyPeshy 10 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭my God I plead for your mercies over your people,deliver us from evil and wicked men.

  • @CarolineNanjakho-fl1fj
    @CarolineNanjakho-fl1fj 10 หลายเดือนก่อน

    Waaaa😢

  • @gracemanyonge4449
    @gracemanyonge4449 10 หลายเดือนก่อน

    Rest in peace

  • @PaulMbote-m2n
    @PaulMbote-m2n 10 หลายเดือนก่อน

    Wajakoha yuko wapi

  • @samnjuguna-qf6cq
    @samnjuguna-qf6cq 10 หลายเดือนก่อน

    Thats bad.

  • @jacklinemaravi8688
    @jacklinemaravi8688 10 หลายเดือนก่อน

    Woi😢😢😢

  • @petermwangi2836
    @petermwangi2836 10 หลายเดือนก่อน

    Too bad

  • @clementimemasai9135
    @clementimemasai9135 10 หลายเดือนก่อน

    Rest ín peace cousin