Mm kiukweli hiii meza naona n Bora kuliko zilizo pita maana tabia zaendana mm sio mshabiki wa mziki huku nakuja kma kuburudika kwa komedi tuuuu Big up saana majaji Mr j ommy na Bella kiukweli mnatisha sio kma ya mwaka jaana duli alikua amazingua saaana
This time mshindi kwa mara nyengine atatoka Mbeya naye ni ELISHA...Jamaa ana kipaji sana, msimu huu atawakimbiza sana hawa washiriki wenzake mana wengi top 50 uwezo zero.
@tatu kachingwe Amina mpendwa mola wetu atujaalie pumzi na neema one day na sisi huenda tukawa mabilionea wakubwa. Ila tatu hiyo elfu ishiri mkowani kwako unaitumia siku ngapi?
Ommy you spice Bongo star search. Inanogaaa😄😄😄
Nyimbo inaitwa Zari😂😂😂Idris🙌🙌mimi na kujaga uku kucheka
I enjoyed watching the judges more and they made the show much more interesting, and generous as well👍
Harmonize ushamba
Niliboeka sana jamani nikaja huku kucheka😂😂😂😂😂😂😂
Bella Tunakupenda sana shabiki zako ✌
😂😂😂😂🤣🤣eti hata nchi yako kuitaja huwez unasema tanzanihaaaa
Mm kiukweli hiii meza naona n Bora kuliko zilizo pita maana tabia zaendana mm sio mshabiki wa mziki huku nakuja kma kuburudika kwa komedi tuuuu
Big up saana majaji
Mr j ommy na Bella kiukweli mnatisha sio kma ya mwaka jaana duli alikua amazingua saaana
Uyo dame mwenye amefaint🏃🏃🏃🏃🏃naumwa sijakataa tamaa
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Jamn jamn leo nimechekaaa watu nyie😂😂😂😂😂😂
Nimejikuta naangalia Majudge badala ya waimbaji yaani Mnanipa Raha mmekuja kivingine Imechangamka Sana haiboi🔥🔥🔥🔥🔥🔥 keep good work
Ommidimpoz your so comedian...I like
I love ommy
😂😂😂 akaimba Alele alele alee akazimia. Kuna watu waloshiriki mwaka huu wananifanya niwe na mashaka Juu ya Uraia wangu.
😂😂😂😂😂😂😂
Jaman n vituko sanaaaa
😂🤣😂😂😂 shilling pesa
Sisi ni wakongo😀😀😀😀😀😀
Bella kakaza sana, zake zote NO!! 😂😂😂
😂😂😂😂😂🤣Leo nimechek kwel nawapend 💖💖🥰🥰
Ommy eeeh mi nataka ya vocha Tuu 😂😂😂😂😂
ommy una utan mwing😂
Nawapongeza BSS Madam Rita na timu yako mnafanya kazi kubwa sana mtu anaweza kuchukulia kawaida lkn si kazi ndogo kuweza ku-manage raia wote hao.
Ninakpenda malaikaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 my ribs
Tunda la peponi nalila(NALILAAA)😄😄😄
5:50 ommy anaongelea namba ya dada kifuani wala hamumsikiliziii😂🤣🤣
😁😅
😁😅
Njooni tuongeze siku zakuishi uku jamani 😁😁😁
Yaan kwa kwel
Sijakata Tamaa Ninaumwa 🤣🤣🤣🤣
😂😂
Naenjoy sanaaaa
Nimewahi Leo always waiting for this, I need long videos watching direct from Jerusalem Israel
Ommy dimpoz nakuelewa Sana bro
Ommy nakupenda bure jaman mbavu zangu huku
Ommy Dimpoz sauti yako 😂😂😂
Haachi tu..duuh!!!
😃😃😃😃unasaka bikra wodi ya wazazi
BSS is very interesting competition, i like it
Ukisikia kikombe kimegongwa unaondoka mwenyewe bila kuaga😂😂🤣🤣
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Hiyo part ya kupiga piga vikombe is funny ajabu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣duuuuuuuuuh Mambo ya humu ndani
This judges are having the best time of their lives... this days master j was good.
Sauti ya Ommy🥰🥰
Mbeya mnatugokea jamani😂😆😆
We Bela ndo unajifanya Salama rudi kwenu congo acha upuuzi
Upuuz ni uji uliokatik
Nakubaliana nanyi kwa wale mnowakataa, ila lakini kuna baadhi ya wale mnowachukua ambao viwango bado. Sijui mnanielewa?
Mbeya 😂😂 mmpewa nn kikongo kingi
Wa kwanza apa😘😘😘😘
Kuna jamaa kaenda na jezi ya Man U kwenye Bss na bado akadunda😂😂😂
Hahahahaha
Asanteni kwa kutuskiza ila tuekeeni full plzz hii inakaa fupi sana
Nimewai leo watching from Iraq tuko pamoja
Uciingie na maboom hum
I like Bella’s spirit ❤️❤️🇨🇦
😂😂😂😂😂ALELEEE ALEEEEELEEE 😂😂😂😂chaliiii
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
Idrisa sio mtumzur😂😂😂❤😍
Nampenda ommy tu
Bella anabana sana.. sio fair
Hivyo vikombe noma sana.
Hii radio yangu hahahaaaaaaaaa jamaaa mbangaaaa kinoumaa
Jaman salama wapi......?
Ommy dimpoz ananipa raha😅😅😅😅
Shilingi pesa dola pesa nachapa kazi lengo nipate pesa nidamshi🤣🤣🤣🤣
TANZANIA yangu ya Sasa 😂
naomba jina la wimbo aliemba dada mwenye guitar nbr 0035,plz
Bella mzuri sana jamani
Alele alele amekuwa mgojwa ghafla😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
🤭🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
@@benypaul9544 m nawaombea..khery tu..maana..ni hatar Sana..kubananishwa..na judges baada ya ulichokifanya
😀😀😀😀 jaman
Etii nilijua tu utatuvuruga 😀😀😀ommy
Hahahahaha hii season wengi wanajua kuimba
Its so better if someone can doing the best song has owner singing,
Mbeya kikongo mnapenda eeeh
Yaani unasaka bikira kwenye Wodi ya wazazi???😂😂😂😂🙈🙈
Yani mkamua kugonga vikombe jamani😂😂😂😂
😂😂😂
We still need long videos please
Maskin hvyo vikombe😂😂😂
8:43 yes
A be eee😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 BSS mnanipa raha jmn!!!! Ngoja nijipange kwa ajili ya season ijayo
Samahani hapa dar huwa nisehemu gani
Tunataka AUDITION YA DAR
hahahah!! poleni sana ila nimependa meza ya mwaka huu ata kama unamawazo unasahau
Tanzania😀😀😀😀😀😀🤗
Mbeya jamani bado sijaona jamaaaniiii
Uyo Dada wa alelee anaimba nyimbo kama ya dini...
@meeel p hahahahaaaaa
Mwachee bwana anaumwa kalegea kabisaa jmn😂😂😂🤣🤣
@@rahabumshani8671 😅😁😅😁
Kanichekesha nlijua mkaka
Jmn ommy anakerekwa na salamu 😂
This time mshindi kwa mara nyengine atatoka Mbeya naye ni ELISHA...Jamaa ana kipaji sana, msimu huu atawakimbiza sana hawa washiriki wenzake mana wengi top 50 uwezo zero.
Wanyakyusa wengi wanapenda gospel na Mambo ya dini! Ila wana roho mbayaaaaaaa!!! Wabinafsiiiii!! Sasa Sijui wanasali nn!!!
Hahahahahaha
Kwelii
Ulijuaje Hakika anaweza kukuchekea lkn si kweli
@@pericykiko6198 wapumbavu kabisa!! Kwanja hata Mbeya haikustahili kuwa jiji.
Kwanja=kwanza
Kubwa na nusu😂😂
We love you ommy
Majaji mna enjoy sana
First Leo 😄😄❤️❤️
I love BSS
Majaji Kama mapacha ,waniacha hoi Sana😄
Dah elfu 20 ile imenitetemesha😂😂😂😂
Mwenyewe nimeiwaza kweli niipataje
@@edwinmmary8459 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tufanye nn nasi tupate kama wao?
@@edwinmmary8459 tumshukuru Mungu kwakuwa zamu yetu nac inakuja
@tatu kachingwe
Amina mpendwa mola wetu atujaalie pumzi na neema one day na sisi huenda tukawa mabilionea wakubwa. Ila tatu hiyo elfu ishiri mkowani kwako unaitumia siku ngapi?
Nani kama mama kauwa sna😅😅
Kigoma hamuendi?👐👐
hi
Eeeeee sisi jee😄
Bss rahaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ii bongo star ijanibamba hampi mutu nafasi ata aiimbe asikike
😂😂🤣🤣 jamani
Haahahhaahahahahaha nijichekee mim
Nasikia bela unasema "vutu" 😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yes maisha nisapot yap
Hamisi yukoap???????
😃😃😃😃😃😃😃jmn dimpoz
Mungu awabariki napenda bss sana❤️
BSS iko vizuri lakini naomba Kigoma mfike pia kule ndo mzizi wa vipaji vyote
mna kazi majaji
anaejua huo wimbo aliomba mwenye namba 0134 anisaidie please
Dou wana kazi kwl
Ha waji kenya