kwanini salama katili hahahaa kiukweli Mimi hiyo mdada namuona yapo sawa kwasababu hana muda Wa kukuambie unaweza wakati huwezi halafu zingatia kitu kimoja umeambiwa tunatafuta watu wenye vipaji sasa kwanini ambiwe salama eti analoho mbaya si kweli pale nisehemu ya kazi wala sio kupitisha asie weza au sio ni hayo tu
watu wanafikiri salama hajui muziki.....angalia 15:47 , MJ na Rita note. wanatoa macho, wamemkataa, alivyorudia kuimba wakanyosha mikono, lakini Salama alishajua ana kipaji sekunde ya kwanza tu alivyofungua mdomo
Ujue nn kuna wa2 wengeni hawajui kuimba ila wanataka kuonekana 2 ndo mana wanachekwa na kila jaji anajaji kipengele chake................... Nakukubali Sana salama
Salamaa na master .j. ni wafedhuli sanaa na kwa mulivyo jiamulia kuwa ma jadge hamupaswii kuwa ma boulling kama hivyoo No one: hasaa wewe salamaa are you soo roud una dharauu na kukebeh watu wanapo ingia hapoo unatowa no wakati hataa kumuangalia unashindwaa na uso wakoo utafikiri jiwee wakati haoo wanaume wenyewee ambao ni wanaumee basi huwa wana sura za tabasam na washikriki ilaa wewe kwavile una ji pritend so hupendezi No 2 nyiee majudge nyootee only MADDAM RITA mshiriki akiingiaa hata kutuliaa na kumsikilizaa munashindwaa munajitizama wenyewee na kujiongeleshaa kishaa munamuamulia tuu mshiriki na kumjibu ( NENDA HUJUWI KUIMBA NA WALAA HAMUKUMSIKILIZA KAIMBA NINII) NO3 HAPOO HAMUPOO KUMTAFUTAA MWENYE NYIMBO NZURII NOP MUPOO KWA KUMTAFUTAA MWENYE KIPAJI NA COMFIDENCE NA SAUTII YA KUIMBA SASA KUHUSU NYIMBOOO MUNATAKIWAA KUMUANGALIAA JEE ANA SAUTII YA KUIMBAA? NYINYIII NDIO WAJIBU WENUU KUMTAFUTIA NYIMBO ITAKAYO M SOUT sioo kuwadharauu na kuwafukuza na kuwapa maneno ya kuwa nyanyapaa Hebuu waangalieni walio majudge wanavyo wakaribisha kwa nyuso za furakhaa na kujaribu kuwapa ma tumaini washiriki ilaa si walaumuu yoote hayo ni mulikuwa wsimbaji ilaa ELIMU YA UJUDGE HAMUNAA
naomba nieleze masikitiko yangu kama mtanzania, hivi ni kweli katika tasnia nzima ya muziki hawajapatikana majaji ambao kweli wamethibitika kwa ubora wao kimuziki kuliko kuwa na watu aina ya Salama na Madam Ritha ambao sina uhakika na uwezo wao wa kutambua kipaji cha muziki(hakuna mafanikio kwa njia ya mkato). kwa nini tusiangalie wenzetu waliotuzidi kimuziki(x-factor, the voice, american idol n.k.) wanaweka majaji ambao tayari wanaujua muziki na wameimba kwa mafanikio makubwa kwa mfano: jesse j(the voice uk), mariah carey(american idol), sir tom jones(the voice) na wengineo! hivi nguli wa muziki mbona wapo wengi wakina lady jay dee, fid q, mzee yusufu&hadija kopa, AU wanataja mshahara mkubwa mnoooooo! WAZO LA BONGO STAR SEARCH NI ZURI TANGU MWANZO ILA hakutakua na matunda mazuri kama majaji hawajui mziki ni sawa na kumtuma mwalimu wa kiswahili akamtibu mgonjwa ni lazima tutafute daktari. kila la kheri BSS
The members of the jury did not do well by discouraging all these singers. Their appreciation is void of emotions. At least you need to appreciate and then encourage the participant for his future
Salama utahukumiwa sana na Mola.....fanya kazi bora sio kubania watoto wa watu!!!! kumbuka alieko juu msubirie chini....Salama plz! punguza unyonyaji!!!!!! master J I love you dad Rita gud job almighty God be with you today tomorrow and forever more Amen.....
mmhh....Salama dada mbona wachukia songs za Kenya¿¿¿¿ pili mbona hupendi gospel songs¿¿¿kumbuka kusifu Mola na busara sana, salama wewe n mzuri kweli wapendeza una umbo la Tausi nje upo mweupe ila ndani roho yako nyeusi kaa makaaaa.....Yaan huna utu ndani yako nkt!!!!..wajidai wewe n Muslim sawa, ila jumogopi mungu mambo unayo yafanya wewe n kinyume na matakwa ya Mungu,,, Mmhh kweli kaa n sauti unataka kutoka kwa mwimbaji basi singatia...mwanzo ukasikia nyimbo ya Kenya n kaa kelele masikion mwako!hivisasa watafuta sauti au song¿¿¿¿question???? Rita dadangu kazi bora huna ubaguzi wala upeneleo keep it up siz I love you sana...unafanya vinavyo takikana hingera sana dada# Rita》 master J nakupenda sana sina mfano kaka...I love so much dad,.Salama salama salama bado nakulaumu badilisha....punguza uhuni, mwenyewe kweli wapendeza tena sana ila una roho chafu sana.
Ameena Ameena fact ameen mana hawapi mtu hata nafasi ya kujitetea hata kumpa mtu ushauri khaaaa yani kiduchu kwaheri hufai kuimba looooh bora niangalie x factor kila cku
rita huwezi ujaji roho yako na sura yako ni imani tupu mambo hayo muachie salama (mtu anapokuwa hawezi uimba basi aambiwe kwa vizuri sio kwa dharau awo kuchekwa ) tufahamu kuwa hayo yote ni ya dunia tu na tu muogope muumba) afahamu hivyo salama.
So I know I can Sing Country. hahahahahahah. This is more like a live comedy show.
This really made my day.
pro tip : you can watch movies on kaldroStream. I've been using them for watching loads of movies during the lockdown.
@Eugene Quincy Yea, I have been watching on kaldroStream for since november myself :D
@Eugene Quincy definitely, have been using Kaldrostream for since december myself :D
@Eugene Quincy Definitely, been watching on Kaldrostream for since november myself :D
@Eugene Quincy Yea, been watching on Kaldrostream for since december myself :D
Anayeangalia hii 2019 like basi
Futuhi
Futuhi
Mwasiti
mim ninacho wapendea ni ki2 kimoja huwa amna upendeleo hata kidogo so be blessed
george franss wanaokichukia hiki kipind wanayao tu
Mtihan
i
i
Kama upo hapa 2021 gonga like twende sawa
tunaomba muwe mnawahi kutuingizia u tube mapema coz mnakaa muda mrefu ila kiukwel mnaweza hongeren sana .
Who still watching
kwanini salama katili hahahaa kiukweli Mimi hiyo mdada namuona yapo sawa kwasababu hana muda Wa kukuambie unaweza wakati huwezi halafu zingatia kitu kimoja umeambiwa tunatafuta watu wenye vipaji sasa kwanini ambiwe salama eti analoho mbaya si kweli pale nisehemu ya kazi wala sio kupitisha asie weza au sio ni hayo tu
Please contact me let's share experience! vivianhumph@gmail.com
Napenda the way mtangazaji anavotangaza big up broo
from the start kayumba ulionesha kipaji chako hongera sana kaka
mbavu zangu uwiiiiii yaani xalama nakupendaje unawakata tu wanaokuja kuuza sura
Madam Rita Ana huruma nae ingekua majaji wte wana roho hio bac pasinge patikana mshindi,,so minaona salama Yko right
watu wanafikiri salama hajui muziki.....angalia 15:47 , MJ na Rita note. wanatoa macho, wamemkataa, alivyorudia kuimba wakanyosha mikono, lakini Salama alishajua ana kipaji sekunde ya kwanza tu alivyofungua mdomo
Ujue nn kuna wa2 wengeni hawajui kuimba ila wanataka kuonekana 2 ndo mana wanachekwa na kila jaji anajaji kipengele chake................... Nakukubali Sana salama
salama kiboko yao..
Salama ana roho mbaya sana simpend
Salamaa na master .j. ni wafedhuli sanaa na kwa mulivyo jiamulia kuwa ma jadge hamupaswii kuwa ma boulling kama hivyoo
No one: hasaa wewe salamaa are you soo roud una dharauu na kukebeh watu wanapo ingia hapoo unatowa no wakati hataa kumuangalia unashindwaa na uso wakoo utafikiri jiwee wakati haoo wanaume wenyewee ambao ni wanaumee basi huwa wana sura za tabasam na washikriki ilaa wewe kwavile una ji pritend so hupendezi
No 2 nyiee majudge nyootee only MADDAM RITA mshiriki akiingiaa hata kutuliaa na kumsikilizaa munashindwaa munajitizama wenyewee na kujiongeleshaa kishaa munamuamulia tuu mshiriki na kumjibu ( NENDA HUJUWI KUIMBA NA WALAA HAMUKUMSIKILIZA KAIMBA NINII)
NO3
HAPOO HAMUPOO KUMTAFUTAA MWENYE NYIMBO NZURII NOP MUPOO KWA KUMTAFUTAA MWENYE KIPAJI NA COMFIDENCE NA SAUTII YA KUIMBA SASA KUHUSU NYIMBOOO MUNATAKIWAA KUMUANGALIAA JEE ANA SAUTII YA KUIMBAA? NYINYIII NDIO WAJIBU WENUU KUMTAFUTIA NYIMBO ITAKAYO M SOUT sioo kuwadharauu na kuwafukuza na kuwapa maneno ya kuwa nyanyapaa
Hebuu waangalieni walio majudge wanavyo wakaribisha kwa nyuso za furakhaa na kujaribu kuwapa ma tumaini washiriki ilaa si walaumuu yoote hayo ni mulikuwa wsimbaji ilaa ELIMU YA UJUDGE HAMUNAA
jackelin anasauti nzuri sana kushinda hata mastar wakubwa na hongera salama umemfundisha vizuri tu
naomba nieleze masikitiko yangu kama mtanzania, hivi ni kweli katika tasnia nzima ya muziki hawajapatikana majaji ambao kweli wamethibitika kwa ubora wao kimuziki kuliko kuwa na watu aina ya Salama na Madam Ritha ambao sina uhakika na uwezo wao wa kutambua kipaji cha muziki(hakuna mafanikio kwa njia ya mkato). kwa nini tusiangalie wenzetu waliotuzidi kimuziki(x-factor, the voice, american idol n.k.) wanaweka majaji ambao tayari wanaujua muziki na wameimba kwa mafanikio makubwa kwa mfano: jesse j(the voice uk), mariah carey(american idol), sir tom jones(the voice) na wengineo! hivi nguli wa muziki mbona wapo wengi wakina lady jay dee, fid q, mzee yusufu&hadija kopa, AU wanataja mshahara mkubwa mnoooooo! WAZO LA BONGO STAR SEARCH NI ZURI TANGU MWANZO ILA hakutakua na matunda mazuri kama majaji hawajui mziki ni sawa na kumtuma mwalimu wa kiswahili akamtibu mgonjwa ni lazima tutafute daktari. kila la kheri BSS
master j ananifurahisha sana wallah hataki poteza mda kabisaaa
watu ni wengi
watu ni wengi
Awa majaji vipi!!? Awamsikilizi Mwimbaji
gracious abeid kweli
The members of the jury did not do well by discouraging all these singers. Their appreciation is void of emotions. At least you need to appreciate and then encourage the participant for his future
Very true.Not unless they're entertaining it's a very bad way to talk
Judges are very mean😩
2020wamrudixhe tu salama. ...
Kwa nini mnachelewa sana ku post vide youtube
Salamaaaaa mtu wangu we nomaaaa sana nakukubali kinoma noma
Wangapi wanaicheki hii january 2020 honga like
gmosson le senior tupo pamoja
Nakubali show ilikuwa kali kushinda 2019
Nimemuona H mesoma nae Brilliant
Salama unaloho mbaya nyoko zako laana zikumalize
salama upovizuri yaandoivo.jajisi mnastaili.muwe
haya bwana
Nilikuwa naipendaga hiyo nyimbo ya maunda zoro
master j broo Dada Rita Dada salama pamoko sana ila nimependa sana muono wenu
Sister salama hapa niko ndani ya paris napia I'm from comoros lakini ukiangalia bongostar ya kesho haina waimbaji wenye kipaji ni wachekeshaji tuu
Woie the nerea guy wish u all the best
huyu jaji wa kike kanyoa nywele anaitwa nanii,,, bure sana
Salama jabir
Kumbe umeona pia
Sikupendi hiki kimwanamke
Anaeiangalia 2020 kama mm nipewe like
talent & practice make more person perfect
Salama ni jaji mkali sana anasema kweli
The lady judge is rude. Wapi songs zake
2018 who z watching
☝️ watching 2021
Inshaallah ntashiriki 2020 Kama BSS itakuwepo tena
Ila salama salama jaman salama..😅
Hhhhhh njoo saa hii
Hahahaha i didn't know kwamba Tz hamna vipaji hivi ukilinganisha na Auditions za The voice au X factor hahaha hizi ni Garbages😁😁😁
I love you salama
Nyie mnamlalamikia majaj kua awajal mnataka wajal VP, washirik weng na mshind anatakiwa ni m1 tyuuu achen lawama za kipumbavu
Kweli
Really
Wanao angalia 2021
254🇰🇪 niko ndani
kiling me softly ayaayaya😀😁😊😊😊
Kayumba nikama vile alikuwa ameandaliwa..cheki kwa makini
Nasikia tazania wasani weto wanaimba mapezi na wao giza wanaigaza mapezi sijuwi sasa nani hata helimisha jami kwanyimbo ya yamaixha hau move
Wangapi wamemuona kayumba 😂😂
Kayumba fundi wa mali
I love salama jabir
nawapenda thaana japo tuko nje ya tzd ila tunaona mambo ya homie salama big up luv ww thaana nikija plz ntakutafuta tujiselfie
Salama utahukumiwa sana na Mola.....fanya kazi bora sio kubania watoto wa watu!!!! kumbuka alieko juu msubirie chini....Salama plz! punguza unyonyaji!!!!!! master J I love you dad Rita gud job almighty God be with you today tomorrow and forever more Amen.....
mmhh....Salama dada mbona wachukia songs za Kenya¿¿¿¿
pili mbona hupendi gospel songs¿¿¿kumbuka kusifu Mola na busara sana, salama wewe n mzuri kweli wapendeza una umbo la Tausi nje upo mweupe ila ndani roho yako nyeusi kaa makaaaa.....Yaan huna utu ndani yako nkt!!!!..wajidai wewe n Muslim sawa, ila jumogopi mungu mambo unayo yafanya wewe n kinyume na matakwa ya Mungu,,, Mmhh kweli kaa n sauti unataka kutoka kwa mwimbaji basi singatia...mwanzo ukasikia nyimbo ya Kenya n kaa kelele masikion mwako!hivisasa watafuta sauti au song¿¿¿¿question???? Rita dadangu kazi bora huna ubaguzi wala upeneleo keep it up siz I love you sana...unafanya vinavyo takikana hingera sana dada# Rita》 master J nakupenda sana sina mfano kaka...I love so much dad,.Salama salama salama bado nakulaumu badilisha....punguza uhuni, mwenyewe kweli wapendeza tena sana ila una roho chafu sana.
aky hii nkuchujwa ama n kichefchef
Mimi naitwa kwajina la bertin nina sauti yakwimba nina ichi Canada
2018 na nimemuona Kayumba Juma siku ya mwisho ya usaili....
Hahahahaha
Hii ni zaidi ya kichekesho
Its the tolerance the judges got for me 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊😊😊
Salama nakupenda kz yako
44:12 the best singer so far
😂😂u had my hopes high such a disappointment 😂
Warahi nikitakakufurai nakujahuku 219 oyee
Yani wabongop mpo funny.. I love it
Iko poa sana I love all
kayumbaaaa
Mungu wangu wee IIII we Petit unatuchambia luga .mwachiye fally Pupa mambo yake 😁
bora nishiriki kabisaaa hakia nani
Duu
To be honestry waliongia round yapili wote wanajua kuimba wasipoteze vipaji vyao
Japo Majaji sio talented (not competent) ila baadhi ya washiriki hawako real. But shout out to BSS Kinyang'anyiro
Hilo marasta lina comment za kikundu
daaah jaman salam yan sjui nisemej my sister sjapenda ata kidgo kua na loho yakiubinadm
vp mamy
salama unanifurahisha mwe naenjoy kukuona hulembi wengine wamekuja kuuza sura apo
Nice❤️
lawdax majani mmh
majaji wabaya..chembelecho igeni.x factor..majaji wanauruuma lkn nyinyi daahh
Tanzania inabidi Itengeneze makazi mengi haowote wamekosa makazi ndio maana wanaleta utani
Ameena Ameena fact ameen mana hawapi mtu hata nafasi ya kujitetea hata kumpa mtu ushauri khaaaa yani kiduchu kwaheri hufai kuimba looooh bora niangalie x factor kila cku
Ameena Ameena aki they so rude
Kayumba ♥
Am young Salama ryt here hahah i lovee yuuueeee Salamaaa your smaller version is out here hahaha @bongostarsearch
Ndomana bongo star search imewashinda..mana wanao jua kuimba hata hamuwajui
😄😄😄Shida kwelikweli 😃😃😃 wangeweka na wacheza singeli washindi wngepatikana wengi sana 😂😂😂😉😉😉
😃😃😃
Kwani uongo 😁😁
😀😀😀😀😀
Wengine wanajaribu bt judges wanabwagaa xnaa🤔🤔🤔
awa wa juge nina
mnachelewa kupost vpnd mnaboaaaaaaa
Duuh DSS wanakatishana tamaaa sana duuh
Is this real or just a comedy because am not getting it
unaweza ukaingia baadae ukajiraumu mm mh hapana
Kwakweli hii sho mnakejeli watu sana ooh sauti Mbaya nyie wenyewe mnasauti. nzuri? ovyo sana kwanza huyu salama loh ovyo
Mmenichekesha
Kushiriki huu upuuzi ni kukosa la kufanya
mbavu nzangu mie uwii
Mi nacheka kwa Fujo paka warabu wameshtuka 1 amekuja nichungulia yni paka machoz yamenitoka
Mmmh wengne unajiukiza walifuata nn msi walaaum 2 majaj wengne mmmmnmh
herooooooooo eeeeeee😁😁😁😁😁😁😁
Yan salam duuuh
daaaaah me bora nipampane na war yangu tu
salam dad yang mbon una roh mbay hivyo dah
the voices are damn crazy...hahahahah
good like it it,s xo fanny
navunjika mbavu nakucheka
Yan huyo mtangazaj ananiacha hoii 😂😂😂😂😂😂
yan u judges mnabooooooooooooa coz hamjui kumu incourage mtu fakin u master j and salama halaf chief judge hujui ur responsibility
Wee salama
Wanafuhisha Kwa kweli salama we mkali hukopeshi
rita huwezi ujaji roho yako na sura yako ni imani tupu mambo hayo muachie salama (mtu anapokuwa hawezi uimba basi aambiwe kwa vizuri sio kwa dharau awo kuchekwa ) tufahamu kuwa hayo yote ni ya dunia tu na tu muogope muumba) afahamu hivyo salama.
asante
Unprofessional judges not to mention very stupid and self centered. The firs lady her voice was awesome they shld have given her achance
siwezi handa eyo fasi
naona kuna watu wanakuja kujionesha tu hahaha sauti hakuna
But what are the judges looking for...
Hhhhhhhhh hiyi dunia inambo daah
good
nimpende Nani😏😏oyeee 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂watu wanavipaji jamn hahahaha Tz shkamooooni
Mbavu uwiiiiii
Malahaaba
@@aishawoooiii2777 ahaha aya bhana