MTANZANIA AKWAMA IRAQ - BABA'KE ADAI ALIDANGANYWA ANAPELEKWA UTURUKI -AGENT ALIYEMSAFIRISHA AFAFANUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • MTANZANIA AKWAMA IRAQ - BABA'KE ADAI ALIDANGANYWA ANAPELEKWA UTURUKI -AGENT ALIYEMSAFIRISHA AFAFANUA
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 295

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  หลายเดือนก่อน +7

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu หลายเดือนก่อน +18

    Hii yote ni umasikini wetu tupambane ili kunusuru maisha YETU na familia zetu

  • @user-mw5qr3ct8k
    @user-mw5qr3ct8k หลายเดือนก่อน +4

    Maajaenti wote mbwa tuu wanatamaa ya pesa na wakikusafirisha BC Hana mpango na ww tena ukipata matatzo apambane mwenyewe yaan mungu anawaona hawa maajaenti 😢😢😢

  • @hbdina
    @hbdina หลายเดือนก่อน +8

    🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Hivi Tanzania nchi yenye utajiri lakini hatuna viongozi kutumia utajiri wetu kuwanufaisha wazawa Watanzania kazi kuwapa mikataba ya maliasili zetu wanaojiita wawekezaji wa kigeni

  • @happynesbaemuhappynes8813
    @happynesbaemuhappynes8813 หลายเดือนก่อน +10

    Pole sana Mzee wangu. Wasichana wakifika Ofisini wananyanganywa simu upewa mara 1 kwa wiki kuwasiliana na ndugu zao

    • @user-nn9uc4zf5p
      @user-nn9uc4zf5p หลายเดือนก่อน

      Muongo

    • @Official83640
      @Official83640 หลายเดือนก่อน

      Ofice gani muongo mkubwa ww

    • @bintmrisho3526
      @bintmrisho3526 หลายเดือนก่อน

      Sasa mnabisha nini ​@@Official83640

    • @user-er5ld7ft6k
      @user-er5ld7ft6k หลายเดือนก่อน +1

      Sio muongo ni kweli me mwenyewe nipo Iraq ila ofisi yangu ni mbaya sana atupewi simu 😂😂😂 kwa wiki max 2 kula kwenyewe sasa utacheka ukipata nyumba mbaya ukirudishwa ofisi ajenti wa Iraq anakupiga nyie acheni tyu ni kweli

    • @corrolesscps
      @corrolesscps หลายเดือนก่อน

      Kweli Umasikini ni Mbayaa unanyimwa mpa khaki yako unanyimwa, na unafanywa kama Mtumwa, hasa hizi nchi za Middle East na zenye Mwingilano na Middle East, tofauti na nchi za European, haki yako ni lazima kwa kila Binadam ana haki yake, na aitakiwi kuivunja haki ni haki hajalishi Rangi, kabila

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 หลายเดือนก่อน +11

    Mimi nachoombq ndugu zangu watanzania mkitaka kuja kutafuta bora kuja omani 🇴🇲

    • @AishaTarimo-hj2nj
      @AishaTarimo-hj2nj หลายเดือนก่อน

      Kabisa yaan Oman Ni nchi poa sana

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt หลายเดือนก่อน

      SaanaOman.mashaAllah.wanayoHofu.yamungu.japo.wTuHawafanani​@@AishaTarimo-hj2nj

    • @shamzone388
      @shamzone388 หลายเดือนก่อน +2

      Oman ina aman kusema la haki tupo oman zaid ya miaka 17 tupo tumetulia tuli

    • @user-qb4cv7hs1o
      @user-qb4cv7hs1o หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa my mungu awalipe wa Oman Mimi na wa dogo zangu na dada zangu wote tupo oman Leo mwaka wa 5 na Alhamdulillah tumenadilisha maisha yetu mungu mkubwa na utafanyiye wepesi wapambanaji wote kwa jumla

    • @pillyseleman8090
      @pillyseleman8090 หลายเดือนก่อน +1

      YY pia alijua anakwrnda Oman mbele
      Mbele wamebadilisha Safar ila mungu awarudishe salama

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 หลายเดือนก่อน +8

    Tunachoomba arud salama 😢baba km usemavyo maisha magumu kwako bac salma akirud afanye mipango ya kwenda oman tuna ndg zetu oman wanaish salma wanafanya yao ya maana bac salma aende oman alee wanae na afanye mambo yake inshallah

    • @jamilahjamilah4157
      @jamilahjamilah4157 หลายเดือนก่อน

      @@ruqaiamohammed345 saana tuu omani nisubra lakini wengi tumefanikisha alhamdulillaah km hushukuru kidogo mungu alicho kujalia tena cha halali haipo sijui pesa ya bwana hakuna ni yakwako ya nguvu zako asikate taamaa natamani nikujue kwao mm mwezi huu 8 narudi kusalimia ninge munganisha na watu wamtafutie kazi masikili alee familia yake ajaribu bahati yake sijui nita mpata vipi omani kuzuri ukishindwa wanakurundisha kwanu uwe muwazi tuu usije kutaka kundaga hii omani ndio waallee walawama hawa wezi kuvumilia kukaa bila mabwana

    • @user-jz1ee9cg2z
      @user-jz1ee9cg2z หลายเดือนก่อน +1

      @@ruqaiamohammed345 Ndugu yangu hamna nchi isiyo kosa changamoto zaidi yakuwa na subra tu kama ameshindwa kuvumilia Iraq Oman atapaweza.....?

    • @user-nn9uc4zf5p
      @user-nn9uc4zf5p หลายเดือนก่อน

      ​@@user-jz1ee9cg2znakwanini atoroke Ofisini

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 หลายเดือนก่อน

      @@user-jz1ee9cg2z inshallah

    • @afrahoman2844
      @afrahoman2844 หลายเดือนก่อน

      Mm nipo uku miaka 8

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 หลายเดือนก่อน +3

    Hongerasana baba ww ni baba na nusu❤❤❤❤

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana Baba usijali kila kitu kitakuwa sawa kwa uwezo wa Mungu

  • @safiyanirram-pf3sv
    @safiyanirram-pf3sv หลายเดือนก่อน +3

    Maajent uwa wasumbufu sana awana msaada wowote ukipata shida ukiwaambia awana ushirikiano

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 หลายเดือนก่อน +5

    Mi nikiona viza tu Iraq 🇮🇶 walahi natoroka jmn😢😢😢bora amani

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi หลายเดือนก่อน +1

      So kutoroka viza ikija inaonyesha kabisa unaenda wapi sema yy pia asingeenda kabisa kupanda ndege

    • @user-nn9uc4zf5p
      @user-nn9uc4zf5p หลายเดือนก่อน

      ​@@Ayuminchasisindoapo sasa kwanini kashafika nchini kwawatu ndo katoroka

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi หลายเดือนก่อน

      @@user-nn9uc4zf5p s kutoroka wanatafuta njia ya kujinasua

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 หลายเดือนก่อน +6

    HIVI HAO MAAJENTIY WANAA AKILI NGANI UNAMPELEKA MTU SEHEMU AMBAYO HUIJUI NI MTIHANI SANA WAALLAAH

    • @user-nn9uc4zf5p
      @user-nn9uc4zf5p หลายเดือนก่อน

      Ungeuliza kwaza hakupewa viza akasoma akajuwa anaenda nchi gani

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 หลายเดือนก่อน +2

    Watanzania tuwemakini sana namaajenti wao wanajali pesa tu 😢😢 anateseka umefanikiwa utajua mwenyewe

  • @OtiliaPius-dr1be
    @OtiliaPius-dr1be หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Baba etu Mwenyzi Mungu atamfanyia wepesi mwanao atarudi salama

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu wangu jamn daaaa m/mungu awavushe salama jamn daaaa Ila Maagent miyayusho sana na pia ofisi wa nakupa Sim pale tu ukatapo fika utoe taarifa nyumban polen sana wa pambanaji wenzangu

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 หลายเดือนก่อน +5

    Watarudi Inshaallah wamengekua awapo Salama wasingetumia cm so wapo Salama Iyo kutoroka Ndio mbaya wangetulia wangepatiwa kazi

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 หลายเดือนก่อน

      Yan apo ndo alipokosea na mm uyo dada mm nilimkuta ofisini nilienda kumuacha ndugu yangu anaondoka nilimkuta na nikawapelekea chakula na36 nikampa uyu dada elfu kumi ya uku mununu pedi so wlichokosea mutoroke mbona mm nipo uku m2022 na watu wanamiaka saba uku

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj หลายเดือนก่อน

      ​@@sharifamahamudu182ww uko nch gani?

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 หลายเดือนก่อน

      @@GeorgeAkasha-zx2rj Iraq mwaka 3

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 หลายเดือนก่อน

      @@GeorgeAkasha-zx2rj na uyo dada na namjua nimemuonea ofisini na nilimpa elfu kumi nilienda kumuaga ndugu yangu anaondoka tz

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj หลายเดือนก่อน

      @@sharifamahamudu182 Kongole sana madaamu, sisi tunafikiri ni vita tu muda wote huko

  • @FaudhiaMchunga
    @FaudhiaMchunga หลายเดือนก่อน +4

    Iraq so nchi nimeenda nimekutana na watu wanaroho mbaya nashukuru nimemaliza kwa subra nimerudi salama tz saivi niko omani sina ham na iraq

  • @user-ym6ts2tb1i
    @user-ym6ts2tb1i หลายเดือนก่อน +1

    Duu jamani mdogo wangu mungu atakusaidia maana mtiañi

  • @jonaspatrick2871
    @jonaspatrick2871 หลายเดือนก่อน +8

    Human trafficking, huyo agency akamatwe!!!

    • @user-nn9uc4zf5p
      @user-nn9uc4zf5p หลายเดือนก่อน

      Niuzembe wa mfanyakazi si ajenti kwanini atoroke Ofisini

  • @happynesbaemuhappynes8813
    @happynesbaemuhappynes8813 หลายเดือนก่อน +4

    Ma Agent wanadanganya eti Uturuk kumbe Iraq ukitumiwa Visa ndo unagundua Yaani Ma Agent wa Tz ni shida tu ukipata boss mzuri shukuru Mungu

    • @husna34562
      @husna34562 หลายเดือนก่อน +1

      Sio Tanzania pekee 😢hata kenya

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 หลายเดือนก่อน

      ​@@husna34562ndo hivyo ndg yangu

  • @NuruBomba
    @NuruBomba หลายเดือนก่อน +6

    Tupe namba zake tupo watanzania huku Iraq ni tuna miaka mingi

    • @tausikiyabo6302
      @tausikiyabo6302 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona namba zote wamezitoa piga utapata mawasiliano Mwenyezi Mungu akubariki

    • @user-mu1uf2rl4x
      @user-mu1uf2rl4x หลายเดือนก่อน +2

      Ndugu mlioko uko Iraq sehem salama wasaidien Wa Tanzania wenzetu wanaotaabika wawe salama Mungu atawabariki sana

    • @miriamvihenda7408
      @miriamvihenda7408 หลายเดือนก่อน

      Eeeeeh watupee numbar kama sisi wakenya tutume salamu kama sisi wakenya mbona watakoma tupee numbar

    • @salmasalam3268
      @salmasalam3268 หลายเดือนก่อน

      Mm pia nipo Iraq nashukuru MUNGU naishi Kwa Aman ​@@user-mu1uf2rl4x

  • @user-gu8wv4bn4o
    @user-gu8wv4bn4o หลายเดือนก่อน +6

    Swali linakuja visa na tiketi vimeandikwa anakwenda nchi gani kwani hajuwi kusoma au alichekelea kupanda ndege,

    • @ShukranMwakyambo
      @ShukranMwakyambo หลายเดือนก่อน +2

      Wanakupa siku unasafiri na wanakupa air port Wana janja janja

    • @user-nn9uc4zf5p
      @user-nn9uc4zf5p หลายเดือนก่อน +1

      ​@@ShukranMwakyambomuongo viza unapewa kabla ya safari

    • @salmasalam3268
      @salmasalam3268 หลายเดือนก่อน

      Siyo uongo visa za Oman ndo unazion za Iraq za ma campuni Dera tena ni ukwel ata mm npo Iraq nilikaa kweny jumb miez 2 bira kazi famchezo nn​@@user-nn9uc4zf5p

    • @asiaisaka2898
      @asiaisaka2898 หลายเดือนก่อน

      Hao hawajasafirishwa kwa kihalali huenda ht hawakupewa makaratasi waliambiwa tu safr twendeni

    • @user-dg4zc2un1y
      @user-dg4zc2un1y หลายเดือนก่อน

      Sio kwel wanakupa eapot kila kitu kila ajent na alivo

  • @Official83640
    @Official83640 หลายเดือนก่อน

    Oman ndy sehemu salama kwingine kote mtadanganyika wadada yaani Oman japo ubalozi mpya wanasumbua lkn Alhamdulillah mshahara unakidhi haja zetu

  • @RehemaMohamedi
    @RehemaMohamedi หลายเดือนก่อน +2

    Kiukweli hii nchi nimungu TU anatusimamia ila hii nchi haina ubarozi nahata ukienda police upate bahati sana kwanza mshukuluni mungu mmepata office nzuli jamani kunaofice inapiga huku halafu hakuna wakukutea ndio maana tunakua wapole sana watu tuliopo Iraq Yani tunalindwa na mungu kwasababu mungu ndio anaejua

  • @user-ui4oh8gf8n
    @user-ui4oh8gf8n หลายเดือนก่อน

    Babu MashaaAllah. Unaongea vizuri.

  • @abedsaidy7263
    @abedsaidy7263 หลายเดือนก่อน +6

    Yupo iraq sehem gani mm nipo iraq

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 หลายเดือนก่อน +1

      Labda uchukue picha usambaze huwenda wengine wanamjua

    • @user-jz1ee9cg2z
      @user-jz1ee9cg2z หลายเดือนก่อน

      Huyu dada tulisafiri wote siku moja

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 หลายเดือนก่อน +1

      Ofisi ipo barktayar ata mm nimetokea kwenye hiyo ofis na ninamwaka 3 uku iraq

    • @mirnababy5012
      @mirnababy5012 หลายเดือนก่อน

      @@sharifamahamudu182 Mm pia lraq Nipo mwaka w3unaenda 4

  • @joysekiza3944
    @joysekiza3944 หลายเดือนก่อน +1

    Nichangamoto kusema kweli mungu awashindie

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 หลายเดือนก่อน

    Allah awafanyie wepesi in shaa Allah

  • @user-du4yg5cj3v
    @user-du4yg5cj3v หลายเดือนก่อน

    Majent mungu anawaona wakisha kumtoa mtu hawajali

  • @mwanamwana8149
    @mwanamwana8149 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera baba ❤❤

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ หลายเดือนก่อน +2

    Mtihani Mkubwa

  • @user-jx9xc6vo9x
    @user-jx9xc6vo9x หลายเดือนก่อน

    Pole

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u หลายเดือนก่อน +2

    LAWAMA ZOTE KWA SERIKALI YETU YA TANZANIA NA VYOMBO VYAKE VYA USALAMA.....MAWAKALA MATAPELI WANAJULIKANA NA WANAWEZA KABISA KUKAMATWA NA KUSHITAKIWA MAHAKAMANI....LAKUNI INAELEKEA KUNA VIONGOZI NA WATENDAJI NDANI YA VYOMBO HUSIKA WANASHIRIKIANA NA HAO MAWAKALA MATAPELI.

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw หลายเดือนก่อน

    Watu hamna uchungu na watoto wenu unamuuliza usalama wake kitendo cha kumuachia atoke hapa na kwenda huko inaonyesha hujali usalama wa damu yako mzee na utaenda kuulizwa na mwenyezi mungu juu ya madhila anayopitia huyu mama

    • @Official83640
      @Official83640 หลายเดือนก่อน +1

      Mtazame huyo mzee umri wake kisha ndy ulaumu tupo nje miaka tele na tunajali familia zetu huyo lengo lilikuwa ni kz za ndani na sio unachokiwaza ww

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 หลายเดือนก่อน

    Oman hakuna shida ww mjinga mtangazaji ww mwehu oman hakuna shida yoyote ❤

  • @user-nu1om6gr5f
    @user-nu1om6gr5f หลายเดือนก่อน

    Jamani Iraqi taratibu zake ufikie ofsini ndio unapata boss so pia ukienda tofauti na ofisi unafungwa miezi miwili lamwaisho hakuna ubarozi. Mimwenyewe nishawahi kwenda nanimerudi baada 2years alhamdulillah

  • @ZaitunSeif
    @ZaitunSeif หลายเดือนก่อน

    Poleni wanafamilia watarudi

  • @user-du4yg5cj3v
    @user-du4yg5cj3v หลายเดือนก่อน

    Dah Allah atufanyie wepes kwa kweli😢

  • @user-wc6wq7rm7x
    @user-wc6wq7rm7x หลายเดือนก่อน +2

    Kwa Nini Hawa maajjent Kwa Nini wasikamatwe wawarudishe nyumbani.hao wanao wasitakiwe,na serikali ipigwe marufuku kusafirisha kutupotezea watoto.tuangalie yanayo wakuta watateseka,wanarudi walienda wanatembea kinyume wanarudi vichas,wagonjwa,wameisha poteza uhai.inauma sana.lazima lipigiwe kelele sana sana.kuwsnyanganya vielelezo vyote wananyanganywa.huko hakuna utu kabisa,jamani uyasikie.wanateseka.sheria za Nch usipo kuwa na pass huna vielelezo lazima ukae ndani.

    • @mpefu_4936
      @mpefu_4936 หลายเดือนก่อน +1

      Ila swali langu kwanini wanawapora pass port hiyo inaonekana kwamba wanaweza kukufanyia chochote

    • @user-nn9uc4zf5p
      @user-nn9uc4zf5p หลายเดือนก่อน

      Hakuna anae kwenda kuchukuliwa nyumbani kwao akasafiriswa wote huwatafuta maajenti wenyewe

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 หลายเดือนก่อน

    huyo Mohammed mwenye hiyo office alipofkia huyo bint number yake ya cm ninayo....

  • @HadijaRajabu-pr9di
    @HadijaRajabu-pr9di หลายเดือนก่อน

    Namjua huyu dada jamani wote wa huko Mtoni Mtongani 😢.

  • @ibrahimayoub8972
    @ibrahimayoub8972 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli, iraq Hamna ubarozi wa tz,

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 หลายเดือนก่อน +2

    Kosa la kwanza walitoroka iraq wanashelia Kali sana wapo sehemu gani maana nipo Iraq mwaka wa nne

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh หลายเดือนก่อน +1

      Basi mtafute mwenzio
      Kwa hiyo hiyo tiket yake hakuoneshwa anaenda wapi

    • @sharifabahar9905
      @sharifabahar9905 หลายเดือนก่อน +1

      @@FatimaAli-of4gh namtafutia wapi Iraq unafakiri kama Tanzania hao wasichana wana matatizo

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 หลายเดือนก่อน

      Falme za kiarabu mtafute mwenzio io kuonana tu insh​@@FatimaAli-of4gh

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 หลายเดือนก่อน

      Mm pia nipo iraq mwaka3

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 หลายเดือนก่อน

      ​@@sharifabahar9905matatizo tena makubwa kwann watoroke ofisini

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu duuh

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 หลายเดือนก่อน

    kosa kubwa liko upande wa hao mabint kutoroka ofsin iraq sio oman... sheria za ile nchi ziko tofauti kabisaa...kiini cha mzozo huu wote ni hao mabint kujifanya wajanja kutoroka kama kuna tatizo ilitakiwa walisolve hapo hapo na sio kutoroka.

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 หลายเดือนก่อน

    Masikini pole ila nchi nyingi hatuna ubalozi hata kugonga viza ni shida tupu😢😢

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 หลายเดือนก่อน +1

    Tarehe 28 ya mwezi wangapi

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 หลายเดือนก่อน

    Sema ubalozi upo Yemeni saudia hindia na endonesia

  • @user-to2co7qm2k
    @user-to2co7qm2k หลายเดือนก่อน +1

    Mhh da Zali Huyo ajet muongo

  • @AnnoyedBooks-kn5pm
    @AnnoyedBooks-kn5pm หลายเดือนก่อน

    Jamani dunia hii , hata mimi nilidanganywa

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 หลายเดือนก่อน +2

    Iraq ubaloz wa tz hamna naskia

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw หลายเดือนก่อน

    Huwezi kumpa amri ya kwamba akae hapo hapo wakati hayuko kwenye mamlaka yako umeshamtoa kwenye miliki yako kule atafanya kile anacho ona kitamnasua kwenye hali alionayo allaah amuepushe na shari

  • @faraj6700
    @faraj6700 28 วันที่ผ่านมา

    Babumzima unatowa mtoto wakike kwenda ugaibuni hizopesa zakumpa agent ungefungulia biashara.

  • @KhadijaDija-ir2hq
    @KhadijaDija-ir2hq หลายเดือนก่อน

    Magenta wana shida sana kwa kweli hawana utu wanachojua wao kukucharge pesa wakati maboss wanalipa kila kitu na ukeshafika nchi husika hawakushughulii tena wallah kesho kwa mungu watajibu kwa hilo

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo mliweka na ushabiki wa dini.....hao waarabu hamuwajui. Huyo dada mawasiliano alipata wapi......

  • @faraj6700
    @faraj6700 28 วันที่ผ่านมา

    Wanauzwa watumwa mutakoma mababu music kuwa naakilii.

  • @RahmaHamad-x9f
    @RahmaHamad-x9f หลายเดือนก่อน

    Asalamu alaykum baba naomba unitumie namba ya mwanao na mm nipo iraq plze niko bilimoso

  • @ashurasaidy6568
    @ashurasaidy6568 หลายเดือนก่อน +1

    nikweli iraq nikugumu san mim mwenyew niko huku nilikaa ofisin mwezi na siku 10 ila alihamdulilah nilipata kazi sas nina miaka 3 namaliza mwakan

    • @user-nn9uc4zf5p
      @user-nn9uc4zf5p หลายเดือนก่อน

      Wao hawakuwa na sbra walitoroka kabla hawajapata mabosi tulikua Ofisini moja naao

    • @ashurasaidy6568
      @ashurasaidy6568 หลายเดือนก่อน

      Aisee mtihani kweli subra inahitajik San kwakila jamb kwahy we ulipat kazi

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 หลายเดือนก่อน

    Bada huyu bint ungempeleka shule kuliko kumruhusu kwenda huko niletee nimuoe yangu ni hayo

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 24 วันที่ผ่านมา

    Muhimu kutizama ticket yako ujue unakwenda wapi

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 หลายเดือนก่อน

    Omani ipo vizur ❤❤❤

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 หลายเดือนก่อน

    Ni maumivu pole mzee, lakini nakuomba mtangazaji baada ya hiki kipindi mtafute Agent tumuone kwenye kipindi chako tutayajua mengi

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa unaondoka pahala bila ya passport?

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabsa watuy wawe makon wallah mtihan

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 หลายเดือนก่อน

    Sawa

  • @OmanOman-gz6bp
    @OmanOman-gz6bp 25 วันที่ผ่านมา

    Iyo miajent mishenzi km nini ukipat matatzo hailusaidiii mbwa awa

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw หลายเดือนก่อน

    Sio umasikini bali ni tamaa kwani hapa hakuna pesa na yy ni mwanamke mambo ya kutaka kujifanya wapambanaji kama wanaume acha yawakute si mwasema mnaweza haya wezeni wengine wanaenda kuuzwa

  • @user-qs7lj7kj1k
    @user-qs7lj7kj1k หลายเดือนก่อน

    Jamani ukweri usemwe omani raha

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 หลายเดือนก่อน +1

    Na ww mtangazaji umeshidwa kumuuliza huyo argent Kwann unawaambia wanaenda oman alafu unawapeleka nchi nyengine? Kamata argent ana kesi ya kujibu

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 หลายเดือนก่อน

      Agent mwenyewe alivyo sema awezi kuongea chochote swala liko wizarani labda ndio maana hakuendelea kuhoji zaid

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 หลายเดือนก่อน

    Daa baba alivyosikia sauti ya agenti katoa macho na moyo wa matumaini mwanae arudi inauma sana, inabidi maagenti washitakiwe wanawapotezea muda mtu kaacha watoto wanajua mama kaenda kazini hii sio sawa,magenti wao wanalipwa wao wakilipwa wanakuwa kama wanakutupa utajuwa mwenyewe.

  • @evvyyurek1862
    @evvyyurek1862 หลายเดือนก่อน

    Kazi zipo ila tunakua wengi nchi tofauti

  • @AnnoyedBooks-kn5pm
    @AnnoyedBooks-kn5pm หลายเดือนก่อน

    Mimi nilipokuwa kwenye harakati za kuja ugaibuni niliombani mikataba ya Kazi . Duuuuuuh agent aliniambia kuwa mkataba utaukuta huko kwa bosi kumbe niuongo yaani maagenti ni matapelisana

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 หลายเดือนก่อน +1

    Nchini za kiarabu hakika ni nchi za kipagani hazina utu wala dini hakika najivunia kuwa ndani ya kristo YESU ,hakika waarabu siyo watu kabisaaa ,mbona nchi za wazungu pamoja na mabaya yao lakini hawana manyanyazo na watu ila waarabu mbona hawana dini ni wapagani

    • @naimajuma647
      @naimajuma647 หลายเดือนก่อน +2

      Huna ulijualo wewe unaongea utoporo tu manyanyaso hayaangalii taifa wala kabila ni huruka ya mtu tu ata ndani ya tz wafanyazi wananyanyaswa sana tu na hao wazungu ndio kabisaa useme wao sheria inawabana

    • @user-ui4oh8gf8n
      @user-ui4oh8gf8n หลายเดือนก่อน

      Kwa taarifa yako.hao wanzungu unaojinasibu nao wengi wao wameshasilim.

    • @africa7479
      @africa7479 หลายเดือนก่อน

      papa aliyeruhusu ushoga naye ni muisilamu pia

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 หลายเดือนก่อน

    Namimi namalizia huku nitoke nipo mpakani na uturki

  • @francisboydmwakyusa230
    @francisboydmwakyusa230 หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazaji aliyesomea, hawezi haribu taarifa nzuri kama ya huyo mzee. Tubadirike, Mzee huyo anahaki ya kuilalamikia serikali kwani yote yametendeka chini ya serikali, serikali inawajibu wa kujua Watanzania wote walio nje ya Nchi na hali zao, hivyo itakiwa kuingilia kati hiyo issue siyo huo ujanja janja wa Dalali wao, Pili Mtangazaji kwa faidq yake amekatiza maongezi ya Easter ambayo ni msingi wa habari hiyo, kwann, naue kapewa hela asiibue kinachoendelea kule. Global TV mmefeli kwenye hii issue, kwani mmetioa mianya ya Rushwa. Nanyi ni wala Rushwa sasa.

  • @abedsaidy7263
    @abedsaidy7263 หลายเดือนก่อน +2

    Iraq hakuna uhaloz wa tazania nikweli mm nipo huku mwakawa6 hakuna uhaloz huku ukipata tatzo wajisimamia mwenyewe

    • @NuruBomba
      @NuruBomba หลายเดือนก่อน +1

      Upo mji gani mie nipo sulemaniya Iraq mwaka wa 6

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 หลายเดือนก่อน

      Mm nipo dream city karibu na empire

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 หลายเดือนก่อน

      ​@@NuruBombamm mwaka3 iraq

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 หลายเดือนก่อน

    Sasa we mtangazaji kwann umemkatisha esta

  • @evvyyurek1862
    @evvyyurek1862 หลายเดือนก่อน

    0FFECEN hapo mimi nimekaa miaka miwili na miezin3

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h หลายเดือนก่อน

    Mashariki ya mbali sithubutu kuna mwarabu alitaka niende Kuwait niligoma kabisa

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 หลายเดือนก่อน

    Mbona hata omn wanawekwa ndani ukikosea

  • @mawazoaliselemani8909
    @mawazoaliselemani8909 19 วันที่ผ่านมา

    hivi unapouliza maswali unafanyaga hata research?tangu lini iraq kukawa na balozi wa tanzania?

  • @Didah655-x9e
    @Didah655-x9e หลายเดือนก่อน +3

    Number yake ya cm nimsaidie alud

  • @milimsabaha9370
    @milimsabaha9370 หลายเดือนก่อน

    kweli hakuna ubalozi 😢😢

  • @mauwaadidaa9994
    @mauwaadidaa9994 หลายเดือนก่อน

    Uyo ajent fahad km namjua miyayusho mno

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l หลายเดือนก่อน +1

    Mzee yupo serikalini ahaaaahaa

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 หลายเดือนก่อน

    Maajenti

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g หลายเดือนก่อน +1

    Maajent wa Tz wakiwasafirixha wadada wakifika huwa wana wa block. Wengi wao wanalalamika. Japo mimi nipo Oman nilienda Bila Ajent Alhamdulillah namshukuru Allah

    • @user-eb4nq5du2q
      @user-eb4nq5du2q หลายเดือนก่อน +1

      Oooh hongera ila job is iko pow

  • @mwanamwana8149
    @mwanamwana8149 หลายเดือนก่อน

    Fahadi ndi zake uyo😢😢ata mm nipo iraq 🇮🇶

    • @annajumaa9274
      @annajumaa9274 หลายเดือนก่อน

      Duuu pole huyo Fahad Ni mtihan

  • @hyy4114
    @hyy4114 หลายเดือนก่อน

    Hao maagent wa Tz mungu anawaona wanatusaidia kutusafirisha lkn kwenye usimamiz hawapo kabsa ukimpa pesa tu kama sasa hivyo Laki 5 kinachofatia Hawakusaidii Kbs mtu unateseka mpk basi

  • @user-vy2bc6xg3i
    @user-vy2bc6xg3i หลายเดือนก่อน

    Utafutaji una mambo mengi cha msingi meendeeni taratibu ajenta maana Iraq .Lebanon. Qatar. Dubai muhimu kuweni na subira hao wsko kwa ajenta huenda yy hakapata boss

  • @user-fd8ce8ct2m
    @user-fd8ce8ct2m หลายเดือนก่อน

    Naona katengeneza paspoti ya omani kumbe wamemteka

  • @AsiaSaid-tq4yw
    @AsiaSaid-tq4yw หลายเดือนก่อน

    Yani ni mtihani km sisi huku omani hatuna msaada wowote ubalozi wetu hauna msaad wwt hata ukikimbilia jamani twaomba mtusaidie kuongea ba ubalozi wetu watupende kama wakenya wanavyo penda watu wao jaman

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 หลายเดือนก่อน

    Mi naona wa tz haijambo, jamani Kenya wana kipindi kabisa cha Gulf Saga, ni Hatare na nusu, kwa kifupi Arabuni ni mtihani bora kwenda ulaya

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 หลายเดือนก่อน

    Hata huku kwetu Kenya ukifika arabuni ajeti akikukubidhi kwa muarabu ni bc hata ukipata shida hawakusaidi

  • @jonaspatrick2871
    @jonaspatrick2871 หลายเดือนก่อน +1

    Isije ikawa ni human trafficking for human organs harvesting.

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 หลายเดือนก่อน

    Hata ubaloz ungekuwepo wasingemsaidia,balozi za tanzania nyingi hazina msaada kwa watz pindi wakipata matatizo nje ya nchi

  • @AnnoyedBooks-kn5pm
    @AnnoyedBooks-kn5pm หลายเดือนก่อน

    Kuna watu wanamauzi sana ,hajakuomba wewe msaada kamautaguswa unamsaaidia

  • @Ayuminchasi
    @Ayuminchasi หลายเดือนก่อน

    Cha msingi mkamaten huyu mama mshenzi alomsafirisha

  • @evvyyurek1862
    @evvyyurek1862 หลายเดือนก่อน

    Nnchi zote sasa hivi tunaingia na 0ffecen tunapangiwa nyumba

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw หลายเดือนก่อน

    Hakuna kuilaumu serikali wala agenty upuuuzi wa wenye watoto unawezaje kumtoa mtoto wako kwenda sehemu ambayo hata wewe huijui na unampa mtu ambae humjui hata kwenye gari gari inayo fanya safari za kwenda kijijini kwenu wanakujua lakin ukipanda unaambiwa abiria chunga mzigo wako