Harmonize umekuwa very humble, hiki unachofanya sasa hivi ndo ulitakiwa uwe nacho toka umetoka wasafi, ungepunguza maadui ulionao sasa, concetrate on making good music, recognize mchango wa waliokusaidia na waliotangulia na ww concetrate kwenye good music basi, kama ulivyoona Single again imekupeleka mbali basi achana na mambo ya "Hawaniwezi" n.k coz zinazidi kukujengea maadui na si kukupeleka mbali, umeongea kikubwa sana, mi mwenyewe nilikuwa nakuona huna shukrani, huna fadhila lakini umeongea as a matured person, forget abt the past na focus kwenye malengo yako, kama unavyosema there is only one you, so keep on beeing you and nof compare with any one na the only you will make you reach where you want to be, Single again
Kat ya msanii ambay ni bor huy achan na washamb wengnewengne hao mara yul mshenz diamond cjui nan Huy ambae ana pgo za kishoshti kondegang for everybody
Telling my own truth I came to like konde jeshi to me it seems its a very humble and honest guy my first name is Rajab wish u all the best never abuse the gift God has given to u otherwise?
Ila harmonize mnafki sana, c angetokea kwenye wasafi festival kama anajua ilkua muhimu kutengeneza amani, mbona alienda mitandaoni kuchafua mwenzake kuhusu wasafi festival? Aache unafki bana
By Joshua baraka "Kuna watu katika dunia hii , hawahitaji pesa ili wawe na furaha . Wala hawahitaji mali na vitu vya thamani . Bali mtu mmoja tu wa kuwasikiliza na kujali hisia zao " Unakubaliana na mimi?
Ndugu Yanga usimdharau mtu plz, kesho aweza kua mtoto wako au ndugu yako, ndio maan watu tuna sema kichaa wa mwezako anachekesha wakwako ni uzuni jifuze kuheshimu watu kila mtu ana mapugufu 🙏
Hi ndugu zetu au niseme majirani zetu wa bongo mimi ni kijana wa uku Msumbiji ni nacho jiuliza ni ivii, kwanani munakuwa na biff sana wenyewe kwa wenyewe inafikia hatua zote social media munatangaza Vita zenu kwani mukoje?
Harmonize ni mnafiki umehulizwa swali nzuri #mashabiki wa diamond kuuzuriy kweny show yako au yeye mond kuwap attention ili mushambuliy kwa pa1 Kam Niagara Unapo jibu generation au 10yrs ago sio la msingi uyo davido ana miak ngap kweny game
Uyo dogo mweusi mwenye kofia ya blue anauliza masuala ya Ugomvi tuu na Shari …. Ndo hayo anayoyasema konde tumewekeza sana kwenye uadui…. Dogo white hapo kati anauliza facts sana
Malipo ni hapa hapa uliposhuka airport na kuita waandishi wa habar ukimsema diamond vibya tena ya uwnongo leo yako yasemwa ya ukweli sote twavuta bangi lkn sifaa punguza zitakuponza
Sasa Kama mkubwafela mwenyew anamsapoti diamond, wakati yeye ndiye alitakiwa anahakikisha Hawa wasanii wote wanakua kitu kimoja , unafikili Hawa wasanii wataungana ?? Ndio maana unakuta kila mmoja na maisha yake
Unaongea fact brother ,mungu akubarik sana kwa kazi zako
Harmonize umekuwa very humble, hiki unachofanya sasa hivi ndo ulitakiwa uwe nacho toka umetoka wasafi, ungepunguza maadui ulionao sasa, concetrate on making good music, recognize mchango wa waliokusaidia na waliotangulia na ww concetrate kwenye good music basi, kama ulivyoona Single again imekupeleka mbali basi achana na mambo ya "Hawaniwezi" n.k coz zinazidi kukujengea maadui na si kukupeleka mbali, umeongea kikubwa sana, mi mwenyewe nilikuwa nakuona huna shukrani, huna fadhila lakini umeongea as a matured person, forget abt the past na focus kwenye malengo yako, kama unavyosema there is only one you, so keep on beeing you and nof compare with any one na the only you will make you reach where you want to be, Single again
Unamwambia konde ama unaiambia east Africa tv?
Asingetoboa apo alipo mabifu na kushindanishwa kumemkuza saana
An essay
Ili litembo nikama limekua bwana saizi naona limejipata safi sana jeshi majibu yako yanaonesha kweli umekua baba👏👏
Harmonize has grown up, he is matured now. He is so calm and his responses are on point. ❤
Kihukwel Konde Najuw Ushakuw Mtu Mzim Unahelew Nan Aduh Nan Rafiki Kikubw Allah Akujaliye Akupunguziy Mahaduhi🎉🎉🎉🎉🎉
Konde boy jeshiii tembo harmonize he is very smart person
Interview moja saafi saana konde unatema knowledge🎉❤
Hii siku konde Ulinena mwanetu big up🎉
Umejib kikubw sana hp.kuhus fela bg up sana ila Allah akuongez kila ki2 👏
Team konde tujuane hapa kwa kudondosha like zenu
Team harmonize %100
Praaah konde gang forever bless
Harmonizee❤❤🎉🎉
Nakubali
Nakubali kond ..sana iyo niukweki
Napendaga Sana ma swali ya uyo mshikaji wa kofeya ya blue
Leo umeongea vzr sana konde nikuombee tulia na diamond mtafika mbali sana kka
Kat ya msanii ambay ni bor huy achan na washamb wengnewengne hao mara yul mshenz diamond cjui nan Huy ambae ana pgo za kishoshti kondegang for everybody
Fact tupu yani
Jamaa mwenye kofia ya blue kauliza bonge moja la swali kuhusu Kumblock Ney 😂😂, Nice Qn. Dogo akili mingi sana. Bonge la presenter.
ukuma huo, swali linakusaidiaje kwenye maisha ya kawaida hilo zaidi ya kueneza na kuchochea chuki??
Dogo amekuwa Sasa, mimi ni wcb damu Ila huyu Dogo siku izi ananifurahisha sn siku hizi
Harmonize carry on nice guy respect elders and believe in God as in Allah we Trust
Nakubal mzee wanguuu Kwa kuongea point napenda hiz chuki tuzimalize wote ni wtz
Xema umesema Kwamb wahuni hatuishi Kwa mifano ❤
Telling my own truth I came to like konde jeshi to me it seems its a very humble and honest guy my first name is Rajab wish u all the best never abuse the gift God has given to u otherwise?
Mungekuwa munanyamaza kimya mashabiki wasinge gawanyika sema vijembe vingi mnapigiyana
The way harmonize killed that boy with the hat his flows is awesome and matured !!... Boy was feeling shy
Ila harmonize mnafki sana, c angetokea kwenye wasafi festival kama anajua ilkua muhimu kutengeneza amani, mbona alienda mitandaoni kuchafua mwenzake kuhusu wasafi festival? Aache unafki bana
Konde safi sana nakukubali sana
Uyo janja mweupe anauliza maswali ya akiutuuzima sana sio uyo mweusi yeye anawaza maugonvi tu
😂
Good bro!
So beut !
Dogo umekuwa cool inteview
Mtangazaji,Alie va cap yupo makin sana!!hapendi uongo uongo.
Makini ❤❤❤
❤❤❤
Fact zinajieleza.wakubwa watakuelewa
Safi sana una ushauri mzuri kwa vijana sana na rika zote pia..napenda pia umavotufafanulia wenzetu wanavyoishi
Konde saiv kaujua mchezo apo safi aya ndo maisha✊
Team konde.forever💯💯
27:42 "Bodyguard anachat kidogo." Sema janjaro mwenye kapelo alipiga msuli mwingi. Amemchimba sana KondeBoy 😂😂😂😂😂😂
❤
Mdogo mdogo tu atuna noma nao
A boy is now grown up
Konde anajibu vzr
🎉
Nampenda sana huyu mdada nani anisaidie niwasiliane nae
Harmonize on toppp ❤❤
Never give Up my bro
Nakuona mwanangu Melody
❤❤❤
Jamaa mwenye kofia ya blue anauliza maswali yanayomuumiza kidogo akili harmonize, Dogo akili mingi sana. Bonge moja la presenter.😂😂,
ukuma huo, swali linakusaidiaje kwenye maisha ya kawaida hilo zaidi ya kueneza na kuchochea chuki??
Harmonize umeanza kuongea poent siku hizi hapo lazima uvune mashabiki wengiii🎉
Daimond ft chike collaboration ya kimataifa
HE IS ALWAYS POSTIVE VIBED BOY ALWAYS THINK EAST AFRICA MUSIC INDUSTRY
Wedada nakukubali kinoma
Akili kubwa
Are you number 1
Rich umerudia kofia leo kama wiki mbili zizopita ulivaa
😂
Harmo kaspeak sense sanaaa
Nakuelewa sana rajab kuna kitu naget
Sauti sol are selling out arenas out there
By Joshua baraka
"Kuna watu katika dunia hii , hawahitaji pesa ili wawe na furaha .
Wala hawahitaji mali na vitu vya thamani . Bali mtu mmoja tu wa kuwasikiliza na kujali hisia zao "
Unakubaliana na mimi?
Sure ,100%
👑👑👑👑🔥🔥🔥🔥
Yani hamuwezi kufanya interview bila kumtaja Diamond platnumz
Uyu dogo ata ajui kuhoj wasaani
Interview kali sana
Jeshiii upo makini sana
Dah! huyu mwamb anajua kujielezea
Matuarity
Team konde your likes hear
Konde gang
Homeboy
Oya huyo jamaa anajua kwel
#harmonize 🪖🐘
Konde apewe uongozi basata
napenda sn konde by 🇨🇩🇨🇩💪💪💪🫶🫶🫶👍👍👍🗽🗽🗽🗽
Achaneni na huyo mi bange
Ndugu Yanga usimdharau mtu plz, kesho aweza kua mtoto wako au ndugu yako, ndio maan watu tuna sema kichaa wa mwezako anachekesha wakwako ni uzuni jifuze kuheshimu watu kila mtu ana mapugufu 🙏
Bangi kavuta babako nae chiz
Wewe kapime akili
Babako muuza mkundu anauzanga wapi bangii
Alafu mwanangu konde unapiga xna mjani..unalepua xna mimoshi juu.......kma usemavyo mwenzenu jicho nyanya nmekula kijiti 😅😅😅
Huyuu dada yupo vizur Sanaa
uyo security alokunja mikono yuko vzr San, mud anahangaika tu kutafuta ukuta ajiegeshe UTI ishamaliza kiuno 😂😂😂😂
Umemzima vizuri sana mkuda huyó mtangazaji!
😂😂😂😂
Maswali msumari mmakonde anahahaha😂😂 mwishwke kapaniki
Hi ndugu zetu au niseme majirani zetu wa bongo mimi ni kijana wa uku Msumbiji ni nacho jiuliza ni ivii, kwanani munakuwa na biff sana wenyewe kwa wenyewe inafikia hatua zote social media munatangaza Vita zenu kwani mukoje?
Harmonize ni mnafiki umehulizwa swali nzuri
#mashabiki wa diamond kuuzuriy kweny show yako au yeye mond kuwap attention ili mushambuliy kwa pa1 Kam Niagara
Unapo jibu generation au 10yrs ago sio la msingi uyo davido ana miak ngap kweny game
Uyo dogo mweusi mwenye kofia ya blue anauliza masuala ya Ugomvi tuu na Shari …. Ndo hayo anayoyasema konde tumewekeza sana kwenye uadui…. Dogo white hapo kati anauliza facts sana
Vizur unaongea ukwer
Konde JESHI Uko Sawa Salimia Munyama
Mmakonde kapaniki 😂😂 dogo kapero anapiga maswali msumari😂😂
Malipo ni hapa hapa uliposhuka airport na kuita waandishi wa habar ukimsema diamond vibya tena ya uwnongo leo yako yasemwa ya ukweli sote twavuta bangi lkn sifaa punguza zitakuponza
Achen ukuda mashabiki😉😉😉
Mkubwa amep
Unyama mwingi
Sawa
Kuna bruce melody na shaggy
Mwamba sio mtu mzuri anajua
Sasa Kama mkubwafela mwenyew anamsapoti diamond, wakati yeye ndiye alitakiwa anahakikisha Hawa wasanii wote wanakua kitu kimoja , unafikili Hawa wasanii wataungana ?? Ndio maana unakuta kila mmoja na maisha yake
Nipo nai team konde gang
Unyama sana king 👑 konde
Ka rich msafi kameona aibu kanainama 🤣🤣🤣🤣🤣 kofia ya blue and yellow inachanganya Mada 🤣🤣
Kanataka kaongelee mihadarati kwenye Media 😅😅😅😅😅😅
Hao mamichongo wanafanya nini ndini ya studio hamo una ushamba sana
Dishi hili kaz tu kusifia watu wasio na mchango kweny mafanikio yako