🙌🙌🙌 ZAMU YANGU ITAFIKA NAMI SINTOCHOKA KUSUBILI KWA HUYU MUNGU HUYU MUNGU WA NEEMA NA VIWANGO AKUINUE NA KUKUPELEKA VIWANGO VINGINE VYENYE UTUKUFU WA KIMBINGUU NAKUPENDA❤
NAOMBA YESU UJIBUYE KWA WAKATI SAHIHI UMTENDEE KILA ANGOJAE MAJIBU YAKE,NI MTUMISHI WAKO NAWALETA MIKONONI MWAKO WOTE WALIO NA MAHITAJI KWAKO WALE WANGOJAO KWAKO UKAWAPE KWA JINA LA YESU AMEN.
Wooow wimbo mzuriii mnooo nimeupenda saan hakika nasubiri wakati wake Mungu uongee katika maisha yangu 🥰🥰❤️ Mungu azidi kukuinua katika huduma hii 🧎🧎
Yesu akubariki milele akupe haja za moyo wako nakupenda sana nakuombea Mungu akupe ushuhuda
Mungu akubariki,, ❤ nasubir zamu yangu itafikaaa🎉🎉
🙏🙏Amen
Barikiwa
🙌🙌🙌 ZAMU YANGU ITAFIKA NAMI SINTOCHOKA KUSUBILI KWA HUYU MUNGU
HUYU MUNGU WA NEEMA NA VIWANGO AKUINUE NA KUKUPELEKA VIWANGO VINGINE VYENYE UTUKUFU WA KIMBINGUU NAKUPENDA❤
Amen wimbo Mzurii 🎉🎉
Asante
Wimbo mzr dad ubalikiw San unatufndish vyema MUNGU azid kuktunza❤
Wimbo mzuri mno ,,, nasubili wakati wa Mungu,,, Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🥰🙏
Mungu akubariki
Wimbo mzuri Mungu aendelee kukuinua
Amen asante
Nakosa hata Neno nzr lakusema Ila MUNGU akubariki Zaid na zaidi ♥️🤍♥️
Amen napokea kwa jina la Yesu
Hakika Mungu atatenda atatenda, tusichoke tusubiri tu, Asante dada mzuri kwa wimbo mzuri.
Ubarikiwe sana wimbo mzuri nami nasubiri ahadi ya Mungu kwangu
Barikiwa na Yesu sana
Ubarikiweee shujaaa
Nimebarikiwa sana na huu wimbo Mungu akupeleke viwango vya Juu Zaid... Nasubir wakati wa Mungu, nasubir 🙏🙏
Amen shujaa asante sana
Barikiwa sana Kwa wimbo mzuri
Amen asante mno
Wimbo mzur sana Mungu azidi kukubariki❤
Asante kipenz
Mungu akubariki nabarikiwa na wimbo huu
Waooo ubarikiwe mno Mungu asinyamaze kimya maishani mwako
Hakika nasubiri wakati wa MUNGU najua ataniinua na mimi
Barikiwa sana
Amen shujaa
Ameeeen mama T, kazi nzuri Barikiwa mno💞💕
Asante mno
Wimbo mzuri Sana 👏👏👏👏
Asante mno
Kazi ni njema sana.... Congratulations my friend, mtumishi wa Mungu.
Asante
@@MtumishiMoureen Amen
Ubarikiwe mno mtumishi wa MUNGU ALIYEHAI dada MOURINE hakika zamu yangu itafika❤❤
Amen na iwe kama ulivyosema mwana wa Mungu
@@MtumishiMoureenamen amen ubarikiwe mno
Amina na barikiwa sana na huduma yako mungu akubarik 💯
Amen shujaa asante
Amen asante mno
Hakika.mungu.hufanya.kama.anavyotaka.
Huyu.mungu.niorijino.👍🌺♥️my.deary
Zidi kubarikiwa mnoo Dada wa Yesu
Amen nikupendae
🙏🙏🙏
NAOMBA YESU UJIBUYE KWA WAKATI SAHIHI UMTENDEE KILA ANGOJAE MAJIBU YAKE,NI MTUMISHI WAKO NAWALETA MIKONONI MWAKO WOTE WALIO NA MAHITAJI KWAKO WALE WANGOJAO KWAKO UKAWAPE KWA JINA LA YESU AMEN.
Amen amen
Woooooo! Dada angu kipenzi hongera sana!🎉❤
Asante mno
@@MtumishiMoureen Amen
𝘩𝘢𝘬𝘪𝘬𝘢 𝘻𝘢𝘮𝘶 𝘺𝘢𝘯𝘨𝘶 𝘪𝘵𝘢𝘧𝘪𝘬𝘢 𝘯𝘢 𝘴𝘶𝘣𝘪𝘳𝘪 𝘸𝘢𝘬𝘢𝘵𝘪 𝘸𝘢 𝘔𝘶𝘯𝘨𝘶 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘬𝘪𝘭𝘢 𝘦𝘯𝘰 𝘭𝘢 𝘮𝘢𝘪𝘴𝘩𝘢 𝘺𝘢𝘯𝘨𝘶