Kabisa yaani Dunia imeharibika sana,tunapaswa tuzidi kujitakasa ili na siku ile ya mwisho tukafike kule NG'AMBO,YES MBINGUNI NI KUZURI SANA,Dada akubariki sana Dada,Muwe na maisha marefu yenye Amani, Upendo pamoja na Furaha.Ameeen.
NIMEMUOMBA MUNGU WIMBO HUU WA INJILI UFANYIKE WOKOVU KWA KILA AMBAYE HAJAOKOKA, KWA ANAYETAMANI NDUGUYE,MUMEWE,MKEWE,WANAE,MWANAE,RAFIKI AOKOKE,KWA WALIOMWACHA YESU WAMRUDIE NAMWAMINI MUNGU MWAMINIFU ATAFANYA WEWE UNAYEAMINI PAMOJA NAMI USIPITE TUU POKEA KWA JINA LA YESU.
Huu wimbo ni mzuri sanaa🔥🔥🔥ni wa kipekee sana ubarikiwe mno mtumishi huduma yako ni njema sana Mungu aendelee kukupandisha viwango vya Juu Hakika Mungu atusaidie tusikose mbinguni kule kuzuri💞💞
Daaaah japo nimechelewa kutoa commend ila kwa huuu wimbo sijachelewaaa badoo,,yaaan kila nikisikilizaaa huuu wimbo najikutaa natoa machozi ya furah 😂😂😂 dada ang kipenz hakika umetufumbuaa macho yetu ,,daimaa mungu akubariki sanaa kupitia huu wimbo ni mzuli sana na unaushudaa wa kipekee ❤❤
Wimbo wa majira na nyakati sahihi ,hakika tunapaswa kuniweka tayari maana kwa saa au siku tusiyoizan BWANA YESU atarudi. Video nzuri mno ❤❤ Ubarikiwe mno mtumishi wa MUNGU aliyehai dada MOURINE, BWANA akuinue zaidi kwa utumishi wake
Ubarikiwe dada yetu Mungu aendelee kukuinua
Bwana Yesu azidi kukutumia kwa viwango zaidi nmebarikiwa nakaza mwendo nifike ng'ambo
Barikiwa kipenzi
Aaaah barikiwa sana mtumish wa Bwana
Ameen,hongera kwa kazi nzuri
Kabisa yaani Dunia imeharibika sana,tunapaswa tuzidi kujitakasa ili na siku ile ya mwisho tukafike kule NG'AMBO,YES MBINGUNI NI KUZURI SANA,Dada akubariki sana Dada,Muwe na maisha marefu yenye Amani, Upendo pamoja na Furaha.Ameeen.
Amen mwana wa Mungu
Ubarikiwe wimbo mzur, Amin
NIMEMUOMBA MUNGU WIMBO HUU WA INJILI UFANYIKE WOKOVU KWA KILA AMBAYE HAJAOKOKA, KWA ANAYETAMANI NDUGUYE,MUMEWE,MKEWE,WANAE,MWANAE,RAFIKI AOKOKE,KWA WALIOMWACHA YESU WAMRUDIE NAMWAMINI MUNGU MWAMINIFU ATAFANYA WEWE UNAYEAMINI PAMOJA NAMI USIPITE TUU POKEA KWA JINA LA YESU.
Ohooo utukufu kwa Bwana.Hongera sana mom double T
Waoooo hongera mtumishi MUNGU AKUBARIKI ZAIDI ANAIJUA KAZI YAKO ❤❤
Amen shujaa asante
Wimbo unabariki!! Huu wimbo ukayatimize mapenzi ya Mungu yaliyokusudiwa kwa watu wake, Amina
Amen mwana wa Mungu
Juhudi zako Mungu ansziona dada yangu songa mbele usiludi nyuma wimbo mzuri sana hakika Mungu atusaidie
Amen
Ubarikiwe Mama Tee kwa wimbo mzuri🥰
Hakika tujiweke tayari tusijisahau na mambo ya dunia hii🙌
Wow mumy huu wimbo umeniliza kwel nimeona natakiwa nijitahidi nisiache kufika ngambo hakika tunasubiriwa na Baba
Barikiwa sana
Utunzwe na BWANA....huduma Yako...ni nzuri❤️❤️....tukutan ng'ambo marafk zangu wotee❤️❤️❤️
Amen kwa jina la Yesu
Barikiwa 🎉
Ubarikiwe mno mtumishi hakika huu mwimbo umenibariki sana napata faraja Kila muda nikiulikiliza nataman muda wote nikae nausikia tu huu mwimbo
Ubarikiwe mno
Nakupenda huu wimbo jmn daah, ooh jmn kule ng'ambo adi raha
@@donaldlaurent9091 barikiwa sana
Nimebarikiwa na huu wimbo,, Mungu AKUBARIKI sana
Amen shujaa
tusijisahau🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki sana kwa wimbo mzuri wenye kututafakarisha 🙏🙏🙏♥️
Amen shujaa
Amen ujumbe mzuri umekuja wakati sahihi balikiwa mtumishi
Amen shujaa
Ubarikiwe moureen
Waoooo barikiwa mno kwa kazi ihii wimbo na video ni very nice
Thanks
Ubarikiwe kwa kazi nzur wimbo huu umenifanya niinuke tena na kujiona ni mpya
Barikiwa mno utukufu kwa Yesu
Balikiwa
Kaz nzur mtumish wa mungu hakika tunangojewa na baba
Amen shujaa
Ubarikiwe mno Mtumishi hakika huu wimbo umenibariki sana napata faraja ninapousikiliza
Barikiwa mno
Amina
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Wimbo unagusa huu kwakweli Mungu akubariki Dada❤
Barikiwa sana
Amen 🙏
Hongera sana mdogo ang nyimbo nzuri sana
Asante mno
Tujiweke tayari hakika
Hakika my sister
Amen
Hongera Sana Dadaangu mouren YESU aendelee kukutumia
Amen asante
Huu wimbo ni mzuri sanaa🔥🔥🔥ni wa kipekee sana ubarikiwe mno mtumishi huduma yako ni njema sana Mungu aendelee kukupandisha viwango vya Juu
Hakika Mungu atusaidie tusikose mbinguni kule kuzuri💞💞
Amen shujaa asante
Ubarikiwe sana wimbo mzuri sana
Amen asante
Yesu akuinue zaidi katika huduma yako....wimbo mzuri sana Ubarikiwe Mtumishi
Asante Yesu akubariki
Ubarikiwe sana Mtumishi sema kweli nimesikiliza huu wimbo tu mwili wangu umesisimka sana ubarikiwe Mungu akuinue viwango VYA juu zaidi
Utukufu kwa Mungu pekee asante mno
Umetisha sana Mtumishi 👏👏👏👏 chukua maua Yako💐💐💐💐🌹🌹🌹🌹Mungu azidi kukuinua Kwa viwango vya juu kule nga'mbo na mm nifike Kwa jina La Yesu🙏
Amen napokea kwa jina la Yesu
Dah huu wimbo mzuri sana 🙏
Asante mno
Daaaah japo nimechelewa kutoa commend ila kwa huuu wimbo sijachelewaaa badoo,,yaaan kila nikisikilizaaa huuu wimbo najikutaa natoa machozi ya furah 😂😂😂 dada ang kipenz hakika umetufumbuaa macho yetu ,,daimaa mungu akubariki sanaa kupitia huu wimbo ni mzuli sana na unaushudaa wa kipekee ❤❤
Amen shujaa
Hongera sana mama yangu mzuri wimbo mzuri sana ubarikiwe sanaaaa❤❤
@@christinafrank5899 Amen shujaa
Ubarikiwe sana mpendwa kwa huduma yako nzuri Mungu aendelee kukupa nguvu na maono ili uendelee kumtukuza Zaid na zaid mpendwa wangu 🙏
Amen asante mno
Mdogo wangu... Mbingu ziendelee kukuinua sanaa... Asante kwa baraka hii
Amen pastor
Barikiwa Mtumishi kwa kazi nzuri sana
Mungu akuinue zaidi kwa utumishi wake
Amen asante mno
Wimbo ni mzuri sana una kitu 🥰
@@user-xz1wc1wj8x waoooo nimependa una kitu wewe si wakwanza kusema
Barikiwa sana servant of God
Amen
Hongera sana moureen nakuona mbali sana miaka ijayo
Amen kwa jina la Yesu
Bariki sana kipenzi
Amen
💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃Wimbo Huu Asanteee sana MUNGU wangu
Barikiwa sana
Onger sana kaz nzri
Asante
Ubarikiwe sana Kazi ni nzuri sana❤
Amen asante mno
Hongera sana 💕😢😢😢
@@FollowGloryMathayo Asante ubarikiwe
Glory to God🙌🙌 kazi yako ni njema Sana MUNGU akubariki mama T2
Amen shujaa
Barikiwa sana
Amen
🎶💕🔥 Amainzi Song My
Thanks my
❤❤❤❤❤❤❤❤
Glory to glory. More blessed
Amen shujaa
Barikiwa mama Travis and Trinity
@@LydiaLucas-ud1ky Amen shujaa
Hongera mtumishi
Asante mno
Barikiwa na BWANA
Amen
Good work
Thanks
Kazi ni njema sana
Asante
@@MtumishiMoureen Amen
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 Rafiki angu Mungu azidi kukuinua zaidi ufike kule alikokukusudia.
Amen
@@MtumishiMoureen Amen
Good message dear
@@user-vj7mg5vq6l Thanks
Barikiwa
Amen
Barikiwa dadaangu 🙏🙌
@@mariamzabron2938 Amen mdogo wangu mzuri nikupendae
🙌🙌
Barikiwa sana
Hongera Sanaa Kipenzi 🥰
Asante kipenz
Amen mtumishi, hongera sana dada angu Moureem
Asante
@@MtumishiMoureen Amen
God bless you 🙏🏻
Amen shujaa
Ameen
Wimbo wa majira na nyakati sahihi ,hakika tunapaswa kuniweka tayari maana kwa saa au siku tusiyoizan BWANA YESU atarudi.
Video nzuri mno ❤❤
Ubarikiwe mno mtumishi wa MUNGU aliyehai dada MOURINE, BWANA akuinue zaidi kwa utumishi wake
Mfike mbali kwa wokovu wa wengi❤❤.
@@tarsisiamwalongo6819 Amen mdogo wangu wathamani
Ubalikiwe kwa wimbo mzur na wenye utukufu Mungu awaokoe wengi kupitia huu wimbo
Amen asante
Beautiful nipitie pia ubarikiwe npate Hi you subscription
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU wimbo mzuri mnoo umenibariki sana
@@WilliamAndrew-he3lc Amen asante
Wimbo mzuri sana nimependa nitafute nikusaidie kufikisha mbali namba zangu pale kwa yutube yangu
Barikiwa sana
Amen
Amina