NI AJABU🤔🤔 ....KUZA NYWELE MPAKA MGONGONI KWA KUTUMIA MAJI YA MCHELE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024
- Kwa kutumia vitu ulivyonavyo jikoni kwako waweza kukuza NYWELE zikawa NDEFU na zenye afya ....Ni rahisi sana na hauhitaji kutumia GHARAMA kubwa...
Fatilia MAFUNZO YETU hapa hapa TH-cam bureeeee kabisa
Somo zuli dear, je hayo maji yakibaki nayafanyeje
Ahsante kpenz.....Unaweka kwenye friji
Au tengeneza kdg yakutumia mfano siku mbili
Nikituma video nyingine za kukuza kwa njia nyingine ambazo haziharibiki ndo utatengeneza nyingi
@@urembonaprinceszey ooh sawa nashukuru sana mpenzi