Asalam aleykum nakuomba ustadh haya mawaidha uyaongee kwa lunga ya Kiarabu tupu utakua umewasaidia wanaofanya kazi uwarabuni kwani warabu hawajui dini nimekaa nao nimewachuknguza haijui dini mpaka umpe mawaidha ndio anajirekebusha naomba nirushie wsp itasaidia kuelimisha watu wa hawa
Takibiri shehe umesema ukweli sisi kazini tunapewa sima sukuma kabej kila siku wao nawapikia vinono naniwaisilam wale weupe jamani eti ijumaa ndo hupewa biriani au pilau
Kwa moyo mmja allah akupe kila la kher hapa duniani na kesh akhera na mwish mwema🙏
Your teachings made me become a Muslim....Allah Ibarik 🙏
Congratulations sister. Welcome to Islam the religion of peace. May Allah s w reward you in this dunia and hereafter, Insha-allah
Wallah mimi hata chakula nabahatisha kula lakini nashukuru Mungu Alhamdulillah
Walah nahapa sheikh hamza nakupenda kwa ajiri ya Allah
Mwenyenzi Mungu nakuomba utuongoze ktk haki
Allah akupe maisha marefu
Allah atujalie mwisho mwema
Ni kweli kabisa shekh shukurani sana natumai watabadilika
Allah atujaalie mwisho mwema
Mashallaa Allah akulipe kila lakheri
Mungu akufanyie wepes
Sheikh unatufunza sana Allah akulipe
Allah atufanyie wepesi
Shukran sheikh jazzakallahu khairan Allah ndio mjuzi
Jazaakallah khaira
Ni kweli kabisa
you realy make me cry its true we have to treat them well
You made me cry kila kitu wasema ni kweli ya Allah atusamehe
Subhanalla
Subhannah allah😢😢😢😢😢😢😢😢
YAA ALLAH tunakuomba utuongoze KATIKA njia sahihi
Dah ila sheikh Hamza,, amna wa kubeba viatu vyako
Subhannallah,usiseme ivo kwanin wew usivivae viatu vyake
Alhamdulillah
mashallah shekhe wetuh...editor toa hayo maguruguru shekhe
Sheikh Wang unatufunza san
Shekhe uyu Dah.Angefaa kua Ata mufti
Mashallah sheikh, you made me cry 😢 😢😢
😪
Masha Allah sheikh you made me 😢
M.A😥😥😥
Assalaamu alaykum
M.a😢😢😢😢😢
MashaAllah
👌👌🤲🤲🤲
Shekhe ungeirudia kwa lugha ya kiarabu tupu maana uku kwa wenzetu ni mtihani kwakweli
Kwel kbs 😪😪😪😪😪😭
Al hamdulila. 🫀
Ya allah 😭😭😭
ماشاءالله
My God this is how Rich people doing but not all Rich people are bad
Allybaba
Shekhe kama unataka mfanyakaz wa ndani Nije mm Yan unachoongea ni kweli kabisa tunateseka😭😭
Fanya bidii uwondoke kwani dunia ni pana usikae kwa kuteseka rizki anatowa Allaah
Mkojan bwana eti chandi😂😂😂😂😂
Wengi tupo omani tunafanya kazi lakin tunayopitia ni mitihani
Ni Kweli kabisa maneno yako ni ya kweli unayoyasema