Maisha Yana Maumivu Mengi Sana Usikate Tamaa Katika Maisha Yako/Never Ever Give Up

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ค. 2021
  • Maisha Yana Maumivu Mengi Sana/Never Ever give up.Jua haling’ali kila siku dhoruba utokea.Kuna muda usiku nyingi zitakuwa ndefu kwako nyeusi na utakuwa mpweke.Kuna nyakati pindi kiza litaonekana kutumia kila kitu, lakini usilohusu likutumie.Kuna muda itakuwa vigumu kupiga hatua kabisa. Na hiyo hali ngumu inakufanya uache.Na mwishowe nini unajifunza ni hauwezi kuacha.Unapopitia vipindi vigumu unatakiwa kuchukua hatua inayofuata, unatakiwa kusonga mbele, na najua unapitia kipindi kigumu sana sasa katika aina njia tofauti.Uchukua hatua unayofuata songa mbele. Njia pekee ya kuzishinda changamoto unayopitia ni kwa kuanza kuchukua hatua, anza kufanya kazi. Kila siku, amka, kuchukua hatua inayofuata na kuanza kutembea. Hata kama kwenye nyakati za giza, hata kama kwenye dhoruba kubwa.Giza aliwezi kuzuia mwanga wako.We, nia yako, uamuzi wako, haijalishi nini kinatokea, haijalishi ni jinsi gani hali ilivyokuwa gumu as long as ukiendelea utapambana utashinda.Kujisalimisha ni kushindwa,kukata tamaa kama kukiwa ni mwisho , kwasababu magumu yako yatashinda tu pale utakapoyaruhusu.Usiache magumu yako yakushinde, pambana, pambana, pambana kinyume na magumu yako ni kushinda, kwahiyo pambana. Maisha yanamaumivu mengi sana, yapo kila sehemu, maumivu ya kushindwa, maumivu ya kukata tamaa, maumivu ya kupoteza, maumivu ya kufeli, maumivu ya kukoselewa, maumivu ya kutopendwa.Maumivu, maumivu, maumivu, hayo yanaitwa MAISHA.Lakini ote nini, “HAKUNA KUPATA BILA YA MAUMIVU” (There’s no gain without Pain). Kuna vitu vingi vitatokea ambavyo vitakuwa kinyume na matarajio yako.Lakini kitu kibaya utashindwa kufanya, vitakuwa hauwezi kuvicontrol, hivi kucontrol wewe. Jicontrol wewe mwenyewe, control hisia zako.Usiwe na hasira, usichanganyikiwe.Badala yake tulia na fikiria jinsi unavyoweza kusonga mbel. Upo karibu kuliko unavyofikiria, upo karibu, then sauti yako ndani yako inakuambia, acha acha ndio unakaribia lakini subiri. Nazungumza na mtu ambaye yupo karibu kufikia malengo, ndoto, mafanikio, lakini changamoto kubwa zinamkuta kidogo anaacha, upo karibu usikate tamaa sasa.Sihitaji wewe ufikirie sana, unajiambie mwenye kuwa sijui kama hii itaanza kufanya kazi “I DON’T THINK IF THIS WILL WORK” Nimejaribu na lakini haifanyi kazi.Nahitaji wewe kuendelea kupambana, keep pushing, keep moving.Nahitaji wewe utengeneze akili yako kuwa njia pekee unayoweza kupoteza kama ukikata tamaa, na nahitaji wewe uendelee kupambana. Usiruhusu shaka ndani yako,ikuambie kwanini you are not good enough.Ipotezee hiyo sauti yako ya ndani na sauti zote za nje za watu wengine. Usiwe na shaka juu ya yanayowezekana kwanini unaweza kufanya unachotaka kufanya. Haijalishi ni makosa mangapi umefanya, haijalishi ni pesa kiasi gani umepoteza.In fact mi naona kama umewekeza kwa yale uliyojifunza katika maisha.Hauachi pindi unapochoka , unaacha utakapomaliza.Unaacha baadaya ya kumaliza,pindi unapochukua hatua. Hapo ndo unapotofautisha ya waliofanikiwa na wasiofanikiwa.
    🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL👉 / gonlineposi. .
    Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi.
    🔴Nifuate IG- / gonline_pos. .
    BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385 ............................................................................................................................ Pakua Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia
    1.Kurank videos zako
    2.Itakuonesha Live subscribers count
    3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi,
    4.Kupata Keyword explorer, download sasa
    www.tubebuddy.com/Gonline...
    🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇 ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 • TABIA 3 ZA MAFANIKIO Z...
    ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 / 4vinlngo3q
    ⚡TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine)👉 • TABIA 10 NZURI ZA KUFA...
    ⚡SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BIASHARA (Funguo za mafanikio katika maisha.)👉 • SIRI 5 ZA MAFANIKIO KW...
    ⚡ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU👉 • ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZ...
    ⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉 • GUNDUA KUSUDIO LAKO KA...
    ⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 • HATUA 5 ZA KUUSHINDA ...
    ⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 • JINSI NINAVYOSAVE 50% ...
    #Maishayanamaumivumengi #Usikatetamaa #ZahirGomelo
  • แนวปฏิบัติและการใช้ชีวิต

ความคิดเห็น • 14

  • @GOnlinepositivity
    @GOnlinepositivity  3 ปีที่แล้ว +1

    🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL👉 th-cam.com/users/GOnlineposi...
    Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi.
    🔴Nifuate IG- instagram.com/gonline_pos...
    BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385 ............................................................................................................................ Pakua Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia
    1.Kurank videos zako
    2.Itakuonesha Live subscribers count
    3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi,
    4.Kupata Keyword explorer, download sasa
    www.tubebuddy.com/Gonline...

  • @pascalpaul8184
    @pascalpaul8184 2 ปีที่แล้ว

    Safy sana

  • @judithpatrick1054
    @judithpatrick1054 3 ปีที่แล้ว +1

    God bless u kaka angu hiki unachofanya ni zawad kutoka kwa Mungu. Mungu azid kukupa nguvu na kukuonesha kila lillilojema na baraka mbele zako 🙏🙏🙏🙏🇹🇿 nabarikiwa zaid

  • @malangotravels
    @malangotravels 3 ปีที่แล้ว

    First to comment

  • @zuhuramike1399
    @zuhuramike1399 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @zainabuzainabu4160
    @zainabuzainabu4160 5 หลายเดือนก่อน

    Thanks brother mungu akuifadhi na akubariki.

  • @SaidSaid-cl2tf
    @SaidSaid-cl2tf 3 ปีที่แล้ว

    Ni nzuri sana Mr. Zahir nimeipenda

  • @zacharyboy4459
    @zacharyboy4459 2 ปีที่แล้ว

    Thank you sor much brother

  • @EMA-vq8vc
    @EMA-vq8vc 9 หลายเดือนก่อน +1

    kaka kunasomo lako linasema upotayal kuvumilia moro mkal ila nashindwa kulipata nalipataje kaka huwa linanipa ujasil sana ktk utafutaj wangu

    • @EMA-vq8vc
      @EMA-vq8vc 9 หลายเดือนก่อน

      Moto mkal

  • @albertmaterial2951
    @albertmaterial2951 3 ปีที่แล้ว

    Chief I must do something 💡