Kwenye gari za maji humo ndani Kuna mita za maji. Kwahiyo muuzaji anapo hudumia maji, mwisho wasiku anapo wasilisha mauzo ya siku unakuta Lita za maji ni nyingi kuliko mapato. Unapo jaza dumu mpaka pomoni linajaa Lita 23. Inabidi muuzaji akatwe kwenye malipo yake. Muuzaji alishindwa TU kujieleza
Gati sio gari(masahihisho)
Watu wa watu mmependeza!
Aliyewatuma amepata adhabu gani?