huyu mama mzazi ameniliza sana aliposema nimekuzaa nusu niingie thieta ijumaa nilikuzaa nimemkumbuka mama yangu popote ulipo sitataka nikuudhi mama yangu nakupenda sana mama
ila Huyo dada anatubu alifanya kosa ...na anajieleza vzr kwakweli... Tatizo halikimbiwi linatatuliwaaa... inahitajika busara sana kwa hilo swala aiseee maana wnyw wameridhia na imeshatokea...wakitengana watoto watapata tabuuu...very comfusing decission.
Wamesha chelewa binti ameshazaa watoto tena wa2, wakimtoa hapo watawatesa hao watoto, bora wayafumbie macho wamuachie Mungu bila hivo watawatesa hao watoto wasio Na hatia 😭😭😭😭 nalilia watoto
Mariam Mbughi watoto kulelewa Na familia ni ngumu, mtu anae weza kulea watoto wake vizuri ni mzazi tu, hayo ni maji yamesha mwagika, kilicho baki ni kufikiria tu watoto ambao wameshaletwa duniani. Mama afunge roho kaka yake alee watoto
Fatma huko ni kuendelea kuilea dhambi....msamaha wa Mungu utakuwa juu yao endapo waacha huo ujinga wao....kuhusu watoto mama mzazi atawalea kama wanae..hilo sio tatizo
Daaa hata mm nakumbuka hayo yamewahi kutokea kwenye familia yetu dada etu wa pili kuzaliwa aliishi na shemeji yetu aliekamuoa dada yetu wa kwanza. Kuzaliwa na MPAKA sasa familia imeingia kwenye mgogoro mkubwa daaa mungu mwenyew ndio anajua
mnashaaangaa nn tembeni muone nendeni india mkaone watu wanaowana kmaa hivyoo na wanaowana kwwenye makanisa na temple yaan kawaidaa kabisaaa nchi za watu
kheee kuona kupo ndugu lakini si mjomba ni haramu inafaa mtoto wa baba mkubwa watoto wa dada kwa kwa dada sio mjomba wala Amy uyo mjomba mwehu na uyo mtoto mwehu ata kama alimlubuni alishindwaje kukataaa Allah ameweka mipaka iwazi Tusamehe viumbe wako
na shetani anazidi kutuandama tujitahidi kusali jamani hakika sala inakataza maovu. wazazi wangemfundisha mtoto akaijua dini yasingewakuta haya yote . maana tunakatazwa hata kuwaambia wazazi wetu neno uff je hali hiyo yakumjibu mzazi hivo inakuaje Allah atunusuru na atuongoze
uyo mama yk : bint kayataka mda wote alikua wapi asilie miaka yote iyo mpk bint anazaa watt 2 ,alipompigia simu mala y kwanza ndoanaenda saizi anakumbuka shuka kumekucha ,amuache ndoishatokea
subhanaallah!! hao wanatakiwa wavunje undugu cose wamesha zaa kuwatenganisha haifai watoto wata teseka. wavunje undugu maisha yaendelee
Subhannallah, mtihani sana dunia hii, maana cpati picha kila nikifikiria mmmmh ni sheeeeeeeeedah! Kwakweli.😨😨😨
wabongo tuna vitu unique kinoma hatari
huyu mama mzazi ameniliza sana aliposema nimekuzaa nusu niingie thieta ijumaa nilikuzaa nimemkumbuka mama yangu popote ulipo sitataka nikuudhi mama yangu nakupenda sana mama
ila Huyo dada anatubu alifanya kosa ...na anajieleza vzr kwakweli...
Tatizo halikimbiwi linatatuliwaaa...
inahitajika busara sana kwa hilo swala aiseee maana wnyw wameridhia na imeshatokea...wakitengana watoto watapata tabuuu...very comfusing decission.
Mungu wanusuru vizazi vetu 😭😭
asante sana kaka Millard ayo
Tusisome elimu ya dunia tu...ata elimu ya dini tuisome...vitu vidogo kama ivi havitatusumbua kupata majibu...
This is so sad kwa hao watoto. Hawa wanafaa kufungwa. nchi za wenzetu watoto hao wangepeekwa vitengo vya watoto na hao wazazi wakafungwa.
kweli dunia inefika mwisho inauma sana laaa kwa kweli
Geah umbea kwisha toa milioni 😀😀😀
Duh uyo dada anauchungu sana kumbe anajua anachofanya ni kosa basi shida ni aibu na anauchungu moyoni
Mhhh! jmn!😯 huo mjomba nimtu mbaya san ila pia na huyo Mtoto wakike amekosea san duh! shukran san kwako millard Ayo kw kastory hak.
Sabra Waibrahim "naam kbs hujadanganya huo mdada nijinga san lambda analana huo mwanamke😕
Mtihan sana mung mkubwa dunia ina mamboo hii
dah, tz hakuishi vioja, kila siku kwazuka mapya tu, ewe mola tusitiri na vizazi vyetu.
Halima mbona unatuharibia jina? Akina halima hawapo ivyoo, toka kwa mjombako urudi nyumbani aibu tupuu
subhannallah
ee mola tunakuomba utustili wajawako jamani mtihani mkubwa sana hususani mama anatia imani
Mmm huy Anco nae
Dunia simama nishuke......Mungu tusaidie
Wamesha chelewa binti ameshazaa watoto tena wa2, wakimtoa hapo watawatesa hao watoto, bora wayafumbie macho wamuachie Mungu bila hivo watawatesa hao watoto wasio Na hatia 😭😭😭😭 nalilia watoto
Fatma bora tu aondoke Kama watoto watalelewa kwa namna nyingine
heri wawaache waendelee kuishi yasha mwagika hayo ayaezi kuzoleka wazazi wawe na subra
Mariam Mbughi watoto kulelewa Na familia ni ngumu, mtu anae weza kulea watoto wake vizuri ni mzazi tu, hayo ni maji yamesha mwagika, kilicho baki ni kufikiria tu watoto ambao wameshaletwa duniani. Mama afunge roho kaka yake alee watoto
oooh ndugu hamna"mayai yanaliwa na mjomba??au kalongwa huyu? kweli dunia imetuacha
Fatma huko ni kuendelea kuilea dhambi....msamaha wa Mungu utakuwa juu yao endapo waacha huo ujinga wao....kuhusu watoto mama mzazi atawalea kama wanae..hilo sio tatizo
Duniani kuna mambo yaajabu sana
Kwa sheria za Tanzania, huyo mjomba hawezi kushitakiwa??? Au mnarekodi tu na kupotezea
Dada geah tunaomba ututumie ile hekaheka ya Dodoma aliyokatwamapanga yule mdada plz
Nasikiliz heka heka mbaka nalia mjomba mtu la ana tupo 😢😢
Daaa hata mm nakumbuka hayo yamewahi kutokea kwenye familia yetu dada etu wa pili kuzaliwa aliishi na shemeji yetu aliekamuoa dada yetu wa kwanza. Kuzaliwa na MPAKA sasa familia imeingia kwenye mgogoro mkubwa daaa mungu mwenyew ndio anajua
hamis jojo daaanh yani ivi vitu vipo mungi atuonhoze tuuu kiukweli lakini tamaa za miili izi zinatuponza poleni sana
Duuu inatishaa sanaa ila alipenda huyo msichana huyoo mjomba mwenyewe ana maisha magumu atarii
Asante mtu wetu wanguvu
Sharifa Znd nan
ata ivyo pia mimba ya kwanza bahati mbaya yapili pia? mmhh mungu tunusuru
duuuh hii kali sana
mtu wangu wa nguvu hongera sana kwani sisi ambao tupo nchi za mbali unatujuza
Shukrani sana mtu wa nguvu Rhoda, karibu sana
Millard Ayo mjomba yukowapi millad.
Millard Ayo mitihani wajina ananiaibisha.mwambieni halima aache watoto aje maskat.
Millard Ayo huenda tatizo nipesa .aje ajitafutie zahalali. dunia imeharibika jamani.
Halima / bint mafitah 2020 mambo upo oman sehem gan nammi nipo oman
mnashaaangaa nn tembeni muone nendeni india mkaone watu wanaowana kmaa hivyoo na wanaowana kwwenye makanisa na temple yaan kawaidaa kabisaaa nchi za watu
da Gea huyo dada hayupo sawa kisaikolojia mumtafutie wataalam hayupo sawa kabisa
Alaumiwe na uyo mjomba angetafutwa aojiwe kwanini kafanya ivo ila kwa falume za kialabu kawaidatu ila kwa nchi yetu ndio ajabu
😆😆😆 finally leo nimekua wa kwanza wallah ✌✌
Mwanahamisi Hella kwakucoment ww wakwanza bt kwakuangalia naona 84 views
Mwanahamisi Hella Umekuwa wakwanza halafu Hujachangia kitu ni sawa na Sifuri.
JOHN KIHANDA 😩😩😩ulitaka nichangie nini lbd kwa mfano.?
subuhanallah dunia imeisha
kheee kuona kupo ndugu lakini si mjomba ni haramu inafaa mtoto wa baba mkubwa watoto wa dada kwa kwa dada sio mjomba wala Amy uyo mjomba mwehu na uyo mtoto mwehu ata kama alimlubuni alishindwaje kukataaa Allah ameweka mipaka iwazi Tusamehe viumbe wako
tusomeni dini kama huyo halima ni muislaam atakua ni jina tu dini imekataza kuwaowa watoto wa dada zenu . Waarabu wanaowana kama dini ilivyoruhusu
na shetani anazidi kutuandama tujitahidi kusali jamani hakika sala inakataza maovu. wazazi wangemfundisha mtoto akaijua dini yasingewakuta haya yote . maana tunakatazwa hata kuwaambia wazazi wetu neno uff je hali hiyo yakumjibu mzazi hivo inakuaje
Allah atunusuru na atuongoze
Kulthum Abdallah Exactly my dear, cjawai kuckia toka nizaliwe ndio kwanza nasikia hapa TH-cam, subhannallah.
Milioni HAHAHAHAHAAAAA....huyu dada cio wakumlaumu Sana, wangempima akili Kwanza HUENDA cio mzma sana
Waachwe walee wtt wao.
😂😂😂😂 hii nomaa jooo eeeh Halima
Dunia imekwisha, laana gani hii
haha wapili mm huu nimsiba jamani kheir aondoke
Newasd Dong aondoke na vipi kuhusu watoto atawaleaje akae tuuu
uyo mama yk : bint kayataka mda wote alikua wapi asilie miaka yote iyo mpk bint anazaa watt 2 ,alipompigia simu mala y kwanza ndoanaenda saizi anakumbuka shuka kumekucha ,amuache ndoishatokea
LYIDIA KATALIHWA umeona eeenh alikua wapi siku zote izo ndio tukomege kuzaa kutegemea watu ali ya kuwa bado tupo hai
Astaghafirullah Raaadhm ee mwenyezmung tuongoze njia iliyonyooka amiiin
افلح السريرس amin inshaaa allah
mana wengine tupo mbali tunakuwaga tunapitwa na mengi ila tuna kushukulu sana kaka etu
yote ni umasikini nahao ndugu km c unafiki mpka mtu kafikisha watoto walili walikuwa wapi mmh hapo nawaaonea huruma hao watoto tu
Rukia Hussein swadaqta
😯😯😯😯ooooooh
ehe hatari sana
hapana lazima aondoke Ni fedheha kwa kweli
May KipamiLa fedhea iyo vipi tangia mimba ya kwanza walikua wapi kiukweli wangemuacha tuuu
sabra waibrahim du hatari lakini
May KipamiLa kiukweli atar lakini walikua wapi muda wote huo
Sabra Waibrahim upo
Fatma Shaban nipo mamy
fala kwel huyooo hajielewww
to much
Do!!!!! this is too much.
mbona sio tatizo kabisa hilo
wangepiga huyo msichana wapeleke police
Hee hatar dunia imekwishaa hiii
na watu wa kigoma walivyowabishi loooh
mjomba ndio mshez
hakika unatupa vile tunavyohitaji mtu wetu wa nguvu.
Duuuuh
basi waliKua wanajuana
makubwa
hii nayo balaa belua
kweli?
I realize it's quite off topic but do anyone know a good website to stream new movies online?
@Neil Wilder lately I have been using Flixzone. You can find it by googling :)
huyo mschana jeuri sana
Dooo wabongo na visa nyinyi
DUNIA RANGI RANGILE
imkuwwj mbk mtu kazaa watoto wa 2 mlikuwa hmjui?? na huyo mjomba mume hmjmpata
mmh" uhaba wa wanaume au? loooh kweli wachunguliane?hapana laana hii
Rose Mary umeona eeeenh yani kiufupi hawa hawana jipya tangia ana mimba ya kwanza walikua wapi mimi siwaungi mkono