UKWELI KUHUSU USAJILI WA FEI TOTO NA KIPRE JR/WATATUA SIMBA/OKELLO NI SWALA LA MUDA TU.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024
- Simba Pro tumepiga Story na Mchambuzi wa Soka Emmanuel Mwayombo juu ya tetesi zinazoendelea kuhusu usajili wa Simba SC ni kipi hasa ambacho kinaendelea kwenye dili la Feisal na Kipre Jr na tumepata majibu kutoka kwa Mwayombo
Kama unahitaji kuungwa kwenye group la Simba Pro tuma ujumbe kwa namba 0626629644