SHUHUDA WA TUKIO LA KUTEKWA KWA KIJANA SHADRACK CHAULA ASIMULIA ILIVYOKUWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 2 หลายเดือนก่อน +4

    Samia akusaidie wakati ndiye mtekaji.wambie nguvu ya wananchi wakusaidie

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 2 หลายเดือนก่อน +2

    Baharia TV mna camera quality sana

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 2 หลายเดือนก่อน

    Mh... Sativa

  • @AmiriSimpungwe
    @AmiriSimpungwe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Samia anajua huyu kijana Yuko wapi kama wamemuua au mzima nakuonya Samia matukio yote haya ya kuteka watu utayajibu siku ya hukumu hutaishi milele katika hii dunia

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mtangazaji unaongea sana achia mashuuda basi

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 2 หลายเดือนก่อน

    Wazembe yaani boss anachukuliwa wao wanaangalia tu eti hatuelewi hata hawana hofu

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 หลายเดือนก่อน

    Naona hata Tanki la maji ameandika Adui hatoki mbali

  • @HAGAIMPOKIGWA-r9z
    @HAGAIMPOKIGWA-r9z 2 หลายเดือนก่อน

    Wale walio mchukua kipindi.alipoonekana mtuhumiwa ndio wamlete

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 2 หลายเดือนก่อน

    Huu usenge wa kutekana et kisa umemzungumza kiongozi haufai vijana kuweni makini mujilinde

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa wananchi tuwe tunatembea na mapanga wakija kututeka tu weka panga mwilini hivo tu!! Panga tutembee nazo kuzuia utekaji

  • @bravosenior2387
    @bravosenior2387 2 หลายเดือนก่อน +2

    Unaongea sana

  • @estambuya3901
    @estambuya3901 2 หลายเดือนก่อน

    Ni hivi!apatikane.

  • @estherkibajiro3480
    @estherkibajiro3480 2 หลายเดือนก่อน

    Tz duh!!😭😭

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 2 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji unaongea sana

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 2 หลายเดือนก่อน

    Na nyie mnalubali tu mtu anachukulia kirahisi tu kweli aisee elimu inabidi isambae sana

  • @melichmahingule2896
    @melichmahingule2896 2 หลายเดือนก่อน

    Nilisema mimi, sidhani kama angeachia salama

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 2 หลายเดือนก่อน +2

    HAWEZI KUJIELEZEA MASKINI😢😢😢

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 2 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji punguza kuongea unaboa

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 2 หลายเดือนก่อน

    We ezekua mtewele punguza maneno yako ongea kifupi km kina ayo chenel yako itakua best

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 2 หลายเดือนก่อน +1

    Watekaji njooni kwangu mniteke naondoka na mtekaji mmoja!!! Nitakuwa natembea na panga mimi noma

  • @ngejejemashubi4213
    @ngejejemashubi4213 2 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji unaongea sana