Hongera sana Mtumishi wa Mungu Benard Mukasa kwa kutujenga ki Imani na ki Roho kwa nyimbo zako tamu za Injili ya Bwana wetu yesu Kristu.... Kwani huo Wimbo wa Mwanzi uliyo Pondeka imebamba kwa Mioyo ya watumishi wengi wanao mwamini Bwana wetu Yesu Kristo asante na Yesu akubariki pamoja na Familiya yako yote amina.!!!!!!
Mukasa sijui kama umeandaa kitabu cha nyimbo zako,Historia inakuhitaji sana kwa matendo yako yaliyotukuka katika kipaji Chako hadhimu cha uimbaji.Blassed Mukasa.
Thank this song is amazing may God continue blessing you and your family
Asante sana kwa tafakari nzuri, umenikumbusha matumizi ya kibatari/koroboi,Mungu akubariki sana napenda nyimbo za Bernard Mukasa
Great evangelical teaching...
May God bless your work
Hongera sana Mtumishi wa Mungu Benard Mukasa kwa kutujenga ki Imani na ki Roho kwa nyimbo zako tamu za Injili ya Bwana wetu yesu Kristu.... Kwani huo Wimbo wa Mwanzi uliyo Pondeka imebamba kwa Mioyo ya watumishi wengi wanao mwamini Bwana wetu Yesu Kristo asante na Yesu akubariki pamoja na Familiya yako yote amina.!!!!!!
Mungu ni mwenye huruma... 🙏
May God bless you abundantly together with your loved ones.....great job of Evangelization...Good inevitable melodies.
Mukasa sijui kama umeandaa kitabu cha nyimbo zako,Historia inakuhitaji sana kwa matendo yako yaliyotukuka katika kipaji Chako hadhimu cha uimbaji.Blassed Mukasa.
Hongera sana kaka kwa nyimbo zako zenye mafunzo,hakika huwa zinanifariji ninapokumbwa na malimwengu
May God bless you and Keep you
Nice song indeed ❤️❤️
Amina hata niwe kama utambi mchafu wa moshi mzito Bwana hatanitupa milele
Asante kwa ufafanuzi wa wimbo huu inasaidia kuujua zaidi utume wa uimbaji kupitia nyimbo Zake🙏🙏 Ubarikiwe zaidi
Asante sana kwa mahuburi yako ya kusisimua kupitia nyimbo safi. Ubarikiwe zaidi. Kumbuka, umebarikiwa na endelea kuwa katika utukufu huo.
Asante Sana mwalimu, hakika hii inasaidia sana na itasadia wengi kujua ujumbe unaokuwa umebebwa na wimbo husika!
Ubarikiwe Sana kwa utume!
Wimbo huu unanibariki sana kila niusikilizapo. Beti zake zote zina mafundisho yenye maana sana. Ubarikiwe sana
Congrats Bernard ,I love your music May God always bless you .....how miss that one day you can be our teacher at st.agustine githurai
Hongera sana baba. Ubarikiwe mno!
Nimeipata tafakari na imenifaa kabisa. Barikiwa sana.
amina sana kwa tafakari yako
Dah kiukweli nmeielewa tafakari hii vizuri Mungu akuongezee
Amin 🙏🙏 mungu akuzidishiye baraka katika kazi zako 🙏🙏🙏🙏🙏
Amina kaka
Asante baba
Hakika nami umenijibia maswali nilokuwa najiuliza kwenye huu wimbo
Ni faraja kusikiliza utunzi wako wenye kubeba ujumbe mzito.
🙏🙏🙏 Huruma ya Mungu Ni Huruma ya Milele
Nimekusikia kongore kwako
Hongera Sana uwafumbua wengi,Mara nyingi tunaimba kufuatisha midundo siyo kutafakari ujumbe uliobebwa au uliokusudiwa
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Mimi kama mkenya..hii kiswahili....heheheeeee🙈
Baraka tele kwa utunzi wako
Was really looking for meaning of this
Asante kaka ubarikiwe
you could be more of a preacher ... thanks for the word
🙏🏽🙏🏽
Kaka nakucheki unafanya yako hakika umejaliwa
hakika umeoteshwa🎼
I love you music Mukasa, am following your music, praying a day to compose good music like yours... I thank God for you
Dah! Sijui niseme nini kwa huyu Mtumishi wa Mungu anko Benard Mukasa??? Wewe hakika ni nuru kwa mataifa!
🙏🙏🙏