MWANZI ULIOPONDEKA-Sehemu ya Pili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @sharoombay8997
    @sharoombay8997 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante Baba Bernard Mukasa, Mungu akubariki na akupe haja ya moyo wako. Amina.

  • @constantinennonjela3922
    @constantinennonjela3922 5 ปีที่แล้ว

    Napenda kufuatilia sana nyimbo zako zinataakarisha na zinafundisha hongera Sana najua si kwa akili zako zinazoweza kufanya haya bali ni uwezo wa Mungu uliopandwa ndani yako. Ubarikiwe Sana

  • @albetomwaka3186
    @albetomwaka3186 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelee kukupa neema katika njia hii ya kueneza injili kwa njia ya uimbaji

  • @kaedaddie8774
    @kaedaddie8774 5 ปีที่แล้ว

    Napenda Sana na ninatamani siku moja kuwa mwanafunzi wako wa muziki

  • @kazimotothebest4425
    @kazimotothebest4425 5 ปีที่แล้ว +2

    najua mtetetezi wangu ni mwema
    mwenye huruma mwingi warehema asiye yahesabu makosa ya watu #benard mkasa huu wimbo naupenda sana na kila mara huwa na usikiliza lkn pia kwa tafakari hii umeniongezea kitu katika maisha yangu kuwa tusiishi kwa kufuata kile kilicho zoeleka bali tuishi kwa kujinyenyekeza mbele za Bwana kwa kutubu dhambi zetu

  • @Merbon_01
    @Merbon_01 5 ปีที่แล้ว +1

    Najua mtetezi wangu ni mwema. Heko Mwalimu Mukasa

  • @epifaniamponda2443
    @epifaniamponda2443 5 ปีที่แล้ว +1

    Waoooooooh nabarikiwa Sana nawe mwalimu

  • @jonathankitili6904
    @jonathankitili6904 4 ปีที่แล้ว

    God bless u Mr. Bernard,milele na milele amina

  • @amosafrica2350
    @amosafrica2350 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwl wewe ni mbarikiwa wa Bwana! Unayo nafasi kubwa sana kulivusha kanisa katika nyanja ya Uimbaji kwa kutafakari na kumaanisha!

    • @philipmugagolo2878
      @philipmugagolo2878 5 ปีที่แล้ว

      Hongera Mtumishi wa Mungu Benard Mukasa kwa kutujenga ki Imani na Nyimbo zako za Kiroho na Mwenyezi Mungu akulinde pamoja na familiya yako yote Asante na ubarikiwe amina..

  • @laliakiza7351
    @laliakiza7351 5 ปีที่แล้ว +2

    Amin God bless you

  • @Mike-cg5cd
    @Mike-cg5cd 5 ปีที่แล้ว

    Tafakari njema sana. Shukran na ubarikiwe

  • @nasirhamis5967
    @nasirhamis5967 2 ปีที่แล้ว

    Guchi ilove

  • @cecilialucas7655
    @cecilialucas7655 5 ปีที่แล้ว +1

    Najua ninaye mtetezi mwema mwingi wa huruma asiyeyahesabu maovu ya watu wake natamani cku moja niwaone live

  • @charlesntakarutimana7820
    @charlesntakarutimana7820 3 ปีที่แล้ว

    Kwa maneno yako hata kwenye nyimbo asiye sikia basi hakuna dawa nyingine kwa ajili yake

  • @nasirhamis5967
    @nasirhamis5967 2 ปีที่แล้ว

    Alikiba dodo

  • @cecilialucas7655
    @cecilialucas7655 5 ปีที่แล้ว +1

    Najua ninaye mtetezi mwema mwingi wa huruma asiyeyahesabu maovu ya watu wake natamani cku moja niwaone live

  • @cecilialucas7655
    @cecilialucas7655 5 ปีที่แล้ว +2

    Najua ninaye mtetezi mwema mwingi wa huruma asiyeyahesabu maovu ya watu wake natamani cku moja niwaone live

    • @olgachaula9383
      @olgachaula9383 4 ปีที่แล้ว +1

      Ukipata nafasi kufika DSM au kama unaishi dar nenda kahudhurie ibada ya nne jumapili Makuburi parokia ya mweneheri Anwarite. Utawaona wote na mkewe. Wanafamilia iliyobariliwa

    • @cecilialucas7655
      @cecilialucas7655 4 ปีที่แล้ว

      Amina mpendwa ipo siku Nitafika kwa sasa nabarikiwa na famila hii