#live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 47

  • @dynesdaud564
    @dynesdaud564 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu naomba uniondolee vifungo vyote mbele yangu niweze kusonga mbele katika jina la yesu 🙏

  • @RizikiAheyo-l7b
    @RizikiAheyo-l7b 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eeemungu naomba nifunguliwe mlango katika family yangu mangochwa ikome katika Jina la yesu Christo 🙏 🙏

  • @sholastikaCharlesnkondola
    @sholastikaCharlesnkondola 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu naomba unipe amani,upendo,uzima,furaha,afya njema na hekima,Mimi na familia yangu.mm na mchumba angu

  • @nipautago8574
    @nipautago8574 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu ww ulinijua kabla cjazaliwa naomba kupitia mfungo huu tutendee
    Ongeza upendo kwetu Amina

  • @KajikaRingombe
    @KajikaRingombe วันที่ผ่านมา

    Maombi yangu kumi na mbili naomba nipokee maujiza ya majibu katika jina la yesu kristo ameni

  • @Fatumabwana-p6m
    @Fatumabwana-p6m วันที่ผ่านมา

    Mungu fungua kila kifungo kilichopo ndani ya familia pia mponye mkwe wangu Kwa jina la. Yesu

  • @EliasHaji-z6f
    @EliasHaji-z6f วันที่ผ่านมา

    Eee mungu wangu kupitia maombi ya kufunga naomba ukanitendee upokee maombi yangu kumia na mbili 🙏

  • @sholastikaCharlesnkondola
    @sholastikaCharlesnkondola 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu naomba nipate utulivu kwenye uchumba wangu na anijengee nyumba nzuri na anipende anijali na anioe mm

  • @debyshay3192
    @debyshay3192 วันที่ผ่านมา

    Nimekumimbilia wew nisiaibike milele mungu wangu 🙏

  • @debyshay3192
    @debyshay3192 วันที่ผ่านมา

    Mungu tenda jambo katika maisha yangu 🙏🙏

  • @KajikaRingombe
    @KajikaRingombe วันที่ผ่านมา

    Eee mungu naomba nipokee maujiza ya maajabu yaku pata pesa kilaisitu amen

  • @RehemaMunli
    @RehemaMunli วันที่ผ่านมา

    Emungu naomba nipokee na mm naomba uniondolee aibu juu ya maadui zangu mungu naomba unitetee na mm nipate kibari naomba mupenz wangu anitafute na awe tayar kuniowa naomba mungu nisaidie niondolee aibu mungu mungu nisaidie eyesu naomba neema

  • @DeborahMatiko
    @DeborahMatiko วันที่ผ่านมา

    Baba naomba unitendeee kabla mwezi Huukuisha niwe nimemaliza kujenga nijenge kirahisi sana baba

  • @gracesaimon1132
    @gracesaimon1132 วันที่ผ่านมา

    Napokeamujiza kwajili mumewangu kuja kutokamarekani kujatanzanianamin munguumenitendeaaneerr❤🎉❤🎉

    • @Fatumabwana-p6m
      @Fatumabwana-p6m วันที่ผ่านมา

      Mungu inua familia yangu kiuchumi pia mponye mkwe wangu magumu anayopitia Kwa jina la yesu

  • @FatumaSalum-m2o
    @FatumaSalum-m2o 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu fungua kila kifungo nilichofungwa nifungulie rizik nitolee mikos nukus mabala nipate mume nipate pesa nipate kz nzur nipate pesa niinue mama yng kipesa ee mungu nisaidie mimi na familia yang mwaka huu syo mwak wakukimbiwa na wanaume tena

  • @FarajaIsmail
    @FarajaIsmail 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu katka mfungo huu naomba unijibu maombi yangu kumi na mbili napokea ushuhuda kuanzia Sasa mungu wang

  • @debyshay3192
    @debyshay3192 วันที่ผ่านมา

    Napokea upako Leo nimefanikiwa Kwa kila jambo mungu wangu 🙏

  • @HonestLeonardy-in4ft
    @HonestLeonardy-in4ft วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba kupitia mfungo wako mme wangu apate kazi na biashara yangu iweze kisonga mbele

  • @NaomiNgede-bp2bs
    @NaomiNgede-bp2bs 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tenda miujiza ktk maisha yangu na roho mtakatifu asimame na mm kam adui kam kakanyanya kila Malang wa baraka ktk maisha yangu na familia yangu na mm naachiliwa ne na kibal cha kufunguliwa kuanzia sasa

  • @aminapemba2617
    @aminapemba2617 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nataka kutimiza ahadi yangu ya kumshukuru Mungu kwa kununua kiti na mchango wa tent hapo kanisani

  • @dynesdaud564
    @dynesdaud564 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu naomba uwaguse ao mabosi ao wa spa wanipigie simu waipitishe cv yangu niende Romania kiraisi

  • @NaomiNgede-bp2bs
    @NaomiNgede-bp2bs 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eee Mungu niondollee kila .aagano yakipepo roho za kukataliwa malango ya ndoto mbay kwa jina la YESU KRISTO

  • @aminapemba2617
    @aminapemba2617 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ewe meenyexi Mungu nimrfungs leo diku ya nne kws ajili ya kukushukutu baba ns kukuomba unipe afya kayika mwili wangu na uniepushe na maadui wanaonianda

  • @AginessNyoni
    @AginessNyoni วันที่ผ่านมา

    NAMI Leo mungu usinipite Kila unapo wakubuka wegine NAMI iniponieshe

  • @gracesaimon1132
    @gracesaimon1132 วันที่ผ่านมา

    Mungunaombamimewangu anitumiesmsfasta, aniambie kapatakiba,ktk,jinalayesu mungu naombanijibukwajilatutambeanakuanganzakilamahali

  • @RehemaKaaya-b2w
    @RehemaKaaya-b2w 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naomba mungu nifuliwe kiuchumi na akili yangu I we akili ya kufikiria mbali na muamko kwa jina LA yesi

  • @gracesaimon1132
    @gracesaimon1132 วันที่ผ่านมา

    Katikamaombihaya yamfungo mungu nitendee ,nieshimishe munguwangu naombaunitendeekirahimunguwangu naminimungiatatenda koraji

  • @HawaJuma-u2e
    @HawaJuma-u2e วันที่ผ่านมา

    Aaaamin napokeaaaa

  • @dynesdaud564
    @dynesdaud564 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu naomba safari yangu ya kwenda Romania itimie

  • @KajikaRingombe
    @KajikaRingombe วันที่ผ่านมา

    Nita ongezeka na kuzidishwa ameeni

  • @HonestLeonardy-in4ft
    @HonestLeonardy-in4ft วันที่ผ่านมา

    Na uijalie familia yangu iweze kuwa na nguvu na mafanikio ya amani mjalie mke wangu biashara yake isonge mbele

  • @RehemaMunli
    @RehemaMunli วันที่ผ่านมา

    Katika mufungo huu naomba mpenz wangu anitafute naomba biashara yangu ijidiwe na wateja

  • @marrysam4757
    @marrysam4757 วันที่ผ่านมา

    Ameeeen 🙏

  • @TatuLucas-h4d
    @TatuLucas-h4d วันที่ผ่านมา

    Katika mfungo huu naomba biashala yangu izidiwe nawateja

  • @NaomiNgede-bp2bs
    @NaomiNgede-bp2bs 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Napokea taarifa njema badala ya fedheha naamin nitaifurahia sehem yangu kkiroho kiuchumi n.knaamin nitamiki maraduf

  • @MasEmmanuel
    @MasEmmanuel วันที่ผ่านมา

    Tunaomba tufunguliwe kiuchum na tupone kilaisii homa zipone Kwa jina la yesuu kilisto

  • @NeemaNzunda-y2q
    @NeemaNzunda-y2q วันที่ผ่านมา

    Naamin kupitia maombi haya mngu utanitendea Kila.ombi.langu kat ya maombi 12 ameniii

  • @NaomiNgede-bp2bs
    @NaomiNgede-bp2bs 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ameen

  • @TatuLucas-h4d
    @TatuLucas-h4d วันที่ผ่านมา

    Mungunatamani kufinga ila namadonda naomba uniponye

  • @Sangwanyembocladisse
    @Sangwanyembocladisse วันที่ผ่านมา

    Katia mufungo huu naomba mungu à nijalie nehema nipatemimba yabamapasa boté banaume tu

  • @WasokoMwanza
    @WasokoMwanza 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉

  • @NaomiNgede-bp2bs
    @NaomiNgede-bp2bs 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Napokea kibal cha kukubalika kila sector ya baraka na kibal

  • @HonestLeonardy-in4ft
    @HonestLeonardy-in4ft วันที่ผ่านมา

    Baba nisaidie niweze kupata kazi na nikienda kazini kazi iwe nyepesi

  • @SemDunia
    @SemDunia วันที่ผ่านมา

    ponha biachar yango

  • @kabindamatata1666
    @kabindamatata1666 วันที่ผ่านมา

    Napokea miujiza

  • @debyshay3192
    @debyshay3192 วันที่ผ่านมา

    Mungu tenda muujiza katika maisha yangu 🙏