Ally Kamwe hongera kwa kuwamwagia upupu au wachambuzi njaa, wachawi, mafitini, mawakala wa shetani. Akina Edo, Jemedari na vijibwa wao leo Ally kawapiga za uso. Huu ujinga waliufanya kwa Fei wakafanikiwa, wasitarajie upumbavu wao ufanikiwe!
Kwa niniwutengeneze bifu na mali za watu? Mwenye mali anasema hauzi bidhaa yake, wewe unakereheka. Lo, una akili kweli au unasambaza upumbavu wako? Kwa nini usiangaike na biashara zako badala ya kuchonga mdomo kwa biashara ya mtu mwingine? Vinginevyo tuamini wewe ni mchawi, una nia ovu! Pumbavu sana!
Hoja yake ipo current perfomance as you know mchezaji ana muda mchache wa kucheza mpira kwa maana ya umri so hoja yake ndo maana imejikita sana kwa sasa Kaizer haishiriki michuano yeyote ya kumuweka mzinze kuonekana zaidi zaidi ya Yanga vivyo hivyo kwa Wydadi na ha jasema Yanga kubwa kuliko kaizer.Hii si hapa tu ata ulaya unaweza kuona wachezaji top qulity hawaikimbilii Man u ingawa inapesa lkn haimaanishi kuwa Man u ni team ndogo bali wanaitaji kuonekana zaidi na kutengeneza thamani kubwa.
Uyu ni mjinga kweli yaani ina maana angetskiwa na Timu kama Everton achana na zengine kubwa angetskikana ata na Timu za daraja la tatu England angernda akaacha Timu ya utopolo acha ufala
Mzize hatoki kolo mtasubili sana
Msemaji kakasirika sana😊😊
Fact sana
Makolo nawaona wanazidi kuteseka hapa
Unajua sana mwambaaaaaa
Wewe ndoo msemaji Bora nchi hii, umewambia ukweli kolozi haooo
Unatisha sana kamweeeehhh
Upo sahihi timu kubwa ilikushindana lazima ubakishe wachezaji wako bora
wambie ukweli watanzania awapendi maendelea ya team zetu
wanachotaka wachezaji waje na kuondoka alfu waaze kuiponda yanga
AIBU SANA KUJIFANYA VIKOFIA KOFIA NA VIKANZU:;ALHAMDULILLAH NYINGI;,;KWENYE SHUGHULI ZA KIISLAMU HUONEKANI
Makolo nendeni choo mkaharishe, Mzize hatoki, na Yanga ni kubwa, Wambea sana hawa
Tulitaka timuzetu ziwenamisuli ya kifedha sasa mnabeza sasa watanzania mbona mnanishangaza wachenitimuzizuie wachezaji
Kumbe npromo Mashabik tujaeuwanjani mmbeya mmojawewe
Uyoo ndio alikamwe
Kwani zile zinazojiita timu kubwa tanzania wachezaji wake hawataki??
kwani hapo yanga yupo bure sianalipwa kweli wafute ndoto zao wachezaji kuhuzwa
Muda huu
Yanga wanafanya kile wanachokifanya Al Ahly kwaajiri ya kulitawala soka la Africa Al Ahly wanakikosi bora kinachoanza na wanaosubil bench
Ally Kamwe hongera kwa kuwamwagia upupu au wachambuzi njaa, wachawi, mafitini, mawakala wa shetani. Akina Edo, Jemedari na vijibwa wao leo Ally kawapiga za uso. Huu ujinga waliufanya kwa Fei wakafanikiwa, wasitarajie upumbavu wao ufanikiwe!
pigilia msumari semaji kubwa
Yogwemwakulala:- Wewe ni fala sana, Everton ndiyo timu ya kuitisha Yanga?
ally kamwe muachane kijana
Alli tunaye tunatamba nae
we imekaa wivu humtakii mema kijana mwenzako
Mzize siyo wa kawaida, wa kawaida ni Mukwala 😂
😂😂😂mtale nae majeruhi
Mbona matus ndugu zangu
Advanced level ya umbea🤣
😂😂😂😂
HAYA MANENO TUMEYAHIFADHI UMESEMA MWAKANI HAODOKI MCHEZAJI MKUBWA
Kwa niniwutengeneze bifu na mali za watu? Mwenye mali anasema hauzi bidhaa yake, wewe unakereheka. Lo, una akili kweli au unasambaza upumbavu wako? Kwa nini usiangaike na biashara zako badala ya kuchonga mdomo kwa biashara ya mtu mwingine? Vinginevyo tuamini wewe ni mchawi, una nia ovu! Pumbavu sana!
upo kushambulia watu?
We ndo mjinga na huna akili ya KUONA mbali na si mwingine we ni koloooo na mtaendelea kuteseka saaanaaa😂😂😂😂
Mzize ni mchezaji wa kawaida sana acheni kumpa kichwa kenge nyie
Ww ndo unaona makengeza unamfananisha mzize na mkwala😂😂😂😂
Sawa kolo
muachieni mzize aende akapate malizho mema aachane na dhiki za yanga
Acha makasiliko 😂😂😂
Jiuze wewe
vinganganizi yanga ;kuuza mchezaji ni credibility
Uzwa wewe
Jîuze wewe
more than stupid unajiona yanga ni zaidi ya kaizer?
Hoja yake ipo current perfomance as you know mchezaji ana muda mchache wa kucheza mpira kwa maana ya umri so hoja yake ndo maana imejikita sana kwa sasa Kaizer haishiriki michuano yeyote ya kumuweka mzinze kuonekana zaidi zaidi ya Yanga vivyo hivyo kwa Wydadi na ha jasema Yanga kubwa kuliko kaizer.Hii si hapa tu ata ulaya unaweza kuona wachezaji top qulity hawaikimbilii Man u ingawa inapesa lkn haimaanishi kuwa Man u ni team ndogo bali wanaitaji kuonekana zaidi na kutengeneza thamani kubwa.
Fact💯@@macknonkibona2401
Hutaki kwa sababu ya ukolo wako
Uyu ni mjinga kweli yaani ina maana angetskiwa na Timu kama Everton achana na zengine kubwa angetskikana ata na Timu za daraja la tatu England angernda akaacha Timu ya utopolo acha ufala
Kolo
Makolo yamewaumaa😂😂😂
Acha ushamba fala wewe kwani Everton ina nini
kumbe imekuuma😂😂😂, hatokiiiiiii
Unaumia ukiwa wapi?
pointless man