Assalam alaykum. Ustadh Hussein unafanya kitu kikubwa sana na Allah akubarik na akufanyie wepesi ktk mambo yako na akupe elimu yenye manufaa. Tunafaidika sana na vipindi hivi vya historia ya mashekh wakubwa waliokuwepo Afrika ya Mashariki. Mm ni kijana na nina hamu ya kutaka kuandika japo kijarida kidogo kuzungumzia historia ya hawa maulamaa wetu. Utanisaidia vp shekhe au naomba namba yako ya simu niwasiliane na ww. Mm naitwa Muhammad Salim naishi Pemba Zanzibar.
asalam alaykum..shaikh hukufanya dhikri ya safar yake ya hadhramout na ukaribu wake na habib ali alhabshi na ahmad bin hassan alattas?...au nimekosea sie habib swaleh aliesoma kwa habib ali alhabshi?
الحمد لله
Masha'Allah 👌🏼
Mashaallah kazi nzuri

احسنت سيدي... نفعنا الله به
Amiin ya Rabb
asalam alaykum..shaikh hukufanya dhikri ya safar yake ya hadhramout na ukaribu wake na habib ali alhabshi na ahmad bin hassan alattas?...au nimekosea sie habib swaleh aliesoma kwa habib ali alhabshi?
Ustadh husein AL amoud ni nzur mm ni Yule Ibrahim Mohammed swahib yako wa fb Allah akubarikie kwakweli tunanufaika sana na kazi yako hii 😭
Asalam alaykum
Waaleikum salaam