Mi naona hii issue haina mashiko ...wote walio hudhuria hizo party walifanya kwa mapenzi yao ..na pia marekani ni sehemu kuna ulinzi mkubwa sanaa kwa nini imewachukua mdaa wa zaidi ya miaka 20 kuyasema haya ?
Watu wakijua unaweza kuwasaidia wanavumilia mengine yote. Wakishajipata ndio wanasema ubaya wako. Lakini pia huyu kalalamikiwa sana toka kitambo, ni vile tuu ana 💰 ndio mana walikuwa wanazuga zuga kumdaka. Angekuwa choka mbaya wangemzoa siku nyingi
Ukweli haswaa
Walewal hao waliz
Mi naona hii issue haina mashiko
...wote walio hudhuria hizo party walifanya kwa mapenzi yao ..na pia marekani ni sehemu kuna ulinzi mkubwa sanaa kwa nini imewachukua mdaa wa zaidi ya miaka 20 kuyasema haya ?
Watu wakijua unaweza kuwasaidia wanavumilia mengine yote. Wakishajipata ndio wanasema ubaya wako. Lakini pia huyu kalalamikiwa sana toka kitambo, ni vile tuu ana 💰 ndio mana walikuwa wanazuga zuga kumdaka. Angekuwa choka mbaya wangemzoa siku nyingi
P didy wanamutungia tuu
We mtangazaji muongo Sana unaongea utazani ulishuhudia au unatembea na upepo alafu umekomaaa na mafuta as if uliona akiyatumia
😊😊
Wivu tu ndo unawasumbua binadamu