Amiin yabrabbi.tusamehe Mozambique yetu yote .si ni.wanadam viumbe zaifu.tunakukoseya usiku n'a mcana.tusamehe kwa huruma.wako.tupe mwisho mwema n'a shahada kwenye umauti.tuongoze n'a vizazi vyetu
Ya allah nijaliye maisha marefu na familiya yangu na mwanangu yenye mwisho mwema naunijaliye nimpate ni mpendaye na yeye anipende piya na tuwe mke na mume hadi kifo kitutenganishe yarabi
Yarrab naomba unilinde na mabaya yote naposikiliza dua huu ucku wangu uwe wa furaha , watoto wangu walale salama , mume wangu yarrab umjalie her huko alipo aweze kurud nyumban salams yarabbi😢😢😢
Ya Allah naomba unijalie kizazi kilicho bora chenye hofu juu yako🤲, naomba uipe ulinzi ulio bora familia yangu, rabi naomba unipe nguvu na afya, niongoze katika utafutaji wangu riziki zisinipungukie🤲 niongoze katika moyo ulionijali nisiwe mchoyo kwa wale wananitazama inshaallah 🙏
Kupitia dua hii ya Allah naomba unilinde mm na familia yangu na watu wote wanaonizunguka tuepushe na kila aina ya hatar yarab na utujaalie katikabutafutaj rizik ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Amiin yarabi niondolee roho ya madeni ishallah 🙏🏽yarabi niongoze katika utafutaji wangu 😢yarabi🙏🏽ni zidishie ulizi kwa kila mwenye kuniombea dua baya na husda🙏🏽❤
Yarab nakuomba unijaalie afya njema wazazi wang uwajaalie afya njema mtoto wang pamoja na ndg zang nakuomba unijaalie kauli nzuri Kwa kila mutu uniweke mbali namatatizo uniweke mbali nawachawi eeeMungu nijaalie maisha mazuri ya Allah nakuomba umpe mtoto wang upendo na usikivu naajue dhaman yang kwake namimi ni mwanadamu naomba unisamehe pale ambako nimekosea nayeye pyaa naomba umpe moyo wakunisamehe🤲🤲
Ya rabbi nijalie miye na familia yangu uzidi kutuongoza katika kheri na utusamehe Kila tunapokosea ya rabbi nijalie mume mwema hapa Duniani na kesho akhera ameen ya rabbi nizidishie elimu yangu hapa duniani na kesho akhera ameen
Kupitia dua hii ya allah niongezee katika utafutaji wangu yarabi nizidishie ulinzi kwa kila mwenye kuniombea dua mbaya na husda🙏 yarabi niepushe na shari za dunia. Nilindie mwanangu dhidi ya mapepo mabaya 🤲
Ya Allah naomba uwape ufahamu wanangu na kukumbuka kila wanacho kisoma kwenye masoma yao wawe na ufauru mzuri tufanyie wepesi mm na mume wangu tuwe na kipato cha eli na afya njema mm na family yangu amen
Amin yarabi naomba nikiamini niondoshee hasada na hasidi naomba unyenyekevu nifungulie vifungo vyote mm na familia yangu yote yarabi takabal dua alhamdulillah allahu akbar Amin
Yaallah nakuomba niondolee taabu ya wote walonizunguka wenye nia mbaya zidi yangu pamojana familia yangu nilindie wanangu niongoze kwenye malezi niwalee malezi ya kuku pendeza inshallah
Yarab naomba unipe mumemzur mwenye hof namolawake mwenye mapenz yakweli mwenye kujua dini sahihi umuepushe nakila bayala dunia ya allah naomba uniepushe nahusda za watu uijalie familia yangu maisha marefu uipe aman narizk za halali amiin
Yarab nakuomba unifanyie wepesi katika utafutaji wangu niondolee nuksi mikosi mabalaa kwenye kazi yangu pia unipe afya nguvu na maarifa katika kazi Ameen.
Mungu nijarie maisha malefu yenye kumjuwa mungu emungu nikumbushe kukujuwa ww to mungu mulinde mme wangu mwepushe na mabaya vishawish mungu nakabiz family yangu mikonon mwako amen
Yah allah najua mimi ni mkosefu kwako eenh mwenyezi mungu nakuomba mjalie mamangu na babangu katika utafutaji wao na hilinde familia yangu na matatz ya kiduniaa 😭🙏
Ya allah nijalie maisha malefu pamoja na familia yangu ya allah nipe furaha moyoni mwangu ni endoleye mambaya nisemeye kwama boss wangu.nimeshidwa najua wanakuomba sana ila nimekosa jibu
Yaaah allah ninamakosa meng kias cha mengne kutoyakumbuka nijaalie kwa baraka ya dua yako unisamehe mimi na family yangu kwa sina uwezo wala nguv ya kuwalinda ila kwa shani yko utupe mwisho mwema waja wako wote na family yangu iione nuru yako inahaallah
Ya Allah kupitia Dua hii mola wangu nakuomba🤲 umtoe malazi mama yangu unilindie watoto wangu na watu wa baya wawe watoto wema akili zao zitulie ya labby nijaalie na Mimi rizki nipate kuisaidia familia yangu ewe mola wangu tukinge na watu wabaya malazi yapone vifungo vitoke na Kila anae tukusudia Kwa ubaya siusiku simchana kupiga Dua hii iwe kinga kwetu Amina🤲
Yarabih kupitia dua hii ninakuomba uniponye maradhi yangu na unisamehe madhambi yangu ya dhahir na Siri unijaalie kauli thabiti kabla ya umauti wangu ya Allah
Yaraby kupitia dua hii nakuomba niondolee maradhi,na mpe moyo wa huruma mumewangu,nijalie nizae mtoto mwema,na wajalie ndugu zake wawe wenye kustiriana na hekma,amina
Kupitia dua hii naomb niepushe na husda me na family yang na mbaya yeyote atakae jaribu kunisogelea usk wa leo mpe adhabu ambyo hajawahi kuifikiria amin
Amin,Allah,niondoshe,maladhi,kupitia,duahi
Yarabi kila ninaposali nakuomba maombi yangu najua unanisikia saana Alhamdulilah naomba unifanyie wepesi
Amiin yabrabbi.tusamehe Mozambique yetu yote .si ni.wanadam viumbe zaifu.tunakukoseya usiku n'a mcana.tusamehe kwa huruma.wako.tupe mwisho mwema n'a shahada kwenye umauti.tuongoze n'a vizazi vyetu
Amin
@AmissaNiyonzima-g2x Ammin
Allah niondolee mabaya yote yanayonizunguka amen🤲🤲🤲🙏
Ya Allah nijalie maisha marefu mm na familia yangu na unijalie niweze kumpata mume sahihi kwenye maisha yangu
Ammin
Allah naomba unijaliye mwisho mwema na niweze kumpa mke sahihi kwenye maisha yangu mwenye hofu na mungu
Yarabbi ijalie ndoa yangu iwe yenye baraka unipe upendo na familia yangu pamoja na familia ya mume wangu nipendwe pamoja na watoto wangu insha'Allah
❤
Allahuma amiin
amiin
Inshaallah
@@MealiiChitanda-qg3yw Ammin Ammin
Ya allah nijaliye maisha marefu na familiya yangu na mwanangu yenye mwisho mwema naunijaliye nimpate ni mpendaye na yeye anipende piya na tuwe mke na mume hadi kifo kitutenganishe yarabi
yarab nakuomba nifanyie wepes katika biashara ninayotarajia kuifanya
Yarrab naomba unilinde na mabaya yote naposikiliza dua huu ucku wangu uwe wa furaha , watoto wangu walale salama , mume wangu yarrab umjalie her huko alipo aweze kurud nyumban salams yarabbi😢😢😢
Yarabi wasamehe wazazi wangu nduguzangu waliotangulia uendelee kunipa ulizi na watoto wangu unipe jicho la tatu niwaepuke mahasidi
❤
Yaa allah niongoze katika utafutaji wangu na niweze kumcha wewe kila siku poa unipatie mwanaume wa maisha yangu inshaallh
Yaa Allah naomba nilinde na mabaya mm pamoja familia yangu naomba mlinde na mwanangu Nillan
Nilinde dhidi ya mapepo kupitia dua hii yarrabi naomba unijalie moyo wa ujasir hata niliyoyapitia yarrabi wewe unayahua😢🙏🙏
Ya Allah naomba unijalie kizazi kilicho bora chenye hofu juu yako🤲, naomba uipe ulinzi ulio bora familia yangu, rabi naomba unipe nguvu na afya, niongoze katika utafutaji wangu riziki zisinipungukie🤲 niongoze katika moyo ulionijali nisiwe mchoyo kwa wale wananitazama inshaallah 🙏
Kupitia dua hii ya Allah naomba unilinde mm na familia yangu na watu wote wanaonizunguka tuepushe na kila aina ya hatar yarab na utujaalie katikabutafutaj rizik ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Ameen
Ya rabby nijalie ndoa yenye her namm dunian na ahera
Yaraby ijalie ndoto yangu iwe ni yenye baraka tele Amin
Ammin
Amiin
Amiin yarabi niondolee roho ya madeni ishallah 🙏🏽yarabi niongoze katika utafutaji wangu 😢yarabi🙏🏽ni zidishie ulizi kwa kila mwenye kuniombea dua baya na husda🙏🏽❤
Aammin
Ewe mwenyezimung nijaalie Mimi na familia yang tuwe salama nakama kunamtu anataka kutuvulug familia yang nakutegemea wew sallahu subuhan hutaara
Ma shaa Allah saut
Mashallah ya rabby ifanyie kazi yangu iwe nyepes uniondolee mikos na usida ya watu Allah nakuomba nipate wateja wengi zaid ya hapa🤲🤲
Ameen
Bismillahi mashaallah Allah akuhifafhi yaa Allah awajaalie wtt wetu wawe katika njia ya rahma🤲
Ammin
Amiin yarab
Ya Allah kupitia dua hii nianyie wepesi inshaalah
Yarab nakuomba unijaalie afya njema wazazi wang uwajaalie afya njema mtoto wang pamoja na ndg zang nakuomba unijaalie kauli nzuri Kwa kila mutu uniweke mbali namatatizo uniweke mbali nawachawi eeeMungu nijaalie maisha mazuri ya Allah nakuomba umpe mtoto wang upendo na usikivu naajue dhaman yang kwake namimi ni mwanadamu naomba unisamehe pale ambako nimekosea nayeye pyaa naomba umpe moyo wakunisamehe🤲🤲
Ammin
Amin insha'Allah 🙏
Ya Allah nifungulie ridhki niondolee giza nifanyie wepesi kwenye uzito Ameen yarab takbari our duaa nilindie familia yangu🙏😭😭
assante mungu kwakunipa upeo mzr
Kupitia duwa hii nilindie watoto wangu na mm na familia yangu ishallaaaah
Ameen
Yarabi niepushe na shari za dunia. Nilindie wanangu dhidi ya mapepo mabaya.
Kupitia dua hii mwenyezi mungu nijalie mimi nafamilia yangu na wazazi wangu tupe liziki yetu ya kila siku
Yarrab nijalie niweze kupata ndoa yenye furaha na upendo ndani yake ishallah amina🙏🏻
Ya rabbi nijalie miye na familia yangu uzidi kutuongoza katika kheri na utusamehe Kila tunapokosea ya rabbi nijalie mume mwema hapa Duniani na kesho akhera ameen ya rabbi nizidishie elimu yangu hapa duniani na kesho akhera ameen
Yarabi nakuomba unijalie afya mm na watoto wangu nakuomba umjalie mume wangu afya njema ili tuweze kuondosha tofauti zetu.amin
Ammin Ammin
Kupitia dua hii ya allah niongezee katika utafutaji wangu yarabi nizidishie ulinzi kwa kila mwenye kuniombea dua mbaya na husda🙏 yarabi niepushe na shari za dunia. Nilindie mwanangu dhidi ya mapepo mabaya 🤲
Ammin Ammin
❤Mashaall Allah akufanyie wepes ujue zaidi akupe maisha mazuri inshaallah
Ya Allah naomba uwape ufahamu wanangu na kukumbuka kila wanacho kisoma kwenye masoma yao wawe na ufauru mzuri tufanyie wepesi mm na mume wangu tuwe na kipato cha eli na afya njema mm na family yangu amen
Amin yarabi naomba nikiamini niondoshee hasada na hasidi naomba unyenyekevu nifungulie vifungo vyote mm na familia yangu yote yarabi takabal dua alhamdulillah allahu akbar Amin
Yarabi niajalie mwisho mwema pamoja na kizazi changu..
Eee mwenyezimungu niongezee upendo kwenye ndoa yangu na familia yangu tupendane na tusaidiane na waongoze wanangi wawe na Iman y
Masha Allah beautiful voice ❤
Ya rabbi na kuomb unisameh zamb zangu nakiri mjaa wakoo utupony maradhi yote na utupe mwisho mwema ya rabbi🥺🥺
Maashaallah Allah azidi kukuongoza pamoja na watoto wetu
Ya Rahman kupitia dua ii naomba iniondolee maradhi mwilini mwangu, nipate afya mzuri na iniongoze katika kutenda matendo mema.
@@Shilangadi Ammin Ammin
Yarrabi 🤲 nijaalie mume saih katika maisha yangu dunia yngu na akhera yangu 🤲
Yaallah nakuomba niondolee taabu ya wote walonizunguka wenye nia mbaya zidi yangu pamojana familia yangu nilindie wanangu niongoze kwenye malezi niwalee malezi ya kuku pendeza inshallah
Yarab naomba unipe mumemzur mwenye hof namolawake mwenye mapenz yakweli mwenye kujua dini sahihi umuepushe nakila bayala dunia ya allah naomba uniepushe nahusda za watu uijalie familia yangu maisha marefu uipe aman narizk za halali amiin
Kwan Dua hii naomba nilinde mi nafamilia yangu na niongezee ridhiki yangu
Mola wangu nilinde na family yangu yote zidi ya watu wabaya tuponye marazi yetu yarraby amiin
Yarab nakuomba unifanyie wepesi katika utafutaji wangu niondolee nuksi mikosi mabalaa kwenye kazi yangu pia unipe afya nguvu na maarifa katika kazi Ameen.
Yarraby nijalie kupitia dua hii wachawi wakome kuja ktk nyumba hii Amin Amin yarraby
Ya Allah nipe subra Mimi na watoto wangu Kwa kuondokeka na baba yao,Mzazi mwenzangu😭tufanyie wepes katika safar yetu mpya😢
Mungu nijarie maisha malefu yenye kumjuwa mungu emungu nikumbushe kukujuwa ww to mungu mulinde mme wangu mwepushe na mabaya vishawish mungu nakabiz family yangu mikonon mwako amen
Amiin ya Raabii tusame mazhamb yetu mola wang na unilindiye famillia yangu popote walipo uwakinge na ma hasad
Ya Allah nakuomba mola wangu unifanyie wepesi wa Yale yaliyomazito ktk maisha yangu na unijalie yaliyokuwa na kher na mimi
Ya Allah nakuomba uijalie familia yangu na uikinge na shari za wanaadamu
Ammin
Yarraby kwa baraka ya hii dua,nijaalie kher mimi na kizazi changu,utuondolee hasada na kila mitihan kwenye maisha yetu 🤲🤲
Yah allah najua mimi ni mkosefu kwako eenh mwenyezi mungu nakuomba mjalie mamangu na babangu katika utafutaji wao na hilinde familia yangu na matatz ya kiduniaa 😭🙏
Ewe mora tunakuomba utujalie kutoka dua hii utuepushe namabaya woteyaduniani yaarabi❤❤
Amiin Allah nijalie mm na familia yangu utupushie shida na matatizo
Dunia inshallah
AL ALEEM naomba uwazidishie watoto wangu ulinzi uko walipo kila nisikilizapo dua hii na kutuongezea aman ndan ya family yangu🙏❤
Yarabi nijaalie mume mwema na mwenye upendo na mwenye kumcha mwenyezimung ya rabbi
Ya Allah kupitia dua hii nifanyie wepes kwakila jambo langu na unipe maisha malefu amina 👏
Mashallah I love this Allah bless you
Ya allah nijalie maisha malefu pamoja na familia yangu ya allah nipe furaha moyoni mwangu ni endoleye mambaya nisemeye kwama boss wangu.nimeshidwa najua wanakuomba sana ila nimekosa jibu
Yaaah allah ninamakosa meng kias cha mengne kutoyakumbuka nijaalie kwa baraka ya dua yako unisamehe mimi na family yangu kwa sina uwezo wala nguv ya kuwalinda ila kwa shani yko utupe mwisho mwema waja wako wote na family yangu iione nuru yako inahaallah
Amina kupitia dia ii mungu wangu naomb niondoshee maradhi niondoshee kil chanagamoto inshall
Amen eeee mwenyez mungu tujalie mm na familia yangu utuepushie mbali na matatiz yot tupe afya njemaah
Yaa Allah naomba uniondoshee matatizo magum yote katika wakat mgumu huuu naopitia
Dua nzuri sanaaaa asha mavindi mto wa mbu alhamdulilahi
Kheri Ammin
Aminaa amina maanshaallah
Ewe mola nakuomba umlinde mama angu na mtoto wangu na mimi piya kusiku uu amina
Ya Allah kupitia Dua hii mola wangu nakuomba🤲 umtoe malazi mama yangu unilindie watoto wangu na watu wa baya wawe watoto wema akili zao zitulie ya labby nijaalie na Mimi rizki nipate kuisaidia familia yangu ewe mola wangu tukinge na watu wabaya malazi yapone vifungo vitoke na Kila anae tukusudia Kwa ubaya siusiku simchana kupiga Dua hii iwe kinga kwetu Amina🤲
@@Lulu-wt9dd Ammin Ammin
Mungu nijalue.nafamilia.yangu.kwalehemz.zako🙏🙏🙏🙏
Kupitia dua ii eeh mwenezi mungu nijarie mimi na family yang 🙏
Ee Mw/Mungu naomba niondoshee mitihani niliyokua nayo mm na kizazi changu yarab amiin
@@SabrinaKisiwa-i4i Ammin Ammin
Mwenyezi mungu nakuomba unipe subra katika ndoa yangu nautuepushe na husda za binaadamu utufanye wenye furaha milele na utujaalie mwisho mwema🙏
Ammin
Yallab niondshee matatizo kwenye ndoa yangu na mume wangu na wanangu ishaallah
Yaa Allah msaodie mume wangu huyo mfanyakazi mwenzie anaemfuatlia ubaya umridie mwenyewe
Mungu.nijalue.nafamilia.yangu.🙏🙏🙏🙏🙏
Nilinde yallab na maadui wanao vunjavunja ndoa yangu wewendio Kila kitu kwangu mungu ni saidie vita nilivokuwa navyo Allah akbar
Ya Allah nikigenahusida zawalimwegu ya Allah nilidie family yagu 🤲🤲🤲🤲❤❤❤
@@zohramariga6678 Ammin Ammin
Kwakupitia Dua hii allah tujalie Mimi na wanangu maisha yenye mafanikio na kumcha allah pia unijalie nipate kazi
Yarab nifungulie milango yangu ya rizki na unijalie Pepo inshaallah
Yarabih kupitia dua hii ninakuomba uniponye maradhi yangu na unisamehe madhambi yangu ya dhahir na Siri unijaalie kauli thabiti kabla ya umauti wangu ya Allah
mashallah
Ya Allah nijaalie kila lilokuwa na kher na mimi na uniepushie mabaya
Ammin Ammin
Yaarab mjaalie pepo baba baba wa wanangu ,Aamin
Yarabi niòndòßhe nuksi,hasad.balaa.
Ammin
M/mungu akujalie
Mimi ni mtoto n'dogo me zia dua kasabua me buona untzu u ni angalia
Maashaallah
Ameeen 🤲
Kupitia dua ii eeh mwenezi mungu nijarie mimi na family yang 🙏 2:39
IshallAaaaah
Maashallah
Inshallah
Eeh mwenyezi Mungu nakuomba unijali nijalie niamie salam uniongeezee kipato katok kwa mmewangu
Ameen, Alhamdulillah
Ya allah duwa hii nakuomba unijalie kira jambo zito kwangu liwe
Jepesi
Alla nifanye mwenye kukuabudu wewe kwa haki🙏🏼
Yarab nijalie mm mja wako niepushie na mabay na miskosk na maradhi wajalie wazazi wang wape maish maref
Ammin
Yaraby kupitia dua hii nakuomba niondolee maradhi,na mpe moyo wa huruma mumewangu,nijalie nizae mtoto mwema,na wajalie ndugu zake wawe wenye kustiriana na hekma,amina
Mola wangu nisameh mimi n wazaz wangu tuepushe na shali
Ammin
Mashaallah
mashaallah🙏🙏🙏🙏
Kupitia dua hii naomb niepushe na husda me na family yang na mbaya yeyote atakae jaribu kunisogelea usk wa leo mpe adhabu ambyo hajawahi kuifikiria amin
@@ZubeidaHamidu Ammin Ammin