HATIMAYE WEMA SEPETU wa BUGURUNI AKUTANA na WEMA SEPETU ORIJINO, Amwaga MACHOZI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • HATIMAYE WEMA SEPETU wa BUGURUNI AKUTANA na WEMA SEPETU ORIJINO, Amwaga MACHOZI...
    HATIMAYE mwanadada anayejiita, Wema Sepetu wa Buguruni kutokana na kuwa na mapenzi ya dhati yaliyozidi kipimo kwa muigizaji Wema Sepetu, ametimiza ndoto yake aliyokuwa akiiota siku nyingi ya kukutana uso kwa uso na Muigizaji huyo...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 766

  • @finemichael2435
    @finemichael2435 3 ปีที่แล้ว +118

    Kupendwa RAHA 😍❤️ Upendo hauna sababu jamani wooi ht mtu ufanye mabaya lakini Mtu anakupenda hivyo hvyo 😍❤️❤️

  • @roselugendo6943
    @roselugendo6943 3 ปีที่แล้ว +11

    Kupendwa raha jamani ❤❤hats mimi nampenda kuna siku nilimwona posta, siyo mimi tu kumbe siyo madreva, boda boda wote ukelele wemaaaa huyu dada anapendwa sana na watu

  • @abubakaryalmas7673
    @abubakaryalmas7673 3 ปีที่แล้ว +43

    Tungekua tunampenda Mungu hivi 😂😂😂 ingependeza

    • @asia9930
      @asia9930 3 ปีที่แล้ว

      Sana

    • @allyzzege8816
      @allyzzege8816 3 ปีที่แล้ว +6

      Unampenda kwanza binadamu mwenzio hata mungu anasema tupendane kwanza cc halaf ndo tumpende yy

    • @shakirabailemba6297
      @shakirabailemba6297 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣

    • @leahkengoma2215
      @leahkengoma2215 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @verombwambo3703
      @verombwambo3703 3 ปีที่แล้ว

      Sanaaaa

  • @fatmabiosa182
    @fatmabiosa182 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda pia wema sepetu

  • @mayrialz8371
    @mayrialz8371 3 ปีที่แล้ว

    Kama upendo ungekuwa hivi,kwa kweli hakungekuwa na uchawi dunia hii,huyu dada amenishangaza tu sana

  • @abdulramanhemed3749
    @abdulramanhemed3749 3 ปีที่แล้ว

    Nice madam boss wawatu

  • @mussaothman7113
    @mussaothman7113 3 ปีที่แล้ว +4

    Chefuuu...badala ya kulia na mungu wake anamlia mtu ambae hatomsaidia chochote

  • @didaamohsin6594
    @didaamohsin6594 3 ปีที่แล้ว +60

    Woooow...wema I like it umefanya la maana..mm pia machozi yananitokaa😍😍🥰🥰❤❤❤❤❤

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit 3 ปีที่แล้ว +72

    Wema anamoyowa kipekee .kajitambua anautajiri wa watu sio pesa. Wooowww💗

  • @sophicatesalim9757
    @sophicatesalim9757 3 ปีที่แล้ว +60

    Wema nakupenda kwa moyo wako yani natokwa na machozi kwa kuonyesha upendo kwa uyo dada

  • @judyjudy3513
    @judyjudy3513 3 ปีที่แล้ว +25

    Asante wema s kwakutozarau isia za mwenzako mwenyezi mungu azidi kukubarki🙏🙏🙏🙏

  • @aishabrondo6037
    @aishabrondo6037 3 ปีที่แล้ว +32

    Jamani najikuta nalia kweli kumbe kunawatu wanamapenzi saaaana

  • @bidiiyako6803
    @bidiiyako6803 3 ปีที่แล้ว +4

    Wema Isaac Sepetu, ni kipenzi cha watu!! Ata iwe vipi wema Mungu ndiye aliempa Moyo wake msafi, ndio maana watu wenye moyo wa ukweli wanampenda kabisa kutoka mioyoni mwao. Mungu azidi Kumbariki wema Isaac sepetu, Na wafuatiliaji wake wote!!! 🙏🙏😘😘😘

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 3 ปีที่แล้ว +18

    ❤Mtangazaji tunakushukur uko poa sana. Tunakushukuru Ms Imelda.. Big up🤝

  • @francisnyaji5000
    @francisnyaji5000 3 ปีที่แล้ว +10

    Wema sepetu ana upendo sana Mungu ambariki..She has Good heart....❤❤❤

  • @fatmahamad7322
    @fatmahamad7322 3 ปีที่แล้ว +34

    Tunakupenda vyovyote ulivo wema hata ukitatika miguu tunakupenda

  • @amoole7saaas960
    @amoole7saaas960 3 ปีที่แล้ว +10

    Yani watu wengine lait wendelikua upendo huo unampenda Allah na mtume wk na hayo machozi lait wendelikuwa unalia kwa ajili ya allah bc yendepemdeza

    • @aishamandaro5245
      @aishamandaro5245 3 ปีที่แล้ว +3

      Machozi ya kumlilia Mingu ni siri yako moyoni na Mungu wako kinachozungumziwa hapa ni upendo wa Wema A Wema B

    • @rehemamurekatete897
      @rehemamurekatete897 3 ปีที่แล้ว

      💕💕💕😘💕🙏

  • @nasrahkhamis4788
    @nasrahkhamis4788 3 ปีที่แล้ว +7

    Jaman kupendwa rahaaa piga kelelee kwa wema akeee 🥰🙏

  • @fideliskipande9973
    @fideliskipande9973 3 ปีที่แล้ว +70

    Tambua umuhimu wa upendo wa Wema Sepetu wa Buguruni,

    • @zainauseni5310
      @zainauseni5310 3 ปีที่แล้ว

      Nakupenda Dada wema sepete mungu akujaliy upati mtoto mromb wangu💝💘💜❤️💚💛

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 ปีที่แล้ว +15

    😭😭nimesikia furaha mpk nalia umefanya vizuri sana wema muonyeshe mapenzi wema mwenzako

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 3 ปีที่แล้ว +42

    From 🇧🇮 Saudia wema uyo dad anakupend san kwel

  • @rehemaabdallah3712
    @rehemaabdallah3712 3 ปีที่แล้ว +30

    Da emma mwambie na zanzibar pia tupo ambao tunampenda da wema sana mpaka tunalia

  • @kabulamanyangu4703
    @kabulamanyangu4703 3 ปีที่แล้ว +30

    Mpende jirani yako kama nafsi yako,ukiangalia watu wanasemaje mmmmh hata Yesu walimsema kaenda nyumba za makahaba

  • @mwanakombosuleiman6161
    @mwanakombosuleiman6161 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah nakupenda wema sepeto uko na roho ya utu mungu akujalie kila la kheri katika maisha yako

  • @Agnes-qq4np
    @Agnes-qq4np 3 ปีที่แล้ว +54

    Hawa njo mashabiki wakweli nimefurai ata mimi

  • @janekikoti2179
    @janekikoti2179 3 ปีที่แล้ว +1

    Acheni kulia kuna watu wenye matatizo ya kulia😂😂😂

  • @floraflora9490
    @floraflora9490 3 ปีที่แล้ว +38

    Wema mnunulie simu uyoo

    • @dotnathalazaro8078
      @dotnathalazaro8078 3 ปีที่แล้ว +2

      Yan umewaza Kama mimi

    • @neemamayco3238
      @neemamayco3238 3 ปีที่แล้ว

      Aiseeee

    • @neemamayco3238
      @neemamayco3238 3 ปีที่แล้ว +2

      Huyu dada haamini anamuangalia wema mar 10/10

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Wema wa buguruni bwana katangaza nia ya smatfone

    • @floraflora9490
      @floraflora9490 3 ปีที่แล้ว +1

      @@dotnathalazaro8078 kweli akimnunulia simu ndio tutajua wema yuampenda pia yy

  • @fatmahamad7322
    @fatmahamad7322 3 ปีที่แล้ว +49

    Jmn Hadi raha wema na mm nakupenda mpenz 😭😭😭😭😭😭😭

  • @amiabillity1635
    @amiabillity1635 3 ปีที่แล้ว +21

    Wema sepetu big up xn,kumbe ulistahili xn kuwa mis tz.

    • @somoeshali1681
      @somoeshali1681 3 ปีที่แล้ว +1

      Wema sepetu una sifa ya kupendwa dadangu hata mm kutoka msa nakupenda kwa furaha ya wma a n wma b machozi yamenitoka

    • @fadhirishelukindo7070
      @fadhirishelukindo7070 3 ปีที่แล้ว

      Maashaallah mashaallah

  • @judytabby2777
    @judytabby2777 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani wema una shida gani mbona umekataaa ata wanisikitisha aki sikwaubaya bt hauko sawa kabisa 😰😰😰😰😰😰😰

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 3 ปีที่แล้ว +4

    Aseh ,watu wanaupendo kweli yani demu wangu Wa mwanzo alikuwa ananipenda nikaona uchiz sahivi sipati upendo huo

  • @aminahhill1277
    @aminahhill1277 3 ปีที่แล้ว +2

    🥲🥲😢....Udungu sio hadimzaliwe tumbo moja.... correct

  • @kudramzee4638
    @kudramzee4638 3 ปีที่แล้ว +1

    Big up Wema huu ndio maana ya usanii MUNGU AWABARIKI NYOTE

  • @alleyjuniourtz6964
    @alleyjuniourtz6964 3 ปีที่แล้ว +48

    Wema she is so cute

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 3 ปีที่แล้ว +4

    Oowwh that so lovely.. Wema unastahili kupendwa sana. You have got the heart of Gold😍❤

  • @mosnasnas131
    @mosnasnas131 3 ปีที่แล้ว +5

    Sio huyo pekeyake tupo wengi kama huyo wema mimi nikisikiamtu anakusemavibaya nachukiaga sana nakupenda sana wema

  • @shurwedydy2715
    @shurwedydy2715 3 ปีที่แล้ว +7

    Na mimi nampenda wema jamani 😭❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @leonardinabalenzi4005
    @leonardinabalenzi4005 3 ปีที่แล้ว +2

    Dini zote zinasisitiza upendo. Mtu akionyesha upendo kwa mwanadamu mwenzake apewe nafasi ya kuonyesha hisia zake. Ahsante dada Imelda kwa kuwakutanisha

  • @Ankobcomedytz
    @Ankobcomedytz 3 ปีที่แล้ว +12

    I am so happy, jamani it's very emotional love you both wema sepetu,s

  • @mugishalahay6050
    @mugishalahay6050 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli uyu wema wa buguruni si kiki anampenda kutoka moyoni alishagasema sana

    • @hellykinozile1115
      @hellykinozile1115 3 ปีที่แล้ว

      Wema una roo ya kirasta mungu atakubaliki dada yangu keep strong

  • @saumusalimu5118
    @saumusalimu5118 3 ปีที่แล้ว

    Kiukwel Mm Pia Nampenda Huyo Dada Hata Awe Namapungufu Kiasi Gn Hata Mm Sjakamilika,Ila Nampenda Ktk Moyoni Ukiachana Nakutokuolewa Angepta Japo Mtto Japo Mmoja Jmn😔😔❤❤❤❤❤❤

  • @jackilinram1083
    @jackilinram1083 3 ปีที่แล้ว +3

    Nampenda wema pia na mungu ampe maisha marefu

    • @Matiherbalist
      @Matiherbalist 3 ปีที่แล้ว

      Mashallah kelele yake kwa wema

  • @fadhilarajabu903
    @fadhilarajabu903 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah hata mimi sjawai kumchukia wema bali nachukia baadhi ya matendo yake tu na nikisikia habari mbaya za kumhusu naumia sana kama ndio naambiwa mimi jamani love much kipenzi💞💋

    • @loreenmwambinguloreen7373
      @loreenmwambinguloreen7373 3 ปีที่แล้ว

      Kuchukuiya tabia mbaya za mtu haminshi wamchukua ule upendo ndio husabisha

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 3 ปีที่แล้ว +14

    Jaman nafurah pakamachoz ananitok❤👍👌

  • @atheer9399
    @atheer9399 3 ปีที่แล้ว +7

    Nakupenda xnaaa da wema am from saudia ntamaniiiii pia mm kkuona just one day

  • @dianamkita6571
    @dianamkita6571 3 ปีที่แล้ว +32

    Hongereni sana Wema Sepetu A na B..

  • @bidiiyako6803
    @bidiiyako6803 3 ปีที่แล้ว +2

    Kupendwa Raha jamani... Ata mimi Nakupenda sana wema kipenzi chetu Tz Sweetheart 😘 😘 😘

  • @joank7929
    @joank7929 3 ปีที่แล้ว +3

    Just imagine kumpenda mtu usiyefahamiana nae kiasi hiki. Huu ndio upendo tulioitiwa

  • @junuferjinu1444
    @junuferjinu1444 3 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamani uo moyo sinaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sajdatomar2264
    @sajdatomar2264 3 ปีที่แล้ว +7

    Nime fill ku cry namm jamani mapenzi hayo ya hali ya juu

  • @asyaasya3766
    @asyaasya3766 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimejikuta nam nalia iyo hali ya kumpenda mtu Sana wallah ukimuona sijui unajiskiaga aje lazima machozi ya furaha yakudodoke

  • @dashuusaalim1943
    @dashuusaalim1943 3 ปีที่แล้ว

    Tofauti kat ya global TV na vitu vngne.....wwee mtangazaji unanchekesha walaahy

  • @mwasubilasaimoni8506
    @mwasubilasaimoni8506 3 ปีที่แล้ว +2

    Angekua wakiume leo pangechimbika

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 3 ปีที่แล้ว +22

    Atimae ndoto zake zimetimia

  • @nellymatalanga5033
    @nellymatalanga5033 3 ปีที่แล้ว +5

    Mbona ulimkataa yule kijana aliye kuchora 🙄🙄 ama kulikoni

    • @kmotivation1130
      @kmotivation1130 3 ปีที่แล้ว

      Yule si dume labda alihis msumari ndo umempenda

    • @nellymatalanga5033
      @nellymatalanga5033 3 ปีที่แล้ว

      @@kmotivation1130 😂😂 apende tu fans wote sio kubagua yule kijana alimpenda sana

  • @zawiajuma715
    @zawiajuma715 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana wema sepet kwa MOYO wako mzuri

  • @hamedamahamd1222
    @hamedamahamd1222 3 ปีที่แล้ว +5

    ukiona niupumbavu sio razima kuiangaria hii itaviyu

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 3 ปีที่แล้ว +2

    Minlivyoona sjui skendo ya ngono istar nilizukwa natumbo nliharisha nkiyama sjaingia Ista miezi minne loohh wema unapendwa mashallah

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 ปีที่แล้ว +3

    Ila mtu akimpenda mtu Acha Tu mwenyew kuna mtu nampenda najikuta nalia halafu najiuliza kwann naumiza kichwa kupenda

    • @EliMsuya
      @EliMsuya 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli Mimi nampenda Sana Rose Muhando yani hata nikisikia ametajwa kwa Jambo baya siachi kumpenda alipolazwa hospital nililazwa pia

  • @praisesteven7774
    @praisesteven7774 3 ปีที่แล้ว +17

    Ila wema mrefuuu jmn duuuu

  • @hjhj6230
    @hjhj6230 3 ปีที่แล้ว +6

    Ampe kibarua hata nyumbani kwake ili amuinue kimaisha..upendo ni kitu kikubwa mnoo

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 3 ปีที่แล้ว

      Wewe tena hahahahaha

    • @hjhj6230
      @hjhj6230 3 ปีที่แล้ว

      @@maloomaalmnsj5111 😃amsaidie bhanaa

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 3 ปีที่แล้ว

      @@hjhj6230 okay

    • @faithdaniel5652
      @faithdaniel5652 3 ปีที่แล้ว

      Huyu ampe sini ya uswahili kwenye karma atakuwa ame msaidia sana

  • @Lovelove-or2ob
    @Lovelove-or2ob 2 ปีที่แล้ว +1

    Ushilie jaman hata mimi dada wema nampenda sana

  • @rashidngwawile9062
    @rashidngwawile9062 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Dada mtangazaji namkubali sanaaaa

  • @saidakashinda8998
    @saidakashinda8998 3 ปีที่แล้ว +27

    Mashallah hongera sanaa wema

  • @RajKumar-ub1ns
    @RajKumar-ub1ns 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiki tu

  • @umurerwaaline4290
    @umurerwaaline4290 3 ปีที่แล้ว

    Gupendwa Raha sana.ata Miye namupendanga wema Sepetu naishi kigali Rwanda.naomba siku utafika kigali ndakuona.

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuletee youtube tamthilia ya Karma wema jaman tunapenda kazi zako

  • @lovenessemmanuel5424
    @lovenessemmanuel5424 3 ปีที่แล้ว +1

    Da wema mnunulie cm uyo dada kwa kweli 😭 maana akiwa anakuonaona kwenye cm atafarijika kwa kweli naimani ushauli wangu utaupokea inshallah 🙏

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 3 ปีที่แล้ว

    Wema pamoja na watu wanakupingeza kwa hili lakini unajambo moja la ushamba sana tena sana. Ulipomwambia huyo Wema 2. "Tena nenda kwachambe" hapa hujatumia busara wewe unatakiwa uwe na busaraaa a weye ni star. Au huo ustar haujakugomboa. Chukua tabia ya Lulu wacha ushamba.

  • @samiyomar8327
    @samiyomar8327 3 ปีที่แล้ว +3

    Mnavituko mmemshinda firauni watu wazima ovyo km mimba yaujari

  • @jumakiatu.628
    @jumakiatu.628 3 ปีที่แล้ว +1

    wEmA.nA.miMi.hUkU.nAkUpEnDa.LaKiNi. siNa.tU.siMatiFoNi.

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว +7

    Wema naonakwambali mashafu yamekuja unahaza kunwnapa mange kimambe kasema kweli 🤔 😂 😂 😂

    • @mosimba467
      @mosimba467 3 ปีที่แล้ว +1

      Hata wewe utazeeka tu

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli nahamini sasa uyu dada anampenda wema niliwai kuihona vd yake ya hapo nyuma
    Nikacheka ila leo nimehamini

  • @graceglory1613
    @graceglory1613 3 ปีที่แล้ว

    Yani Mimi nimelia sijategemea Kama wema angempokea uyo Dada kwaupendo wakiasi hicho wangekuwa niwengine hapo sikwadhalau hizo angefanyiwa uyo dada

  • @mundelemuzuri9623
    @mundelemuzuri9623 3 ปีที่แล้ว +1

    jamanii atamm nimefurai sn wema endelea kuwa namoyo huwo huwo maana wapo masupa ster wawezi kufanya kama alivyo fanya wema hongera sn wema

  • @happyjimmy7361
    @happyjimmy7361 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata mimi wema nakupenda uje huku

  • @priscaissaya4012
    @priscaissaya4012 3 ปีที่แล้ว

    Mm nampenda sana Magufuli tangu enzi za uwaziri wake kipindi anagombea 2015 urais nilifurahisana nilikua mjamzito lakini nilienda kwenye kampeni jamani sema sikupata nafasi ya kuongea nae nampe Magufuli jaman

  • @youngteo5341
    @youngteo5341 3 ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda sana wema mpk sauti yko naipenda

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 3 ปีที่แล้ว +7

    Wow hadilaha 💕👌🏾kweli wema niwatofauti 🥰

  • @dinahandi7027
    @dinahandi7027 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakata vitunguu hapa
    Nani ananisaidia jameni👇

  • @switmmy3717
    @switmmy3717 3 ปีที่แล้ว +6

    Akapimwe akili huyo dada😂😂😂😂

  • @muhammadsaidi4872
    @muhammadsaidi4872 3 ปีที่แล้ว

    TUMEFURAHI LAYLKIYASSS
    YES ALWAYS WMA ATABAKIA KUWA WEMA HAMNA HASARA KUMPENDA
    WEMA TRUE COLLAR GOOD HEART ❤ FOREVER 💯💯💯 LOVELY SIS👍 KAMA KUNA WENGINE WANAMKUBALI WEMA NIPENI LIKE ZENU TUJUWANE 🙏👍

  • @michaelkasogela370
    @michaelkasogela370 3 ปีที่แล้ว +4

    Jaman............mm pia nampenda sanaaaaa wema nimesafir kutoka...tarime hadi Dar sijamuona

  • @joelwilliam2864
    @joelwilliam2864 3 ปีที่แล้ว

    Upendo wa huyo wema wa buguruni hatari Mwenyezi Mungu azidi kuwadumishia upendo wenu

  • @imbamohamed358
    @imbamohamed358 3 ปีที่แล้ว +50

    Wema hao ndiyo wapenzi wa kweli

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani nimelia huwezi amini anamwangalia wemaa haamini.

  • @princeasdekeenly9576
    @princeasdekeenly9576 3 ปีที่แล้ว

    😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 biteeee njoo umuone siwazuri kaaaaaa 😂😂🤣🤣😂😂 nimecheka siwazuriii jamani haya ushakutana naeee

  • @mariamukajiru2302
    @mariamukajiru2302 3 ปีที่แล้ว +1

    Aaaaaahaa uwiiiii hii ni series ya ngapi, mnanikumbusha michezo ya utotoni ya kuchezea vitambaa.

  • @mishikisuda6370
    @mishikisuda6370 3 ปีที่แล้ว +3

    Walio tokwa na machoz
    Kama mm like hapa

  • @mrschura3134
    @mrschura3134 3 ปีที่แล้ว +25

    Asiye mpenda wema sepetu ni mwanga

    • @pinkpower9868
      @pinkpower9868 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaaaa

    • @magemeshack5557
      @magemeshack5557 3 ปีที่แล้ว +1

      Natamani kuigiza hata kakipande kadogo tu kuhusu maisha na wema

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabsa

    • @dianamadege1703
      @dianamadege1703 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa kabisa wema ni kipenzi cha watu bana

    • @akshaydavid159
      @akshaydavid159 3 ปีที่แล้ว

      Huyo wema ndo mwanga

  • @queen-yx8uo
    @queen-yx8uo 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dada wema sepetu yupo fair sana hajiskii

  • @mkibandulo1231
    @mkibandulo1231 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah kwa kuitambua thamani ya upendo

  • @samihasan1883
    @samihasan1883 3 ปีที่แล้ว

    Dah,,, kwakweli wema hunampinzan watu wengi tunakupenda sana yani nadua nyingi tunakuombea mpenz kuwa nahamani yamoyotuko pamoja sana ila msalimie sana mama natamani sikumoja nijekumuona hallah akijaalia in shalla kilalakher hallah hawajaz wewe pamoja namam nafamiy yako kwaujumla

  • @amnemkubwa7353
    @amnemkubwa7353 3 ปีที่แล้ว +3

    Natamani hii fursa niipate hata Mimi damwani❤️❤️❤️.. nakupenda

    • @asia9930
      @asia9930 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว

    Ila hiki kiwema chetu jamn kina roho nzr tukibali tusikubal

  • @omantimes9699
    @omantimes9699 3 ปีที่แล้ว +23

    Imependeza sana gn.. Wema mstarabu aswaaaaa

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 3 ปีที่แล้ว

      Omani srhrmu ga ni ndugu mm lkhoudh

    • @omantimes9699
      @omantimes9699 3 ปีที่แล้ว

      @@zohoraramadan4540 niko ibra my krb Na samadi

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 3 ปีที่แล้ว

      @@omantimes9699 hongera na pole kwa majukumu my una muda gani

    • @omantimes9699
      @omantimes9699 3 ปีที่แล้ว

      @@zohoraramadan4540 asnt majukumu kwawote Nimwenyeji sio haba ww je

  • @aggnesfrancis841
    @aggnesfrancis841 3 ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda muno tupo weng tuuuuuuu wananiita wema pia umenirithisha saut Mama ila kitu kimoja tu Mama m naumithiii ule mwili wako ndo ulkua unakupendeza zaidi

  • @theosaimon6933
    @theosaimon6933 3 ปีที่แล้ว +2

    Ingawa nipo ugaibuni ila bongo?? Sihami ng'o????

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 3 ปีที่แล้ว

      Mm Kenya nahama 😂

    • @theosaimon6933
      @theosaimon6933 3 ปีที่แล้ว +1

      @@auntiemylee3157 milliana my dear usihame why unahama ?.kama unahama basi nenda. Tanzania ntakukaribisha

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 3 ปีที่แล้ว

      @@theosaimon6933 I love Tanzania

    • @theosaimon6933
      @theosaimon6933 3 ปีที่แล้ว

      @@auntiemylee3157 your welcome free to leave and make a family or if your hv family also free

  • @aishabakari6426
    @aishabakari6426 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah jmni mpk nafurai machoz ya furah yamenitoka utadhani ndio Mimi nimekutana na wema hhhhhh

  • @miriamkarata7495
    @miriamkarata7495 3 ปีที่แล้ว +9

    Inapendeza sana 👌🥰