Jinsi ya kuanzisha biashara ya duka la vipodozi (How to start cosmetics shop business)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Jinsi ya kuanzisha biashara ya duka la vipodozi ni muendelezo wa video zinazo tolewa na Tan Business Channel
    Je unafikiri uko tayari kuanzisha duka la vipodozi? Sasa hivi hapa Tanzania mahitaji ya vipodozi yameongezeka haraka sana.
    Kuna mahitaji ya aina nyingi za vipodozi kwa ajili ya wateja wa kipato cha kati na cha juu. Kabla hujaenda mbali na wazo la kuanzisha duka la vipodozi inabidi uwe na majibu ya maswali ya msingi kuhusu hiyo biashara.
    Biashara ya duka la vipodozi ina changamoto nyingi ukilinganisha na biashara nyingine. Kwa kuwa biashara ya duka la vipodozi ina changamoto nyingi, unashauriwa uanze polepole kulijaribu soko
    1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
    2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
    3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
    4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
    5. Mitandao yetu ya kijamii:
    Facebook: / tanbusiness
    Instagram: / tanbusiness
    TH-cam: / alimwambola
    #jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

ความคิดเห็น • 18

  • @husnahassan3025
    @husnahassan3025 ปีที่แล้ว +1

    Asantee, samahan naomba unipe dondoo kwa ufupi namna ya kuchagua bidhaa zenye ubora za vipodozi

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  ปีที่แล้ว

      Bidhaa bora ni zile wanazopenda wateja unao wahudumia. Huwezi kuchagua bidhaa zenye ubora bila kushirikisha wateja uliochagua kuwahudumia. Hivyo, unachotakiwa kufanya ni kuweka mfumo wa kuwasiliana na wateja kufahamu bidhaa bora wanazopenda. Nakushauri usome vitabu vyangu viwili vitakusaidia. Vitabu vyangu ni: Jinsi ya kuanzisha biashara ya vipodozi na Uanzishaji wa biashara endelevu

  • @emmyanthon9863
    @emmyanthon9863 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana nimejifunza mengi

  • @alexbuchi
    @alexbuchi ปีที่แล้ว

    Asante 🎉 nimepata somo

  • @shanaharuna217
    @shanaharuna217 2 ปีที่แล้ว +1

    Nauza urembo mjasiliamali mdogo ila siku nawish ntakuwa na Duka kubwa la Vipodozi hapa Magomen Inshallah" Nimejifunza kitu Tnx.

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  2 ปีที่แล้ว

      Karibu tena

    • @raybakar6433
      @raybakar6433 2 ปีที่แล้ว

      @@AliMwambola sorry hivi ukitaka kuanzisha hii biashara ni lazima usomee?

  • @bellconrad3657
    @bellconrad3657 2 ปีที่แล้ว

    Thank you❤️🔥

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  2 ปีที่แล้ว

      You're welcome!

    • @queenurio7043
      @queenurio7043 ปีที่แล้ว

      Habari nawezaje kufaham ubora wa bidhaa jee napaswa kuwa na mtaji wa kiasi gan??

  • @JacklineyJacobpaul-ex9he
    @JacklineyJacobpaul-ex9he 8 หลายเดือนก่อน

    Nikiwa na mtaji wa elfu hamsini50,009 naweza kufanya biashara hii ya vipodozi

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  8 หลายเดือนก่อน

      Huwezi kuanzisaha biashara endelevu ya vipodozi kwa mtaji wa shs 50,000

  • @jamjam8734
    @jamjam8734 7 หลายเดือนก่อน

    Muwe mnatupa na suppliers wa vitu

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  7 หลายเดือนก่อน

      Sawa. Tutafanyia kazi ushauri wako

  • @floradaniel5254
    @floradaniel5254 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua ukitaka kuwa na biashara hiyo Uwe na mtaji kiasi gan?

    • @AliMwambola
      @AliMwambola  ปีที่แล้ว

      Ukubwa wa mtaji unategemea mambo kama ukubwa wa biashara, wateja unao walenga, aina ya bidhaa utakazo nunua, mahali unapo anzisha biashara na kadhalika. Nakushauri usome kitabu chetu - Mtaji wa biashara, kitakusaidia masuala muhimu ya mtaji. Kupata kitabu wasiliana nasi kupitia WhatsApp 255 716682439