I have always loved you people. Nawapenda Sana Zaidi nawaheshimu kwa upangaji Safi Wa nyimbo zenu. You always bless my heart. Anna Zozo, Neema, Rose Sato, Jesca Swalala, Tabitha, Mwl Limbu, Nehemiah, Jackson, Margareth, Jacky my name sake na wengine wote. Team ya watu wa nguvu💪💪💪... Mbarikiwe sana... 254 twawapenda❤❤❤❤❤
Hongereni wapendwa kwa huduma njema fanyeni kazi ya BWANA msikate tamaa kwani mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache. By Newton The servant of GOD
Hii ndiyo choir mpangilio wa sauti upo vizuri wapigaji vyombo wanaijua kazi yao waimbaji wameuvaa uhusika wa nyimbo inavyotakiwa Mungu awabariki sana Neema Choir mnazidi kutoka utukufu kwenda utukufu wimbo umenibariki sana
AICT Changombe Neema Gospel Choir mnatoa nyimbo bora katika ujumbe wa Kiroho na pia usikivu wa sauti za waimbaji na vyombo vya ala za muziki. Hongereni sana Bwana azidi kuwabariki na kuwaimarisha katika kazi zenu za Kiroho.
THIS Song is such a blessing,,i wish Kenya had such choirs like Tanzanians...thank you for the song kazi ya mungu itasonga mbele,tuwe na moyo mnyoofu ,,,
wimbo huu haumalizi utamu kazi nzur mungu awatie nguvu
Kwakweli kwa upande wa music mnanibariki sana, yaani mmejipanga kusema ukweli.
Siachi kusikiliza music yenu kwa kweli
Niishie tu kusema mmebarikiwa na Bwana Yesu 🙌🙌🙌🙏
Napenda Sana huu wimbo jamani, sichoki kuusikiliza Mungu awatunze Wana wa aliye juu
I have always loved you people. Nawapenda Sana Zaidi nawaheshimu kwa upangaji Safi Wa nyimbo zenu. You always bless my heart. Anna Zozo, Neema, Rose Sato, Jesca Swalala, Tabitha, Mwl Limbu, Nehemiah, Jackson, Margareth, Jacky my name sake na wengine wote. Team ya watu wa nguvu💪💪💪... Mbarikiwe sana...
254 twawapenda❤❤❤❤❤
Nangoja album ingine plz ..magreth namuona Ni wa shinyanga ama Neema ningependa kujua..ananibariki saana
Hongereni wapendwa kwa huduma njema fanyeni kazi ya BWANA msikate tamaa kwani mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache. By Newton The servant of GOD
Amen. Ubarikiwe sana
Nlikua nataman sana huu wimbo uwekwe huku.... Napenda nyimbo zenu mnoo Mungu awacmamie
+beatrice makula
Asante sana. Ubarikiwe sana mpendwa!
mmenibariki kwa kila namna Mungu wangu awape neema ya kuendelea mbele na hatimae mkaurithi ufalme wa mbinguni kwa kazi hii njema
Amina. Mungu akubariki sana
Hii ndiyo choir mpangilio wa sauti upo vizuri wapigaji vyombo wanaijua kazi yao waimbaji wameuvaa uhusika wa nyimbo inavyotakiwa Mungu awabariki sana Neema Choir mnazidi kutoka utukufu kwenda utukufu wimbo umenibariki sana
+Billion Barack
Amen. Ubarikiwe sana
AICT Changombe Neema Gospel Choir mnatoa nyimbo bora katika ujumbe wa Kiroho na pia usikivu wa sauti za waimbaji na vyombo vya ala za muziki. Hongereni sana Bwana azidi kuwabariki na kuwaimarisha katika kazi zenu za Kiroho.
+Mtanzania Junior
Amen. Mungu akubariki sana
Wimbo safi sana nimerudia zaid ya mara saba safi sana watumishi wa bwana na mungu aendelee kuwainua
Mungu awalinde na awatunze kwa sababu hjamaliza kaz yake
Heri kama mmempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi !
Amen. Ubarikiwe sana
NAIONA KWAYA KUBWA TZ..Mungu awatunze
Mungu atukuzwe
Haleluya Mungu Bariki watumishi wako Neema kwaya
+Magreth Bakari .
Amen
THIS Song is such a blessing,,i wish Kenya had such choirs like Tanzanians...thank you for the song kazi ya mungu itasonga mbele,tuwe na moyo mnyoofu ,,,
+JANE NYABOKE
Thank you dear sister. God bless you!!
Jane, Tanzania leads in gospel Choir music. Unfortunately in Kenya, such blessing gospel music is considered old school.
Mungu Baba wa Mbinguni awalinde na kuwajaza Roho mtakatifu ili mzidi kumtetea kwa njia ya nyimbo.
Have a nice dreams on your saviours and also be blessed much
Amen
awesome,inspiring,anointed singing , the voices are soo well balanced, the music is the best, the bass man, ooooh mmm nice one,
My favourite song may God bless you Neema Choir
+Miriam Kittah
God bless you
Love this song and choir. Its a blessings
Amennnnn!!! Mbarikiwe sana na Mungu, neno lake Mungu kweli lisonge mbele
+Magreth Bakari
Amen. Ubarikiwe sana
God bless you.
So dericious song.
mubarikiwe sana mnaimba live nzuri sana am blessed
MUNGU AZIDI KUWAINUA TUPO PAMOJA kabisa ILI NENO LAKE LISONGE
+Social Choir
Amen. Asante sana. Mbarikiwe sana wapendwa.
Neno lake Mungu lisongeee, neno lake Mungu liendeeee!
Be blessed dears nawapenda mpaka naumwa
+frank lushali
Asante sana. Ubarikiwe sana
Love so much this choir
Jamani ule wimbo wa Ayala aioneavyo shauku mito ya maji haupo kwa nini
my favorite song I love it....the soloist big up u have a nice voice
Neno lake Mungu lisonge mbele
Perfectly arranged and executed.
Glory to God
This SONG gives me LIFE each day i get to listen it. Mbarikiwe!
its a blessing to my family. Mungu azidi kuwatia nguvu
Amen. Ubarikiwe
Man city
wimbo mzuri sn na unabaraka sn
Amen
Best song
Nice song
Mungu Awabariki Kwa Kazi Zenu Na pia Nazikubal Sana..!!
(Ningebarikiwa sana Pale Ambapo Bass Guitar Analalamika Bc Camera Ingedili Nae Bt Cjaona)
+Ahazi Ahazy Lutha
Amen. Ubarikiwe. Next time changamoto hizo hazitakuwepo
Kazi nzuri nawapenda sana
+Jackson Mtambo
Amen. Ubarikiwe sana
THANKS FOR UR SPIRITUAL SONGS
Amen. God bless you
Very nice 😊😊😊😊😅😅😅
God bless you ❤️❤️❤️
Lav nyie watu mungu awabariki
+Eunice Kilulu
Amen. Ubarikiwe sana
😍😍😍
Tunaomba official site yenu ambayo tunaweza kupata kazi zote
mungu ni mwema
+elizabeth manase
Amen
barkiwaaa
ALBUM ZA HIZI NYIMBO ZIKO WAPI KENYA
Nafukiri hazipo. Ila kama unahitaji waweza weka order yako ukatumiwa text WhatsApp +255 766 777 288
Natafuta mupiga beats
Tuma email kwa neemagospelchoirmedia@gmail.com
Well done
Amen
are your dvds available?
😘😍😇
nyimbo naipenda sana but video mbn mbaya wamefanya live sehem imebana
Tafuta kifaa chenye screen pana zaidi ili uweze kufaidi na hasahasa kama utanunua DVD zao .
+michael mejah
Ubarikiwe sana.
Gudi
+Andrew Liberation
Thank you. God bless you