RIPOTI YA LEO AGATHA VOLUME 05

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 ปีที่แล้ว +2

    pole Sanaa AGATHA hila naamini kabisaa hapo Ulipoingiya sio sehemu salama ❌yani Umeruka jivu🙆Nakukanyaga moto🔥

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante kwa muendelezo Sis Veronica ,pamoja sana 🤝I'm no.1

  • @annamarialivangala3304
    @annamarialivangala3304 ปีที่แล้ว +1

    Daaah inafundisha, inahuzunisha na inaburudisha pia. Hii story ckuimaliziaga kipind cha praise power, niliumia sana kuikosa ila kwa sasa bampa to bampa hadi tuimalize. Napenda pia unavyosimulia

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 ปีที่แล้ว +1

    Sijui itakuwaje mh.Mungu akusimamie agatha..

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂mtu mzee

  • @norman-7296
    @norman-7296 ปีที่แล้ว

    😭nimelia sana kw uchungu😰pol sana agatha

  • @jovithasosthenes3745
    @jovithasosthenes3745 ปีที่แล้ว +1

    Sipend mwanaume anae jinadi km muhaya mweny pesa haongei bhn, pesa zinajionesha zenyew.

  • @neemaneema9969
    @neemaneema9969 ปีที่แล้ว

    Huyo Mzee anataka Nyota ya Agata

  • @joycekikome383
    @joycekikome383 ปีที่แล้ว

    Mwongo huyo mzee.ila cjui tuangalie itakuwaje

  • @glorysixtomsombe7300
    @glorysixtomsombe7300 ปีที่แล้ว

    Da Vero kama nshawah kusikia kipindi Cha nyuma vile

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 ปีที่แล้ว +2

    I hope all goes well with you Agatha 🙏 tuned 🇰🇪

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 ปีที่แล้ว

    Agatha huyu babu isijekuwa wale watu waliokuja maziko ya baba yako

  • @wanzigyamusa9885
    @wanzigyamusa9885 ปีที่แล้ว

    Bora aende kuliko mateso hayo

  • @totooz5853
    @totooz5853 ปีที่แล้ว

    Nibora utumike lkini walipwa..cio kutumika na hata 100 ya pads amna🇰🇪🇰🇪🇰🇪pole agatha japo yalipitaa

  • @aidadismas
    @aidadismas ปีที่แล้ว +2

    Mungu huwatuma watu,ili kumsaidia mtu

  • @noahfilimoni4703
    @noahfilimoni4703 ปีที่แล้ว

    Roho yangu hata haiguswi na hii story Agatha ateseke na 18 zake

  • @happynessswai3922
    @happynessswai3922 ปีที่แล้ว +6

    Kama nlickia hii story 2019 au 2020 kipind upo praise power da Vero

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 ปีที่แล้ว

      Mimi nasikiliza kilaa sikuuu,Nibora nikose kura lakini ichi kipindi kisinipite,namyaka kama yotee,mbona sijawahi iskia ???Ukiniambiya Imefanana nauyo bint ambaye alikuwa anaishi namama mdogo kama Agatha, badae yayule mteja kilaa Alipoenderea kura chakura pare Akatokea kumpenda yule bint,Naakamwambiya nataka nikubadirishiye Maisha achana nahi kazi yachakura kwamama yako mdogo,,,,,,,,,Tumekumbushana tu kidogooo hila so kwaubaya,kama nitakuwa nimekukwanza mpendwa🤲Unisamehe🙏

    • @csato9415
      @csato9415 ปีที่แล้ว

      @@janethkomba4485 ila haya maneno : kura, ichi, myaka, uyo, badae, alipoenderea, chakura, pare, akamwambiya, nikubadilishiye, hila.

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 ปีที่แล้ว

      @@csato9415 nakumbuka yule baba Alikuwa nimume wamtu,pia alikuwa ana mshenga,Alipofata sahani wakaongea kilefuu,nayule mamdogo akafrahi bint kumpata sponsa♥️nayule akamwambiya bint ata kama unataka kusoma tafuta shule,hila badae akaja kumlizaa😭😭😭yani ivyo nivipandevipande nikisema niadisiye jinsi ilivyo hili uweze kuikumbuka,Utasoma wiki nzima,tuenderee kusikiliza mpk mwisho,ndomtaamini kwamba zimefanana,tena nakumbuka hiyo simulizi ilikuwa mwakajuzi kama sikusei

    • @pendojacob4617
      @pendojacob4617 ปีที่แล้ว

      pore sana huyo dada siyomutu muzuri Mungu nimuku mbwa❤️🙏❤️🙏❤️🙏

  • @fatimahasin2041
    @fatimahasin2041 ปีที่แล้ว

    Apo kwenye mzee😄😄😄

  • @zenaiskimario2731
    @zenaiskimario2731 ปีที่แล้ว

    Da vero unajua kunogesha jmn eti sauti kama kijana 🤣

  • @miriam5735
    @miriam5735 ปีที่แล้ว +2

    Nawasubiri wenye viherehere mje na no zenu mbwa nyie

  • @shamirasongati3906
    @shamirasongati3906 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dada anavyomahauri,kwan yeye hataki mwanaume mwenye pesa zake na maisha yake? ,,enewei Agatha kayakanyaga😬

  • @suzanamhagama9315
    @suzanamhagama9315 ปีที่แล้ว

    Sio kati ya wale waliokuja mcbani na magari?