@@jacquelinenyallu3334 ohhhh ya WINIFRED Atari Sana TENA Bibi anamwambiaa Leo umemfurahisha mgeni wangu amekupenda ❤️❤️❤️❤️kapewa mavazi na MTU mwenyewe ninJITU mkubwa , mrefu , mpana
@@queenurio7043 labda alikuwa kiongozi au ni MTU spesho alikuwa kaandaliwa kwaajiri ya bibie Agata ndomaana anamwambia nakujua zaidi na ndomaana babaake alikuwa akidai bado mdogo uuwuuuuuuu jamani nihuzuni kwakweliii
Hapo haolewi mdg wa agata,huyu mwanaume amewateka wrote akili ndio mana hata ndugu ya agata anaona anaenda kazini kila siku kumbe hamna hata sheli yenyewe
Mume wa agatha ni msukule unaoish bila ya agatha kujua. Mana haiwezekan mzee kama huyo awe na shoo kali kitandani. Na kila wakat agatha akitoroka anamkuta yuko ndani. Na mbaya zaid utakuta hata hyo nyumba sio nyumba halisi. Agatha anaish kwa kufungwa.
Ila Agatha mungu alikulinda Sana na anaendelea kukupigania mpaka umekuja kusimulia BAC mungu ni mwema sana
Uwiiiii isiwe kama SIKUJUA kulala kwenye nyumba nzuri na kila kitu 😆😆kumbe ni jalala TENA kubwa sanaaaaaaduuuu
Dunia hii tumtumaini sana mungu bila hivyo tutajikuta tunaishi pazuri kumbe ni kwenye misitu
Mi nahisi unaishi na jini Agatha pole sana
Mmi nasema hivi hyo c dadaake Agatha hilo ni jini lililo vaa sura ya dadaako.. mumeo c mtu mzur Agatha...tusubir juma tatu insha Allah 🙏🙏
Huyo mzee atakuwa anafuga majini. Pole sana Agatha
Dunia ina viumbe vingi vinavyoonekana kwa macho ya kawaida na vilivyo gizani havionekani kwa macho ya kawaida.Mungu atuusuru...
Mungu naomba unitie ujasili niisilize hii simulizi nanielew Ila mm nimuoga Sana Yan doooh
Pole maana kiukweli inatisha mnoo mnoo...ni kama ya yule binti aliepata mchumba Facebook
Au yule dada alikuwa anafanya kaz za ndan akakutana na bibi anayetaka kumpa uchawii🙌🏽
@@graceanthony223 inaitwaje niitafute
@@jacquelinenyallu3334 ohhhh ya WINIFRED Atari Sana TENA Bibi anamwambiaa Leo umemfurahisha mgeni wangu amekupenda ❤️❤️❤️❤️kapewa mavazi na MTU mwenyewe ninJITU mkubwa , mrefu , mpana
@@anastaziamathias8861 simulizi ya SIKUJUA
Mh🙆 hi Dunia inamengi Sanaa yaajabu 🤲Mungu Atusaidiye🧘
Ameen
Wakwanza leo
Huyu agatha kwanza ana kitu cha tofauti saana ndani yake mpaka kuwa vile kufatilia kuwa na ufahamu Maana wengine angefanywa zezeta asielewe kitu
Mmmmh!hii dunia inamambo mengi jomn
Emungu muumba wa mbingu na vyote vilivyomo,,,ni wewe pekee uliemtetea Agatha na ututetee na sisi pia,,,kwakweli naogopa kuimalizia hii simulizi
Mungu atutetee hawa watu tunao kutana nao
Wa kwanza
Wamevurugwa akili masikini
Aisee usikute iyo sheri ni ya majini
The first one mc safari
Jamani tunataka muendelezo
Najifunzza
Na wasi wasi na hiyo sheli ni mazingaombwe tu anaona anafanya kazi sheli kumbe analimishwa bila kujijua
Daaah
Ukute hata hiyo nyumba wanaishi ni pagar
😄😄😄
🤔
Mmhh una roho ngumu
Ila sijakawia san.
Mie nahisi anaishi na mzimu wa baba ake
We umewazidi wote, mzimu wa baba yke ndio ufunge nae ndoa🙉🙉😆
😆😆😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂jamani Acha bas QUEEN
@@mariamyoyote8172 😂😂😂😂
@@reginaedward4645 ndio bhanc kule mwazon babake alikuf
@@queenurio7043 labda alikuwa kiongozi au ni MTU spesho alikuwa kaandaliwa kwaajiri ya bibie Agata ndomaana anamwambia nakujua zaidi na ndomaana babaake alikuwa akidai bado mdogo uuwuuuuuuu jamani nihuzuni kwakweliii
Dhuuh
Haikosi kua huyo mume wa Agatha anataka kumuoa huyo ndugu yake wala hakuna kazi anayo fanya bali yeye hushinda na mumewe Agatha, tuned kenya 🇰🇪
Yaani hadi hapo ujaelewa Agatha anaishi ni nani...mdogo wake katekwa akili kama alivyotekwa Agatha labda nikufafanulie kidogo
Hapo haolewi mdg wa agata,huyu mwanaume amewateka wrote akili ndio mana hata ndugu ya agata anaona anaenda kazini kila siku kumbe hamna hata sheli yenyewe
@@graceanthony223 Agatha anaishi na jini, huyu sio mume kamili
Mume wa agatha ni msukule unaoish bila ya agatha kujua. Mana haiwezekan mzee kama huyo awe na shoo kali kitandani. Na kila wakat agatha akitoroka anamkuta yuko ndani. Na mbaya zaid utakuta hata hyo nyumba sio nyumba halisi. Agatha anaish kwa kufungwa.
@@graceanthony223 na hata huyo mdogo wake utakuta anafanyishwa kaz za kichawi sio kaz za sheli. Ndio mana anachoka san