HILI SI LAKUFURAHISHA BALI NI KUHUZUNISHA: KHUTBA YA IJUMAA, SHEIKK KISHK
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
- Khutba ya Ijumaa iliotolewa na Sheikh Nurdeen Kishki ,Masjid Ihsaan Maarufu Vetenari Temeke Dar es Salaam Tanzania. 29/12/2023, Mada ikimuelezea Jambo abalo siyo la kufurahishi bali ni lakuhuzunisha, Ni jambo gani hilo? InshaAllah fatilia hadi mwisho upate kuelimika , kujifunza mengi na kupitia kishki Tv, tunaomba msambaze kwa wingi ujumbe huu na Allah atawalipeni.
Shukran sana shekh kwa ukumbusho, hakika shekh kishki ni mmoja tuu Tanzania
Shukran,jazzaka allahu khaira allah akuhifadhi dunian na akhera
AFADHALI HT MMETUWEKEA MANAKE MTANDAO UMTUTESA SANA #MashaAllahsheikhshukraan
🙏🙏🌹🌹
Mashallah mungu akuwekea kishk
Allah akuzidishie Sheikh Kishki, Allah atuongoze katika njia yenye kheri
Ameen yarrab mashallah sheikh 😢
Manshaallah ukumbusho mzuri sana ALLAH akulipe kheri
Oooh allah tends miujiza yako ushangaze walimwengu yaaah rasulillah
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh sheikhnurdeenkishk
Allah akuifadh sheikh Nurdeen Kishki
Jazzakallahu kheir
Jazakal khaira
Subuhana Allah
Jazakallah khayran
Allah akupe maisha malefu na yabaraka akurudhuku kira LA kher sheikh nurdin kishki na kupenda kwa jili ya allah
😢😢 6:14
Hakika😢