Matangazo ya Dira ya Dunia TV 24/01/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 99

  • @hashimposho-ju6nz
    @hashimposho-ju6nz 9 หลายเดือนก่อน +15

    Nimependa sana haya maandamano

    • @godfreybatoba
      @godfreybatoba 9 หลายเดือนก่อน +2

      Yalikua maandamano yakistaarabu safi sana.

  • @RichardAloyceMasawe
    @RichardAloyceMasawe 9 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera sana BBC kwa kuandishi bora bila uchawa nyie ni kioo cha waandishi wote tz

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 9 หลายเดือนก่อน +9

    Mandamano ya kwanza Tanzania chadema oyeeee🎉🎉🎉❤

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 9 หลายเดือนก่อน +4

    Asante BBC kwakutupelekea ujumbe dunia zima wajue sisi watanzania maisha nimagumu ccm wanatutesa wananchi wao tunahitaji katiba mpya

    • @YusuphMaswi
      @YusuphMaswi 9 หลายเดือนก่อน

      Sasa mura unapeleka duniani Kwa akina nani mura ,mambo mengine yanatakiwa uchukue mahamuzi na hatua kubwa mura sawa hamna shida subilia matokeo kutoka njee

    • @MichaelBusinesHub
      @MichaelBusinesHub 8 หลายเดือนก่อน

      Umeteswaa lini😂😂😂

  • @EvaKiswaga-j2o
    @EvaKiswaga-j2o 9 หลายเดือนก่อน +7

    Hongera saaaaana. Kamanda mbowe. Na kamanda lisu. Lisu unakitu kikubwa Sana. Alichokupa mungu kwa ajiri ya watanzania. Ndio maana lisasi hazikukumaliza uhai wako. Ila! Huwa naumia saaana kukuona na ulemavu wa ukubwani. Acheni mungu aitwe! Mungu

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kamanda wangu hata mimi huwa naumia sana, ninapomwona kamanda Lissu akiwa mlemavu ukubwani, ila tumwache Mwenyezi Mungu aitwe Mungu, yawezekana ndivyo alivyopanga, I dream this man to be a president of this government...ila Malipo ni hapahapa duniani, aliyetaka kumtoa duniani, ametangulia mbele ya haki.
      Glory to God.

  • @ELIAMBISE-ck7fr
    @ELIAMBISE-ck7fr 8 หลายเดือนก่อน

    Nimependszwa nà hii. Big up

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika nawakubali sana Asante kwa taarifa za ukweli bila kupindisha ukweli wala kushawishiwa kisiasa

  • @onesmomasala-rg2wd
    @onesmomasala-rg2wd 9 หลายเดือนก่อน +6

    Maandamano ya nimeyapenda

  • @LucySimba
    @LucySimba 8 หลายเดือนก่อน

    Hamjambo nyote Haki na ifuatwe kwa kila Taifa la Este Africa Thank you Mbarikiwe

  • @user-chungamali
    @user-chungamali 9 หลายเดือนก่อน +10

    Samia alisema kwa jirani kumechemka 😂😂😂😂 kumbe mumefwata wakenya 😮😮😮kiatu ni kilekile😂😂😂

  • @ShabaniMbwana-q2f
    @ShabaniMbwana-q2f 8 หลายเดือนก่อน

    Wapo sawa maisha ni mAgumu mno

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ibariki tanzania hilal shekhan Tanzania

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 9 หลายเดือนก่อน +2

    Peter mwangangi you're here my brother bbc

  • @AshilatAbas-qe4fh
    @AshilatAbas-qe4fh 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana chadema

  • @HamisiPeter-d1h
    @HamisiPeter-d1h 8 หลายเดือนก่อน

    Tusimamie haki✌️✌️💓🙏🌹

  • @fredymkanza
    @fredymkanza 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi Nimpongeze Mama Samia ameonyesha Ukomavu. 🎉🎉🎉 Congratulations

  • @Mafulu-b2p
    @Mafulu-b2p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Maandamano hayasaidii

  • @LaizerMlay
    @LaizerMlay 9 หลายเดือนก่อน +6

    New goverment and new consutition🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 9 หลายเดือนก่อน +1

      Viva Leizer Mlay, hoja yako makini sana,....New government, new Constitution,.

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @molotovcocktail4207
    @molotovcocktail4207 8 หลายเดือนก่อน +6

    Please TZ come to Kenya tuwafunze how to demonstrate until the whole world listens😅

    • @richardbenny156
      @richardbenny156 8 หลายเดือนก่อน

      mauaji nyie. machinja chinja. Wala watu

    • @NAHAYOFrancis
      @NAHAYOFrancis 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa huyo ya wagema waachieni wagema wakayageme wenyewe.

  • @ezekielezekiely8476
    @ezekielezekiely8476 9 หลายเดือนก่อน +10

    Vema makamanda,hata mbuyu ulianzakama mchicha.huo ni mwanzo,wananchi sasa wataanza kuelewa.

  • @SaviorAfrica
    @SaviorAfrica 9 หลายเดือนก่อน +10

    Oyoyo katba mpya ni lazima

  • @mikiomari2629
    @mikiomari2629 7 หลายเดือนก่อน

    Nyie abari zenu zauongo sana 😢😢😢😢😢

  • @EssauLucas
    @EssauLucas 8 หลายเดือนก่อน

    Tunamuitaji YESU TANZANIA

    • @mashatheeofwallstreet.5662
      @mashatheeofwallstreet.5662 8 หลายเดือนก่อน

      Nothing is bad with maandamano it shows how democratic a country is😂😂😂😂😂

  • @ayubulucas3364
    @ayubulucas3364 8 หลายเดือนก่อน

    Chadema hoyeeeeeeeeeeeee

  • @harrywarren61
    @harrywarren61 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo nimewakikishia MTANZANIA ni wa AMANI MUNGU Bariki TANZANIA

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 9 หลายเดือนก่อน +5

    Kuna jamaa alisema lisu amekimbia maandamano kaenda kushabikia mpira, Afkon kumbe nakenyewe kameanza uongo?

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 8 หลายเดือนก่อน

      Yule ni mpumba kwana hajielewi . Wala hajui mipaka yake sifa tu.

  • @JacobMsuya-e2p
    @JacobMsuya-e2p 9 หลายเดือนก่อน +4

    MUNGU ibariki Chadema, MUNGU Fanya agenda zote ziwezekano

  • @henryhenry-tr5jj
    @henryhenry-tr5jj 8 หลายเดือนก่อน

    Habali za vita gaza 4:05

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol 9 หลายเดือนก่อน +3

    Chadema ni chama cha amani hilal shekhan mcr oman

  • @YohanaLazaro-rj7cp
    @YohanaLazaro-rj7cp 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @AbdullyRashidy-zi9lt
    @AbdullyRashidy-zi9lt 9 หลายเดือนก่อน

    Pongeza kwa Mheshmiwa Rais ❤❤❤❤❤ Tanzania inafunguka sasa

  • @BernadethaSimba-qi4dw
    @BernadethaSimba-qi4dw 9 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo usikivu serikali ingesikia kilio cha wa Tanzania maandamano yasingekuwepo sasa ukipigwa na baba ukakimbiria kwa mama naye akakupiga au akakaa kimya mtoto hukimbiria kwa Jirani huku analia na ndipo shida nyingi au kwa maneno mengine Aibu za ndani hutolewa watu wakajua siri zenu lakini mama angembembeleza mtoto na kumuahidi kitu chochote Aibu isingekuwepo siyo mtoto tuu ana tatizo bali hata wazazi huwa Tatizo hapo ndipo Busara itumike kuondoa hiyo AIBU

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 9 หลายเดือนก่อน

      Bonge la tafakuri, sana kali imetumika

    • @Mchungaji883
      @Mchungaji883 8 หลายเดือนก่อน

      Sahihi

  • @JacklineJoseph-r7y
    @JacklineJoseph-r7y 8 หลายเดือนก่อน

    Chadema oyeeeee?

  • @MaaDii-iz3ur
    @MaaDii-iz3ur 9 หลายเดือนก่อน +2

    Sjaona sufuria kwa kichwa 😢

  • @galusmagova
    @galusmagova 8 หลายเดือนก่อน

    Saafi

  • @HassanHemed-g5c
    @HassanHemed-g5c 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu mlinde docta samia suluhu hassani atuongoze bila upinzani kwa mwaka yake amen

  • @Pastorsteverotali
    @Pastorsteverotali 9 หลายเดือนก่อน +3

    CHADEMA TULINDIENI RASILIMALI ZETU ZISIENDE KUNUFAISHA MATAIFA MENGINE WAKATI WATANZANIA WANALALA NJAA NA HUDUMA MBOVU KWA WATU WAKE.

  • @gabrielmahala9848
    @gabrielmahala9848 9 หลายเดือนก่อน +7

    Tunahitaji katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

  • @AliMkumbukwa
    @AliMkumbukwa 9 หลายเดือนก่อน +1

    Da kwel yan sukali impnda adi 4000 da😢

  • @diegoshanga8184
    @diegoshanga8184 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja sana kamanda mbowe tundu Lisu kamanda wa zamu!! Tuko pamoja sana
    Wale machawa!! Wakujipenekeza vile vyamaccm mjitafakari!!!

  • @MASELEBUBINZA
    @MASELEBUBINZA 8 หลายเดือนก่อน

    Safisana

  • @JosephMihumo
    @JosephMihumo 9 หลายเดือนก่อน

    Wanatuua kisawanatuita masikini

  • @gtvonlinemdee7001
    @gtvonlinemdee7001 8 หลายเดือนก่อน

    Sio utashi we mwandishi katiba ndivyo inavyotaka 😊😊

  • @galusmagova
    @galusmagova 8 หลายเดือนก่อน

    Wamezidi ubepali

  • @D.P.O
    @D.P.O 8 หลายเดือนก่อน

    Polisi hawajaruhu maandamano, maandamano ni haki kikatiba muandishi usipotoshe

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kifupi samia hatukutaki

  • @nahlaaasidee1848
    @nahlaaasidee1848 9 หลายเดือนก่อน

    Mohammed Issa Hizb wa TIF, eti sheikh huyuuu...

  • @pastorysent6586
    @pastorysent6586 8 หลายเดือนก่อน

    Chama tawala wakijichanganya kwenye katiba mpya ndio bayi bayi kutoka madarakani

  • @molotovcocktail4207
    @molotovcocktail4207 8 หลายเดือนก่อน

    Mlitucheka Kenya tukiandamana sasa mnalamba lolo😂

  • @SharubuSharubu-vu7ro
    @SharubuSharubu-vu7ro 9 หลายเดือนก่อน

    BBC, ahsate

  • @josephwanjiru3459
    @josephwanjiru3459 8 หลายเดือนก่อน

    Maadamano yaamani inakubarika na raila angekua akiongoza maadamano hivo ndo wasiende wakiharibu mali ya watu

  • @SamwelMdamanyi
    @SamwelMdamanyi 8 หลายเดือนก่อน

    Kuna sababu Gani inasabisha vitu vipande bei tanzania? Au tamaa ya wafanya biashara wapate faida kubwa zaidi? Wafanya biasha wa mafuta ya vyombo vya moto ni matajiri wawajali watu wa chini maana ndio wateja wao wengi sio wananunua huko wanasikitika.haifai

  • @dancangagani
    @dancangagani 9 หลายเดือนก่อน

    Nilidhani tz haina pinzani kumbe pia kwa kwatokota

  • @anchelouskyaruzi3992
    @anchelouskyaruzi3992 9 หลายเดือนก่อน

    Kongoe makamanda

  • @Pastorsteverotali
    @Pastorsteverotali 9 หลายเดือนก่อน

    TANZANIA TUNAVYAMA VIWILI TU, CCM NA CHADEMA, VINGINEVYOTE NI WAFUASI WA CCM WANAKUBALIANA NA KINACHO FANYWA NA CCM.

  • @ZainabJolie
    @ZainabJolie 9 หลายเดือนก่อน +1

    Zari anafanya biashara gani ?

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 9 หลายเดือนก่อน

      Anafanya kazi za kurithi shule za marehemu ex husband wake na kazi zingine ni ujanja ujanja tu.

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 9 หลายเดือนก่อน +1

    Madai ya Chama kikuu cha,Upinzani nchini Tanzania ktk maandamano yao wamewakilisha sauti ya umma,wa Watanzania dhidi ya Wenye mamlaka.
    Selikali inapaswa kusikiliza na kutafsiri kimatendo haina haja ya kubaki kimya maana ukimya utafanya kila kona ya nchi siku moja kuandamana.
    Ikifikia hatua hiyo itakuwa ni sura isioweza kutafsirika kwa lugha nyepesi.

  • @gilbertjuma7294
    @gilbertjuma7294 9 หลายเดือนก่อน +1

    BBC mmeshapoteza public trust. Hamuaminiki kabisa. Muda wa kufariki kwenu umefika

  • @aloycekangati6926
    @aloycekangati6926 9 หลายเดือนก่อน +2

    Analysis yako inaonyesha biasness yako kuhusu chadema.
    1. Unasema turn out ilikuwa ndogo uko serious kweli?
    2. Unasema hii ni vision ya rais. Umesoma ile miswada kweli? Samia hataki mabadiliko ila pressure from progressive people inamtaka alete reforms.
    3. Uchaguzi wa serikali za mitaa usimamiwe na tamisemi na waziri ni mkwe wake? Are you serious kweli? Please stop this useless propaganda. It does no good to our country. Pathetic.

  • @user-chungamali
    @user-chungamali 9 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂mulisema wakenya ni wajinga hawana akili😂😂😂 kumbe tumewaambikiza😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪💪 jikaze pia nyinyi

    • @LaizerMlay
      @LaizerMlay 9 หลายเดือนก่อน

      Sisi si njaaa ndugu ni ya amani tu hadi unaona mwenyewe hatuna masufuria kichwani😅

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 9 หลายเดือนก่อน

      We Kenya 🇰🇪 ushawahi kuona mkuu wa police anaongoza MAANDAMANO....

    • @christopherjoseph8330
      @christopherjoseph8330 8 หลายเดือนก่อน

      Maandamano ya Tanzania polisi wanashiriki nyie Kenya vp polisi?

    • @user-chungamali
      @user-chungamali 8 หลายเดือนก่อน

      @@LaizerMlay sisi kwetu ni maandamano ya wanaichi si police ya Tanzania ni uigizaji wa video tu . Dangu nisaliwa hayo ndio maandano ya kwanza Tanzania . wengine wao pale walilipwa hele

    • @user-chungamali
      @user-chungamali 8 หลายเดือนก่อน

      @@LaizerMlay maana ya njaaa ni uchumi na maana uchumi ni njaaa

  • @mukumbilwa4990
    @mukumbilwa4990 9 หลายเดือนก่อน

    Sasa wewe Zari kwa nini umechanga kingereza na swahili?umejiamini kujua luga kushinda mpasha abari??mumependa sana luga za wageni

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 9 หลายเดือนก่อน

      Zari ni mganda lijue hilo.

    • @paschazianestorymatunda6490
      @paschazianestorymatunda6490 9 หลายเดือนก่อน

      Basi aongee kingereza Sio kutuchanganyia, maana yeye Ni Muganda Sio mswahili.​@@odilomwemeziernest646

    • @mukumbilwa4990
      @mukumbilwa4990 8 หลายเดือนก่อน

      @@odilomwemeziernest646 okay aksanti sana nilizani ni Mtanzania

  • @talibsaid8096
    @talibsaid8096 8 หลายเดือนก่อน

    Pumbvu tupu

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 9 หลายเดือนก่อน

    BBC ndo wanapenda Tz tuharibikiwe watu wajihusishe kwenye maandamano bila kufanyakazi huku wakifurahia tukivutia wawekezaji tz muwe macho

  • @HassanHemed-g5c
    @HassanHemed-g5c 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi naona kabisa kuandamana siyo sulution ningeomba tu watumue juhudi za kidemocrasia .pia wamuache mama afanye kazi

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 9 หลายเดือนก่อน

      Imeshindikana, kwani wewe unaishi wapi

  • @mwemezirashid2858
    @mwemezirashid2858 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sofa zimwendee raisi Kwa Jemima zake

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 9 หลายเดือนก่อน

    We need to see bbc use two languages Swahili language and lntanationol langwege English for thouse don't understand Swahili use lntanationol langwege as BBC lntanationol midia then neburing country they don't don't hear Swahili they can use lntanationol langwege Swahili can be lntanationol langwege profit of our neburing country hear vary few people but on special neburing country how understand Swahili close boder with Tanzania but country hearing Swahili Kenya understand much better but Zambia Malawi Mozambique Congo do understand Swahili just boder that why we need two languages use to be duble standard lnfometion in lntanationol community hearing what is happening in the nation call Tanzania like ather Africa national use locel language and lntanationol langwege

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hua wako nayo, bbc english

    • @abdalahgunda1319
      @abdalahgunda1319 9 หลายเดือนก่อน

      Ni Bora kuliko kingereza Cha kichina tutaelewana tuu

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @MwagalaJota
    @MwagalaJota 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤