NTEMI Swahili Movie || Bongo Movies Latest || African Latest Movies || Episode 4
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2024
- NTEMI ni moja kati ya filamu bora za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania.
NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha.
Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma.
Hakika utajifunza kitu kikubwa.
Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri.
Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ...........................................................................................................................................................................................
KAPAYA THE GREAT FILM
Contact:
0655 218 331/0753 318 331
email. kapayamic75@gmail.com
Instargram
Kapayathegreat
TANZANIA.
Kosa la mama still waiting, burundian people 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mtemi mi nilikuwa naombi au wazo moja unaonaje ukiwaunatoa mala mbili kwa wiki maana tunaisubir sana au uongeze dk maana ni nzur sana
Mtemi nakupenda Sana
Wewe tu kama uncle jj kanumba
Nzuli sana sana
Hongereni sana jeremia na zena fanyeni mpango muone msiachane maan mpo fire
Tamu sana naomba kosa la mama part 2
Kazi nzr sana pongezi kwenu nyote ila ancle apo anavunja haki za binadamu unamuozesha mtoto wa kike kwa mwanamke mwenzie jamn kisa Ng,ombe siyo poa big up Mr, kapaya jamii inapata funzo kupitia movie hizi 💪💪💪
Hongereni sana, Kwa kutuonyesha maisha halisi ya mtanzania, Mnatiririka vizuri unaiheshimisha tasnia ya filamu.
Jamani movie nzuri kabisa🥰🥰🔥🔥
Safi sana mtemi
Mnanifurahisha nyei Vero n ntemi mpelekeni mtoto shule😂😂🎉❤❤
Nimeipenda hii movie.
Nzurisana kabisa
Nazipenda movie zenu
Bonge la movie,it makes me proud of my tribe,sukuma very exciting.
Ata mmi namusapi uyo mu toto muongoye kiswahili🇧🇬🇧🇬
Kazi nzur sana wote mnaweza
Ntemi ukovzri kaka much lo❤'ve
Huo wimbo nimeupenda sana
Walai tamu lkn mtemi peleka mtoto Shule ndiyo funguo ya maisha.
Ntemi atafahamu na akuelewe ukimwambia apeleke ng'ombe shuleni kuliko mtoto🤣🤣🤣
Wow, very nice & enjoyable. thanks kapayathegreatfilm waiting next episode
Very nice, good job
Ntemi leo umenifurahisha sana huskii kingereza bt nahitaji muendelezo
Mnajitahidi sana hongeleno tupeni 5
Kapaya asante sana
Mungu awaongoze ktk kazi zenu mpo vizr
Saf kabsa kaka
Safi kabisa still waiting kosa la mama part 2 plz
Saana, kosa la mama inachelewa
Mbona ilitoka mda paka nishaiona🚶🚶
@@fatumahassan1371 lini naingoja kwa hamu sanaa😢😢😢kumbe Isha tokaaa
@@veronicahmoraa5123 imetoka mda sn itfte
@@fatumahassan1371 bado haijatoka lini imetoka😔😔
Mbarikiwe wote mulie shirika kazi nzuri Sana Sante sana kapaya
Ahsante sana 🙏 pia
Movie safi xn hongereni❤❤
Wow!! Good movie Lakini Babu peleka Mtoto shule 😂😂🤭🤭🤭
Ntemi uhakiakaa hhaaaa wanywise✌️🇹🇿✌️👏🤰🤰🤰🌻🌻
Kapaya mi nataka kosa la mama prt 2
sawa mama
tuletee kos lamama. ntem
Mm nikipatana naizi ng'ombe kwa barabara najikojolea 2😂😂😂😂😂😂
Kwanini
@@kapaayathegreat izo mapembe🤭🤭😂🤔🤔🤔😬
@@puritylizzytush.j3534 🤣🤣👆
Ntema mtoto mzuri hivyo unamwambia anamacho km michembe siyo vzr mpende mtoto wk
Hujachangwanya Ntemi, waambiwa ukweli 😂😂😂😂
Ntemi kuigiza apo 100%nakubali
Hakili yake uwa inafanya kazi labda asubuh
Kaz zuri
Nawapenda sana
Huyo kaka ake rebeka nimemuelewa kichizi yan😀🤣😀🤣😀🤣😀😂😂😀😂😂
Njoo nikuunganishe nae
@@kapaayathegreat 🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Safi sana twangojea kosa la mama part two
Mbona ilitoka mda mpenzi
🤔mtemi ni shiiiiida.
Wooo velo❤❤
Kanzi nzuri Sana i got emotional when rebeka's mother died it reminded me of my mom when she was very sick I thought she would leave us but with God's grace she survived lakini lol ntemi jamani yaani ngombe niwamuhimu kwako kuliko mtoto navile hako katoto nkazuri and she's very clever
Usha sema ntemi wa vitibwi tu ng'ombe mhimu kuliko mtoto
@@veronicahmoraa5123 aluyo"
Ntemi bwana umenikumbusha mbali hamna kubita jamani mboga iliyonikuza
Ntemi nishida sana mtani wangu badilika🤣🤣
Safi sana
Shukran sana Wapendwa. Movie Nzur sana 😍😍😍🔥🔥🔥
Duh mtemi mtihani kweli
Good work kapaya
Mbona sielewi
nini tatizo mama
ntem mpelek shule mtoto😂
napend San mov zako god. jop ntem unajitahid❤
Safi sana brother nakubali kaz yako from UAE
Ahsante sana brother, wapi huko
Naishi Dubai brother ila napenda kufatilia kaz zako ziko sawa mm ni shabik wako
@@hajihaji6351 ahsante sana kaka🙏
Sehemu ya pili kosa la mama vp
Jaman fanyen haraka mtoe na episode ya 19
Kwaiyo huu ndo mwendelezo
Congrats for good work 💗
New Kanumba : Ntemi !
Woow very much like your work 👏
Wakukaya🙏🙏💥💥💥
Hapo nimekuelewa vzr axante xn
Ahsante kuelewa
Ntemi kazi nzuri.
Hiyo nyimbo yaitwaje jamani napenda kufaham...
Nakubar 🙌🙌🙌🙌
Huyo mtoto ni nzury kweli
Mashaallah
Kosa la mama part 2 lin unatoa kapaya
Yan Kuna watu bado wanaendekeza Mira za ajabu Sana kwa kujal ng'ombe kuliko binadamu duuuuuuu
🤣🤣🤣🤣ilikuwa zaman sio saa hiv
😂😂😂Jeremia unamchanganya Ntemi jamani🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Ntemi mbona hao ng,ombe wanene hivyo unawalixha nin uza hata wanne umpeleke mtoto xhule
Mashaallah
Kaka kapaya napenda Sana kuingiza ila Sina mutu wakuniendeleza kipaji change nakuomba Sana Kaka angu unisaindie mm Niko daar
Dar sehemu gani
Am still waiting the parti 2
Ntemi ulsema kuna maneno yatokea kumbe ni hutu tudogo hata hauonekani jamani ww 🤣🤣🤣🤣
🔥🔥🔥
Nzuri but hapo kwa kisukuma sielewi
hapo kwenye maneno ya kisukuma kuna maandishi ya kiswahili
@@kapaayathegreat jmn Mie naomba mnitafte nije kuigiza na nyie nimependa sanaaa
Sijaona mwanamke kaoa mwanamke mwenzie achen uongo
Nenda msoma utajua
Sas hio Mila ya mwanamke kuoa si ya kikurya na iweje mnaigiza msukuma anaolewa,hapo mnapotosha Mila za watu,walipaswa kuigiza wazaz na mtoto wa kikurya hio section
Mim kama msukuma na Nina sikia wasukuma wakijadili mwanamke kuoa mnatukosea heshima,izo sio Mila zetu,mfikirie mara mbili hapo
@@shinjengasa3574 fatilia vizuri hiyo story kabla hujatoa maoni
Mbona we bro huwa unajitetea kirahis sana,Yan hata kama mama magati ni mkurya huyo mjomba ake na binti ni msukuma,anaongea kisukuma na anatoa taratibu za kisukuma za upangaj wa mahari,lkn Sasa alipaswa kukataa bintiye kuolewa na mama magati,lkn eti anakubal tu kirahis bila kuhoji bintiye anaolewa wap,
Maandishi hapo chini boresheni
movie zako ni nzuri sana ,,ila zinaisha bila mm kujua 🤣🤣🤣🤣jaribu kuweka ndefu kiasi ili tui enjoy
hiyo ni Series ifuatilie utaielewa
@@kapaayathegreat sawa kaka
👍👍👌👌👌❤❤❤
Ntemi anachekesha😂😂😂
nini kinafata kwenye kosa la mama malizieni story
sawa tutamaliza
🤣🤣🤣🤣jamani nimecheka mie 🤣🤣🤣eti macho kama michembe, we ntemi ww ni shidaa🙌 anisia leo sijamuona class mate wng, mie pia nishaandika lugha tofauti mwisho ntemi aniambie nina macho kama viazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Michembe mitamu🤣🤣
Mbon kipand kina choo fuwata chakumi natatu hakitok
Part 5 ipo
Hivi Jere akili yako inafanya kazi saa ngapi labda niwe nakutafuta huo muda. Hahahahahahaha!!!
Mtemi acha ushamba wa kikurya eti msomeshe mtoto
Hao wa kurya wanapooana mwanamke kw mwanamke anaenda kumtafutia mwanamme au inakuaje
Kuna watu wwngine w ajabu sna sasa utamuoaje mke mwenzil
anachotaka yete ni watoto haijarishi umezaa na nani utafute wewe sawa akutafutie yeye sawa
Hii ya kuolewa na mwanamke mwenzake cjaielewa kaka ķapaya,mnatufundisha nini sasa??
tumezungumzia mila ambazi hazifai kuendelea
Hii nimeelewa nimila potofu ambazo hazifai kwenye jamii
@@kapaayathegreat ohoo sawa
@@OmanOman-ky2oo ahsante, upo kman sehem ganiiii
Tatizo sio kuzungumzia Mila potofu,tatizo ni kwenda kinyume na uhalisia,
😂😭😂
🤣🤣🤣🤣🧚♂️🧚♂️
Director chukua maua yako.
Edwin
Kazi nzuli
movie zako ni nzuri sana ,,ila zinaisha bila mm kujua 🤣🤣🤣🤣jaribu kuweka ndefu kiasi ili tui enjoy
Ntemi bwana umenikumbusha mbali hamna kubita jamani mboga iliyonikuza
😂😂hatariii sana