Picha za satelaiti zaonesha Iran imepanua uzalishaji wa makombora

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 36

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 หลายเดือนก่อน +6

    MJOMBA MASUBI MASHAKA YAKO WAPI SASA..
    MBONA HAO WESTERN KILA SIKU WANATENGENEZA...
    AU WAO NDO WALINZI WA DUNIA...

    • @Mumewangu
      @Mumewangu หลายเดือนก่อน

      Kwa Iran nae yupo ndio unapewa taarifa ulikuwa hujui ulizowea kusikia magaribi tu

  • @sautisevarino1656
    @sautisevarino1656 หลายเดือนก่อน +7

    Iran chapa kazi Baba

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 หลายเดือนก่อน +8

    Acha watengeneze2 mana hata Marekani anatengeneza

    • @Mumewangu
      @Mumewangu หลายเดือนก่อน

      Shoga unateseka

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm หลายเดือนก่อน +6

    Waendelee kujitanua kwa ajili kujilinda

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 หลายเดือนก่อน +4

    Ndo ulaji wao bila huo mradi hawana ukoloni huku Africa wakuupola mali zao, Wanajitegemea nakulidhika nawalicho pewa na mungu mora awazidishie, sio kama hawa mabepari wamagharibi

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 หลายเดือนก่อน +3

    Daah noma sana

  • @RajabuAbdallah-yp5dp
    @RajabuAbdallah-yp5dp หลายเดือนก่อน

    Mungu awasaidie

  • @user-nd5uf6lw4g
    @user-nd5uf6lw4g หลายเดือนก่อน +2

    Hawana habari na mtu wao wana jiweka sawaa2❤

  • @shaurisaidi7470
    @shaurisaidi7470 หลายเดือนก่อน

    Hongera iran

  • @mbarukumakakala4895
    @mbarukumakakala4895 หลายเดือนก่อน +2

    ALLY MASUBI WW MCHAMBUZI MZURI SANA ILA NIKUKUMBUSHE IRANI AU UTURUKI SIO MATAUFA YA KIARABU NO

    • @ce-08
      @ce-08 หลายเดือนก่อน +1

      Wanasema hvyo sababu yapo urabuni Ili watu waelewe

    • @ce-08
      @ce-08 หลายเดือนก่อน

      Nikikuuliza Iran ni kina nani utasema Persian sasa Persia c jina la nchi Yao kabla haijaitwa Iran

  • @macksonimwandemele42
    @macksonimwandemele42 หลายเดือนก่อน +1

    hizi setilate zimekuwa za kikuda Sana ingkuwa amri Yang wangetengeneza kwenye mahandaki2

    • @maniamba.tz_
      @maniamba.tz_ หลายเดือนก่อน

      Wanatengeza huko ingawa kunawakati adui anajua kupitia mionzi

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q หลายเดือนก่อน +1

    Magharibi wakati wao wa ubabe kwa kila taifa kwishna

  • @ElijahOwino-xe2cd
    @ElijahOwino-xe2cd หลายเดือนก่อน

    Israel itadeal na Iran kwa hivyo hamna cha kuhofia hapo... hata watengeneze ngapi wakianza vita Israel bado atamtandika tu

  • @AliAbdallah-yo8dx
    @AliAbdallah-yo8dx หลายเดือนก่อน +1

    Inabidi iwe hivyo kwasababu ni njiya ya kujilinda, kwa kuwa yeye yupo kwenye Orodha ya walio pangwa kuangamizwa, na Muamerika na Washirika wake. Iran 🇮🇷 imekusa hata amani ya kujichanuwa kimaendeleo...

  • @macksonimwandemele42
    @macksonimwandemele42 หลายเดือนก่อน

    setelite zimekuwa za wakuda sana watengeneze chini ya handski tuone watapigsj hiz pch

  • @user-up6zl1ck3j
    @user-up6zl1ck3j หลายเดือนก่อน

    Si wanajilinda kama marekani ?

  • @BillySmart-tk1wu
    @BillySmart-tk1wu หลายเดือนก่อน

    🙌✊🙌

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q หลายเดือนก่อน +1

    Iran amalizie nyuklia zake ili USA akae mbali kabisa

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q หลายเดือนก่อน

    Wampe picha n Korea za USA

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q หลายเดือนก่อน

    Kwani wanaogopa nini

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 หลายเดือนก่อน

    Nyie mnapoteza muda unabii unaonesha , Izrael hawezi kupigwa tena tangu ameridi na kua taifa , atakuja kupigwa wakati wa ziku kuu , ndomana ikaitwa taabu ya yakobo au izrael, ila kwa sasa ata aje urusi hawezi kumpiga izrael

  • @user-oh8ig2cy9q
    @user-oh8ig2cy9q หลายเดือนก่อน

    Duuh ujinga mtupu wenzio wanajikita kimaendeleo nyie mnawaza vita

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 หลายเดือนก่อน +4

      nenda BBC, CNN huku hapakufai

    • @user-oh8ig2cy9q
      @user-oh8ig2cy9q หลายเดือนก่อน

      @@nizarrama225 wanatumua magari ya tangu mwaka 1800 wako nyuma kila idala si ujinga uo

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 หลายเดือนก่อน +2

      Maendeleo bila Ulinzi umeskia wap....
      Km huwez kulinda Jamii yko, Wataalam na Unachokizalisha utaendlea kweli

    • @radjabusuleiman6486
      @radjabusuleiman6486 หลายเดือนก่อน +2

      Kadafi aliwekeza kwenye maendeleo nini kilimkuta, Dunia ya sasa kama huna nguvu kijeshi, Ata uwe na uchumi wa Dunia nzima ni Bure tuu, wahuni watakupiga na Mali zote watakuibia wataenda nazo, kadafi Mali zake zote walienda nazo, Sadam Mali zake zote walienda nazo, congo wanauwa watu Mali zote wanasepa nazo.

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE หลายเดือนก่อน +1

      we filauni kweli mmbwa

  • @AliAbdallah-yo8dx
    @AliAbdallah-yo8dx หลายเดือนก่อน

    Inabidi iwe hivyo kwasababu ni njiya ya kujilinda, kwa kuwa yeye yupo kwenye Orodha ya walio pangwa kuangamizwa, na Muamerika na Washirika wake. Iran 🇮🇷 imekusa hata amani ya kujichanuwa kimaendeleo...