Mh mtaniimbia kwenye harusi yangu mana mim mkristo lakini najisigi kama nitakuja kuolewa na muislam napendaga mambo ya kiislam na huwa napendwaga na waislam na wengi wanajuwaga muislam wananiambiaga nimekaa kiislam Zaman nilikuwa na mtindo wa kukaa kwenye kioo uku nimejifunika na kanga kama biharusi wa kiislam Vile najiangalia mama akanifumaga akacheka akasema yani wew mwanangu una vituko na kila ijumaa nilikuwa napendaga kuangalia kipindi cha, mawaiza ya kiislam na baazi ya mistar ya duwa nikawa naijuwa mama akawa ananiambia tunaijuwa wewe husna Fatma nikawa nacheka
Kuna hile kasda ya bibi harusi yani ikiimba unasema hayo maneno nzur nilikuwa naipendaga sijuwi Jina lake na Kuna hile ya zende zake pongezi kwake baba na mama nilikuwa naipenda ikikuwepo kwenye Simu yangu ya Zaman nilizikutaga mle
Wallh hii kaswida nikisema niiskilize lazima nisikilize siku nzima mashallah ni nzuri Mno
Mie lulua ukhty warda mashaallah
Mashallah ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mashaallah very nice habity
Qaswida ina nikumbsha kwenye ndoa yangu hii
Maashllh warda
Nzur Mashaaallah nimeipenda Sana
Mh mtaniimbia kwenye harusi yangu mana mim mkristo lakini najisigi kama nitakuja kuolewa na muislam napendaga mambo ya kiislam na huwa napendwaga na waislam na wengi wanajuwaga muislam wananiambiaga nimekaa kiislam Zaman nilikuwa na mtindo wa kukaa kwenye kioo uku nimejifunika na kanga kama biharusi wa kiislam Vile najiangalia mama akanifumaga akacheka akasema yani wew mwanangu una vituko na kila ijumaa nilikuwa napendaga kuangalia kipindi cha, mawaiza ya kiislam na baazi ya mistar ya duwa nikawa naijuwa mama akawa ananiambia tunaijuwa wewe husna Fatma nikawa nacheka
Kuna hile kasda ya bibi harusi yani ikiimba unasema hayo maneno nzur nilikuwa naipendaga sijuwi Jina lake na Kuna hile ya zende zake pongezi kwake baba na mama nilikuwa naipenda ikikuwepo kwenye Simu yangu ya Zaman nilizikutaga mle
MashaAllah kazi nzuri
Mashallah upo vzr ukhty naiomba watsap 0772366697
Very nice
I'm really like it
glade to hear that dear waa
Nice Mashaallah
Jamani waislam tunaelekea wapi tukumbukeni kuwa umeharamishwa mziki
savimbi mpigan
ia uhuru angola
savimbi mpigania uhuru angola
@@binsouleymanayubu9033 🤣
Mh I love it
Ali Issa 😂
Mashaallah
Mashallah jaman nine love
Nice
👏
❤
Izo baiti umetoa wapi?
Mbona hakuna video! kwann?
kaswida ci haramu lkn zingine huwa kama nyimbo kwa nini musiwe munapga na dufu co kwa hvo vinanda
Sasa uwo ni mziki AMA ni kaswida jamani
Ww wataka nn Angalia yakwako
Nanyie pia muogopeni Allah kaswida azikuwagi ivyo iyo nimiziki2
Mashaallah
Mashaallah