Unajua ktk haya maisha huwez kumridhisha kila mtu sio wote wanaoridhika na hizi kaswida,,baadh yao hawaridhik ukwel Ni huo dada angu ww songa mbele na Kaz yako ,usijal kulaumiwa nakukurudisha nyuma kimaendleo,mm napenda sannn kasda hiii na lait ningejua uko wap ningetak kuungana na ww love you every time
kila mtu anajipatia riski yake kivyake lkn kiukweli iyo sio qaswida bali ni nyimbo haya tu muhimu usile haramu tu piga kazi ujikimu kimaisha mana ajira zenyewe ndo shida lakini mimi nasema tena hii si qaswida hii ni nyimbo
Unajua ktk haya maisha huwez kumridhisha kila mtu sio wote wanaoridhika na hizi kaswida,,baadh yao hawaridhik ukwel Ni huo dada angu ww songa mbele na Kaz yako ,usijal kulaumiwa nakukurudisha nyuma kimaendleo,mm napenda sannn kasda hiii na lait ningejua uko wap ningetak kuungana na ww love you every time
Mhhhhhhh haya mashair nmeyalike kwa kwl mashaallah
Nice one
Mashaallah kaswida nzur mashaallah ukhty mwana upo juu mmy😍😍
Napenda sanaaaa Qaswida zako dada mashallah
Mmmmmh yani qaswida zimeisha wallah mungu tunusulu sisi wanawake
Mashallah napenda sana qwsida zako ukhti mwanaacha allah akuzidishie inshallah
J’aime tes chansons meme si je comprend pas et ta belle voix, j’aime écouter tout ça mois de ramadan confinement à paris ❤️❤️🌹
ukhty mwanacha naomba mawasiliano yako nahitaji qaswida ya harusi yangu InshaAllah tafadhali natakanijue Sharma zake
Mcheni allah nyinyi wanawake msiwe na istihizai katika dini
Hongera dad mwana nakupenda xan❤❤❤❤❤ I ❤think it's the best
Mwananacha big up
mashairi mazuri ila hamujuwi kuanza ikaelekea kama kaswida ila mupo sawa kama munanikubali gonga like
Ewiye and the father dear 7h0
uko vizuri sister wng
Mwanacha hujambo
Subuhana llah iyo s tarabu iyo jaman Allah anawaona
ni kweli CIO kazi
Dhuriii mashaallah
Fresh tuuu
Mashaallaah
khery hio wanaocheza wanawake peke yao kuliko rusha roho mpaka midume ndani
Maashallah.
Mmmmmmmmh kwakel. Taarabu hii jamn muongopen Allah .
Tamu
Kabisa
Jamani hawakweli ndo maukhty na mitandio nusu shingo heeeeee makubwa
100% Mashll 👌
Nimependa Sana Tam Kuliko
😆😆😆zainabu mohammed@ Ah! Wewe si uli comment, jamani mnawaza mbali😂
nilikua Nawambia Wanao Sema At Hii Nitaarabu Sijui hawajui Taarabu
yaaaannnn saut yake....
bado kidoooogo ifanane na ya Nasra mpatan
lkn beat yake n kama y hammer q na mossi suleiyman kwny wimbo w uke wenza😅😅😅...
Hii ni qaswida ya harusi au ni mtu umpendae asiekupenda achana nae mbna sielew
duh noma cn
Safi
Like Zanzibar one iv
Mashallah❤❤❤👌👌👌
Aisha's DIY Corner hi aisha
I love this songs
Nice song
But dida ndio fundi zaidi
mmh hii nyimbo nzr sana
ni mzuri
mashaallah
Tarabu nzuri
Mamy uko Oman ?
@@naymah3560 ndio
@@cuteisheroman764 ooh tuko pamoja dear upo sehemu gani
Hahahhahahahah
@@naymah3560 adhaiba karibu na al meera super market
Masha Allah ukhit wang nitaiweka kweny harus yang ..AWA wajinga wanazan nitaarabu awaache wenyewe
Wewe unaesema wajinga wanaosema taarabu mungu anakuona
jamani Hi Ni Kaswida Ya Harusi Mbona mnawaza Mbali Sana
nyimbo nzuri
Tenaaaaaaaaaaaa hahaha walah peponi tunaenda wengi
Jmn mbona taarabu
kila mtu anajipatia riski yake kivyake lkn kiukweli iyo sio qaswida bali ni nyimbo haya tu muhimu usile haramu tu piga kazi ujikimu kimaisha mana ajira zenyewe ndo shida lakini mimi nasema tena hii si qaswida hii ni nyimbo
Sasa mziki wenyewe ni haramu hiyo riziki itakuwa ya halali hapo
Sasa kama ni nyimbo si ndo anakula haram? nyimbo ni haram katika uislam
Naaam
Kwahiyo hiini halali??
😍😍😍
Acheni ujinga kama mumechoka kusoma kasida jiungeni na isha mashauzi
Hahaha
Masha allah
MashaAllah
Ni kama taarabu lakini
Nayma H
Taarabu
Mtakua mmesahau hii sio kaswida
Jueni maana ya kusema ukht so mnajita tu kujipatisha dhambi
Nikwel hawajui maana yake
dah
Mashaallah
Nakupenda sanaa
Ukhty mwanacha unatoka ndani ya madam this is not a qaswida ends jiunge na mzee Yusuf wacha kukufuru na kuharibu dini
Munaimba nyimbo za taraabu kisha munasema kaswida acheni mambo yenu.
😭 Cjui kwanini hawawez kutofautisha QASWIDA na Taarabu hii ni taarabu jamani
Sasa hiyo nkaswida ama vp mbona sielewi mashairi ya taarabu jamani munamambo nyie
Binaadamu wana Mambo kweli
Mohamed Omar sasa mtu hakatazwi kusoma qaswida lkn si kwa hali hiyo mana hata kwa mashairi yake na ngoma zake si za kikaswida ntaarab hasaaaaa...
Mishiomarabdhalla Hassan bashraf
Dad yng nakukubal xaan plx naomb number yk ninaxhid muhimu naww🙏
0772285543
Hakuna kasweda hizo hizo ni nyimbo zenu zama penzi musicheze jina la kasweda
Naomba kutumiwa nimeipenda mashaallah 0768259132
👍
Tyyrtttt
Nice
Masha Allah
Maashaallah
Mashaallah
mashaallah
Mashallah
mashaallah