Mimi ninaamini kuna Mungu aliye hai,ukikaa ndani yake,nayeye atakaa ndani yako, yeye ni mfinyanzi atakutengeneza upya,Hongera sana Mama Rose,nakuombea maisha marefu Duniani ili utimize kuzudi la Mungu,AMINA
Rose Muhando, NAKUPENDA SANA, muimbaji wa injili mwenzio aliwahi kuimba “DHAHABU IKIPITA KWENYE MOTO UJUE ITANG’ARA TU, na jiwe likipita kwenye moto ujue litapasuka tu, ROSE, wewe ni dhahabu, unatumika kwenye jeshi la BWANA kwa uaminifu na utazidi kung’ara! Ole wao waliohusika kukushusha, OLE WAO!

Dada Rose God is using you. You have touched many broken hearts and families. God bless you and your family.
Millard Ayo asanteni Sana kuleta mama Rose promote huyu mama arudi Tena zaidi kama kitambo Mungu mwema siku zote welcome back Dada rose
Mwenye mziki wake wa Injili amerudi Mungu mwema tunakupenda sana dada Rose 🙏🏻
Rose ni Chombo cha kazi ya Mungu.
For real mungu alijibu maombi yetu tuliomuombea ...mungu azidi kukuinua kabisa kabisa
Hongera Dada Rose, Mungu amekufuta machozi
Nakupenda Sana Rose...Mungu Akubariki 😘
Hongera sana mama TRM twakupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akutangulie mama napenda Sana nyimbo zako huwa nafarijika Sana ninaposikiliza.
Wakenya wapi likes za Rose muhando
Be blessed mama ur songs is inspiring more.
Mungu akubariki sana Dada Rose
Rose Muhando, NAKUPENDA SANA, muimbaji wa injili mwenzio aliwahi kuimba “DHAHABU IKIPITA KWENYE MOTO UJUE ITANG’ARA TU, na jiwe likipita kwenye moto ujue litapasuka tu, ROSE, wewe ni dhahabu, unatumika kwenye jeshi la BWANA kwa uaminifu na utazidi kung’ara! Ole wao waliohusika kukushusha, OLE WAO!
Mimi Ni muislamu Ila Nampenda saan rozi muhando
MUNGU akutunze Dada Nakupenda sana
Mungu aendelee kukulinda Legend wetu
Halafu msisahau kutangaza kwanza kwamba amani ni tele Burundi
Hayo yote Dada Rose Muhando ni kwa sababu MUNGU ni uzima wako.tembelea TH-cam Channel yangu . Jina Yusuph Otieno
Malkia wa mziki wa gospel ongera kipenzi ca watu ubarikiwe sana