Dua Ya Kutatua Matatizo Yote Kwa Haraka BI-IDHNILLAAH

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 106

  • @biashaqtr-xd2mf
    @biashaqtr-xd2mf 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ewe mola wangu mbingu na Ardhi mjuzi wa Kila kitu unayejuwa tusioyajuwa.yarabi mola wamalaika wote na mola wa Arshi tukufu.Tunanakuomba YA Allahu natunakuomba Ya Latif Ya Halim Ya Kabir tutakabaliye Dua zetu.utupe nguvyu zinazotoka kwako.Amin Tunakuomba msamaha Ya Rabbi Tunakupenda Mola Wetu Mola Mlezi waulimwengu Alhadulilahi waswalla llahu ala saidi Na Muhammad S.A.W.A Nakupenda Mola wangu Mlezi

  • @NeemaKizulege
    @NeemaKizulege 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mola wangu nijalie mume alie sahihi katika maisha pia mpe uhai na maisha marefu mama yangu na baba yngu wape afya njema watt wngu

  • @MejumaaMwamunda
    @MejumaaMwamunda 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ya Allah nifanyie wepesi kwa Kila jambo langu,niondeshee dhiki na maradhi nipe furaha kwenye maisha yangu

    • @MejumaaMwamunda
      @MejumaaMwamunda 6 หลายเดือนก่อน

      Kupitia dua hii uniondolee fikra mbovu mbovu yaraby niongeze kwa Kila jambo hapa Duniani

    • @DullyGang-pp5el
      @DullyGang-pp5el หลายเดือนก่อน

      Amiin YAH ALLAH

  • @Tinatana-pq5rb
    @Tinatana-pq5rb 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu naomba nijaalie ndoa na mume mwenye iman lakin pia mjaalie mama angu maisha marefu na afya njema nipatie kipato cha alali iliniweze kumsaidia mama na familia yangu mtoto wangu fakhim akawe mtoto mwema na kuyapenda masomo yake ya dini na ya shule amin inshaallh🤲🙏

  • @egmegm6202
    @egmegm6202 2 ปีที่แล้ว +10

    Yaa allah naomba unifanyie wepesi katika masomo yangu niweze kufaulu😭 nakutegemea ww tu yaa allah na kuomba🙏🙏

  • @lailati6980
    @lailati6980 28 วันที่ผ่านมา

    Ameen Ameen Ameen 🙏🏻 inshaallah yote kwako Ya Allah mepesi Akuna zito nakuomba mola wangu mlezi nipe faraja kwenye moyo wangu kwa dua hii inshaallah

  • @lailati6980
    @lailati6980 28 วันที่ผ่านมา

    Ya Allah nifanyie wepes kwenye utafutaji wangu kwako Allah akuna kubwa yote mtihani nayopitia na matatizo nilionayo wewe ndo mkombozi wangu Allah nakuomba uniondolee uzito ulio mbele yangu unifungulie milango ya ridhiki mimi mjawako kwa kupitia dua ili Allah unipe mume mwema kwangu mcha mungu Allah nakuomba nitatulie matatizo wangu unifungulie milango yangu ya ridhiki Allah, nipe mwisho mwema 😢😢 inshaallah 🙏🏻

  • @ZawadiHassan-r6d
    @ZawadiHassan-r6d 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yaa Allah tufanyie wepesi katika makazi yetu yaarabi Amiin yaarabi nawale ambao hawakazi wajalie nawao wawe namakazi yao yaarabi Amiin yaarabi ❤❤❤

  • @lailati6980
    @lailati6980 28 วันที่ผ่านมา

    Ya Allah nifanyie wepes kwa kila Jambo langu niondoshehee dhiki na maradhi mimi na family yangu penye uzito unifanyie wepes nipe. furahaa kwenye maisha yangu YA ALLAH

  • @zainabhussen8745
    @zainabhussen8745 3 ปีที่แล้ว +14

    Yani kwa miaka kadhaa nikisikia duwa yoyote nakuwa kawaida ila nilipata mtihani kila ninaposikia duwa huwa inaniingia nakujikuta nikitoka machozi huku nikitamani kulia sana sana kwa mola wangu

  • @Sagooood
    @Sagooood 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ya allha naomba unijalie afya njema na uniondolee matatizo utupe wepesi na mama angu umuondolee matatizo inshallha ❤❤

  • @BakariMussa-to2me
    @BakariMussa-to2me 2 หลายเดือนก่อน

    Yaaallah nakuomba ktk Dua hi niponye marazi yangu na unipe rizki ya mke mwema popote pala alipo inshaallah

  • @mariamndomba989
    @mariamndomba989 23 วันที่ผ่านมา

    Ya Allah naomba unijalie nimlize madeni yangu nipate Aman ya moyo wangu Amina

  • @abubakars.hussein4050
    @abubakars.hussein4050 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yaa allah naomba uniepushe na husda na hasad za walimwengu uniepushe me na familia yangu kwa mitihan yote mibaya.

  • @AsiaNassoroMpili
    @AsiaNassoroMpili 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ya Allah kupitia duwa hii niepushe na kila shali za majini na wanadam za za hili na sihili univuwe na kila ubaya nnukis anifanyie wepes kila ninalolifanya Amiiiiiin yaratwif

  • @asnamaleko3473
    @asnamaleko3473 2 หลายเดือนก่อน

    Ya Allah kupitia dua hii ninayosikiliza naomba unifanyie wepesi nipate ajira pia uniepushe na mitihani unifungulie njia na umpe rizk zaidi mume wangu wajaalie na uwape umri mrefu walionilea kipindi sina wazazi.

  • @BakariMussa-to2me
    @BakariMussa-to2me 2 หลายเดือนก่อน

    Yaa Allah nijalie mke mwema katika maisha yangu

  • @SusanWangoi-l3r
    @SusanWangoi-l3r 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yarabbi nifanye wepesi kwa kila jambo langu niondoshe ndoto mbaya kila siku matatizo mm na familya yangu yarabbi niondoshe insha allah ❤😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @mwenieliasa6517
    @mwenieliasa6517 ปีที่แล้ว +1

    Yaaah Allah nijaalie kheri na baraka niondoshee Kila aina ya matatizo na unipe mwisho mwema inshaallah 🙏

  • @MichaelKitakuru-dj1ky
    @MichaelKitakuru-dj1ky ปีที่แล้ว

    Allah nifanyie wepesi katika biashara zangu nitakazo azisha mungu wangu nifanyie wepesi katika mangaiko yangu mungu wangu

  • @fatumaAlly-e1w
    @fatumaAlly-e1w หลายเดือนก่อน

    Yarab tupe afya njema mm na mme Wang mama agu na wadogo zagu tulinde zidi ya vitu vibaya Amin

  • @zakiahole6871
    @zakiahole6871 ปีที่แล้ว +1

    Eeh Mwenyezi Mungu naomba umponye Baba yangu mzazi apone haraka tumbo 🤲

  • @SabrinaRashid-m2s
    @SabrinaRashid-m2s 13 วันที่ผ่านมา

    Ya Allah nijalie afya niondole mitihan yot nijalie afya njem ya rab nisameh dhambi zang zote nilizozifany nikiw najitambua na nisizo zijua

  • @Ostadhatnasma
    @Ostadhatnasma ปีที่แล้ว

    Ya Allah nifanyie wepes kwa Kila jambo langu, Ya Allah niondolee matatizo yote yanayotukabili mm na familia yangu😭😭, tupndolee nuksi na mabala yote, Ya Allah tupe mwisho mwema mm na familia yangu ww ndio kimbilio langu hakuna mwingine ila ni wewe Allah 🤲

    • @habibabarker1644
      @habibabarker1644 10 หลายเดือนก่อน

      Yarabi nakuomba unisamehe makosa ninayoyajua na nisiyoyajua niliowakosea wanisemehe niondelee maradhi nifariji kwa yoote wasamehe wazazi wangu na ndugu waliotangulia wajalie watoto wangu rizki ya halali ndoa zenye kher

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 5 หลายเดือนก่อน

    Yarabi nashkuru kwa kila jambo Alhamdulilah naomba nipunguzie maumivu niliyonayo kupitia hii duwaa

  • @mwanamisikoba
    @mwanamisikoba 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ya raabii kupitia Dua hii nijalie nipate mumebora aje anioe Amiin

  • @ramadhanirajabu8932
    @ramadhanirajabu8932 ปีที่แล้ว

    ya allah nijaalie afya njema niepushe na matatizo makubwa na madogo na waisilam wenzangu wot inshallah,

  • @shamimmbilinyi9440
    @shamimmbilinyi9440 ปีที่แล้ว +1

    Ya Allah naomba nijalie Kila lenye kheri mbele yngu niondolee mabalaa na nuksi Amina inshallah 🙏🙏🙏

    • @ummymlali8056
      @ummymlali8056 ปีที่แล้ว

      Ya Allah nakuomba uniafu na. Haya maradhi makubwa ya TUMBO

  • @umirishasmgeni6360
    @umirishasmgeni6360 ปีที่แล้ว

    Ya Allah unifanyie wepesi kweny utafutaji wangu niondolee nuksi namabalaa nipendwe nakla mtu nijaalie maisha yngu mahusiano yngu nipate mwnye heri namm alokua mbaya muondoe abaki mzuri eeh baba ww nimueza wakila ktu naekutegemea

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 ปีที่แล้ว

    Yaarbi nifanyie wepesi katika shida ninazo pitia yarab tupemwisho mwema

  • @zakiahole6871
    @zakiahole6871 ปีที่แล้ว

    Yaarab naomba umfanyie wepesi baba apone haraka na umuwekee ulinzi dhidi ya adui na hasad 🤲

  • @LaylatyMkali
    @LaylatyMkali 5 หลายเดือนก่อน

    Yarab kupitia Dua hii nakuomba Mola wangu Niweze Kulipa Madeni yangu yote Ninayo Daiwa Kwani Yananiumiza Sqna Nakuomba Ewe Mola wangu na Siku ya leo

  • @haseanatnsanya2079
    @haseanatnsanya2079 3 ปีที่แล้ว +1

    Ewe allaah tujalie dunian na kesho akher shukran my

  • @aboubakarkipalanga1632
    @aboubakarkipalanga1632 10 หลายเดือนก่อน

    Ya Allah nifanyie wepesi kwenye mambo yangu na biashara zangu niondolee mikosi, nuksi uniletee neema na riziki.

  • @shamimmbilinyi9440
    @shamimmbilinyi9440 ปีที่แล้ว

    Ya Allah ya Allah ya Allah Leo nipo mbele yako naomba nsaidie ya Allah 😭😭 nipe Kila lenye kheri mbele yngu 🙏🙏🙏🙏

  • @tuniyjuma3100
    @tuniyjuma3100 ปีที่แล้ว

    Mola wangu naskiliza dua hii niondolee kila wasiwas na mattz ndani ya moyo na mwili ww pekee ndo unjua tatz Lang Ya Allah (s.w)

  • @AwadhAdam-j5f
    @AwadhAdam-j5f 8 หลายเดือนก่อน

    Yarraby niondoshee maradh nilonayo na uniepushe na kila shary za walimwengu mimi na wanangu kupitia dua hii ikawe dawa inshaAllah

  • @aishamazige3559
    @aishamazige3559 ปีที่แล้ว

    Ya Allah naomba unifanyie wepesi kwenye hii mitihani ninayopitia yarab

  • @fathiyahassan8628
    @fathiyahassan8628 8 หลายเดือนก่อน

    Ya Allah nakuomba mja wako uilinde familia yangu Kwa kila mitihan inayotufika 😢

  • @anuarysiraji692
    @anuarysiraji692 ปีที่แล้ว

    Yarb niondolee kila Aina ya shida yarab nifanikiwe kila ninachofanya na unipe mwisho mwema yarab

  • @ajiraramadhan1029
    @ajiraramadhan1029 8 หลายเดือนก่อน

    Yaa Allah mjalie mama angu mpunfuzie mitihani ya dunian

  • @ZawadiHassan-r6d
    @ZawadiHassan-r6d 6 หลายเดือนก่อน

    Yaarabi tufungulie milango Yabaraka yaarabi Amiin yaarabi ❤❤❤

  • @FadhaaMtenga
    @FadhaaMtenga 7 หลายเดือนก่อน

    Yaa Allah naomba nistiri jambo langu liwe jepesi inshallah

  • @maulidimpoto-sc3lc
    @maulidimpoto-sc3lc 5 หลายเดือนก่อน

    Ee mola wangu tujalie mwisho mwema

  • @ThumusuleimanThumusuleiman
    @ThumusuleimanThumusuleiman 8 หลายเดือนก่อน

    Ya allah nifanyie wepesi kwa kila zito ninalo pitia kwa kipindi hki kigumu kwangu

  • @shaminhaas246
    @shaminhaas246 2 ปีที่แล้ว

    Alhamdullilah Alhamdullilahi alhadullilahAlhadullilah Allah atusitara naafya atutakabaliye kila tunalomuomba Ameeen najamii Muslima

    • @reyfatlubida3950
      @reyfatlubida3950 ปีที่แล้ว

      Mungu naomba unihonganishe mama mkwe wangu name wangu naomba Aya matatizo yapote kama upepo

  • @ruqyhkhames6446
    @ruqyhkhames6446 5 หลายเดือนก่อน

    Yarabiiy nakuomba uniepushe nashari za ulimweng unijaalie baraka

  • @ZuberiSadi
    @ZuberiSadi 4 หลายเดือนก่อน +1

    YAlAbi,niondoshe,matatuzo,nilionayo,Allah,wewe,ndio,unayajua,

  • @Fatumaissa-j3e
    @Fatumaissa-j3e 6 วันที่ผ่านมา

    Ya Allah niondoshee mikosi

  • @DestinyOtiko
    @DestinyOtiko 6 หลายเดือนก่อน

    Ya Allah naomba utu jalie mm na familiar yang yangu iliyo mbali Allah ww ndiye unae juwa kesho naomba uni jalie ni pate passport yang ni were kurdish nyumbani ni kiwa mzima na króna na familia yang yote tukiwa wazima utupe shift na uwa wazazi wants umri na Marshall marefu

  • @neemadotto2381
    @neemadotto2381 ปีที่แล้ว

    Ehe mwenyewe Mungu niondolee baraha zote mbaya

  • @sakinamsafiri8660
    @sakinamsafiri8660 ปีที่แล้ว

    Ya Allah nifanyie wepesi ktk hili ninalopitia Yarrab🙏

  • @fatmazaky8763
    @fatmazaky8763 8 หลายเดือนก่อน

    ya Allah nakuomba nifanyiie tahafifu katika mazito ulonipa

  • @DullyGang-pp5el
    @DullyGang-pp5el หลายเดือนก่อน

    ALLAH AKBAR ❤❤❤❤

  • @SansaNanenane
    @SansaNanenane 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @shaminhaas246
    @shaminhaas246 ปีที่แล้ว

    mashallahmashallah mashallah

  • @ajiraramadhan1029
    @ajiraramadhan1029 8 หลายเดือนก่อน

    Ya Allah nipunguzie mtihan ya duniani

  • @jumamakunje2039
    @jumamakunje2039 4 หลายเดือนก่อน

    Ewe moraha wang kupitia hii duwa naomba niponye magonjwa yangu yote nijaliye na neema mola wang

  • @fesalali4361
    @fesalali4361 2 ปีที่แล้ว

    Yaa Allah atupe subrah kwa kila zito atuondolee mabalaa yaliopo mbele yetu🙏atupe furaha daima idumu😂😂

  • @AminaJimmy
    @AminaJimmy 8 หลายเดือนก่อน

    Mola wangu dua hii Uniondolee mitiani ninayo pitia

  • @JanethMfungo-p1r
    @JanethMfungo-p1r 8 หลายเดือนก่อน

    Yaarab tufanyie wepes kwenye mtihan tulioonao

  • @ashurafundi2873
    @ashurafundi2873 3 ปีที่แล้ว

    Jazakallaah🙏🙏

  • @fatmazaky8763
    @fatmazaky8763 8 หลายเดือนก่อน

    nisalishiie yarab maumivu ninao pitiia

  • @maulidmbena
    @maulidmbena หลายเดือนก่อน

  • @sukynerally3509
    @sukynerally3509 ปีที่แล้ว

    Yarab nakuomba niondolee maradhi yangu

  • @ShahanYusuf-c8b
    @ShahanYusuf-c8b 14 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @HalimaSanze-j5y
    @HalimaSanze-j5y ปีที่แล้ว

    Molawangu nasikiliza duahii uniondolee magonjwa uni fungulie ridhki unipe Mwisho mwema

  • @tabiasalim1497
    @tabiasalim1497 ปีที่แล้ว

    Maisha Allah

  • @saidagalu2914
    @saidagalu2914 2 ปีที่แล้ว

    Allahumma amiin

  • @rehematesha9799
    @rehematesha9799 2 ปีที่แล้ว

    Amin

  • @fesalali4361
    @fesalali4361 2 ปีที่แล้ว

    Amiin

  • @mwanamisikoba
    @mwanamisikoba 7 หลายเดือนก่อน

    Yarabi tufanye wepesi waja wako kila penye uzito

  • @rayasalum5392
    @rayasalum5392 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @mishibomba5184
    @mishibomba5184 2 ปีที่แล้ว

    Allahuma Amin🤲

  • @fatumamkyizu1760
    @fatumamkyizu1760 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 3 ปีที่แล้ว

    jazakallah

  • @patrokilalex6673
    @patrokilalex6673 2 ปีที่แล้ว

    AMEN

  • @johariyabella1739
    @johariyabella1739 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallah🤲❤

  • @JaliaJalia-r3u
    @JaliaJalia-r3u ปีที่แล้ว

    Yaarb nifanyie wepes Katak matatiz ninayo pitia

  • @chichisalum7932
    @chichisalum7932 3 ปีที่แล้ว

    Mashaalah

  • @haminasaid8328
    @haminasaid8328 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallaah

  • @anjelinakaniki9162
    @anjelinakaniki9162 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @fatimamzigua8333
    @fatimamzigua8333 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah 🙏😘

    • @hidayakhamis9423
      @hidayakhamis9423 2 ปีที่แล้ว

      Y

    • @rehema5110
      @rehema5110 2 ปีที่แล้ว

      yarab Allah niondoleshe maradhi nilio Naya amin

  • @samiahassani6603
    @samiahassani6603 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @irenekiraraheriyanga9053
    @irenekiraraheriyanga9053 3 ปีที่แล้ว

    Ramadhani
    Mashaallah

  • @maulidiratili2900
    @maulidiratili2900 ปีที่แล้ว

    Eee mola wetu kupitia dua hii utuondolee matatizo yote yarab

    • @AwadhAdam-j5f
      @AwadhAdam-j5f 8 หลายเดือนก่อน

      Ameen thuma Ameen

    • @AssOii
      @AssOii 8 หลายเดือนก่อน

      Amin

  • @maryamaoshiana1725
    @maryamaoshiana1725 3 ปีที่แล้ว

    Allah qadiru

  • @osamamahmouds9827
    @osamamahmouds9827 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 10 หลายเดือนก่อน

    Ya Rahman nakuomba mponye mdogowangu anaumwa muda mrefu

  • @EvalineKarisa-o8p
    @EvalineKarisa-o8p 9 หลายเดือนก่อน

    Yaallanaombaumfanyiewepesibabaangukwakilajamboinshaala

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤