Bishop Maboya awashangaza wengi wakati akifundisha Roho ya wivu katika Kongamano la wanawake WOCA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2017
  • Bishop Dunstan Maboya awashangaza wengi wakati akifundisha Roho ya wivu katika Kongamano la wanawake na uchumi lililoandaliwa na chama cha Women For Christ Alliance (WOCA) ndani ya kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" siku ya Jumapili 01.10.2017

ความคิดเห็น • 13

  • @pondamafuta7673
    @pondamafuta7673 4 ปีที่แล้ว

    Was fire wow glory Haaaaaaaa

  • @tomcyosh6853
    @tomcyosh6853 6 ปีที่แล้ว +1

    God bless you Pastor for such a great and powerful message , May Almighty God Give you strength

  • @armysalvation1594
    @armysalvation1594 6 ปีที่แล้ว

    Asante. hapana kupona moto bila kumwamini Yesu

  • @claudineesthermatondo1189
    @claudineesthermatondo1189 6 ปีที่แล้ว +1

    Godblessyou Bishop moboya

  • @goldenson4729
    @goldenson4729 6 ปีที่แล้ว

    Aymeeeeeen

  • @bettydanielz9084
    @bettydanielz9084 6 ปีที่แล้ว +1

    amen amen amen very powerful

  • @thetreasure2230
    @thetreasure2230 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ni wa kizazi kijacho...Amejaa bible...

  • @emmanuelmwita5755
    @emmanuelmwita5755 6 ปีที่แล้ว

    Du mafundisho ya uhalisia hayo hayazunguki

  • @mullershallshall739
    @mullershallshall739 6 ปีที่แล้ว

    Ukiristo nidini yawazungu wala cidini yamungu..yesu hakuingia kanisani wala,kuimba nyimbo bal Akimiabudu mungu nakusujudu....achn uzuka wakuenda makanisan kwan huko Kuna kit chashwetan.....Enden micikitini muokkoke namoto wamungu...dini yakiislam nidini yamitume wote

    • @luganojacob
      @luganojacob 6 ปีที่แล้ว

      muller shall shall na uislamu ni dini ya waafrika au

    • @domindominick4737
      @domindominick4737 6 ปีที่แล้ว

      mungu hana dini anataka anaemuabudu ktk roho na kweli

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 5 ปีที่แล้ว

      pepo alah ashawah kuponya hata mafua,mmejazan kwa waganga ka mapepo,mmechoka kila uovu mpo,mna majin na bado hamtuwez,sis miungu wa alah jumlisha majin yenu yote,kuhusu huo utumbo ulioandka sishangai,najua akil zenu na ufaham wenu ulivyo,ka alah na Muhammad ndio akil zao zile,nyiny mpoje,ulichoandka inaonyesha we mjing kiroho ,naomba usiwe mpumbavu,soma bible,mjue Mungu wa Hebrews, siyo Arabs pagans,then uje uccomment hapa,dini siasa hatuitaj uchafu huo,tuna Yesu ni yote ndani ya Yote ,bakini na taka taka zenu,ushirikina tu

    • @dicksonassery5083
      @dicksonassery5083 5 ปีที่แล้ว

      Kaka mm ninachoweza kukuelewesha tuu nikwamba Dini ilikuja baada ya mwanadam kupoteza uwepo wa Mungu so Dini ni njia tuu sasa uwe makini destination yetu ni mbingu nanjia inamambo meengi inaweza ikakurudisha au ikakupeleka so kuamakinn na imani yako usishabikie Dini Dini sio Mpira wala sio Mchezo its not Fanatic hakuna abria wala deereva alie waahi kujivunia nnjia Yesu Krissto ndie Njia alisema yeye sio sisi uwe makini sana kiiongozi wako wadini usimshabikie muulize maswali magumu kuusu imani yako ijue imani yako vyema usishabikie taafuta uwepo wa Mungu uuusikie ndani yako sio kishabiki unaweza ukawa mwislam na naa ukapotea kama huto mfuata Mungu pasavyo na hata mkristo pia ukimtafuta Mungu kwabidii utamwona