Niungeni mkono kwa like nyingi tukiamin na sisi kama vijana ipo siku tutapambana na huu uongozi wasasa na kutengeneza serikali yenye kijali maslahi y kiraia
Prof Jamal, ni msimulizi mzuri wa hadithi/matukio. Binafsi napenda namna unavyowasilisha stori Kwa ubunifu mkubwa unaopelekea watu wengi kufuatilia 'The Story Book' hakika unastahili sifa zako Kwa kazi nzuri unayoifanya 🔥🔥
Apewe maua yakee jamal april kazi anayoifanya hakika ni bola zaidii na ni nzuli sijui nani atafanya niache kusikiliza the story book labda kifo maana hakuna mwingine wa kuweza kunitenganisha na simulizi hiziii 🎉🎉🎉🎉
Daah ubaguzi wa kiislaam kutaka kuiendesha nchi kidini nichanzo kikubwa sana cha haya mapigano😭😭😭 naunga mkono🙋 maana hata huku Zanzibar waislaam wana ubaguzi sana tena hawana tofauti na wasudani 🤔 maana nao huwa wanataka utawala wakidini😔 inaonesha waamini wadini ya kiislam wakiwa wengi kuliko dini nyingine huwa wana force sana mambo😭😭 ni ushamba wakiwango cha juu🙏🙏
Ivi hizi like wanazo omba ni Tuzo ama ukiwa nazo nyingi unalipwa na TH-cam maan naona weng wana sema nipen like zang!! za nn sasa kama hazisaaiidii kit??😏😏😏
Hatari sana
Sijachelewaa
Let's goo professor
Sijawai kupata like nyingi leo nawaomba mlifanyie kazi 🙏🏾
Ukazifanyie nn
Wacha ushamba
Kazi safi jamal hongera Sana
Wasafi media is back conglaturation kwa changamoto mliopata mkaishinda
Congratulations
Am from Kenya...I love this man .. stories of reality.... Can I get like from .. my fellow Kenyans who are watching..plus majirani zetu wataanzania..
Naombeni likes mbili tu
Leo mm wa kwanza naomba like😅
Mara hii mimi ni wa kwanza,wapi likes jameni
Umetish san professar jamal April hun bay ❤❤❤❤
Mm ni member mpya jamani like zenu tafadhal😊😊😊
Roho ilikuwa imesha nikauka brother
sijawahi kupata like nyingi acha leo nipate hata tatu😊😊
Zinakusaidia nn
Utakuja firwa kupenda like,acha usenge
😂😂😂😂nyie watu
@@jacobmwalituke8981 ivi dhambi niipi kuomba like nakutukana matusi mazito Kama Hayo kwamtu asie nahatia mh 😢😢😢
@@jacobmwalituke8981😂😂😂
Kenya tunapenda the story book,, nipe like 🤗💟
www sio mkenya
Mwicho wa DUNIA IMEFIKA tumwabe mungu ,🤲🤲🤲🤲.Safi Sána Jamal .❤❤😭😭😭.🇹🇿🇹🇿👍🇲🇿🇲🇿
Mexico 🇲🇽
🙏🙌👏 Bado Tunaendelea Kujifunza....Na tuko Tayarii
Niungeni mkono kwa like nyingi tukiamin na sisi kama vijana ipo siku tutapambana na huu uongozi wasasa na kutengeneza serikali yenye kijali maslahi y kiraia
CLEMENT MBOLO
Kama umesikia jina hilo gonga like hapa tujuane tuliokuwa makini
Much love from Kenya+254..nimekuwa mlevi wa story book 📚 napenda historia
Jaman mm naombeni like angalau nijue zin umuhim gan
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿
Jamal April Mustafa the best ever⚡💥⚡ napenda filamu zako nzuri unapoelezea ❤
Leo angalau nimewahi kuwa wa 47 kucomment na wa 1568 kutazama sio kazi ndogo wazee. nipeni like zangu bwanaa
Duuh Hadi ww unaomba like 😂😂 nilikuwa ntakuona mtu ambae upo vzur ila kwa hili mmh
Msiishie kuomba like tu ndugu zangu....jaribuni kutoa message ama nyongeza ya content kulingana na somo ulilopat kupitia story husika
Sasa hii comment naipa like
@@malikaAmina-o8s this is Tz😂😂
Sijui like ni chakula mkoje 😅😅😅😅
Daaaaah mashaalah ya Salam ya Salam kwa hakika simulizi nzuri sana yenye mafunzo mwanana
Mi sitaki like jaman sina pakuzilepeka>>>
History nzuri ambazo zinatuhusu Sisi WA Afrika
Jamani watz ndugu mkenya hapa nipingeni likes nimekuwa nikiwapi vipi ndugu wenzagu
God bless you jamal April
Here from 254 🇰🇪🇰🇪we love you than how we love our media personality youre Gods chossen
Npewe 1k likes pls🙏
Ahhh wasafi unanipa akili asate jamal
Prof Jamal, ni msimulizi mzuri wa hadithi/matukio. Binafsi napenda namna unavyowasilisha stori Kwa ubunifu mkubwa unaopelekea watu wengi kufuatilia 'The Story Book' hakika unastahili sifa zako Kwa kazi nzuri unayoifanya 🔥🔥
Kwa wanao amini Jamal ni mnyama nipe like🎉
Wote Wenye Kuomba Like Wanawekeza Watoto Wao Kuja Kuwa Omba Omba Unaomba Kila Siku Ujui Kama Unajenga Kizazi Chako Kuka Kuwa Ombaomba Apa Duniani
Asante sana Jamal April Mustapha naku sikiya ni kiwa DRC Kinshasa 🇨🇩🇨🇩
Tunawapenda sana wacongo, huku Tanzania 🇹🇿 kuna mtaa Dar_Es_Salaam unaitwa mtaa wa Congo kariakoo.
Mwana mboka ✌️
Jamani naombeni bax hata like5tu
Afuuu watu mfike mahala mkuee
Kama unamkubali Jamal April Gonga like hapa kwani hata wewe unaeyefatilia The Story Book Hujakosea kuitizama
Apewe maua yakee jamal april kazi anayoifanya hakika ni bola zaidii na ni nzuli sijui nani atafanya niache kusikiliza the story book labda kifo maana hakuna mwingine wa kuweza kunitenganisha na simulizi hiziii 🎉🎉🎉🎉
Mmoja kati wasimulia story bora kutokea africa mashariki
Super jamal, soyez éternellement béni et félicitations pour votre brillance ce toujours un honneur de te suivre grand frère 🇨🇩🥰❤️❤️❤️❤️❤️🙏
Professor Jamar april.hupo sawa sana mwanandugu
Unamanish
CLEMENT MBOLO
Kama umesikia jina hilo gonga like hapa tujuane tuliokuwq makini❤❤❤
sio mbolo ni mboro nyie watoto wa dar vp bhana
Hahaha yaani jamaa yote aliyoyasema umeskia mboyo kijana ovyo kweli
like moja =na 78Tsh naombeni like 200 jaman nipate ata 15600Tsh
Weee
unapataje iyo pesa
Musterkeem
Hivi hizo like hua Zina maana gn nyie wenzetu
Tujuane Team Professor Jamal April 🔊🔊🔊
Eeh mungu ibariki tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jamal The professor 💫
Sitaki like hata moja
Nani kakuuliza
jamal upewe mauwa yako kwa simulizi zako mzuri brother much love from USA🔥🔥❤🔥
This guy jamal is so 🔥
Nipeni like Mimi sijawi kupata hata Moja 😂😂
Jamaa kichwa sana
Nakubali profsa wa usmuliz salam nyingi kutoka kahama Tanzania
nzuri sana
Inafaa you tube iweke feature ya kublock watu wenye wanaomba likes,
Naombeni japo Like 1 tu 😢
Jamaaaaaall🙌🏻
Wakwanza kutoka dr Congo
Karibu Tanzania Dar_Es_Salaam 🇹🇿 kariakoo mtaa wa congo upo Tanzania, yote hii tunawapenda sana wacongo❤❤
jaman nipate like ata 3 tu
Safi Sana Jamal
Nimewahi
Professor jamal April,,hatari sana hii
Nipeni like za Kenya
tunae mkubali jamali tujuane kwa like🎉
Jamal uko top 🔥🔥
One love from Kenya
Nakukubali sana prof Jamal 🔥🔥🌹
Atimaye umerudi tana Kaka nakunda saanaa❤❤
Mukubwa nakupenda Sana keep bringing out new ones niko naweye mba tu mba
Omar Al Bashir ni mbabe haswaaa
I love your work professor ❤❤
Professor
Waah hizi picha za watoto zinatamausha
One love from malawi ❤
Kwan hizo like nizakaz Gani? Heb nipeni hata kumi labd kesh nitaamka na hel ya chai😂
Tunaosubir party 2 ya OMAR AL BASHIR gonga like hapa
unachwelewa sana kuachia vitu kaka
Wasafi Media for life ❤❤❤
Nakupenda Ila kumuita BASHIR dikteta umeniuzi
Amekuudhi kuvip Tena ??
Sasa hati ya kukamatwa ilitolewa kwa nn acha kureson kwq mihemuko ya kidini
@@barakarobert9516 Dini Gani?
Ni ukweli mtupu bro keep it up mm natoka Sudan kusini lkn naishi kenya
Good good 👍🏾
Nyie waomba like mtakuja banduliwa mamaezenu nyie😅😅
Wpii likes kwa Professar Jamal April ❤❤❤
❤
17: 40 bwana Clement Mboro wangapi wamesikia hiyo😂😂😂
Vijana wa hovyo sana ko yooote umeskia hilo tu 😂
Uume sahau Paulo kagame
Nice
Wapi like zangu jamani😢😢😢
Jamal april🎉🎉 nakubali sana kazi zako
Pamoja sana
Huyu jamaa anajua
I wish na mimi siku moja nitaweza🎉🎉
Unajua prof
Daah ubaguzi wa kiislaam kutaka kuiendesha nchi kidini nichanzo kikubwa sana cha haya mapigano😭😭😭 naunga mkono🙋 maana hata huku Zanzibar waislaam wana ubaguzi sana tena hawana tofauti na wasudani 🤔 maana nao huwa wanataka utawala wakidini😔 inaonesha waamini wadini ya kiislam wakiwa wengi kuliko dini nyingine huwa wana force sana mambo😭😭 ni ushamba wakiwango cha juu🙏🙏
LIKE ZANGU NA MIMI JAMANI
Ivi hizi like wanazo omba ni Tuzo ama ukiwa nazo nyingi unalipwa na TH-cam maan naona weng wana sema nipen like zang!! za nn sasa kama hazisaaiidii kit??😏😏😏
Hilo ndilo swali najiuliza. .kutoka 🇰🇪..ama ushamba tu wamtandaoni..likes unapewa kwa kutoa wazo nzito na la tija kwa wafuatiliaji....
Coz mm nina gundu na like jmn nipen maua yangu
Waingereza Mola kashawalaani kila sehemu wao wanatia fitna Ewe mola tunakuomba uwalaani waigereza kw fitna zao amin
Tatizo wa Africa tunauzwa na viongozi wetu yani kwa Rugha nyepesi TUNAJITAFUNA SISI WENYEWE kwakujijali binafsi
Mwanaume kupenda likes ni umama
😂😂😂