IMAMU IBNU HAJAR ABAINISHA UKAFIRI WA IBNU TAYMIYAH NAKUMUITA "MPAGANI"!! SHAFII BASALIM AL-SALIMY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @hassanrangambo8007
    @hassanrangambo8007 หลายเดือนก่อน +2

    Maashaalla wamekusikia walidhani una toa mawaidha kumbe unatoa elimu tena nadhani wengi wameelimika siku hizi sion koment za shia golo mbwa wa kishia tupe elimu sheikh

  • @hamadali3231
    @hamadali3231 หลายเดือนก่อน +1

    huyu njaaa ndio inayo msumbua

  • @ANUARIISMAIL-vz8dk
    @ANUARIISMAIL-vz8dk หลายเดือนก่อน

    JINGA HILI SHIA GOLO

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 หลายเดือนก่อน

    Shukran sheikh wetu kipenzi

    • @hamadali3231
      @hamadali3231 หลายเดือนก่อน +1

      kila anae muunga mkono kafiri basi na yeye pia ni kafiri

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 หลายเดือนก่อน

      @@hamadali3231 Hivi kuna kafiri mkubwa zaidi ya mawahabi wanampa mungu viungo, mahali na wakati

    • @MohammedSaid-zk7yg
      @MohammedSaid-zk7yg หลายเดือนก่อน

      ​@@hamadali3231 mwehu wewe

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mjinga snaa unamfahamu kweli sheikh islam ibn taymiyyah Allah amrehemu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ndo jahili wakiwahabi. Unamuhukumu yeye wakati anawasomea vitabu vya wanazuoni.kama mnajiamini mawahabi jibuni hicho kitabu

    • @Sh_Taqee
      @Sh_Taqee หลายเดือนก่อน

      Kwani tofauti na upagani wake alikuwa Nani zaidi huyo Kipenzi chako ibn Taimiyyah?

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or หลายเดือนก่อน

    Nyinyi masufi mnatia hasira maana mumepotea katika itikadi yasawa ndio maana mukamkumbatia ghazati akakufundisheni uchawi kamawalivyokua mayahudi walipomkataa mitume(s a w) na wewe nawenzako kina dokta sule tieni tieni buhuri jinni aje akubebe akupele hija

    • @AliAli-lu7or
      @AliAli-lu7or หลายเดือนก่อน

      Mimisijui ktk dini yamasufi ila mazingaobwe nakurogana tu

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

    Muone alivyo kaza macho na sura ile kama anaetolewa roho na malaku lmauti sura kavu kwaajili ya unafiki kumnafikia mwenyezi mungu na mtume wake

    • @SaidJuma-ru7vm
      @SaidJuma-ru7vm หลายเดือนก่อน

      Sio yy,Yy ananukuu tu kwa hiyo tulia sindano iwaingie mawahabi 😂

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@SaidJuma-ru7vmmawahabi wamebakia kuswali idd Ramadhan ya 29 uwanjani 😂😂😂. Hilo tu ndio wamebakia nalo hawana ujanja wa kuchomoka na ukafikiri wao

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      @@SaidJuma-ru7vm sindano imuingie wahabi au ikuingie mwenye itakadi mbovu za raana kwani uliona shia ni waislamu si wanafiki tu wale sasa kwakuwa Allah kashawahukumia upotevu hamuezi ona mbele

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      @@hilalkhalfan1452 saasa kafiri wahabi au ww uiobeba itikadi mbovu za raana ww na huyo shafii ndo makafiri sabu kama mmewaita maswahaba wa mtume makafiri na wakeze mtume si matusi hayo mmemtukana mtume tuhh ssa mtakuwa waislamu yani jitu lishia linaighesabu nalo lipo katika waislamu et anataraji pepo. Subutu hiyo pepo ya mjomba wenu watakayoingia mashia kama alikuja kuelekeza njia ya pepo katukaniwa wakeze si ukafiri huo shia ni mambwa ya motoni tuuh

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      @@SaidJuma-ru7vmv shia wanafiki wakubwa sana Hawa jamaa wamemtukana xana mtume ila adhabu yenu ipo vzr tuuh Allah ameumba moto kwaajili ya makafiri kama ninyi

  • @abdulkhaliqmuhammed456
    @abdulkhaliqmuhammed456 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe huna kazi, kazi yako kuangalia ya wanachuoni, toa clip uzungumzie na ukafiri wako kupitia maneno ya wanachuoni

    • @Sh_Taqee
      @Sh_Taqee หลายเดือนก่อน

      @abdulkhaliqmuhammed456
      Mbona kama unaumia wewe mfuasi wa Muawia?! Vinasomwa vitabu vya Wanachuoni wewe Jahili unaweweseka nini?!. Unatakiwa kusikiliza nukuu hizo zinazonukuliwa na kuacha jazba. Jazba haikusaidii lolote ktk ufahamu, bali unazidi kuangamia ktk ujahili kwa kujiwekea kizuizi cha kusikiliza na kupata Maarifa Bora.

  • @Claudius-sm4rg
    @Claudius-sm4rg หลายเดือนก่อน +1

    Karudi tena mwamba wa kukurupuka.
    Subiria Kijana mwenzio Bachu aje kukushuhulikia

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 หลายเดือนก่อน +1

      Haha Mawahabi majahili kweli.Hivi kweli mnadhani bachu anaweza kupambana sheikh shafii. Bachu ni kama mwanafunzi wa nasari kwa Sheikh shafii. Mawahabi wote ni waropokaji hawajui kuzungumza kwa hoja na dalili

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy หลายเดือนก่อน

    Kwani huyu mpumbavu si ndo alivuruga ibara za Sheikh Ibn Taimiyyah Rahimahillahu kwa makusudi ili kumchafua? Jahli pa1 na wote wanaomuunga mkono mjinga kama huyu.

  • @alkashaaiy9722
    @alkashaaiy9722 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/zeXafIB7PiQ/w-d-xo.htmlsi=xFPHurtoHPKMzbRE
    IBNU HAHAR AL ASQALANIY ALLAH AMREHEM HUYU HAPA, KABLA HATA YA AL HAITHAMIY
    AMA IBNU HAJAR ALHAITHAMIY ALLAH AMREHEMU NA AMSAMEHE MAKOSA YAKE, ANAJULIKANA KWA TASSUB ZA MADHEHEBU YA KISUFIY NA KIASHAAIRAH , ANA HAKI YA KUSEMA VIBAYA IBNU TAIMIYYA NA IBNUL QAYYIM ALLAH AWAREHEM ,
    AMA PIA IBNU HAJAR AL HAITHAMIY ALLAH AMREHEMU AMTETEA IBNU ARABIY JUU YA KUFRU ZAKE NA WAFUASI WAKE JAMBO AMBALO IBNU HAJAR AL ASQALAANIY ALIWAHI FANYA MUBAAHALA NA WAFUASI WA IBNU ARABIY NA HAWAKUFIKA MIEZI KADHAA WAKAKUTWA NA VIFO , KAYASEMA HAYO AL IMAMU SAKHAWIY MWANAFUNZI WAKE NA YEYE BINAFSI KATIKA FATHUL BAARI YAKE IBNU HAJAR KAASHIRIA HAYO .
    USIPOTEZE MUDA IBNU TAIMIA KASEMWA NA WENGI VIBAYA BILA INSAAAF , ILA WALE MUNSIFUUN KAMA IBNU HAJAR AL ASQALAANIY AMTUMIA SANA ALHAMDULILLAH WAL MINNA , NA IBNU HAJAR AL ASQALANIY NI MWANACHUONI WA KISHAAFIY ALIYEMTANGULIA IBNU HAJJAR AL HAITHAMIY

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 หลายเดือนก่อน

      Mawahabi mnarukaruka tuu hamna hoja kila mtu kwenu anamsema vibaya ibn taymiya acheni uongooo

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 หลายเดือนก่อน

    Doo Bado yupo huyu I mean hajafa bado izo nyama za wanawazuoni akapumzika kuzila!!?.

  • @Sh_Taqee
    @Sh_Taqee หลายเดือนก่อน

    @abdulkhaliqmuhammed456
    Mbona kama unaumia wewe mfuasi wa Muawia?! Vinasomwa vitabu vya Wanachuoni wewe Jahili unaweweseka nini?!. Unatakiwa kusikiliza nukuu hizo zinazonukuliwa na kuacha jazba. Jazba haikusaidii lolote ktk ufahamu, bali unazidi kuangamia ktk ujahili kwa kujiwekea kizuizi cha kusikiliza na kupata Maarifa Bora.

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e หลายเดือนก่อน

      @@Sh_Taqee nyi ni makafiri tuuh shia kilabi nnari huwezi kuwa mshia ukajipa matumaini ya kuingia peponi pepo ya nani watayoingia wanafiki kama ninyi matusi kwa mtume na kumtukania wake zake bado mnajihesabu ninyi mpo katika uislamu shia ni viumbe wabaya wataingizwa katika jahanamu ya Allah watakayoingia wanafiki

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 หลายเดือนก่อน

    Unaroho ngumu mpumbavu wewe 😂😂😂