Msikose kukwambia Mungu jambo mnapo amka kutoka au mnapo ingia mwenyezi Mungu ni mjuzi wa yote tumshukuru kwa uzima 😭 wametuaga wenzetu wengi mno mwanzo Tanzania tusikose kumwambia Mungu jambo Asanteni.awalinde Mungu mwenyezi wetu
Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.hili tunaliona kwa Vai na Manyanya. Mwanaume mjinga ataharibu ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe kama tunavyoona kwenye familia ya Sindi na Mudi. Mliokwenye na mnaotarajia kuingia kwenye ndoa jifunzeni hapa, upendo wa kweli ni gharama kuupata, ukivunja uaminifu wa mwenza wako utatumia gharama kubwa sana kuurudisha. Asante sana Dunia series, endeleeni kutuelimisha na kutuburudisha pia❤❤
Leo Nimekuwa wa 210, Naomba Likes zenu Vipenzi wa Dunia Series hii ya Leo ni fire🔥, Hakika Kadri inavyoendelea ndiyo inavyokuwa nzuri hongera sana kwa Wahusika Wote🎉🎉❤❤
Daaaa mnanivuluga tena sana ila nimeikubari hii caple mati kateseka sana acha a enjoy na yeee kama unaikubarii hii caple gonga like hapa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ timu manyanya na mati tujuanee
Nimepata notification nipo kwenye mwendokasi kwamba series imetoka daaaaaah kiukweli nimeshuka apa fire niendelee kuangalia hii dunia then nimalizie mwendo wangu adi kimara suka,Ahsante sna famlia ya ASMA FILM🎉🎉🎉
🎉🎉🎉Maua yenu wote mmefanya pouaaa leo ntampa maua cathe scrpt yaa apo dirishan kaua hii itamfanya mati aachee kujiban na manyanya wake lkn cath pia atofikir kuhus manyany big up❤❤❤❤❤
Daah Kila penzi litaonja umauti ♥️♥️ unae mpenda kampenda mwengine uyo mwengine naye ana mwengine 🎉🎉🎉 true love never die ❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥🌟
Jaman anaekataa vitendo anavyovifanya mudy muzungu😂 kwa mkewe kuw xio vitendo vya kumfanyia mwanamke anaejipambania kutengeneza future ya maixha weka like apa tujuane😂😂😂😂
Uyu dada rafiki yake mati aisee amejua kuvaa karata yake apo dilishani aiseee nimemkubari sana ametumia hisia zake zakwer daaaaah 😢😢😢😢😢😢 roho imeniuma sana jaman daaah
Tuwa ambie ukweli ili wakaze Manyanya analeta ladha mbaya sisi tunataka Tanzania ikuwe kisanaa ila kwa huu utunzi wa muundo wa rukia rejea tuwaachie wanafunzi wa form three kwenye kitabu cha Orodha sisi si watoto utudanganyishie utam wa pipi ukikolea unautoa
Ukiskia mwanamke mpumbavu huivunja ndoa/nyumba yake kwa mikono yake mwenyew!!! Ndicho alichofanya Vai, co ni series tuu, bali DUNIA n zaid ya mafundisho kwenye maisha hasa yale ya wanandoa🙏🙏
Tunashukur kwa wote mnao tusapoti mungu awabariki sana 🎉🎉🎉
Amen 🙏
Upo vzur maty❤
My crush ❤all the way from Kenya 🇰🇪
My 👸 ❤️ 💕 💗 😚 😘
Maty napenda unavyo igiza. Hongera sana my dear
Asanteni wote kwa support yenu
Nakubali sana brother
My current best actor in Tanzania 👏🤏
Mko vzur sana
Jaman imechelewa sana mpak 2napata presha
Manyanya ongeza muda jamani video fupi sana😢
Atakaesoma comment hii Mungu amvushe mwaka salama,,NAWAPENDA❤❤❤❤❤❤
Ameen 🙏🥰
Amin
Nawewe pia kbs
@@NZAKUZIMANANathanael 🙏 🙏 🙏
@@RizikiZiki 🙏 🙏 🙏
Msikose kukwambia Mungu jambo mnapo amka kutoka au mnapo ingia mwenyezi Mungu ni mjuzi wa yote tumshukuru kwa uzima 😭 wametuaga wenzetu wengi mno mwanzo Tanzania tusikose kumwambia Mungu jambo Asanteni.awalinde Mungu mwenyezi wetu
Amen 🙏
Amen 🤲
Wote mnaoangalia Dunia tamthilia mungu awabaliki kwa kila jambo🙏
Batakumbamba weye manyanya
Amina
Amina
Tatizo mnachelewesha sana kutoa
Jordan na mishangazii utakufaa
Hiii ndo dunia bwana ILI mmoja acheke lazima mmoja awe analia,kama umekubali kaul Matrida gonga like hapa❤
Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.hili tunaliona kwa Vai na Manyanya.
Mwanaume mjinga ataharibu ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe kama tunavyoona kwenye familia ya Sindi na Mudi.
Mliokwenye na mnaotarajia kuingia kwenye ndoa jifunzeni hapa, upendo wa kweli ni gharama kuupata, ukivunja uaminifu wa mwenza wako utatumia gharama kubwa sana kuurudisha.
Asante sana Dunia series, endeleeni kutuelimisha na kutuburudisha pia❤❤
Nikweli usemacho
Yaan Mungu atutetee tu😢😢
Nimripenda sana ii movie iko na masomo makubwaa sana kwenyee jamii zetu .... Kweli mungu awapee marifa Actors wote umu ndani
Alafu kuna minyanya ya Jordan sasa mana sio mishangazi tena😂😂😂
Leo Nimekuwa wa 210, Naomba Likes zenu Vipenzi wa Dunia Series hii ya Leo ni fire🔥, Hakika Kadri inavyoendelea ndiyo inavyokuwa nzuri hongera sana kwa Wahusika Wote🎉🎉❤❤
Daaaa mnanivuluga tena sana ila nimeikubari hii caple mati kateseka sana acha a enjoy na yeee kama unaikubarii hii caple gonga like hapa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ timu manyanya na mati tujuanee
Habari zenu ndugu kwn mnalalaga huku nin yani kila nikisema niwaii najikuta nimechelewa , kw wale wanao mkubali modi gonna like here😢
Mimi Leo wa kwanza Leo si comment naomba like tu
Jordani tupo na ww mpaka mishangazi ikuue😂😂
😂😂😂😂hatari ilahuyo aliyemnunulia nyumba nimjinga sana.heri angeenda kununua kungine
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
Team manyanya gonga like apo tujuane... from Moçambique 🇲🇿.
Tunaoangalia muda huu huku tunachungulia comments tujuane😊😊😊
Nimecheka maana na Mimi nipo kwenye comments tu 😂😂😂
Hahaha nipo hapaaa
Nipo hapa
😂😂😂
Kutoka nianze kuangalia hiki kipindi hakuna mtu ashainipea like ata moja. Wala kuangalia mziki wangu😭😭😭
Kazi nzuri sana ila mnatucheleweshea muendelezo
Anaekelwa na tabia za mudy mzunguu tujuaje hapaaa😅😅
😅😅😅😅tabia zake zakera sana
😂😂😂😂
@@WAKMWEENETV anamudhi Sana 😂😂😂
Tena ikifika Kule kwak na mkewe naparusha kabisa nimpendi😢 ila jmn asnt kwa Dunia inatufunza nawapenda wote❤
@maimunamwinyi5830 😂😂😂 tupo weng
cathe umemaliza machozi yako bado vai😂😂
Uyu rafiki wa mate anaujinga mwingi utamliliaje mtu ambae ajawah ata kuwa na hisia na ww kama sio kuchanganyikiwa
Nimepata notification nipo kwenye mwendokasi kwamba series imetoka daaaaaah kiukweli nimeshuka apa fire niendelee kuangalia hii dunia then nimalizie mwendo wangu adi kimara suka,Ahsante sna famlia ya ASMA FILM🎉🎉🎉
Kaka kiukwel hatulazimish kwamba mtoe vipande kila siku, ila tunasubir sana yaan, fanya hata vitatu kwa wiki basi ndugu MANYANYA
Naipenda sana hii movie Kaka Manyanya MUNGU aibaliki kazi ya mikono yenu
Mnafundisha watu wengi kupitia hii movie
Natamani itoke kila siku
Nimekutana nayo mapema sana 😅😅😅
Mapema wapi haijaja kwa wakati
@neemamabena-xx5er nimemaanisha nimeanza kuiangalia ikiwa na sekunde 8
hatar😂🎉
Mi sugar mamy ya jordan imenyukana ngumiii😂😂😂😂😂😂alafu jordan ana watazama tuuu😂😂😂
😂😂😂😂😂 anae gombaniwa sasa yeye yupo busy kama hawaoni vile
Yupo kuwakosa wote 😅
Jmn mnalala online dk ya 8 nioneni na Mimi hata Kwa like bs,,,,, nilijua upigaji wa kula watu mtachelewa lakin kumbe kura uko online 😅😅
Jamani ndani ya dkk 3 tu watu mumejaa hata pa kuweka mguu hakuna😅😅😅
Wakwanza mm naombeni laiki zangu
Abari kaka manyanya ningeli kuwa Tanzania ningeli jiunga na kundi yako baba sasa mimi ni mkongomani 🇨🇩ongera sana kaka manyanya
Aki mati anadeka kwa manyanya Hadi nasikia wivu❤❤❤😅😅from Kenya 🇰🇪🥰 val Kula chuma hicho.
Vai ale chuma au siyo 😁
Emagine huyo mbibi anasema yeye nitulizo la moyo wa jordan🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Sio yolodan bi jordan 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 hakiiii nimecheka sana
Daah😂😂😂😂😂@@ThadeoSeleman-d4s
@@ThadeoSeleman-d4ssi kwa kiswahili wewe
Kutokea drc🇨🇩 tuna wafwatilia sana
Nina swali ndugu manyanya tafazali
Uyo mwamba aliepiga sound track nimkali sana ... Akiachana na ukali wa movie ila uyo msanii anajua sana
Sahihi
Kainogesha movie
Mbona Leo nimechelewa kidogo,ahaaa acha na mimi niseme nagupenda manyanya chukua 🎉🎉🎉🎉 Yako 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮tupooo mniwekee liké yangu hapo
🎉🎉🎉Maua yenu wote mmefanya pouaaa leo ntampa maua cathe scrpt yaa apo dirishan kaua hii itamfanya mati aachee kujiban na manyanya wake lkn cath pia atofikir kuhus manyany big up❤❤❤❤❤
Mungu awabaliki tuweze kumaliza mwaka salama anae soma huu ujumbe❤
Nawakubali mno, muda wote niko TH-cam nachungulia kama episode mpya imetoka. ❤
Penzi la muuza uji na pastor linaelekea😂😂
Kabisa 🤣
Na mimi nimeanza kuona dalili 😅
Nahisi ivo😂
Kabisa😂😂😂😂
Haya sasa fumanizi la mishangazi limetokea sasa😂😂😂😂😂
Uwiiiiii Jordan kimemramba
😂😂😂😂😂 yani na kichapo juu
Ichi kidume ndo kimelala Kwa Matty Leo mmepoa
Mpo vzr sana naomben mpike kingine kizuri zaid
😂😂😂😂
Kimeumana pande zote mbili kwa jordan na cathe uwiiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nilikua nasubiri kwa hamu jmn Nawapenda Sana team dunia❤❤❤
Kweli
Wanao mhurumia cathe😂😂😂😂 tuungane
Mm namhurumia pia Math😂
@@m.mmarckus6298Wakati Matty tayari yuko kwenye amani 😂
I'm feeling her pain 😢
Kweli Matilda angemwambia cathe ukweli
Si muhurumii mtu mjinga me unamwacha mpnz wako kwaajili ya mtu ambae auko na mahusiano nae
KTU tamu yani kila MTU kacheza pat YAKE APA congrt🎉🎉
I think hii series imeoutshine mtoto wa boss na dada wa kazi,,,, kama unakubali gonga lyk
Nilikua nina tshunga sana......mutshukuwe like zenu
Jmn kka manyanya anahtj msaada mna kazdiwa chezea nyumba ndogo weeee😄😄😄😄
Hiyo ni mafunjisho uzuri na inanjenga mayishayangu 🎉❤ namipenda sana Kutoka nchiya CONGO RDC
Manyanya fundi huo ndo uwanaume ukifumaniwa acha wenge 😂😂😂😂😂😂😂tulia
Ila Mtumishi wa mungu anaanzaje kula bila maombi 😢😂😂hapo kafeli 😂
Hapo na mm nimejiukiza kwakweli
@juliethmathew559 kazingua huyu anaigiza tu atakua muhuni mmoja 😄
Hapo sasa mtumishi kama mtumishi,🤣🤣🤣
@KarolinaOman 😄😄kazingua 😄
Miss ni mtekenyo aàh manyanya ni chini aisee😂😂😂
Jamni mm wakwanza Leo naombeni like zang kwenye dunia Tim manyanya mpoooo🎉🎉🎉❤❤❤❤
We cetty nawe kumbe bwabwa tu, Mme wa mtu unamlilia ivo 😂
😂😂😂😂
Et jmniii
Daah Kila penzi litaonja umauti ♥️♥️ unae mpenda kampenda mwengine uyo mwengine naye ana mwengine 🎉🎉🎉 true love never die ❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥🌟
Wacha niombe like na mm leo ntakuja kuwatch baadae nkipewa like😢
Jaman mimi nipo congo nawapenda sana ❤❤
😂😂😂uongo wa manyanya ni mim kbsa yan
😂😂😂 kumbe mpo wengi ,Mungu anakuona
Wakwanza leo manyanya
Sean ya leo ni ya siri kufichuka😅😅😅😅😅😅🎉🎉
Duniaa ina Mambo mengiiii,,, näkukubälíiiiiiii san kak Manyànyaa❤❤🎉🎉❤❤
Pamoja kaka Mungu azidi kukupigania kaziii yako ninjema sana
Kaka manyanya love you ❤❤❤❤ uko vizuri
Nanini wote piya mbarikiwe ka manyanya maty nawengine wote 🎉
Wakwanza apa achia like yako namimi nitakupa tunao mkubali manyanya tu
Mko vizul jaman Mr manyanya nimefrahi umejua saman ya matrid ila Vai mkali Sana mmmh hapana 🌹🛍️🇹🇿
Ila Matti 😂😂😂😂 amemwambia mwenzie avue wig kavua anacheka😂😂
Jordani mishangazi itakuua wewe safari hii😂😂😂😂
Wa kwaza like zangu jmni
Jaman anaekataa vitendo anavyovifanya mudy muzungu😂 kwa mkewe kuw xio vitendo vya kumfanyia mwanamke anaejipambania kutengeneza future ya maixha weka like apa tujuane😂😂😂😂
Paka la baaa😂😂😂😂 muzungu
Muddy ananikera sana
Usikute church boy anamtaka mke wa mudii.maana church boy atumuaminii
Mm nilihisi tangu siku ya1
😂😂😂😂😂 ila nimecheka sana😅😅😅
Ila hao wamama ni waongo...hivi maisha mliyonayo mnakosa vyakula kwenye fridge 😂😂😂
Jaman Leo staki kuongea sana maana naweza kumtoamtu kizazi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii movie isiishe ikiishaiwe na czon two inafundishasana na pandezangu wote wanaipenda kirackutunaurizana vp imetokaa 😁 namimi like zangu jomon
Wale tulioanza tangu mwanzo hadi sahv Mungu awabariki sana ❤❤
Vai akiwa anafanyiwa mazonge najisikia raha sana
Uyu dada rafiki yake mati aisee amejua kuvaa karata yake apo dilishani aiseee nimemkubari sana ametumia hisia zake zakwer daaaaah 😢😢😢😢😢😢 roho imeniuma sana jaman daaah
😂😂😂😂😂😂😂
Hakika 😢
Sana kaweza atari
Inauma sana hii unafanya kila kitu kwa mtu asiye na hisia na,ww inauma sana
Manyanya Umeanza Ku Haribu sasa bro tena weeh Mkali sana
Tuwa ambie ukweli ili wakaze Manyanya analeta ladha mbaya sisi tunataka Tanzania ikuwe kisanaa ila kwa huu utunzi wa muundo wa rukia rejea tuwaachie wanafunzi wa form three kwenye kitabu cha Orodha sisi si watoto utudanganyishie utam wa pipi ukikolea unautoa
Wakongo hatupewi like humu
Ukiskia mwanamke mpumbavu huivunja ndoa/nyumba yake kwa mikono yake mwenyew!!! Ndicho alichofanya Vai, co ni series tuu, bali DUNIA n zaid ya mafundisho kwenye maisha hasa yale ya wanandoa🙏🙏
Jamani namileo nimewahi sijawahi kupata like 😢aompaka nuliye ❤❤
Jamn mnakazi nzuri mpaka raha❤❤
Wakenya wenzangu naomba like aky
Mnachelewesha kutoa mpaka tunakasirika ety
Munahatari jmn dakk3 comment 110😂😂😂
Jordan mishaangazii itakutowa roho hiyooo ohoooooo 😂😂😂😂😂🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
kutoka Congo nipeni mauwa yangu
nililala nimeingia instar nilivyoona imepostiwa nimekimbilia kdg nivunjike miguu😂😂😂
At nikiw wa mia mbil so mbay au mbay😅😅 yuda msatit san😅
Huyu nae mi brichi kama mcheza shoo wa defao 😂 eti manyanya wangu 😅 fyuu kaoshe nyota👌
Ety akaoshe nyota 🤣🤣🤣 umeonaeee
Kazi nzuli🥳🥳🔥
Dah Kase Leo umenitoa machozi kwa sisi turioumizwa tunajua maumivu
Wakwaza nipeni like zangu 🎉😂😂😂
Vzr
Missing mtekenyo, Missing mpapaso !Ila kitaalamu😂😂 manyanya utatuuwa, shabiki wenu hapa kutoka South Africa 🇿🇦 ♥️ ❤
Jamaniii mjitahidi kutuwahishia episode yaniii tunasubiria siku 4 hadi 5 na mnatoa moja
Mmh mbn inatoka kila baada ya siku 2
@user-boss_ledy ya 23 ilitoka lin km unakumbuka????
Simpendiii Cathe mbea sana anamfatilia sana maisha ya watu wivuuuu tuu😢😢😢😢😢😢😢
mnaokimbilia ku comment mnanikanyaga 😂😂
M cjakukanyaga jama😅😅😅
hatimayee jamani nawapenda wotee
Wa kwanza Leo 😁😁🥰
Oya Jordan nae kazidi duuuh ❤❤
Vijana tutafute pesa🎉🎉
Habarii ya kudate na majimama sio kabsaaa🎉🎉
Hahahaha kumekucha 😂😂😂😂😂😂
Duh pameanza kuchangamka 🤸🤸🤸
Shangaz fetty kashindwa kuvumilia kufungiwa😂😂