HIVI NIKWELI KAZI YA MSALABA IMEKUWA NI BURE NAMNA HII || MFALME TENGWA & NABII ALFA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @Jonathan-sy1ct
    @Jonathan-sy1ct 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Mtumishi WA Mungu

  • @apostlepetermponzi8690
    @apostlepetermponzi8690 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu hongera kwa KUSEMA kweli kabisa UBARIKIWE

  • @marianahermes6301
    @marianahermes6301 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana anakusubiri mbona unajichelewesha mno??

  • @anthonysambali7274
    @anthonysambali7274 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢nailaani ile siku niliyozaliwa. Mimi ni nani mpaka Yesu asulubiwe msalabani halafu nisipate uzima??
    Dunia ni ya moto na kuiamini injili hii imekuwa motoooo. Ninani basi tunayetakiwa kumfanya mponyaji na mfariji wetu kwa hasira hiyoo? Inamaana Yesu aliigiza upole, huruma, utiifu na unyenyekevu mbele ya mateso yakee?
    Mimi sijui kitu na silolote mbele za Mungu, kama hajanifunulia linipasalo kutenda ili niyatimize mapenzi yake, nitawezaje kutenda jambo jema mbele zakee? Ninani mwanadamu atakaye nihesabia haki iliyo sawa na haki ya Mungu aliye iumba hata roho ya mwanadamu? Ikowapi ile Faraja ya Yesu? Ukowapi ule upendo aliotuhubiria? Ninani basi alikuja kumuokoa?😢😢😢😢😢

  • @helenmdee4004
    @helenmdee4004 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Kwa neno la uzima Hakika hii ndio kweli Bwana tusaidie tuishi neno hili