SAM ONNE - OWEEH ( Visualizer )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @KadengePeter-u8r
    @KadengePeter-u8r หลายเดือนก่อน +6

    Kali sana nasikiliza nikiwa Qatar 🇶🇦 from kenya ,.....❤❤❤

  • @kgn924
    @kgn924 หลายเดือนก่อน +4

    Dogo apige collabo na founder tz dogo achane founder aimbe kiitikio au mnasema hawa ndo mondi na stamina wa badae🤝✌️

  • @YassnKalyango
    @YassnKalyango หลายเดือนก่อน +3

    Nomasana unatisha badohujakua
    Ukikuaje itakuaje utauazaidi
    Dogo nice one 👍

  • @MwewaLandy-t7x
    @MwewaLandy-t7x หลายเดือนก่อน +5

    Ni kweli kijana huyu ana kipaji kikubwa sana kwenye muziki, bila wivu atafika juu 🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️💪💪💪👏🤛🫵

  • @JohnRaperJohnRaper
    @JohnRaperJohnRaper หลายเดือนก่อน +3

    Unyama Dogo big up

  • @iamdullnizer
    @iamdullnizer หลายเดือนก่อน +2

    Maswali meng shule anarud lini katujibu hata kwny kazi yake anatumia hesabu umetisha mdogo wetu🎉🎉🎉

  • @YusuphMusa-o3v
    @YusuphMusa-o3v หลายเดือนก่อน +4

    Dgo anajua akaze tu atafika mbali san 🔥🔥🔥

  • @MandisiMechackLM
    @MandisiMechackLM หลายเดือนก่อน +6

    Mkongomani wa kwanza APA nipe liké zaku toshaa 🇨🇩🔥🔥📞📞 Sam onne 👑👑

  • @GerardNDUWIMANA-vd6rv
    @GerardNDUWIMANA-vd6rv หลายเดือนก่อน +3

    Kweli wakubalishe wanaojifanya wahataali good song🔥

  • @mrtemboelephanteau9462
    @mrtemboelephanteau9462 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Big up sana mdogo wangu

  • @CharlesAdam-x5f
    @CharlesAdam-x5f หลายเดือนก่อน +3

    Nakubali dogo una confidence kubwa san lazima utoboe zaid ya hap🙏🙏

  • @mikedon254
    @mikedon254 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda sanaaa❤😎🇰🇪💪💯❣️💥✨

  • @ROBINOINDEOBAI
    @ROBINOINDEOBAI หลายเดือนก่อน +3

    Dogo unaupiga mwingi sanaa , Mashairi na vina vinaflow kinyaamaa . Big shout outs from Kenya 🇰🇪.

  • @RamadhanObaka
    @RamadhanObaka หลายเดือนก่อน +2

    +254 tuko ndani ya mjengo dogo atambeee siku zotee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @andreamalilo1929
    @andreamalilo1929 หลายเดือนก่อน +3

    Maswali mengi nitarudi linib shule hata mziki natumia hesabu 🔥🔥🔥Kali sana

  • @CedrickNdagijimana-cu2er
    @CedrickNdagijimana-cu2er 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Love much from USA 🇺🇸 🙏

  • @planetteamfashion5167
    @planetteamfashion5167 หลายเดือนก่อน +3

    Buja planet from 🇧🇮 nakubali sana big up sana same one

  • @cleophassimiyu6388
    @cleophassimiyu6388 หลายเดือนก่อน +2

    Unyama mwingi🔥🔥🔥🔥🔥

  • @DidaMunir
    @DidaMunir หลายเดือนก่อน +188

    Stamina ebu fanya utafit umjue mama mzazi wa uyu dogo, yaan hii ni damu yetu kabisa. Sasa kwa nn uliikataa mimba unaona sasa dogo anavyokuumbua baba ake

    • @zomasamweli
      @zomasamweli หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂

    • @JosephWanjala-x3v
      @JosephWanjala-x3v หลายเดือนก่อน +1

      Yeah

    • @EliudKeivoo-md1vw
      @EliudKeivoo-md1vw หลายเดือนก่อน +1

      @@DidaMunir kapisha

    • @HarrietPendo-dr2gl
      @HarrietPendo-dr2gl หลายเดือนก่อน +2

      Kabisaa😅😅😅😅Yani kamfanana kila kitu ata sauti akia Mungu tena uyu dogo stamina mtupu

    • @zomasamweli
      @zomasamweli หลายเดือนก่อน +1

      @HarrietPendo-dr2gl itakuwa stamina alichovya sehemu afu hakuzingatia yaan huyo dogo damu yake kabisa😂😂😂

  • @GsamkaputaTv
    @GsamkaputaTv หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda sana rafiki wa zamani 😮😢😢 shule tulisoma wote🎉🎉🎉 nime ku miss kinoma bab🎉 we njo mimi sam onne 🎉🎉

  • @AbuNoah-u5w
    @AbuNoah-u5w 25 วันที่ผ่านมา +4

    Kojo la stamina mtupu

  • @charokahindi2019
    @charokahindi2019 หลายเดือนก่อน +2

    Deeeeem! Kijana skari sana mazee. ,

  • @BRANDIAFRICA
    @BRANDIAFRICA หลายเดือนก่อน +13

    Walio ludia Mala2 tujuane kwa like

    • @augustinemligo1191
      @augustinemligo1191 หลายเดือนก่อน

      Daaa uyuu dg ni shida nyingine mjini

    • @BRANDIAFRICA
      @BRANDIAFRICA หลายเดือนก่อน

      @@augustinemligo1191 hatari Sana mkuu

  • @JanuarisMutuku
    @JanuarisMutuku หลายเดือนก่อน

    Oweeh oweeeh.
    Fan from Kenya
    Sam one utatamba vinoma sana
    Napenda mistari yako
    One day one time you will be the the Tanzania king of hip hop

  • @WaziaMikanda-x9p
    @WaziaMikanda-x9p หลายเดือนก่อน +3

    Saf sana sana stamina tuna kuomba umshike huyo dogo 🎉🎉🎉🎉

  • @HarrietPendo-dr2gl
    @HarrietPendo-dr2gl หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nim rudia mara ya kumi na moja sasa😊😊😊nampenda Sana dogo letu Kenya

  • @DJAZBABOYS
    @DJAZBABOYS หลายเดือนก่อน +5

    Uyu dogo nishetani😢😢😢😢😅

  • @Almas-tf3eb
    @Almas-tf3eb หลายเดือนก่อน +2

    Saaaana Sam One uko poa San

  • @DavidJackson-eh8mr
    @DavidJackson-eh8mr หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania imebarikiwa na vipaj

  • @JoshMusic427
    @JoshMusic427 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekubali dogo hii ni kubwa. Wapi likes za huyu dogo. Nipo Kenya Msanii pia namsupport ndugu yangu Sam one, Nice Piece 💫💫

  • @Fantastic.-gm1eo
    @Fantastic.-gm1eo หลายเดือนก่อน +29

    Unyama dogo utafika mbali

  • @mswalehmswazi2507
    @mswalehmswazi2507 หลายเดือนก่อน +2

    Mchanaji dogo...🙌👌🔥🔥😍

  • @amergolil-pump6
    @amergolil-pump6 หลายเดือนก่อน +34

    Dogo leo sijachelewa Naomba like zangu 🎉

    • @SharifAbdul-w2r
      @SharifAbdul-w2r หลายเดือนก่อน

      Hongera hongera Nikonayeye 1 2 12

  • @michaelroban2639
    @michaelroban2639 หลายเดือนก่อน +2

    Dogo langu me nakufatilia sana uko vizur binafis nakukubar sana, kikubwa pangilia mashair yako sasa ili yalete mana nzuri, ni hivyo tu wewe ni 🔥

  • @HASASBAHATI
    @HASASBAHATI หลายเดือนก่อน +3

    Kenyans in the house

  • @JafarKhamiss
    @JafarKhamiss หลายเดือนก่อน +1

    Noma sana umetisha kaka 🎉kazi zuri

  • @MohamedMwakaramu
    @MohamedMwakaramu หลายเดือนก่อน +3

    DNA ya stamina inahitajika kwa dharura sana wadau😂😂

  • @NicholasROMA-h8h
    @NicholasROMA-h8h หลายเดือนก่อน +2

    SAM ONE pokea tatu👊👊👊 kutoka🇰🇪🇰🇪

  • @Ericksamweli-tt4ov
    @Ericksamweli-tt4ov หลายเดือนก่อน +2

    Da jamn kati yanyimbo za hipapu bora zamwaka bas hiii ngom noma nimeyirudia kam mara 100 hiv hongera dgo kaz unajua sio kidgo

  • @sammichael1946
    @sammichael1946 หลายเดือนก่อน +2

    Miondoko ya stamina ... Big up

  • @Online-dl5vo
    @Online-dl5vo หลายเดือนก่อน +3

    Sam one ft founder Tz itakua 💥💥

  • @DJAZBABOYS
    @DJAZBABOYS หลายเดือนก่อน +2

    Dogo nimoto kama stamina mapacha kwakweli naipenda sana 🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇩♥️❤️

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 หลายเดือนก่อน +3

    Dogo yupo vizuri

  • @OmaryOudax-d4b
    @OmaryOudax-d4b หลายเดือนก่อน +2

    Dogo umetisha sana Dogo langu nakukubali kinoma

  • @godfreymwakipesile2051
    @godfreymwakipesile2051 หลายเดือนก่อน +3

    Nyinyi huyu dogo anabalaa nyinyi

  • @MachumbeMrange
    @MachumbeMrange หลายเดือนก่อน +1

    Pambana dogo mtoto wa stamina mungu mkubwa utafika mbali

  • @Newsfid
    @Newsfid หลายเดือนก่อน +3

    This kid will be bigger than snoop dog, eminem and the likes of wiz khalifa.
    After 7 years you will come to kiss this comment.

  • @morishoissa4155
    @morishoissa4155 หลายเดือนก่อน +2

    Maisha marefu mdogo wangu 🎉🎉🎉🎉

  • @ShekelaDesire-o3h
    @ShekelaDesire-o3h หลายเดือนก่อน +4

    Dogo anasauti ya STAMINA...

  • @WinnaB-rc9mh
    @WinnaB-rc9mh หลายเดือนก่อน +1

    Namkubali huyu sam one toka 🇰🇪 vibe yako 💯🔥keeping shinning i mean endelea kutamba

  • @baltazarmrwanga7077
    @baltazarmrwanga7077 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo nasubilia remix ya stamina na nengaaaa

  • @ThomasMwangwa-t6l
    @ThomasMwangwa-t6l หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzurii kijana

  • @DanielChesire-f6m
    @DanielChesire-f6m หลายเดือนก่อน +3

    Dogoo respect 😁

  • @Barakahtz41
    @Barakahtz41 หลายเดือนก่อน +2

    Dogo wa moto sana🔥🔥🔥

  • @erickhaule8680
    @erickhaule8680 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekucheki Jana cloud ent Leo nakuona huku ngoja ni subscribe

  • @t-starzs7448
    @t-starzs7448 หลายเดือนก่อน +2

    Dogo we we mkali Sana tena kinoma😍😘😘

  • @AllyMohammed-j5z
    @AllyMohammed-j5z หลายเดือนก่อน +4

    1:45 umetisha sana

  • @MaryamKhamisi-d7f
    @MaryamKhamisi-d7f หลายเดือนก่อน +2

    Dogo anajua nyie kulia inaruhusiwa ila kukata tamaa😮

  • @salummassoud9876
    @salummassoud9876 หลายเดือนก่อน +7

    Dogo anajua ila shida ipo apa michan yake haina tittle anapeleka tu anaweza kuchana mstari mzur alf stori ya mbele mfano gari then akarukia tena mstar anadiss ngombe au mbuzi apa tu akijirekebisha bc ni nooma

    • @barakahassani5769
      @barakahassani5769 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweli ila kwaumli wake katisha sana nabiti nikali sana

    • @NelsonBukuru-k1x
      @NelsonBukuru-k1x หลายเดือนก่อน

      Fanya yako utie hapo tuone😅

  • @JenipherObady
    @JenipherObady 17 วันที่ผ่านมา +1

    Umeelkea kufanana na stamina aloooo🥳🥳hongeraaa

  • @Bevannyboy
    @Bevannyboy หลายเดือนก่อน +3

    🇰🇪 ❤

  • @Sospetermwageni
    @Sospetermwageni หลายเดือนก่อน +2

    Talented 🔥🔥🔥🔥

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 หลายเดือนก่อน +3

    He needs to be guided to stick on a topic ila anajua

  • @AlexMoses-h3k
    @AlexMoses-h3k หลายเดือนก่อน +1

    Nilikuwa nasubli kwa hamu hili goma goma Kali uko vizurii dgo

  • @idrisamapesa2732
    @idrisamapesa2732 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna vitu unaweza kufanya Kwa Siri lakin baadae vikaja kukuumbua hadharan hapa wenye D mbili wamenielewa 😊😊😊

  • @h.akarim
    @h.akarim หลายเดือนก่อน +1

    Kazi Kubwa ☝️

  • @KennyDolphin
    @KennyDolphin หลายเดือนก่อน +2

    Sana dogo janjaaa👍👍👍👍👍👍

  • @INNOLENJEMET
    @INNOLENJEMET หลายเดือนก่อน +1

    Mtoto wa stamina🔥🔥🔥

  • @BIGGIEBOOST
    @BIGGIEBOOST หลายเดือนก่อน +2

    Mbona kama sharobwenzi vile 😂🙌🔥🔥 sema unajua sana

  • @KingTyger
    @KingTyger หลายเดือนก่อน +1

    no give up hapa rwanda tanagupenda sana❤❤❤❤ I'm king tyger

  • @AberyMwembe-o8i
    @AberyMwembe-o8i หลายเดือนก่อน +1

    Duuu ! Nimesikiliza sana kipande cha Marioo mara nyingi sana Nilivo sikia na cha aslay nikagundua aslay kaua zaidi kuliko marioo like Zakayo jaman

  • @SylvesterWambura
    @SylvesterWambura หลายเดือนก่อน +1

    oya we stamina mkumbate oya we stamina mkumbate uyo dogo

  • @SizaGenga
    @SizaGenga หลายเดือนก่อน +1

    Nakutakia kufika mbali, Mungu akutangulie👊

  • @benedictoyo5995
    @benedictoyo5995 หลายเดือนก่อน +1

    Skonnnnga kutoka nchini 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬 ❤❤❤❤

  • @Bravolimarbm
    @Bravolimarbm หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉🎉 sharobwenzi mtoto 🎉🎉🎉🎉 from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @tomnandwajeymuziq6193
    @tomnandwajeymuziq6193 หลายเดือนก่อน +1

    Nikiwa kenyaa dogo mwambaaaa nakukubali aisay....

  • @danielwaita3622
    @danielwaita3622 หลายเดือนก่อน +1

    imetisha My brother 🙏🙏🔥🔥🔥💯🥳🥳🥳🥳🥳🥳🔥🔥

  • @DanielsilvestreAugusto
    @DanielsilvestreAugusto หลายเดือนก่อน +2

    Unyama blaza🎉🎉

  • @JacksonMorice-c4v
    @JacksonMorice-c4v หลายเดือนก่อน +2

    Mganda hap🇩🇪

  • @TKWOLF-kh6yz
    @TKWOLF-kh6yz หลายเดือนก่อน +2

    This young man is talented

  • @GimuntaAlloys
    @GimuntaAlloys หลายเดือนก่อน +2

    Maswali mengi shule unarudi lini,,hata kwenye mziki unatumia hesabú😁😁😁😂😂😂😂🔥😂😂😂😂😂🔥😂😂😂😂😂😂😂mwamba classic 🙌🙌🙌🙌🙌

    • @TigerGabrielsaint
      @TigerGabrielsaint หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂hiyo ni fumbo blood 😂😂😂😂

  • @carlivian
    @carlivian หลายเดือนก่อน +2

    Kaali sanaa💯🔥❤️

  • @yusuphmyinga
    @yusuphmyinga หลายเดือนก่อน

    Kazi safii endelea kukaza tutafika kama waoooh👊👊👊

  • @muharramhamisi5140
    @muharramhamisi5140 หลายเดือนก่อน +1

    ✊✊Dogo naamin one day utkuw mbali kijana,ongeza vitabu waje wakujue wew ni nan

  • @DAVIDKASANGA-qq7pm
    @DAVIDKASANGA-qq7pm หลายเดือนก่อน +1

    Aaaah weeeeh hapa na subscribe kabsaaa... Msiniulze n kwann.. mana Hata kuandk2 hii comment natumia BAM

  • @masadakamusic
    @masadakamusic หลายเดือนก่อน +1

    Kazi safi dogo❤❤❤sam onne napenda kazi yako

  • @veejaymchinake4715
    @veejaymchinake4715 หลายเดือนก่อน +2

    From 🇰🇪 nimekukubali ,wacha tuicheze

  • @abditech14
    @abditech14 หลายเดือนก่อน +2

    HIKI NI BONGE LA KIPAJI 👏👏

  • @mosesoiyan6576
    @mosesoiyan6576 หลายเดือนก่อน

    Dogo anachana vikali. Nakubali huyu mwamba . Big up👏👏

  • @TanzaniaDodoma-w5y
    @TanzaniaDodoma-w5y หลายเดือนก่อน +1

    Weka alama sapoti kwa Sam one weke like hapo 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @CosmasOmweri-uq1fe
    @CosmasOmweri-uq1fe 12 วันที่ผ่านมา +2

    Unatiasha dogo🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @desmondglen6094
    @desmondglen6094 หลายเดือนก่อน

    You have been my favorite swahili rap on my playlist , mungu akupee maisha marefu

  • @PeterPenchez-c6u
    @PeterPenchez-c6u หลายเดือนก่อน +2

    Yaani hii ni noma❤

  • @princenasheta
    @princenasheta หลายเดือนก่อน +1

    Namjua kwa mara ya kwanza lakini bonge la ngoma liko sanaaa😍

  • @kiustaa7701
    @kiustaa7701 หลายเดือนก่อน +1

    Nlijuwa tu huyu ni mtoto wa stamina 🎉🎉

  • @kenmurimikamumeakafro
    @kenmurimikamumeakafro หลายเดือนก่อน +1

    On topz ✅
    Keep the fire burning 🔥🔥🔥

  • @Samdeeluodancehall
    @Samdeeluodancehall หลายเดือนก่อน +2

    Big up supper 🌟

  • @futurekingsinglemaster9003
    @futurekingsinglemaster9003 หลายเดือนก่อน +1

    Bomboclat ❤❤❤❤❤ this boy ❤from KIGALI 🇷🇼 we love him

  • @BaPrincess-k8m
    @BaPrincess-k8m หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana mungu akupe nyota kubwaaaa

  • @HarmoïseKaserekakingofking
    @HarmoïseKaserekakingofking 6 วันที่ผ่านมา

    Umefunika sana kanyere kwenye iyi song sn,wanaojuwa kwamba pila boy kauwa gonga laik hapa