Wanaume wawili Peleg Monari na Peter Igadwa, walioonekana wakichomoza kupitia madirisha ya gari lililokuwa likiendeshwa kwa kasi kwenye barabara ya Nairobi kwenda Mombasa, wameshtakiwa.
It's good to report such actions but I think that madam taking the video was julous for seeing people going to mombasa on a german machine while she is going to work on a probox
Maisha ni yangu,weeee shughlika na yako😂😂😂 ama inakuwanga Maisha ni yako mazishi ni yetu
Hehe hapo kwa mazishi
@@alexsimiyu8582 Asante. But TH-cam Haina inbox 😂
@@ConfusedCardinal-of7qz 😂😂😂😂
Maisha ni ya serikali 😂😅
@@harun254 Noma Sana 😂😂😂😂
sawa sawa kabisaaa Tena sitaki kusikia dhamana no wafungwe miaka 5
wanacheza sana,,"sio akili yake,ni hiyo pombe amekunywa",camera man good work
😂😂Hawa hawako serious
Those guys should grow up
Watu hawajipendi😢😢😢
Boreko nisiitwe madhishi au mchango ya tumbili kaa hizi 🙏🙏🙏
Gen Z na West life drills
Na utapata ni lift wamepewa 😢😢😢 weeeee
Hii ni ushamba
Khai weee 😢
its what happens every day in matatu industry specifically,but since mkona wivu mercedes lazima mngerecord
Bangi hii😂😂😂
Na enjoy 😂😂, though life is short
Wanamiss gari iko na sunroof
Io ni sadaka ya mwenye gari😅
Mtu akitoka mashambaa alafu akuje nairobi afunzwe kufinya laptop bahati tu dola zitoke weeeh ata choo hawaendi
Wanafanya lift za Nairobi zikue na giza juu ya weusi na arufu ya mulsiki hadi ndani ya lift
Labda akili za hawa wawili, ziko likizo.
It's good to report such actions but I think that madam taking the video was julous for seeing people going to mombasa on a german machine while she is going to work on a probox
Wacha kuweka pombe mahali haiko
Not man enough
Pengine wanafanya campaign,who knows?
Its a mockery of justice they have money theyvwill buy justice
Labda ni stress.😂
😂😂😂😂
mara ya kwanza kubebwa na personal car ya rafiki wa kazini wajui pahali mtu uketi
If stupidity was a person.🤔🤔
Sasa hapa nani anafa kurudi shule
Mtu asitaje wakisii
hahah
Unachoma😂😂
Stupidity of the highest level.Was the driver also arrested?
ushamba
A pair of fools...
Ujinga mwingi
Misifa ya kijinga
Heri pombe kuliko bangi juu mtu akilwa anza lala but bhgi hahaha
Wako Sawa, me sioni shida wako nayo