Karubandika by Kasaloo Kyanga & Orch.Maquis Original(Zembwela)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @EmanuelMuna-w2q
    @EmanuelMuna-w2q 14 วันที่ผ่านมา

    R.I.P King Kikii.
    Poleni sana wanafamilia ya King Kikii, ambaye ni mwanamuziki nguli na mkongwe sana hapa nchini Tanzania.
    Miziki ya King Kikii itaendelea kuishi milele na daima.

  • @alfredkasololo5242
    @alfredkasololo5242 ปีที่แล้ว +3

    Kasaloo Kyanga ni ndugu yangu. Wazazi wetu walikuwa na juwana kwetu Bukavu, Congo.

  • @esperancempiana4127
    @esperancempiana4127 3 ปีที่แล้ว +1

    Namkumbuka kyanga tukiwa naye Nairobi kyenye bendi yangu Hadi Mombasa Yani maisha aya jamani achatu ni hatari kabisa dhuuuu!

  • @alfredokasololo4934
    @alfredokasololo4934 6 ปีที่แล้ว +7

    Kasaloo Kyanga, ndugu murega, mtoto wa kwetu Bukavu. Aksanti Sana kwako kwa wimbo nzuri umetuachiya hapa Dunia. Tutakukumbuka siku zote.

  • @suezanna2690
    @suezanna2690 6 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo huu uliimbwa nikiwa mdogo nakumbuka wana mziki hawa pale Bush bar Daresalaam kas kasambula,kasaloo, Vicky Nubi, Papa Tomaa,Mutommbo Audax,Ndala kasheba, kumbukumbu safi sana

  • @rubamann
    @rubamann 13 ปีที่แล้ว +1

    dah nilikuwa nauzimia huu wimbo tangu utotoni. Nakumbuka nilikuwa vidudu/ la kwanza nilipousikia mara ya kwanza. Jumapili ilikuwa si jumapili bila kuusikiliza huu wimbo. Good old days....

  • @CoCoG0DIVA
    @CoCoG0DIVA 14 ปีที่แล้ว +1

    Thank you so much for posting this song. It brings me back to my childhood like whoa! My parents loved this song.

  • @fredowells8128
    @fredowells8128 11 ปีที่แล้ว +1

    this was a hit then in 1980s, was unable to witness the live band but constantly listened on local radio .

    • @suezanna2690
      @suezanna2690 6 ปีที่แล้ว

      I witnessed but iwas young didn't know what was going on at the stage 🤣😂

  • @mwanahawa
    @mwanahawa 13 ปีที่แล้ว +1

    akiingia kwenye bar, kazi yake kuomba biax2 Hana hata aibu eh,sigara bia anaomba, Mitaani na kwenye mastore akijitangazia eti ni mkurugenzi wa kampuni fulani, kumbe sivyo hivyo!
    Usinione mwenge babax2
    kwa kukubali wito wako karubandika eh x2
    Hayo yote matatizo ya dunia babax2

  • @mwanahawa
    @mwanahawa 13 ปีที่แล้ว +2

    Usinione mwenge babax2
    kwa kukubali wito wako karubandika eh x2
    Hayo yote matatizo ya dunia babax2
    Nilitaka kujitumbukiza ndani ya moto mie, kumbe bwana yule, hana kitanda wala shuka, pakulala hana, analala kwenye stendi ya basi, pakulala hana, anakesha kwenye kituo cha daladala, KARUBANDIKA, yoyo, acha vituko wewe baba

  • @mzuvendi
    @mzuvendi 8 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo hizi zilikwenda na hali ya wakati huo,,Asante

  • @mercynadia3140
    @mercynadia3140 ปีที่แล้ว

    Akiingia kwenye bar Kaz yake kuomba ,hata aibu haoni bia anaomba ,uuuuhhh

  • @hildakichondo9611
    @hildakichondo9611 3 ปีที่แล้ว

    Rest easy my dad alikuwa anaupenda huu wimbo

  • @momoshamallah2035
    @momoshamallah2035 10 ปีที่แล้ว +2

    Alale pema kaka Yusuf Mehmed aka Joseph Membeti aka Sumbati. 1985 Eldoret.

  • @patrickkiarie5019
    @patrickkiarie5019 7 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo hizi ni mlwa sana nazipenda sana kwa moyo wangu wote

  • @wewetube02
    @wewetube02 15 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Dekula2....safi kabisa

    • @wazirikachume9030
      @wazirikachume9030 7 ปีที่แล้ว

      wewetube02 izi nyimbo zinafundisha Sana

    • @kerichdavid3336
      @kerichdavid3336 6 ปีที่แล้ว

      Nostalgia ya 1980s during shows, wah!

  • @shabanimnondwa6094
    @shabanimnondwa6094 6 ปีที่แล้ว +2

    This is my favorite song iremmber when iwas at umbwe secondary school

    • @emmanueldagharo9462
      @emmanueldagharo9462 5 ปีที่แล้ว

      i think its been so long brother ,good old days ...really great songs

  • @emergingfacts8637
    @emergingfacts8637 4 ปีที่แล้ว +1

    smoothly with a cold beer

  • @silaswafula9884
    @silaswafula9884 ปีที่แล้ว

    Wow aki wewe

  • @bethuelnatembeya5342
    @bethuelnatembeya5342 8 ปีที่แล้ว

    The song an advice to all people who has the behaviours that are good,also has good teachings.

  • @MrRoba88
    @MrRoba88 8 ปีที่แล้ว

    as always my favourite. nice song!!

  • @TheBigyosef
    @TheBigyosef 13 ปีที่แล้ว +2

    rest in peace kyanga mungu akulaze mahali pema

  • @emmanueldagharo9462
    @emmanueldagharo9462 5 ปีที่แล้ว

    Marquis ,great song 📀

  • @mwanahawa
    @mwanahawa 13 ปีที่แล้ว

    Kama wewe ungenipenda,
    kwanini kunidaganya bwana we,
    kujibadika madaraka sio yako bwana wewe? x2
    Nimesikia tetezi kuwa huna lolote hata kazi huna eeh
    Unazarura mchana kutwa eh, kupita kuranda randa mitaani
    Nimesikia tetezi kuwa huna lolote hata kazi huna eeh
    Unazarura mchana kutwa eh, kupita kuranda randa mitaani
    Kumbe hukuwa na uwezo wa kunioa ila kuniharibia maisha
    Heri kuniambi ukweli ulivyo kuliko kunidangaya
    Nikuelewe vipi eh?,
    babu eh?
    Uaminifu wako uko wapi eh? babaaaax2

  • @dbpaterson
    @dbpaterson 13 ปีที่แล้ว +1

    Quite a nice live version...
    A correction to the correction below: I think the actual lyric is "usinione bwege"; don't see me as a fool.

  • @abubakaromar9651
    @abubakaromar9651 10 ปีที่แล้ว +2

    THis songs title is "Karubandika" not " Usinoine bwege" @Mwanahawa.

  • @raphaelsingano87
    @raphaelsingano87 6 ปีที่แล้ว

    nawaelewa sana

  • @iddynasoro3157
    @iddynasoro3157 7 ปีที่แล้ว

    poa sana jamani 2wakumbuke wasee wetu

  • @mwanahawa
    @mwanahawa 13 ปีที่แล้ว +1

    CORRECTION! I REALISED THE TYPO, ITS :
    usiJIONE MWENGE.. Instead of usiNIONE, PLS CORRECT IT

  • @bcamerounne
    @bcamerounne 13 ปีที่แล้ว +1

    this seems to be a remix of the song, the first one refered to "analala kwenye Kituo cha UDA" and not kituo cha Daladala. nice work

  • @allyabdallah2519
    @allyabdallah2519 8 ปีที่แล้ว +1

    sijaona nyimbo ya monica ya ndalla kasheba

  • @saidachekaaali1307
    @saidachekaaali1307 9 ปีที่แล้ว

    Hii ni remake sio original version,ingawa munazo sauti chache za waliouimba kwenye original version.
    Na jina la wimbo ni KARUBANDIKA na wala sio USINIONE BWEGE.

  • @monicapaulmarwa4546
    @monicapaulmarwa4546 7 ปีที่แล้ว

    Asante Sana

  • @gadnersolomon2971
    @gadnersolomon2971 7 ปีที่แล้ว

    safi sana sana

  • @jamoharrold4184
    @jamoharrold4184 12 ปีที่แล้ว

    correct this is not the original where is the original?

  • @dohabisophicateqatar1742
    @dohabisophicateqatar1742 7 ปีที่แล้ว

    wachaaa

  • @mwithigastephencontractor6997
    @mwithigastephencontractor6997 4 ปีที่แล้ว

    Hii siyo original karubandika

  • @viboko
    @viboko 12 ปีที่แล้ว

    This is not original folks.

  • @mwanahawa
    @mwanahawa 13 ปีที่แล้ว +1

    Usinione mwenge babax2
    kwa kukubali wito wako karubandika eh x2
    Hayo yote matatizo ya dunia babax2
    Nilitaka kujitumbukiza ndani ya moto mie, kumbe bwana yule, hana kitanda wala shuka, pakulala hana, analala kwenye stendi ya basi, pakulala hana, anakesha kwenye kituo cha daladala, KARUBANDIKA, yoyo, acha vituko wewe baba

  • @richardyunge4862
    @richardyunge4862 2 ปีที่แล้ว

    Tunawakumbuka sana