Angelou/Clayton Kasongo Mpinda & Orch.Maquis Original
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024
- Musicians:Clayton Kasongo Mpinda,Kikumbi Mwanza Mpango"King Kikii",Mbuya Makonga Adios(RIP),Kiniki Kieto,Ilunga Lubaba"django reinhardt"(RIP),Mpoyo Kalenga(RIP),Banza Mchafu(RIP),Mulenga Kalonji(RIP)Akulyake Saleh "King Malou",Mafumu Bilal"Super Sax".
#muzikiwadansi #maquisoriginal #tanzania
Hii nyimbo nakumbusha mbali sana,kapumzike peponi Kasongo Mpinda
Wimbo Mzuri Sana huu...jamaa waliupanga ukapangika...dada Angelou anapatiwa kusu/ panga skate tamaa! Tofauti ya Dar na Nairobi ni Eti Dar Bendi zipi nyingi na zinatoa Burundani safi! Nairobi bendi hamna!
Nakumbuka mwaka 1982 nikiwa darasa la tatu kitambo sana kipindi kilikua mchana mwema
Kasongo Mpinda alikuwa na sauti ya kusisimua Sana, Sikiliza nyimbo kama Nasoneneka, Seya original na Kazi yangu baharia. Kwa kweli vizuri havidumu. RIP.
Kasongo mpinda tutakukumbuka daima.sauti yako wema wako havitasahaulika.mungu ailaze mahali pima peponi.
Ndugu zangu hebu msikilizeni jinsi muzee Banza Muchafu anavyotembeza bass gitaa lake,hii timu ilikuwa ni hatari sana bado tunawakumbuka sana wana Kamanyola.RIP Banza.
Kuna kipindi alipogis gitaa juu ya kichwa.
Zilizopendwa...moja ya safi sana za Marquis
Angelou inanikumbusha mabasi ya IKARUS ya UDA ukija Dar lazima upande vinginevyo utaonekana hujafika Dar dah wakati huo Manzese palikuwa na Mbuyu mkubwa sana pale lilipojengwa daraja la kuvuka barabara WHERE ARE THOSE DAYS
hapakua na Mbuyu, paliiua na Msufi na ndo mana pakaitwa Manzese Msufini...
We mgeni hujui kitu unajifanya unajuuua pale mnzese kulikua na msufi siyo mbuyu na neno manzese msufini alama tosha ya jina hilo eneo hilo msidandie gari kwa mbele
wote mko sahihi
Nakumbuka ukumbi wa ulafiki na bedi ya ulafiki😮😅
Anjelu mtoto wa kipare alikuwa mrembo haswa,masikini Sijui Bado huko hai.?
Baadaye akiuza perfume pale sinza,
Ama kweli duniani tunapita , RIP Mafumu Bilali ,Banza mchafu kasongo Clayton
Nakumbuka huu wimbo 1980!!
Nyimbo hazina chembe ya maneno machafu atukuzwe Mungu
Wanavyogani hatariii
MPINDA CLAYTON kWELI mpatie panga akate tamaa
Wimbo huu umeniguza kweli
Acheni bhana wanamuziki wameshapita ndio maana mm csikilizi mziki WA kisenge WA bongo freva
🤣😂😅 kuwa mpole 🤣😂 ndio dunia bro!!
Yote yana Mungu,old is Gold
Muziki wa babu Seya umenikumbusha mbali sana. Hakika alikuwa gwiji LA muziki. (jembe)
I am in the house but can't just sit and listen to it, l have to stand and do justice to it.
Wallahi inanikumbusha zamani zetu magongo rangers na ndugu Rishadi. Miaka ya 1978 hapo bustani ya Chicago magongo Kenya. Jaluo wa Kenya huyu
Ahsante Maestro Dekula kwa kuupload wimbo huno. Nimeutafuta yapatamiaka zaidi ya ishirini.
anjelu wangu enzi hizo pale lan;gata
Kwa nyimbo hz sema sana
Kipindi changu cha utoto,miaka hiyo nyumbani kwakivesa Handeni miaka ya 78,79 na 80
Wele kulonga kia ikinded ni miaka hiyo ukulonga
Ukiangalia video ya wimbo wa Kasongo utawaona Kasongo Mpinda na King Kiki enzi za ujana wao miaka ya 78,79 na 80. MMM! CHIIKALA CHIKAUJA.
Hakuna zaidi ya Mziki wa zamani
Charles ally kabisaa hakuna
💯
Nice music god bless
Tafadhali awezae kuappload wimbo wa Marquis "Sumu ya Mapenzi" original. Naitafuta sana
Allah akupe pumziko la milele
Alikuwa mtu mwenye karama hakika tutamkumbuka daima
apumzike kwa amani mzee sugu....
Ilunga lubaba kwenye solo la nyuzi 12
Enzi hizo kulikuwa na muziki sio hii ya sasa isiyo na ladha
Duuh! Usiku waleo sikulalaa eeh hateriii
thanks Maria kwa kupenda huu wimbo kaa mimi.wakati mwegine wanaume wakipenda hawalali. ni vile kasongo alifyokua.
Asante nko kenya
R.I.P BABA YANGU KASONGO MPINDA. I WILL MISS YOU.
You prolly dont give a shit but does any of you know a method to log back into an instagram account?
I was dumb forgot the password. I appreciate any assistance you can offer me.
@Bobby Jorge instablaster :)
Rest in peace 'Kasongo'
ilikuwa pale lan,gata hol
Shukrani kwa mwandaaji
Clan Maquis!!!!
Sikuweza kupata usingizi kwa ajili ya anjelous
Napata burudani murlwaaaa
HIYO ELIKUWA KAVASHA YA NYUMBANI 1978 LANGATA , WATHAUSI KIMALA TAX SHILINGI 30 BIA SH 20 JUMAMOSI UKIKAA NYUMBANI WW SIO KIJANA SIKIA KAVASHA HIYO
Nzuri sana
вышка...
Kila enzi ina kitabu chake wazee, tumuombee mungu clayton.
Kuna mtu anaijua nyimbo iitwayo BANANANYEE? nadhani iliimbwa na marquis.
Ebwanae, wimbo wa zamani sana huu. Enzi za Kamanyola (1978-1980). Labda ujaribu RTD
Banananye ooooh, sitaki lwangu banananye
Banananyee ohh, lwa kugomabana oh banananye
sikuzoeya oh banananye, banananye oh oh
Banananye ulianza tangu zamani kunifuatafuata oh mamaeee, sikuzoeaya banananyee, banananye oh oh
Nakatala lwangu bya makucha, bibiye mimi ni wako......
Refrain
Banananyeeee, Banananyee mama, banananyee
Bananayee sitaki lwangu mama
banananyee
Natatala lwangu bugomvi, banananyee
Nakatala lwangu makucha, banananyee
Saidi eeh na Monga, banananyee
Kibadeni na Tshimbi, banananyee..............
..................................................................
@@MegaCaeser hapa bado kiswahili kinawapiga chenga
Watu na sauti zao, kweli kaburi ni shujaa
huyo kwenye picha ndie kasongo?
Audax hakushiriki humu?
HIVI APO ILO SOLO LILIPIGWA NA NANI?
Omari Adinani Nguza Viking
sorry huyo alikuwa Lubaba siyo Nguza
Ilunga Lubaba
ILUNGA LUBABA
Bora kumwimbia sifa Bwana Mungu wa Majeshi!
Maji wateka
❤solo limepigwa na mwamba mmoja marehemu ilunga lubaba
Bora kumwimbia sifa Bwana Mungu wa Majeshi!
Hayo ni yako wewe sijui umeingiaje huku
@@tumainimalulu7708 HAUMWI HUYO