KABLA YA LIGI KUANZA VISOMO NA MADUWA AL BADIRI NI MUHIMU SANA KUNA WATU WANA WAROGA NA KUVURUGA SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mchungaji Kigezo chako cha Usajili hakifai. Mchazaji anaweza kufanya vizuri hata kama anatoka timu isiyoshiriki Club Bingwa. Mchezaji hachezi pekee yake na hata kwenye timu zinazocheza Club Bingwa kuna baadhi ya wachezaji wa ovyo tu ambao hawawezi kusajiliwa na timu hata zile ambazo hazishiriki Tutafute vigezo halisi vya kisoka. Haiwezekani kila mchezaji aanzie kwenye timu zinazoshiriki club Bingwa tu.
Nakuombea mungu akupe maisha marefu mchungaji.chapa kazi kaka.mangungu atoke tukupe kiti hicho kaka.
Utopolo mna kazi kubwa pamoja na kuwa mabingwa bado mnateseka.Chama ameosaidia Simba Sana kwenye mechi za kimataifa
ASANTE MUNGU KM NI KWELI CHAMA AMEBAKI SIMBA
KABLA YA LIGI KUANZA VISOMO NA MADUWA AL BADIRI NI MUHIMU SANA KUNA WATU WANA WAROGA NA KUVURUGA SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sasa wew unamtaka mamsako aje acheze kwenda zako ukome kumtaja mutare nyau wew
LIGI YA TZ NI YA MAJUNGU NA KUROGANA TATIZO LIKO HAPO
KM NI KWELI CHAMA AMEBAKI SIMBA MASHABIKI TUMEFURAHI SANA. JMANI NI KWELI ?
Achana na Joshua wewe yule ni kiumbe kingine
Kwani muntare aisaidie tim kwani anacheza peke yake
Tunakula raha mwakani simba nguvu moja
Mchungaji unafeli mchezaji mmoja peke yake hawezi kuisaidia timu.bado uelewa wako katika Mpira ni mdogo
Wewe umeleta wachezaji wangapi ulie na uelewa mkubwa was mpira
We mbn yanga walikua nafurh tetes za cham kwenda kule alikua anaenda kuchez mwenyew?? Km imekuumaa vunga
😅
Mchungaji unatufelisha sana hao waliopeleka timu makundi walifanikiwaje
Mkileta wabovu itakuwavo2 mchezaji mzr hafeli kiasichakukosa nafasi 5. Had 7
WW mchungaji aujui mpila kaakimya kama auna la kuongea
Kama hili suala la Chama ni kweli basi itakuwa huzuni sana kwa wanasimba tunaojielewa
Afrika ya mashariki na east Africa,,,wale ttuliohitimu 1993 tupooooo
Kweli mchungaji taile kabisa. Wasema kweli , kweli kabitha
Pesa haitosh mchungaji ,, weka kibunda aaf pendekeza wachezaji wako
Swala Latim bado nalikataa vipi inonga tulimtoa kwenye timu gani naleo yupo wapii
Mwalimu unafeli
Joshua ni hatal nan alkuja tunaye mjua
Mchungaji unataka kutupiga wewe auna mpango bwan
Huna kigezo wewe angalia mengine tu
Mchungaji Kigezo chako cha Usajili hakifai. Mchazaji anaweza kufanya vizuri hata kama anatoka timu isiyoshiriki Club Bingwa.
Mchezaji hachezi pekee yake na hata kwenye timu zinazocheza Club Bingwa kuna baadhi ya wachezaji wa ovyo tu ambao hawawezi kusajiliwa na timu hata zile ambazo hazishiriki
Tutafute vigezo halisi vya kisoka. Haiwezekani kila mchezaji aanzie kwenye timu zinazoshiriki club Bingwa tu.