JINSI YA KUTENGENEZA MKAA WA MAKARATASI.. SIR WILSON

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @irenejosephat143
    @irenejosephat143 ปีที่แล้ว

    Nimefrahi sana Mungu aendeleekukutunza mwl wangu nilisomachuoni kwako mwaka 2017 hakika nabarikiwa sana naninaendelea kufwatilia masomo yako naitwa, Irene

  • @wamburawibogaihare9243
    @wamburawibogaihare9243 2 หลายเดือนก่อน

    Hallow nijambo jema sana, nami najifunza kutpka kwenu, naomba kujua hasa umuhimu wa unga wa ngano kwenye huo mkaa wa makaratasi ni nini?

  • @irenegomanga8654
    @irenegomanga8654 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa somo Sir.Willison

  • @liluckmariki1157
    @liluckmariki1157 2 ปีที่แล้ว +2

    Samahani mkuu huo unga wa ngano unasaidia nn kwenye huo mkaa

  • @wamburawibogaihare9243
    @wamburawibogaihare9243 2 หลายเดือนก่อน

    Nlijaribu kufanya kwa maelekezo yako, mkaa ukawa na moshi na ukiwaka unawaka kama mwali wa kuni lakini pia unaisha hrk na wakati unaungua pia kuna harufu ya muunguo wa unga wa ngano. Je ni wp sijafanya vzr? Naomba unieleweshe pls. Naitwa Wambura niko Moshi.

  • @husnabatees2101
    @husnabatees2101 2 ปีที่แล้ว +1

    Nikitaka Kununua mkaaa muko wapi

  • @rusdatembo637
    @rusdatembo637 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @TeresiaTairo-vf3xv
    @TeresiaTairo-vf3xv ปีที่แล้ว

    Haina Moshi?

  • @sofiajiwe5205
    @sofiajiwe5205 4 ปีที่แล้ว

    Nzuriiii sanaa

  • @rusdatembo637
    @rusdatembo637 3 ปีที่แล้ว

    Asante sanA

  • @aishanassoro8030
    @aishanassoro8030 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mwalim

  • @waziriissa7018
    @waziriissa7018 3 ปีที่แล้ว

    Vizuli kk ira mkaa unakuwa bora

  • @joellymanyaji5249
    @joellymanyaji5249 4 ปีที่แล้ว

    Nahitaji hill jiko ntalipatajee nipo mwanza

  • @mrishomaziku7614
    @mrishomaziku7614 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante

    • @OmariSaid-yl2of
      @OmariSaid-yl2of 3 ปีที่แล้ว

      Mkuu naomb kuuliza hayo maji huwek malighaf nyengne baad ya karatas