🔥KUSUKA MTINDO UNAOKUZA NYWELE ASILIA/ AFRICAN THREADING STYLE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ย. 2024
  • Hello dear , Asante kwa kubonyeza video hii, leo nitakuonyesha jinsi ya kusstyle nywele bila rasta yeyote mtindo wa African threading ,kusuka utumbo
    Naitwa Viviana karibu saana kwenye channel hii ambayo itakuwezesha kujifunza namna ya kusuka mitindo mbali mbali ya nywele hata kwa wasio jua kusuka kabisa , utajifunza pia kupaka makeup za aina mbali mbali, kutunza nywele asilia , mitindo ya mavazi ,utambuzi wa bidhaa nzuri na bora za urembo na mengi yanayohusu urembo.
    Kupitia video zangu za mafunzo ya urembo wengi wamejipatia ujuzi na kufungua biashara zao binafsi za Salon ,pia wengi wameweza kujisuka wenyewe ,karibu nawe katika familia yetu ya urembo .
    NEW VIDEO / VIDEO MPYA ?
    MONDAY AND FRIDAY at 07:00am
    PROUCT USED / BIDHAA NILIZOTUMIA
    TIZAMA VIDEO NYINGINE BONYEZA LINK HAPO CHINI / PRESS LINK FOR MORE
    KUTENGENEZA KIBANIO CHA AFRO PUFF/ DIY AFRO PUFF DRWAW STRING
    PONYTAIL
    • KUTENGENEZA KIBANIO CH...
    KUBANA NYWELE FUPI NZIGA STYLE (Natural hair style Nziga)
    • Kubana nywele fupi NZI...
    KUSUKA RASTA ZA MABUTU YA KUANZIA CHINI
    • KUSUKA RASTA ZA MABUTU...
    KUSUKA AFRO KINKY NJIA RAHISI
    • MITINDO TOFAUTI YA LOC...
    KUSUKA DISTRESS LOCS KUTUMIA SELFIE + PASSIONTWIST
    • KUSUKA DISTRESS LOCS K...
    KUBANA NYWELE FUPI HAKUNA MATATA STYLE (Short natural hair Hakuna matata)
    • Kubana nywele Fupi "Ha...
    KUSUKA CROCHET YA KUTYMIA RASTA ZA 1500/=
    • Kusuka Crochet kwa kut...
    MAKEUP FOR BEGINNERS
    • Beginner Makeup series
    MITINDO YA MAVAZI/ TRY ON HAUL FASHION
    • MITINDO YA MAVAZI /TRY...
    MAFUNZO YA MAKEUP / MAKEUP TUTORIALS • Mafunzo Ya Makeup/Make...
    MAFUTA MAZURI YA NGOZI / SKIN CARE PRODUCTS REVIEW
    Business inquiries/ Mawasiliano kwa ajili ya biashara
    Email ; Business@vivianatz.com
    Karibu tuwe marafiki nifollow kupitia
    INSTAGRAM ; ...
    Asante kwa kutizama video hii, karibu ujiunge nami katika mafunzo haya kwa kubonyeza alama ya Subscribe na alama ya kengele ili kuwa mmoja wa familiahii na kupata taarifa kila ninapoweka video mpya ya mafunzo.

ความคิดเห็น • 54

  • @AnisaAnisa-db4sw
    @AnisaAnisa-db4sw 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante dear hii style inaitwa Africa threading hair style😋

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว +1

      Yes love❤

    • @ernessmartin3937
      @ernessmartin3937 2 ปีที่แล้ว

      thnx mumy lazima ni jaribu. ila vp mwenye nywele za dawa anaweza suka

  • @pamelamushi6997
    @pamelamushi6997 10 หลายเดือนก่อน

    Naisi sana kujua nimejisuka

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  8 หลายเดือนก่อน

      Hongera dear

  • @sofiarugoye7929
    @sofiarugoye7929 2 ปีที่แล้ว +2

    Umependeza Sana,looking good mwa mwaaa naomba namba zako

  • @rehemamwanamajani3784
    @rehemamwanamajani3784 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice one

  • @rehemaalawi3367
    @rehemaalawi3367 2 ปีที่แล้ว +1

    Umependeza sanaa

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Asantee dear❤

  • @kimnanah4064
    @kimnanah4064 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow nzur sana ❤️❤️

  • @julianautouh9415
    @julianautouh9415 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Asantee dear

  • @Ester-hv1xb
    @Ester-hv1xb ปีที่แล้ว

    Waoooo umenoga

  • @misha-pg3ul
    @misha-pg3ul 2 ปีที่แล้ว +1

    Umependez sana 😍

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว +1

      Asantee dear ❤

  • @angelgidson2257
    @angelgidson2257 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubali san

  • @sofiagashomba5550
    @sofiagashomba5550 2 ปีที่แล้ว +1

    Asantee

  • @catlesjabili8171
    @catlesjabili8171 ปีที่แล้ว

    Napnda san mpnz piah Nywel yangu now imekuwa nzur piah inachanika mungu akubarikii ❤

  • @drrecoti1455
    @drrecoti1455 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @adratally7781
    @adratally7781 2 ปีที่แล้ว +1

    hellow ety lev in conditioner una weka mara ngap kwa wiki

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว +2

      Kila unapomaliza kuosha na kila unapotaka kuchana nywele

  • @rahmaleshe4048
    @rahmaleshe4048 2 ปีที่แล้ว

    Lovely 🌹

  • @giftchansa3892
    @giftchansa3892 2 ปีที่แล้ว +1

    Woow 😘

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      ❤❤

    • @giftchansa3892
      @giftchansa3892 2 ปีที่แล้ว

      Daaaaah I wish one day nije kuwa Kama wew

  • @flaviajustinean2898
    @flaviajustinean2898 2 ปีที่แล้ว +1

    Waooooh ❤️❤️

  • @aminanurudini9233
    @aminanurudini9233 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ntajarb inaonekana simple

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Yes love ni simple jaribu

  • @miim9429
    @miim9429 2 ปีที่แล้ว

    Hii staili naitumia sana na inakuza nywele sana,pia ukitaka mwisho unasuka kama kitunguu kisha unakisokotea na uzi trust me nywele inakua na kunyooka

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisaa kipenzi, asantee kwa kushare ❤

  • @pendoezekia5452
    @pendoezekia5452 ปีที่แล้ว

    Nimependa kila kitu

  • @yakobolusasu1821
    @yakobolusasu1821 2 ปีที่แล้ว

    Nimependa

  • @mariamibrahim5569
    @mariamibrahim5569 2 ปีที่แล้ว +1

    🥰🥰

  • @DominicMallewa-wc6cc
    @DominicMallewa-wc6cc ปีที่แล้ว

    Mnapatikana wapi

  • @abdulkonda
    @abdulkonda ปีที่แล้ว

    Jekama nilaini

  • @jackliningulo9795
    @jackliningulo9795 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️

  • @ireneisrael8379
    @ireneisrael8379 ปีที่แล้ว

    Unatumia mafut gani

  • @ABELVILTV
    @ABELVILTV 2 ปีที่แล้ว

    Chatting za inbox Nay wa Mitego, Roma Mkatoliki na Maunda hadharani waitana "Babe"
    th-cam.com/video/WXe_KK2CqTM/w-d-xo.html

  • @kajenjemusiba496
    @kajenjemusiba496 2 ปีที่แล้ว +1

    Unapaka mafuta gani kwenye nywele zako zinaonekana sio kavu, nimejaribu Ila hazijatepeta Kama zako

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Nimezispray na leave in conditiona iliyochanganywa na maji, ni muhimu sana ,ni ya megagrowth inaitwa leave in strengthener unaichanganya na maji

  • @ernessmartin3937
    @ernessmartin3937 2 ปีที่แล้ว

    nice

  • @aminasaid6555
    @aminasaid6555 ปีที่แล้ว

    Mnapatikana wapi