Ipo Tv mm n shabiki wenu sanaa na nafatilia sanaa Movie za Musa Kitale Tunaomba mtuwekee Maneno ya Kuambia youtube kuanzia Episode ya kwanza had ya Mwisho km mnavyo tuwekea kwenye Kinyamkela na Binadamu Chaooo Ramio hapa
sikutaka nicoment chochote ila, isije ikawa na haina mwisho kama #manenoyakuambiwa. Alafu kitale kunavitu munatakiwa kuvirekebisha ili kufanya The Best
Wow mumefufuka jmn.alafu ni Nzuri mno ila tu nitufupi sana ndugu zangu jitahidini angalau hata 40 minut Mbona Maneno ya kwambiwa ilikuavutia sana mpaka tunajuhuliza Mume Feli wapi? Katibuni jmn
Mtawala
From maneno ya kuambiwa sasa binadam hongeren tuko pamoja
Tunaoangalia muda huu tukiwa pekeyetu embu tujipige kifuani mara 3😜,hongeren washiriki wotee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hiii Move itanishinda Mie Kabisaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
@@mzizirashid709 t u to tu
😂😂😂
@@mzizirashid709 mambo madogo sana hayo wala yasikushinde
Èe kitale me nkajuaga ulishaga ipotezea hii movie, asante sana
ASNTE bro kitale kazi nzr japo nimechelewa kujua
Waukae big up moro unatuwakilisha vyema
Mashallah haya kazi kwetu watazamaji maana anaga masiara na kazi zake huyu mkaka mashallah mashallah mashallah
Iko bien kabisa nipo congo kalemie napenda sana
Mambo ni moto..thamthilia safi..ahk niliwamiss sana...mbarikiwe nyote mulio shiriki Amen
yan leo katka pta pta zangu ndyo nmekutana na hii ngoma nliitamqn sana niione asanten washrk wote tupo pamoja kamkubwa kitale pamoja nakukubal mkali
Hongera washiliki wote mtawala ume nenepa
Daaah mwanzo2 2meuelwaaa aisee this now over maneno ya kuambiwaa
Kitare umeuwa umu Kuna atali na nusu ,yani mwanzo Moto mwisho Moto duuu ,,unajua kutulia kwenye stoli zako
Kazi kazi aminia jembe kitale
Nilikuwa bize sana Sasa leo rasmi naanza kufuatilia unyama wenu 1-mwisho hamnaga kazin mbovu
Huku samahani Asante huku binadamu kazi nzuri sana lazima tujifunze kitu!!🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
mbna kimbiji mwendelezo wake haupo naipenda sana
Jamani waoga mnatutisha Mungu wangu Kila nyumba majanga duuuh
Aisee niisubiria kwa hamu sanaa asanteni sanaa
Kubali sanaaa tulikua tumewamiss sanaaa vyakwetu tuvipende🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤👆
LETENI MZIGO HUU MWENDELEZO NDUGU zangu@binadamu wabaya
Hii crew iko vzr kwenye ubunifu na namna nzuri ktk uandishi pia kuigiza #no.one in TZ
Sema wana mnaupiga mwingi sana ongerenii
Team Maneno ya kuambiwa wamerudi kivyengine nawakubaali ndugu zangu Allah aawaongoze
Wanangu nyie ni mafundi mpaka mnakeraaaa🙌🙌🙌
Bibi mzaa baba, rudisha mtoto wa wanao pumbavuu
Movie iko sawa nakubali napenda sana bongo movie
Oyaaaaaa kitale nakubali sana kàzi zako uko vizuri sana aisee keep it up bro unaweza
Naipenda sana hii movie jamani siku yangu hitaisha vizuri sana
Dah kaka kitale unjua mjubaa🔥🔥🔥
mtawala kawa muuza genge nimepnda ubunifu wakitale mia miaa
Safi Sana hata hii bila Shaka itakuwa nzuri Kama maneno ya kuambiwa
Niliwamisi sana tangu tulivyooangalia ilee yamaneno ya kuambiwa 🙏🙏💕💕❤️ n
Daah kitale unapendwa na wengi yani plus mimi Daaah utamu huu ya utamu
Hii ndio series sio zile nyengine ,,,bravo baba
Najuwa nime chelewa lakini nimeinjoi ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️ maana nilikuwa naisuburia sana binadamu
Uwiiii yani ndio episode 1 lakin nitamu tena na tena kitale ujawai kosea Asante washiriki wote nawapenda sana ❤️😍😘😍😘❤️😍💕
Nmeisubir sana dah😂😂😂final🥰
Nani hajawah fatilia series ingin zaid ya maneno y kuambiw n binadam??
Mm
iyo series ilikua tamu sana
Leo mm ndo naangalia binadamu
Nawaelewa sana wana mpo vzr sana
Ooh thank you Nilisuburii Sana hii jamanii
Majizo mwambie kitale KIMEUMANA! Lulu sema wowwww..
Maneno ya kuambiwa ilikuwa inatisha ila hii inatishaa zaidi Kweli UBINADAMU KAZI
Daah we jamaa shid mung akuwek miak yot man co kwa utam uu
Ipo Tv mm n shabiki wenu sanaa na nafatilia sanaa Movie za Musa Kitale
Tunaomba mtuwekee Maneno ya Kuambia youtube kuanzia Episode ya kwanza had ya Mwisho km mnavyo tuwekea kwenye Kinyamkela na Binadamu Chaooo
Ramio hapa
Brother kitale maandishi ya kingereza kwa chini yamuhimu sanaaaa boss kaxi nzuri
Kitale Mkude simba mob Love from Kenya
Daaaah inafundisha sana
Nakubal sanaaa aseee mnawezaaa kabisaaa
Good job nawapenda wahusika wote
Eeeheeeeee tulete katiii Sasa binafsi nlkuwa naisbr sana
We are in the building 💪 🙌 kenya 🇰🇪 tujuane
🇰🇪
Nilisubiri sana shukran kitale
Uko vizuri Sana brother mungu akuzidishie
Asante kwa kitu kipya tuko pamoja paka mwisho 👌
Kaka we ni nyoko sanaa aseee... Congrats
Welcome back watching you from kenya
😂😂😂 hatimae mmetuonea hurum
Wakali wa hizi kazi
Walai mwapenda kumuonea mtawala jamani😢😢😢
Nyumban kumenoga tenaa hukuuuuuu jamn tuliwamc
Mzigo ndo mwanzo na uko moto
Nliisubr kwa hamu hongeren sana kwa Kaz nzur
R,p,I, mzee jengua ,sijui ata ungekuwepo ingekuaje ,,, sema watoto wako wanawakilisha
Hawa ndio wanaojuwa kutengeneza move tz na wapo makini na kazi hawaja wahi kosea
Nawapenda sana mumenifurajisha kuwaona tena🥰💪👏
Mashaallah kaz nzuri
Asante sanaa jmn kwaku tuwekea kwenye TH-cam 😭🥰🥰 nimeisubiliiiiii sanaa
umerudi mzee wa maneno ya kuambiwa
Bakari humenona mashaallah
Mafundisho mazuri mno
sikutaka nicoment chochote ila, isije ikawa na haina mwisho kama #manenoyakuambiwa.
Alafu kitale kunavitu munatakiwa kuvirekebisha ili kufanya The Best
Asante sana kwa kutuweke TH-cam tusiokuwa na TV
Wa kwanza sana....comment na view....
Mnaanza vizur tukinogew hamuek tena
Mashaallah nilikua na wasubiria balaa japo nimechelewa🔥🔥🔥
Duuh! Kweli binadamu wabaya
Wow mumefufuka jmn.alafu ni Nzuri mno ila tu nitufupi sana ndugu zangu jitahidini angalau hata 40 minut Mbona Maneno ya kwambiwa ilikuavutia sana mpaka tunajuhuliza Mume Feli wapi? Katibuni jmn
Ebwana Kumbe musa mtunzi hivi iwezi amini kuwa
yan story kali sana utuzni content hadi actors
duh naogopaaa duh ntalal kwl leo
😂Kwa jinsi nilivo kuwa naisubiria duh shahidi muumba tu wallah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣wewe ni mimi kabisaaa
Maneno ya kuambiwa au nn jmn 😆😆😆🌹ngoja niangalie
Nilichopenda umewachukua wakari wote wamananenoyakuambiwa yaan broo nimenjoy kumuona mtawala , beka Mzee wamajanga , .
Alhamdulillah ndio naianza leo
Tunakuamini mzee baba kwa burudani
Aisee mbn nzr sanaa
Naipenda movie hii kama maneno ya kuambiwa
Kabsa
Ile movie ilikuA nzuri sana nilikua nikikesha
@@khadijahalfan1408 kwel atamimi nilikuwanikikesha 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Sanaa mzee baba tuko pamoja tupe uhondo
welcom back from maneno ya kuambiwa
😢😢😢😢nyiieee ninafurahaa mconee hviii. Nmehangaikaa sanaa kuiptaa mpkaa nikipataa tamaaa
yaan ni haya tu ..lkn stress za maisha na hii movie inazidisha tafakur ...haya hongeren wana
Uko vizuri braza
Mwanzo mzuri. Let's keep going.
Salute
We hii Kali bwan
Kazi nzur kaka hongera sana
Mtawalaa umenenepa mashallah
Siangalii tena usiku nimekoma 😂😂
Ebwanaeee nilikuwa nikisubr kwa muda sasa. Gud job
Woyoooo mumefanya vizuri kutuletea hii filamu jamani nimesubiri kwa mda
Niliisubiri sana hii movie MashaAllah mpo vizur watu wangu wa chikosi chizima👌🏿💕
Mashaallah muko vizuri👌👌👌👌
Niliwamic mnoo hawa wahusika