Ahahahahaaa yan me nainjoy nikicheki maisha ya beka since MANENO ya KUAMBIWA na kwnye hii BINADAM....yan inanifanya nifill kaa ana laana flan hv...asee big up director...
Wow nawakubali watuwang wote ambao mkokwahii saeson ya binadam ,.lakini jamani mna tuima uwondo sana maana Kwanza nifupi tena ni nzuri pili twahitaji muwemna turushia vipande ata vitatu au viwili .nitashukuru sana au kufurahi pale mtakapo nijib ni mimi shabiki yenu namba 1
Tamthilia nzuri Sana, tangu nianze kufatilia tamthilia za kitale kuanzia maneno ya kuambiwa, kimbiji na hii,zinamafunzo makubwa, ila kwa hii no nzuri bt aongezee tyu ulefu kidogo wa kila episode at least 35-40 minutes per episode,,
Asante sana kwaku tuma episode ya 2 yani nilikuwa nasubiria kwaamu lakini pia tunaitaji sehemu ya 3 na kuendelea episode mzuri sana mungu awazidishie kwa kazi munayo ifanya
Hivi na nyinyi Inawakuta hii Hali umeplay TH-cam full screen halafu kila baada dakika kadhaa unagua kioo kuona zimebaki dakika ngapi yani hutaki iishe kabisa😂😂🤣🤣🤣😂BIG UP MKUDE NA TEAM NZIMA
Tuendelee kufuatilia Tamthilia Yetu Pendwa waungwana, huko mbele mambo mazuri zaidi.
Tunao mfatilia MKUDE SIMBA series zake tukunje Nne na tugonge chairs 🍷to enjoy part 2
Watuongezee dak bhan
Nimesubili kwa mda sasa atma yake tumewekewa apsod ya pili wale time binadam wabaya tujuane kwa like🔥🔥🔥
Amnaga kazi mbaya, kwanzia MANENO YA KUAMBIWA mpaka hii sasa!!! Big up to you MKUDE SIMBA
Kitale na Team yako mungu awaweka Salama Mnajua Mpk mnakera Kazi Nzur sana💯❤
Kitare pumbavu yaaani mnajua mpaka shenzi
Hahaaaaa
Nakubali sana
Daaaaah sio poa ... mzigo wa 🔥🔥🔥sanaaa.. ila fanya juu chinii utie maandishi yaa kingereza kwa chini hapo .. yani utatisha Africa nzima kaka
Nipo jmn mi mshabik wenu...like zangu jmn hata 20.Ninawapenda sana...❤️💗♥️💕
Kwa namna tamthiliya hii ilivyotulia Ni Kama SQUID GAME...... Big CONGRATULATIONS to Director
Kabisaa
Tamthilia ninzur sana natumain hatamuendelezo wake utazid kuwa mzur🔥🔥🔥
Kazi nzuriii sanaa❤❤, one love
Tuongezee muda kitale unatutesa mashabiki zako kwa week mara moja duh tufikirie tamthilia
Ni kali kinoma
Tamthiria nzur Sana honger kwa kazi nzuri
Baada ya maneno ya kuambiwa Mnatuletea BINADAMU filamu nzuri sana. From RWANDA,Kigali
Shukran Sana Mapema Mapema Binadamu Kazi. Hongereni Sana Washiriki.Jini la raster Latisha.
Sanaaa mm hapa nawaza nalalaje jamn
@@husnamagayane5663 🤣🤣🤣🤣🤣 Pole Maana Latisha Mno.Hata Chooni Hakwendeki.
Yaan anatisha sana na ss tuliopo uku kwa watu ni shida
@@shopalareen4303 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Usinichekeshe Swahiba.
My love mtawala you always make me smile much love from Kenya 🇰🇪 I wish one day i see you
Daah mmetisha sana hii KTU IPO vzursana haswa pa1 na kuwa inatisha
Oyooooooooooooo mwinyimkuu 😇😍😊😊 am so happy
Jamaa kitare uko vizuri sana Yan beka jasho linavomtoka hatri hana majanga huyu .
Hii movie ya binadamu wabaya nimoto wakuotea mbali dah very nice movie 💪💪🙏👌
Mwinyi mkuu oyee nilikumic wallah nafurah kukuona
Ninefurah kumuona mwinyimkuu ila mwenyez mungu amrehem mzee jengua angekuwepo tungeona uwezo wake zaid
Kitale your the best 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mama bashiru haonekan kuwa na huzuni... Bakari ana unyama wake flani... Sasa mwinyi mkuu ndo mnyama kabisa💯... Kazi nzuri
Yn nimajanga2 umu, Ongeren sn kaz mzr🤝🤝🤝🤝
Namkubali sana Bakari yupo serious sana
Mnajua na mnajua natena hii ndomichezo yakiafruca👌
Aliemuona jini maimuna anatembea hfu huku wameonyesha kapotea I like
Beka hajawai kuwa na wakati mzuri 😂😂😂
Nakubali picha limeanza kama linaishia saluti director na kikosi kazi Kwa ujumla
hongera mtunzi nzuli sana move muenderezo part 3 sijaiyona mimi
Kitale heeeeeeeeh daaaah we mwamba
Aiseee bongela move sema sasa mjitahidi alaukwawiki mtuwekeee epsd 2
Beka anajuwa mpaka anajuwa tena jamani na mtawala big up
Ahahahahaaa yan me nainjoy nikicheki maisha ya beka since MANENO ya KUAMBIWA na kwnye hii BINADAM....yan inanifanya nifill kaa ana laana flan hv...asee big up director...
🤣🤣🤣
duuuh atar nayo hii bora mnatuooza machungu ya binadamu wabaya
Khaaaa😂😂 nilivyoisubir kwa ham jmni kuliko mshahara wa mwez😀😀😀 kitale umetuweza bab
😂😂😂
Tunzo mwaka huu yako💪💪💪
Mtawala namuelewaga sana yaan anatulia sana kwenye muvi yaan kama kweli kabisa
Masha Allah good istor hongereni sana washiriki
Wenye tunawatch tukisoma comments tujuane
Nimeikubali,hata maneno ya kuambiwa haijatisha!! Hii ni fire
Wow nawakubali watuwang wote ambao mkokwahii saeson ya binadam ,.lakini jamani mna tuima uwondo sana maana
Kwanza nifupi tena ni nzuri pili twahitaji muwemna turushia vipande ata vitatu au viwili .nitashukuru sana au kufurahi pale mtakapo nijib ni mimi shabiki yenu namba 1
Yani natamani wew munatuekea vipande5 kwasiku 😋🤣🤣
You are the best..kitale
Mtawala huna bahati ni bora ukasafishe nyota ⭐️ya mapenzi maana looh ! Kila mara unakimbiwa wewe tu
Nakubar kaka kitare hujawah kukosea na maneno ya kuambiwa Tuzo lazima ipate
mashallah tearm ya maneno yakuambiwa muko sawa nove zina mafundisho sanaaa lov u all
Yan mnatuvurugaa mpaka mnatuvurugaa tenaa,,afu wekenii nyingii bhanaaaa
Mwinyimkuu ndan y nyumba👌🏽
Yaan kitalr wee baba lao nakubali kaka piga kazi
Mashallah broo mussa bwakila kazin mzurii mnoo
Daaah huuu movie vifo na vitisho ni vingi🙆♂️🙆♂️
Naomba msituboe kama kwenye,maneno,ya kuambiwa ss,nidyo mafans,wenu kitale
Kumbe bongo tuna weza kitare 🙌🙌🙌🙌
Picha la kutisha Ile kinoma nomaa 😎😎😎
mbona fupi kitale ..tumezoea nusu saaa😚😙😗😘😍
Jini anakatiza kichochoro😃😅😂 jini maimuna umetisha sana jini anayevuka barabara na Mara ya pili kaonekana tena 2021😃😅😂
Mfalme #kitale we kwa tz hap umeshndkan
Unajuwa adi unajuwa tena kitale alafu ujigambi walanini kama unajuwa adi unakela 🤴
Bonge moja la movies imetulia sana
Huyu jamaa mwinyimkuu anapatoa scene ya uganga hataree
The best tamthilia imetulia inaendana na mazingura yake hongera Sana kitale
Safi sana Kaz iendeleeeee❤
Nzuri Sana nawapenda jomon usitucheleweshee mwendelezo tfdhl
Nilifuatilia ile ya maneno ya kuimbiwa had mwisho saa hii naenda nayo had mwisho mko sawa kabisa
Tamthilia nzuri Sana, tangu nianze kufatilia tamthilia za kitale kuanzia maneno ya kuambiwa, kimbiji na hii,zinamafunzo makubwa, ila kwa hii no nzuri bt aongezee tyu ulefu kidogo wa kila episode at least 35-40 minutes per episode,,
Nakukubali sana mtawala unajuwa kucheza movie hatariii sana wewe
Bila kumsahau MWINYI MKUU mtaalamu mwenyew unatisha mwamba hatariii sana daahh nawakubali sana mnajuwa kucheza movie
Kazi nzuri kaka na namkubali Sana mtawala
Nani kagundua mtawala amenenepa😂😂
Mm
Hongereni sana ila kiukweli muda ni mchache sana alafu mara moja kwa wiki mmmmmh kitale tunaomba ulifanyie kazi hili,,,,
Asante sana kwaku tuma episode ya 2 yani nilikuwa nasubiria kwaamu lakini pia tunaitaji sehemu ya 3 na kuendelea episode mzuri sana mungu awazidishie kwa kazi munayo ifanya
Huyu hatufelishi yupo vizuri 💪❤️
Picha linaanza,Mtoto kapotea,Mke haonekani,Mke anaumwa,Mtu kafa,Mtu kapigwa risasi.
Good creativity #Respect
Ni vya hatarii
@@leylaiddy5815 😂😂😂😂😂😂
Maji yanadamu🤣🤣🤣🤣🤣
Maji yanadamu🤣🤣🤣🤣🤣
Mtu kaachwa pia
aaah broh tungezee mudaa mamb ni mototttt👏👏👏👏🤙🤝
Kazi nzur hamkoseagi 🙏🙏
HIII NI ZAIDI YA TAMTHILIA JAMANIIIII.... MAAANA DAAAAAAH NI YA🔥🔥🔥 EPISODE 3 ....COME FAST
Mkude umetuweza ss hv 😂😂😂 yn nguo imenidondokea hz kelele nilizopiga 😂😂😂😂 mpk mwanang alikuwa anakula hz mbio yn amenikimbia amekimbilia nje namwit hatk kuja 😂😂😂😂😂👌👌👌
Jamani kitale napenda mov zako mno you are the one
Oh my God I can’t wait next week
Silazima uangalia ikitumwa usiku angalia mchana
@@saidakichuna6134 kwani kasema anashindwa kuangalia duh.... soma vizuri af muelewe. ...kingeresaaaa
@@rosegeorge9812 tz kiengereza ndio tatizo
Musa kitale 🔥🔥
@@rosegeorge9812 😂😂Kwakweli kingereza tatizo..
Hakuna zaidi yako kitale
Mimi nasubiria kama atakuwepo beste yangu kobelo chapombe jamaa huwa ananikosha😁😆😄
Hahahaaah
Safari hii nimeona kaigiza Kama doctor
@@neemashabuke5106 ok, wacha nisubirie ila ile sekta yake ya ulevi huwa anaitendea haki Tu sana 😌
Daah ..noma sana na usiku huuu
Big congratulations kwa timu mzima👊👊👊
Hiko powa lakn hivi visanga vingefanyika usiku ingekuwa powa zaidi
Mmenifanyaaa niachee kulaaa kwanzaaa asee
Unatamani move ata isiishe yani duu ,mwanzo mwisho ni moto
One of the best ever 👌👌
Nakubali kazi Mzee baba
Waoooo mwinyi mkuu nilikumis
Hivi na nyinyi Inawakuta hii Hali umeplay TH-cam full screen halafu kila baada dakika kadhaa unagua kioo kuona zimebaki dakika ngapi yani hutaki iishe kabisa😂😂🤣🤣🤣😂BIG UP MKUDE NA TEAM NZIMA
Daah kwenye jini huyo au shetani sijui tumepigwa na kitu kizito Mana kayayuka alafu anaonekana anamalizikia kwenye ukuta 😂😂ila kazi nzuri
Umefanya nirudie ili nmuone maimuna😇
Nangoja kobelo na kitale
Thanks kitale una kazi mbovu ata siku moja yani naona marandhi yangu ya maneno ya kuambiwa yarundi
Binadamu wabaya
Alegundua km chili ndio mganga agonge like😜😜😜😜🤪🤪👉👉🤩🤩☑☑☑☑📢📢📢📢📢
Jamani uyu jini anaonekana anazamia kule konani Ila hongera jini hajacheka maanaaa apa bongo
Kuangalia leo moja tukushinda maneno ya kuambiwa
Nzurii mpaka inakera
Mkude simba ujengewe sanamu ❤🔥
🤣🤣🤣
Daah bro hongera
Kitale nakosa neno zuri la kukwambia kwa kazi yako hii