Kweli hakuna upingamizi Nakupenda baba Mungu akulinde baba nakuombea baba...ubarikiwe sana baba hadi maneno Yana ni ishiya...muimbaji wetu ubarikiwe sana
Asante bwana tumezoweya artist muimbiya mama tu,wewe umejitowa mhanga kuona na kuusema uzuri wa baba tumezoweya kusikiya ubaya wa baba tu myaka nrnda rudi asante bwana!!!
Hongera kwa wababa wote duniani ambao hawakukimbia majukumu yao ya kulea watt wao , pongez hata kwa wale walio owa single mother na kujali watt kama wakwao ❤❤❤❤
To the late daddy shine on you way my father I love you more Baba yangu Mungu hakulinde ❤️💯.....nitahishi kupenda ata kama ume ni wacha 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 RIP BABA ❤️💯
kila mtu alikuwa akitunga wimbo hawezi gusa upande wa Baba sijui hii dunia inatuchukuliaje sisi.aisee hongereni sana wimbo tutautumiq sana kwenye sherehe wakati wa kuita wazazi wa kiume kwenye ukumbi
Wanaume hatuna haja yakuumia eti hatujaimbiwa,kiuhalisia fursa za maana mtaani watu hawazionagi wanaziona zile zinazofanywa na wengi ndo wanaziiga,natoa heko kwa msanii wetu mtoto wetu kutumia jicho lako nakuona upande ambao wengine hawaonagi au wanauona wa kawaida kumbe ni fursa hata kwao,wao wako bize na mama zetu tu ,kwani hakuna wamama wanaotupa watoto? Hakuna wanaonyanyasa watoto? Hakuna wanaologa watoto? Huo ni upofu wao tu.
Pumzika kwa amani kipenzi cha roho yangu. I wish kabisa ungekuwa Hai usikiyeee hiiii babangu. Sikiya hiiii mahali ulipo babangu nakupenda saaaaana, Mungu ahilinde roho yako Babangu
Kama unaamini wababa tumepata wimbo wa kutamba nao weka like yako hapa.
🔥🔥🔥👍
Hatimae tumekumbukwa🎉🎉
Kwa jinsi nampenda Baba yangu moyo wangu umefurahi sana kuisikia hii nyimbo nzuurii kwa ajili yaooooo❤❤❤❤
Huu wimbo humetukomboa wa baba
Nico❤❤❤❤❤❤❤❤
Ambao wanawapenda Baba zao weka like hapa❤
Mwisho tumekumbukwa Jaman Mungu akubariki man! Kura yangu haikwenda bure
Walio rudia zaidi mara 1 ngonga like hapa twende pamoja ❤
Wimbo mzuri sana hongera Mungu akusaidie uende mjini kama Ndoa
🙏Amen
Kama baba angu angelikuwa hai ningemuosha hata miguu yake siku moja ila Mungu kampenda Zaid mi naomba MUNGU akupe makazi ya pepon baba yangu
WABABA AMBAO WANA PAMBANA JU YA KULISHA FAMILIYA GONGA LIKE HAPA.
Pumzika mahali pema peponi baba yng
Kaka umeimba sn hongera sn
Msaniii wa kwanza kumuimbia nyimbo baba mungu akubariki
Kweli hakuna upingamizi
Nakupenda baba Mungu akulinde baba nakuombea baba...ubarikiwe sana baba hadi maneno Yana ni ishiya...muimbaji wetu ubarikiwe sana
Nimepata wimbo wa kutamba na baba yangu !! May God keep u safe my lovely Father Richard M kapoma!! No one like you father ❤
Huu ni wimbo wangu Bora wamwaka @asagwile na @walter chilambo itakuwa hivyo chukueni maua yenu mapema 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
ASANTE SANA UTUKUFU KWA MUNGU 🙏
Na sisi wababa tumepata wimbo wa kutamba nayo❤.
Ubarikiwe kwa wimbo Mzuri....❤❤❤❤
Babangu ni nguzo nakupenda mungu akupe siku nyingi za kuishi.
Baba duuuu acha tuuu kama ww ni baba huuu wimbo wa kujitulizia mawazo😢😢
Asante bwana tumezoweya artist muimbiya mama tu,wewe umejitowa mhanga kuona na kuusema uzuri wa baba tumezoweya kusikiya ubaya wa baba tu myaka nrnda rudi asante bwana!!!
Hongera kwa wababa wote duniani ambao hawakukimbia majukumu yao ya kulea watt wao , pongez hata kwa wale walio owa single mother na kujali watt kama wakwao ❤❤❤❤
Uyu jamaaa anajua anawaza kwa upana ingawa kwel baba tumetupwa hatupewi sana heshima
Finally tumetambulika
Mimi nikiuskia huu wimbo natamani kulia wallah nili
skia Tu Kwa wazaz wetu ila Leo nimeoa na kuzaa ndio naona..
To the late daddy shine on you way my father I love you more Baba yangu Mungu hakulinde ❤️💯.....nitahishi kupenda ata kama ume ni wacha 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
RIP BABA ❤️💯
Assnte sana bro wimbo unapendeza masikion tulizoea nani kama mama tuu kumbe na baba yupo ❤❤❤
Wababa wote vifua mbele call me Baba Jaden❤❤❤
Aisee nyimbo imenigusa sana❤❤
Kweli kabisa unapo sema nani kama mama mshukuru hata baba aliye kuchagulia huyo mama
Finally, 🎉🎉🎉
Ninakupenda Baba!
wimbo Una ujumbe mzurii wababa wamekumbukwa ubarikiwe asagwile
MUNGU akubariki sana Kwa wimbo mzuri Sana wa baba maana tulikuwa tunaitaji wimbo wa baba atimae tumeupata❤❤❤❤❤❤❤❤
NAKUPENDA BABA❤️🙌🙌🙌🙌🔊🎶🎶
Good job rafiki yangu 🎉🎉🎉🎉❤
Kumbe mimi ni kichwa ❤😂❤
Seen by P.LITTLE DRUMMER 🥁 🎤 🇨🇩 💪
I salute my Dad 🫡
God blessed me with the best and I am forever grateful.
May God keep blessing him with long life and good health.❤
Finally Baba apewe mauwa yake.
Thank you Mr Asagwile God bless you,You made my day❤
No moja mm jmn
Kp
😊l😂l
Nakupenda babangu. Mwenyezi Mungu akupe afya njema na maisha marefu hapa duniani, maana uwepo wako ndio nguzo yangu 🙏🏾💌
🙏AMEN
Be blessed sana.. zawadi yangu kwa my lovely dad kwa mwaka huu.. ntamwimbia hii song❤❤
Special touch to my lovely dad n my handsome husband❤❤❤❤
Asante hii imenigusa, baba kipenzi changu, nakupenda sana baba, uishi maisha marefu❤
Asante sana kwa wimbo huu
Baba ni mtu muhimu sana maishani mwetu 💪❤ sikupata nafasi ya kulelewa na Baba💔.. Nyie wenye Mababa muheshimu baba sana
Hatimae tumefikiwa
Asante sna kwa wimbo Mzuri
Ukweli ni huo tubadilikeni jamani, MANISHI tunakukubali sana Mungu akutie nguvu AMEN
Baba ni baba let us celebrate for our fathers
Apo kwenye popote ulipo daaaaaaaaah😢😢 nakumc sana Baba MUNGU akuweke mahali pema peponi
I don’t understand what he is singing about but I enjoying wow💃💃💃💃.
Aiseee huwa sisikilizi nyimbo ila huu umenigusa sana
Nyimbo zilizotungwa katika Moyo wa Jamii
Hata mimi niumependa nitauweka siku ya party official kwa baba yangu❤❤
nilikua naumia sana nikiskia wanasifiwa wakina mama tyu kama vile wko peke yao duniani na kusaulika wakina baba. mungu akujalie asagwile
Kaka Umetisha Mungu Aendelee Kukupa Jumbe
Mungu awabariki mababa wote mlio tambua nafasi zenu kama alivyo kuwa baba yangu Mzee Marcus Nyenza 😭😭😭😭 RIP my dady .
Hatimae na wababa tumefikiwa alo tumezalilika sana
Kama unaamini Baba ni kichwa gonga like hapa
Thank bro.I do really appreciate your content.God bless you...
Respect to all fathers
Baba yangu endelea kupinzika kwa amani umepambana sana kwa ajili yetu tunakupenda
Baba❤
Nipo kazini apa napambania familia yangu nawashukuru kwa kunitungia nyimbo ni mwendo wa kusikiliza hii nyimbo kila siku niingiiapo kazini safi sana
Washua tumewatupa sana hawana nyimbo kali kama hizi, Congratulations 🎊 kwakuwakumbuka washua
Asante ndugu watu wengi walishaka sauhu samani ya baba.Mungu akulinde
Finally tumekumbukwa 🙏
kila mtu alikuwa akitunga wimbo hawezi gusa upande wa Baba sijui hii dunia inatuchukuliaje sisi.aisee hongereni sana wimbo tutautumiq sana kwenye sherehe wakati wa kuita wazazi wa kiume kwenye ukumbi
inauma sana
waoooo kaka hongela Ngoma Kali mkuuu
share this song kama unamukumbali baba yako🥰🥰🥰🥰
Wababa tumekumbukwa
Duh ndo nasikia wimbo unao2semea uku wamama wanapambana ku2chafu kwawatoto
Hakika Baba ni muhimu sana kwenye malezi ya watoto.Mungu awabariki wakina baba wote 😊😊
hii ni zawadi kwa wakina Baba sasa ni dhamu yetu kina mama tunaomba mtulie kidogo😅💖😇🙏🏽🙌🏽🇹🇿
mungu azidi kukuinua kaka asangwile nyimbo zako zimejaa injili halisi
🙏AMEN
Rest in peace Baba yangu nakumbuka upendo wako sana
wimbo mzuri sana,wababa wote wabarikiwe ❤❤
Najivunia kuwa baba na kuwa na baba mungu atulinde na kutupa maisha marefu mababa wote❤❤❤
Furaha imenijaa sana
Nakupenda babangu
Baba amekumbukwa
Asagwile sauti tamu baba angu ❤
Favorite song ❤❤❤nimejikuta namkumbuka baba yangu when nitakuona tena my dad 😢😢
Wanaume hatuna haja yakuumia eti hatujaimbiwa,kiuhalisia fursa za maana mtaani watu hawazionagi wanaziona zile zinazofanywa na wengi ndo wanaziiga,natoa heko kwa msanii wetu mtoto wetu kutumia jicho lako nakuona upande ambao wengine hawaonagi au wanauona wa kawaida kumbe ni fursa hata kwao,wao wako bize na mama zetu tu ,kwani hakuna wamama wanaotupa watoto? Hakuna wanaonyanyasa watoto? Hakuna wanaologa watoto? Huo ni upofu wao tu.
Kazi nzuri songa mbele Mungu akutangulie mbele.
🙏🙏
Stay blessed all dads🥰🥰
Hatimae kina baba tumefikiwa😊
Wabarikiwe sana wa baba whote
🙏AMEN
Nimependa sana huu wimbo mungu akutunze mtumishi wake kaka angu asangwile ❤ itafika mbali sana
Vijana njo tumusapoti JAMA akatupambaniya Mana wana ume wana onewa
Wewe ulie lelewa na baba wa kambo bila changamoto yoyote gonga like hapa me
Hapo wababa tumefutwa machozi na wimbo mzuri
Kaka unajuwa kazi yamungu ❤❤❤ vesi ya kwanza imeniguza sana kaka nakupenda baba
Ubarikiwe kwa kumkumbuka baba.Umewaza mbali
Kwa mara ya kwanza,,,Baba,,,!
Ubarikiwa Sana Tena Sana kaka kwa wimbo
baba proud of you 👏
Baba yang upumzike salama kipenzi cha wanao daaah ulikiw unajinyima vingi ili sisi uone tumepata na tunafuraha,,,lala salama ila tumekumiss😭
Huu zaidi ya wimbo more grace 🙏
To all respoble dady out there🕊
Ahsante Kwa kutusemea mpendwa
Nimekumis sana baba angu nimemis vitu vingi kutoka wako
Pumzika kwa amani kipenzi cha roho yangu. I wish kabisa ungekuwa Hai usikiyeee hiiii babangu. Sikiya hiiii mahali ulipo babangu nakupenda saaaaana, Mungu ahilinde roho yako Babangu
Rest in peace babaa kighombe😭😭😭😭😭🥹🥹🥹🥹
Nakupenda baba yangu mana ni wewe uliyebaki