Wawili Wakipendana -

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.พ. 2019
  • Singer - Sabah Salum
    Lyrics -
    Music -
  • เพลง

ความคิดเห็น • 14

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 ปีที่แล้ว +5

    Shida kubwa mtapata na hapa hatuachani
    Acheni kututafuta nyinyi mwatutakia nin
    Nilotaka nimepata fitina zenu za nin
    Wawili wakipendana mwachukia kitu gan

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 ปีที่แล้ว +3

    Wawili wakipendana mwachukia kitu gan
    Wawili wakipendana mwachukia kitu gan
    Mwataka sisi tutengane ili muwe furahani

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 ปีที่แล้ว +4

    Bure mnajidhalili kusumbua zenu ndimi
    Yeye amenikubali kuishi yeye na mim
    Mnosema hatujali mnosema hatujali
    Mnosema hatujali ni bure wenu usemi

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 ปีที่แล้ว +3

    Mnauliza suali nimempendea nin
    Ni twabia na kauli leo kwenu nabaini
    Vitendo vyake asali tena nimevithamin
    Vitendo vyake asali tena nimevithamin

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 5 ปีที่แล้ว +4

    Shida kubwa mtapata
    Kwa hapa hatuachani @sabah muchacho

  • @ummazhar7353
    @ummazhar7353 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah naipenda hii nyimbo

  • @rahimasalim2669
    @rahimasalim2669 ปีที่แล้ว

    Very nice song

  • @ramadhaninjogope4111
    @ramadhaninjogope4111 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice song my dear Ilove youuuuuuu so much mamy

  • @nassirhaji2079
    @nassirhaji2079 5 ปีที่แล้ว +1

    mashallah nice swabaha

  • @imafadhil9632
    @imafadhil9632 4 ปีที่แล้ว +4

    Pendo linapo ingia halijali maskini hoooo, munauliza suali nimpendea nini??? Vitendo vyake hasali

  • @muminmohamedahmed2453
    @muminmohamedahmed2453 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice song

  • @vixzda4219
    @vixzda4219 5 ปีที่แล้ว

    Wanimaliza jmn

  • @vixzda4219
    @vixzda4219 5 ปีที่แล้ว +1

    😄😄😄heeeee